MAISHA YA JOHN John ni kijana mwenye umri wa miaka 30. Ana shahada ya uzamili (Masters) ktk masuala ya Usimamizi wa biashara, na kwa sasa anafanya kazi kama Mkurugenzi wa fedha kwenye shirika moja la kimataifa hapa nchini,. Hajaoa bado, lakini ana nyumba mbili nzuri za kuishi hapa jijini. Moja Mbezi Beach na nyingine Kimara.. Ana gari 2 za kutembelea na 3 za biashara.. Anamiliki duka moja la nguo Kariakoo na jingine la simu Mlimani city.. Ni mcha Mungu, mpole na mtanashati.. Ni miongoni mwa vijana waliofanikiwa kimaisha. John ana rafiki yake aitwae Michael.. Huyu ni Afisa Mtendaji mkuu (CEO)…
Author: Rahaspecial
MAHABA YA MWALIMU Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi. Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea.Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima nimweleze ukweli na ikibidi siku hiyo hiyo yatimie ninayoyawaza kila kukicha. Madam Jesca alikuwa ni mwalimu aliyekuwa akitufundisha kwa muda tu baada ya kuwa amemaliza kidato cha sita.Wakati huo sisi tulikuwa kidato cha nne. Somo alilokuwa akitufundisha ni Kiswahili. Hatimaye mwalimu akatoka na baada ya nusu saa nikaondoka kuelekea nyumbani kwa madam Jesca. Niliingia baada ya kuwa…
JASMINE Jasmine akiwa anatembea kwa madaha kuelekea nyumbani, kwa mbali alimwona kijana akija nyuma yake mbio sana ,jasmine hakuelewa ni nini kinaendelea aliendelea kujitembeza kwa madaha na mikogo kama yote,jasmine akiwa anaendelea kutembea alisikia sauti ikiita “jasmineeeeeeeeeeeeee subiri ‘’ Kwa dharau jasmine aligeuza shingo lake nyuma kumtizama ni nani anayemwita ,kijana Yule aliendelea kusogea karibu kabisa na jasmine kisha akapiga magoti chini na kuanza kusema “jasmine mambo ,,uko salama sijui kama unanikumbuka mimi’’ “mhhh wewe ni nani na unataka nini’’ “jasmine umenisahau siku moja nilikufuata nikakuomba tuwe wapenzi ‘’ “ee kwahiyo umesahau nilikwambiaje ,,,siwezi kuwa na wanaume kama wewe ,mwanaume…
JAMANI MSINILAUMU KWA HILI NILILOMFANYIA MUME WANGU Mimi nimeolewa miaka 15 sasa na tumejaaliwa watoto 4. Ndoa yetu ilipofikisha miaka 4-5 mume wangu alicheat, nikamkamata through sms akapinga sana lakini baadae alikubali akakiri kosa na kuomba msamaha nikamsamehe Tumeendelea kuishi na nilipopata mtoto wa tatu akanicheat tena, safari hii alikuwa nje ya nchi kimasomo, napo alikiri na kuomba msamaha, nikamsamehe Wakati niko mjamzito mimba ya mtoto wa nne alinicheat tena, kibaya zaidi alinicheat na house girl wanga akampa ujauzito. kwa hivyo wakati mimi nina mimba na House girl naye mjamzito (japo sikujua kama house girl alikuwa mjamzito kwani aliondoka nyumbani)…
HATA AKILA MKE WANGU, ATAKULA NA MWANANGU Wakati naoa nilikua sina kitu kabisa, ndiyo nilikua nimemaliza chuo na nina ajira lakini mshahaara ulikua mdogo sana, nilioa kwakua umri umeenda na niliona nitachelewa. Mke wangu alikua na vibiasHara vidogo vidogo lakini tulisaidiana, ni kama ndoa iliniletea baraka kwani baada ya miezi mwaka mmoja tu niliitwa kazini kwenye usahili ambao niliufanya miezi sita kabla, nilishakata tamaa ya kupata kazi. Ni taasisi ya kimataifa, mshahara wa kuanzia ulikua milioni tano, nilikua kama kichaa, yaani kutoka mshahara wa laki mbili mpaka milioni tano sikuamini. Nilianza kujenga nyumba yangu, nikawajengea na wazazi wangu na miaka…
NILIMKIMBIA KISA DUDE KUBWA Makubwa……… AKANIULIZA nitakunywa nini? nikajibu kwa mapoozi “soooda” huku narembua macho kwa utaratibu akauliza tena soda gani, nami kwa mapozi zaidi “soooda fanta PENSHENI” Nilimjibu kwa mapozi…. Kistaarabu akaitikia, “ok fanta PASSION? poa,. Nikatoa simu yangu na kuanza kuminya minya. waliponiletea soda kwa ubishoo nikauliza “mbona MLIJA hamjaniwekea?, Nilimuuliza yule mudumu huku nambenulia midomo…., Dada mhudumu akaniletea, nikaanza kufyonza “pryuuuuuuuuuuu” Yule kaka akatazama kama majirani wamesikia, Akawa kama anaona aibu. Nikaendelea na yangu. Baadae akanaiuliza “ naomba sasa tuongee vizuri, nikitaka kulala na wewe usiku mzima nikupe shilingi ngapi?”, Aliongea huku akiwa kama ana aibu…., Nikajua…
AAH…SHEMEJI…AACHA – FULL STORY (1 – 5) Kusoma hadithi, bonyeza hizi link hapa chini: AAH…SHEMEJI…AACHA 1 AAH…SHEMEJI…AACHA 2 AAH…SHEMEJI…AACHA 3 AAH…SHEMEJI…AACHA 4 AAH…SHEMEJI…AACHA 5
AAH…SHEMEJI…AACHA Sehemu Ya 05 AISHA alimpigia simu shemejiye akamweleza kisha kumtaka aende akamchukue. Bw. Abdul aliingiwa na woga aliwaza kuwa pengine watu wote walishagundua uhusiano wake na Aisha hivyo alimtaka Aisha achukue teksi na kuelekea mahali ambapo yeye atakuwepo. Aisha baada kupaki mizigo yake yote alifanya kama alivyoagizwa. Muda mchache Aisha alifika pale na kukuta Bw. Abdul amepaki gari lake. Bw. Abdul alitoka ndani ya gari, wakasalimiana na Aisha kisha akamlipa yule dereva pesa alizokuwa akidai, walipakiza mizigo kisha nao wakaingia ndani ya gari. Aisha alikuwa akibubujikwa na machozi aliwaza jinsi atakavyomkabili dada yake. Bw.Abdul alimsihi Aisha aache kulia kisha…
AAH..SHEMEJI…AACHA… Sehemu Ya 04 TULIPOISHIA BAADA ya mwaka mmoja kupita. Ilikuwa imebaki takriban miezi mitatu ili Aisha aweze kuhitimu masomo yake lakini haikuwa rahisi kumaliza. “Haloo!” Ilisikika sauti ya Aisha ikitoka kwa unyonge akimpigia simu shemejiye. “Haloo!Mpenzi mzima wewe?” “Mimi ni mzima wa afya lakini mwingi wa mawazo.” “Mwingi wa mawazo ?Mawazo gani tena dear mbona unanishtua?Hebu nieleze.” “Mimi sizioni siku zangu, hivyo inanipa wasiwasi.” “Sasa wewe unafikiri ni nini?” “Ninajihisi kuwa ni mjamzito.” “Mjamzito, nani kakupa?” “Heee!Shemeji umeshaanza kunikana mapema yote hii?” “Hapana dear ila sikutegemea kutokea kitu kama hicho. Basi itabidi Jumapili nikija twende hospitali ili tupate uhakika…
AAH..SHEMEJI AACHA Sehemu ya 3 “AENDE zake huko kama haupo wenzio wala,nami ntazoea taratibu ye amewezaje mpaka mi nishindwe. Waswahili wanasema hakuna cha peke yako hususan hapa mjini. “Ukitaka kuhakikisha kama umeshaanza kuzoea turudie tena utagundua kuwa makelele uliyokuwa ukipiga mwanzo hayatakuwapo tena.” “Hee!Shida ya kunigeuza kizazi, hapa nilipo miguu haina ushirikiano.” “Nakutania tu dear.” Bw. Abdul aliingiza mkono ndani ya suruali yake aliyoivaa na kutoa kitita cha laki mbili kisha akamkabidhi Aisha. “Asante sana mpenzi.” Aisha alisema kwa furaha baada ya kukabidhiwa fedha. Walikumbatiana na kukubaliana kukutana siku nyingine. ****** Ilikuwa ni siku ya Jumatatu tulivu majira ya saa…