Author: Msomi Bora

HATUA HIZI 10 ZITAKUFANYA UFURAHIE TENDO LA NDOA ZINGATIA USAFI 1. Wakati midomo yenu inabusiana hakikisha unatoa hewa safi 2. Wakati unavaa chupi na nguo za ndani hakikisha kuwa ni safi na zinazo vutia 3. Wakati mwanamke unavaa weave ama wigi hakikisha kuwa halinuki 4. Wakati mwingine weka nywele za usoni ziwe za kumvutia mwanaume 5. Hakikisha manukato unayotumia kujipulizia mwilii au kwenye mavazi sio makali sana yasimuumize mwenzio wakati wa tendo 6. unavyonyoa vuzi hakikisha unanyoa kiustad kwa kifaa na dawa maalumu kuepuka miwasho mara kamara 7. Hakikisha kwa bibi hakutoi harufu ya kuchukiza mpaka kumpelekea mwenzi wako ashindwe…

Read More

SANAA YA KUONGEA NA MPENZI WAKO 1. Epuka kuzungumza naye kwa ukali. Usimfanye ajisikie kama unashindana naye 2. Akikosea Usimseme kwa ukali kufanya hivyo ni kuhatarisha penzi lako 3. Mpe nafasi na muda wa kuzungumza. Usitawale mazungumzo, muda wote 4. Kuwa mkweli. Usiwe mwanamke wa kumsema maneno makubwa na kutukana. Matusi yako yataghairisha mahusiano 5. Angalia sauti yako. Unaweza kuwa unasema jambo sahihi lakini sauti yako ikawa haipo sahihi. Wakati mwingine ujumbe wako haupokelewi vyema kwa sababu ya uwasilishaji wako 6. Usitoe mahaba ya kimya, hii huwa inamsukumo wa mbali 7. Usiwe mtu wa kutoa amri na maelekezo kama bosi…

Read More

JINSI YA KUMFANYA MWANAUME AKUPENDE Je, umechoka kuchukizwa na wanaume? Wanakuchumbia tu halafu wanakuacha? Haya ni mambo unayoweza kuyafanya ili kumfanya mwanaume akupende na hata kukuchumbia, kukuoa na kushikamana nawe milele… 1. HESHIMA: Jifunze kuwaheshimu wanaume kutoka ndani ya moyo wako. Hakuna mwanaume anayeweza kumpinga mwanamke anayemuonyesha heshima na nidhamu kubwa. 2. SHUKRANI: jifunze kuthamini kila jambo jema ambalo wanaume wanakufanyia. Mwanamke anayejua jinsi ya kumthamini mwanamume 3. UPENDO WA DHATI: wanaume wanapenda kusifiwa. kuhusu Akili yake, mafanikio, sura nzuri na kazi ina maana kubwa kwake 4. SIFA: kila anapofanya jambo la kawaida, msifu sana. Usimbembeleze, wanaume wanachukia kubembelezwa kupitiliza,…

Read More

Mambo 12 Mabaya Wasichana Angalieni Kabla Mwanaume Hajakuoa Wanawake wengi wanajulikana kwa msingi wa maamuzi yao ya ndoa juu ya mambo ambayo hayatadumu maishani. Haya makosa wameyafanya wengi wao kuingia kwenye ndoa zisizo sahihi na kugeuka kuwa watumwa wa maisha ya ndoa. Tunahitaji kutambua na kukabiliana nayo: 1) UREFU: Ndoto ya kila msichana leo hii duniani ni kuolewa na mvulana mrefu, mweusi mwenye sauti ya baritone, nashangaa walipata wapi wazo la kuwa wavulana warefu ni bora zaidi kuliko wengine kwenye ndoa. Halo Wasichana, mtu mrefu anaweza kukupa shida ndefu; urefu sio kitu muhimu lakini cha mhimu mtu awe na kina…

Read More

Njia Za Kumfanya Mwenzi Wako Afurahie Kutumia Muda Na Wewe 1. KUWA NA AMANI Watu wengi hujikuta wakirudi eneo lile linalowapata amani 2.KUTIMIZA MAHITAJI YA MWENZI WAKO Wakati mwenzi wako ANAKUTIMIZIA mahitaji yako ya kimapenzi na ya kihisia lakini anahakikisha umerizika, utaendelea kurudi kwake 3. KUWA MTU WA KUTHAMINI Mshangilie mwenzi wako, onyesha kwamba unamthamini. Watu huenda mahali wanaposherehekewa, sio kuvumiliwa tu 4. ONGEZA THAMANI YA MWENZI WAKO Mwenzi wako anapokuwa na wewe, kuna wakati mwache aondoke akiwa yupo kwenye ubora, mwenye busara, aliyeburudishwa zaidi, mwepesi, mwenye furaha zaidi kuliko hapo awali. Kuwa mtu ambaye huongeza thamani kwa kusudi la…

Read More

JINSI YA KUOMBA KUFANYA MAPENZI KWA MWENZI WAKO 1. Mguse kwenye sehemu za kumsisimua ili kumtia hamu. Chuchu, shingo, au mgongo 2. Mabusu karibu kila mara humfanya afikirie kufanya mapenzi 3. Oga nae au mwalike mwenzi wako kwenye kuoga, fanya mazoea hayo mara nyingi. Cheza nae ukiwa bafuni 4. Mtumie mwenzi wako meseji za kihuni hata kama mchana huku ukimwambia utakavyomfanyia. uKifika wakati unafika nyumbani, nyinyi wawili mtakuwa katika hali ya hamu 5. Pandisha mwili wa mwenzi wako joto la juu zaidi, miguso na mhemko itamsisimua mwenzi wako 6. Mavazi kwa ajili ya tendo la ndoa. Kuna nguo za ndani…

Read More

UKWELI KUHUSU WANAWAKE 1- Mwanamke anapokuwa na hasira, zaidi nusu ya anachosema-huwa hamaanishi… 2- Wakati mgumu sana kwa mwanamke ni pale anapokuwa mbali na mwanaume anayempenda kwa dhati. 3- Mwanamke si kama ‘detol advert’, usipomtunza wewe… kuna Wengine watamtunza. 4- Inachukua muda kwa mwanamke kumwamini mwanaume, ni ngumu mwanamke kubadilika anapofanya maamuzi yake, lakini . 5- Mwanamke ni kama shule ambayo hata ukisoma vipi huwezi kuhitimu. 6- Cheti chako cha ndoa sio “leseni ya kuendesha gari”, Cheti chako cha ndoa ni “sawa na kibali cha kuendeshea gari tu. 7- Anaweza kuwa uchungu sana moyoni lakini usiku huwa mtamu sana, yote…

Read More

Mambo 10 Ambayo Wanawake Wanayapenda Kwenye Tendo La Ndoa Lakini Wanaogopa Kukuambia. Kwa hiyo ukiwaona usiwachukulie kama wa bei nafuu au bei poa, jaribu kuwapuuza, lakin usipuuze hisia zao au la usiwakatae kabisa kwasababu ndugu yangu kukataliwa kunaumiza mno Hii inaweza kumfanya mwanamke akate tamaa kihisia, ajione kuwa mtu asiyejua mapenzi, unajua kuwa kuchukia tendo la ndoa na kujiona huna thamani hupelekea kuharibika kisaikolojia na kupelekea kuwa katili saa zote na kukosa moyo wa kibinadamu. Mwanamke AKikataliwa kijinsia na mwanaume kunaweza kumfanya mwanamke ajione kuwa hatamaniki na hana thamani katika hii dunia na kuharibu heshima yake kwa 80%! Mojawapo ya…

Read More

JINSI YA KUWA MKE MWENYE UPENDO NA BORA 1. Kumbuka kwamba mapenzi si jukumu la mume peke yake 2. Mpongeze mumeo akiwa amevaa vizuri na ananukia vizuri 3. Gusa paja la mumeo wakati anaendesha gari au ameketi karibu hasa unapotaka kumwambia jambo. 4. Wakati mwingine jaribu kutumia simu kumchombeza kwa maneno ya chumbani kiuchokozi 5. Chezea vidole vyake wakati nyinyi wawili mna mazungumzo ya kwenu binafsi na kujadiri maisha 6. Jaribu Kumbembeleza na kuweka kichwa chake kifuani mwako mkiwa wawili kitandani 7. Weka mkono wako kwenye mikono yake kama Malkia anayejua msimamo wake kwenye ndoa 8. Wakati mwingine vaa Mavazi…

Read More

Fanya haya ili Umuone Mpenzi wako ni Mpya kila Siku – Hutamchoka kabisa Mwanamume na mwanamke wanapooana na kufanya ngono mara kwa mara, ni rahisi kujenga mazoea na kutengeneza njia ndogo za mapenzi na kufanya kila mtu kupunguza hamu kwa mwenzie na kumuona wa kawaida mpaka itokee siku mmoja kati yao awe na hamu ya tendo la ndoa. “Tayari mnapeana raha lakin za muda mfupi. Ifuatayo ndiyo njia halisi na halali na itakayokufaa ili usijenge mazoea na kumuona mkeo/mpenzi wako wakawaida 1. Kumkumbatia mwenzi wako. ni Kitu rahisi sana japo watu wengi huchukulia kawaida 2. Kumbusu mwenzi wako sehemu nyingi bila kuwekewa…

Read More