LUGHA TANO ZA MAPENZI Watu wengi wanafikiri kimakosa kuwa kuna lugha moja tu ya mapenzi. Hebu tuliangalie hili kiundani. Dhana ya Lugha 5 za Upendo ilibuniwa na Dk. Gary Chapman mnamo 1992. na hizo Lugha tano za mapenzi ni: 1. Maneno ya uuhakika 2. Muda bora 3. Mguso wa kimwili 4. Matendo ya utendaji 5. Kupokea zawadi Tangu wakati huo, watu wengi wamekuwa wakitaka kujua “Lugha ya mapenzi ni ipi?” Ukweli ni kwamba, uhusiano/ndoa yako inahitaji Lugha hizi zote za Upendo kwa kipimo kamili. Ngoja nikuelezee. MANENO YA UHAKIKA: Mpenzi wako atakuhitaji umhakikishie. Upendo huwekwa hai kwa uthibitisho. Ndiyo maana…
Author: Msomi Bora
MUDA WA TENDO LA NDOA 1. Sio kila wakati ni wakati wa kufanya tendo la ndoa. jifunze kumtambua mwenzi wako akiwa na uhitaji na asipokuwa na uhitaji 2. Kama wewe ni mwanaume una udhaifu wa kufika kileleni haraka sana, basi jaribu kujisoma timing yako ili uache kumpa mateso hivyo basi unapoona ukaribia punguza spidi na mtoe babu nje pale unapohisi unakaribia kufika kileleni. Hii itachelewesha kumwaga haraka 3. Usitumie muda mwingi kufanya staili moja wakati wa kufanya mapenzi. Mwenzi wako anaweza kuchoka haraka. Muda mzuri ni wakati unapohamia kwenye tendo la ndoa huwa linahitaji uchunguzi wa kutosha. Kwa mfano, usibusu…
VIDOKEZO 18 VYA NDOA 1. Ukiolewa utawavutia sana wanaume wengine. Jifunze kuweka mipaka 2. Kila ndoa ina changamoto zake, zitambue njia za kuzitumia changamoto hizo kutunza ndoa yako 3. Unaweza kuwa tayari kuwa kwenye ndoa lakini ukiolewa na mtu ambaye hayuko tayari kuwa chaguo lako utachanganyikiwa sana. Usiwe unampenda mtu asiye sahihi kwako kwa njia sahihi 4. Tambua Kuna maisha ukiwa kwenye ndoa, Jaribu kufuata lengo lako binafsi lakini timiza kwa pamoja na mumeo 5. Mkioana lakini mkawa mnapenda ushindani tambua kuwa ndoa hiyo haitakufaa 6. Tafuteni shughuli za kufanya nyinyi nyote kwa pamoja kama wanandoa. Upendo hujengwa na shughuli…
JINSI YA KUMSAIDIA MUME WAKO Mke aliumbwa kama msaidizi na mwenzi. wewe huwa Unamsaidiaje? 1. Tafuta malengo yake ili uwe tegemeo lake 2. Wasiliana na malengo yako binafsi ili kwa pamoja mtimize kusudio lenu 3. Mpe Changamoto akue kiakili. lakin Usifurahie hali hiyo, mjulishe mawazo mapya juu ya jinsi ya kufanya ndoa yenu iende vizuri, jinsi ya kushughulikia fedha, jinsi ya kufanya kazi kwa busara, jinsi ya kuwa bora zaidi kwenu nyinyi wawili. 4. Yapendezeshe mazingira yake na kuyafurahisha macho yake. Kuna kitu cha kusisimua kuhusu mwanamke kwa mwanaume 5. Fanya kazi na uchangie kwenye mahitaji ya familia. Kuwa Mwanamke…
MWANAMKE MTHAMINI SANA MWANAUME WA AINA HII: 1. Mthamini mwanaume anayempenda mama yake mzazi hii inamaana. Amelelewa vizuri huko alikotoka 2. Mthamini mwanaume anayependa kusoma, maana atashinda kila aina ya mitihani. huyu ni mwenye hekima 3. Mthamini mwanaume mcheshi. Hutajuta kuishi nae maana hachoshi 4. Mthamini mtu anayewajari wageni na wasio wageni bila kujari huyu ni nani anacheo ganina huyu anaheshima. na moyo mwema 5. Mthamini mwanaume anayekupa muda wa kukusikiliza. utakuwa unaeleweka kila wakati kwake 6. Mthamini sana mwanamume ambaye wazo lake la kujifurahisha kwako linajenga. huyu anakuwa Amekomaa kiakili 7. Mthamini mwanamume anayewajibika kifamilia na yupo tayari juu…
SHERIA 12 ZITAKAZOONGOZA NDOA YAKO AWatu wawili wanawezaje kuongozana pamoja wasipopatana? Ukweli ni kwamba, ndoa nyingi huharibika kwa sababu ya kutoelewana pande zote mbili. Kutoelewana kunaletwa ukosefu wa maelewano ya kushughulikia masuala yanayoathiri kila ndoa. Kushindwa kukubaliana kutapelekea mume na mke kutafsiri mambo kwa njia tofauti na kusababisha kuumiza hisia Kubaliana na mwenzi wako kuhusu cha kufanya na usichofanya. Kuwa na sheria hizi. 1. SHERIA ZA TENDO LA NDOA Kubali kwamba unaweza kufanya tendo la ndoa kwa njia yenye msimamo, lakini pia ukubaliane juu ya kile ambacho hautajaribu kufanya. Kwa mfano; hakuna ngono ya kinume na maumbile, au kutopiga punyeto…
KINACHOMFANYA MWANAMKE KUNG’ARA 1. KUJIPENDA Mara tu mwanamke anapojipenda, mwanga wa ndani hutoka ndani na huonyeshwa kupitia kwenye tabasamu lake, macho, sura ya uso, tabia na sauti. 2. MSAMAHA Uchungu hutia giza rohoni lakini msamaha humfanya ang’ae. huonyesha kuwa Amekataa kuwapa mamlaka wale waliomdhuru siku za nyuma 3. KUFAHAMU KUSUDIO LAKE Mara tu anapojua sababu yake ya uwepo wake, yeye huangaza mwanga. na kufahamu Kuwa kuhusu kosa lake kuwa kutenda kosa sio kosa bali ni uumbaji wa mungu alimuumba binadamu kuna na madhaifu, na mazuri hali hiyo humfanya ang’ae kwa ujasiri 4. MAENDELEO Maendeleo katika maisha yake yanamfanya ang’ae. Ingawa…
(A) MBUSU MKEO NA KUMWAMBIA MANENO HAYA “Mke wangu, asante kwa kuvumilia udhaifu wangu. Asante kwa kuvumilia shida na matatizo yangu. Asante kwa kufufichaa aibu zangu kwa watu. Asante kwa kutokubaliana nami wakati mapendekezo yangu yapokuwa hayapo sahihi. Asante kwa kutazama mpira pamoja nami ingawa wewe si shabiki wa mpira. Asante kwa kushirikiana na mimi kwenye mambo ya kifedha tangu tulikipokuwa na hali ya chini. Asante kwa kujiweka katika hali ya kufanya tendo la ndoa hasa nikikuvutia kingono. huwa Hunikatai. Asante kwa kujaribu nafasi tofauti za mitindo tofauti ya kufanya mapenzi na zile ninazozipenda na japo kuna wakati huwa haupendi…
HIZI NDIYO ALAMA KUU ZA UAMINIFU NA MAANA ZAKE… 1. Kulala karibu na mwenzi wako bila uoga, na kuwa na uhakika kwamba hatokudhuru. 2. Kuzaa watoto mkiwa pamoja nyakati zote za malezi pasipo kumtelekezea mmoja majukumu ya ulezi 3. Kutambulishana kwa wazazi na familia zenu, ikiwa unauhakika kwamba utawaheshimu na kuwapenda wazazi wake kama wako. 4. Kula chakula ambacho amepika mwenzi wako bila uoga, ukijiamini kuwa hakiwezi kuwa na sumu. 5. Kukutazamana hasa mmoja wenu akipita mlango wa nyumba, ili kuhakikishiana kuwa hatafanya chochote cha kuhatarisha familia yenu isije kuingia kwenye maisha hatarishi. 6. Kuwekeza mapenzi thabiti pasipo kuingiza uwezo…
UKWELI LAZIMA USEMWE 1. Wanawake huwa hamjali mwanaume anayempenda na kumheshimu mama yake, mnachofanya ni kumuona kama akili ya kitoto au humuita mtoto wa mama fahamu kuwa kuwaheshimu wazazi wako hapa duniani ni daraja kubwa sana kuliko udhaniavyo wewe 2. Wanaume tumeshau uungwana na kuchukulia kawaida bila kujali kuwa mwanamke kuna muda anatakiwa anunuliwe make up na na avae vizuri, tunachofanya ni kumfanya mwanamke aonekane kama hana akili timamu na asiye na maana na kusahau kuwa anathaman kuliko mali tunazozikumbatia kikubwa unachotakiwa kufanya ni kumtunza na kuthamin umbile lake na mwili wake. 3. Kweli dunia imeisha kuna Wanawake siku hizi…