WAPENDWA WANAUME MLIO OA
Ukitaka kufika mbali kimaisha, mpende mkeo, mtunze vyema, mfurahishe na maombi
yake yatakufungulia milango ya mafanikio.
tu ndiye atakayekulisha na atakuwepo kwa ajili yako wakati wa shida na
matatizo. Marafiki zako wengi na mademu wa pembeni watakuacha!