NJIA 7 AMBAZO MWANAUME RIJALI ANAWEZA KUYASHINDA MAUDHI, MAJARIBU NA VITIMBI VYA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO Tafiti za kisaikolojia zinaeleza kwamba wanawake hawajui wanataka nini kutoka kwa mwanaume hivyo basi ikiwa wewe ni mwanaume acha kupoteza muda wa kutaka kujua mwanamke anataka nini bali weka sheria na muongozo wako mwenyewe kisha mwanamke wako ataufuata. ZIFUATAZO NI NJIA 7 AMBAZO MWANAUME RIJALI ANAWEZA KUYASHINDA MAUDHI, MAJARIBU NA VITIMBI VYA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO Njia hizi 7 zipo kama ifuatavyo 1. KUPIMA UANAUME WA MWANAUME (DOMINANCE TEST) Mwanamke yeyote ambaye nyumbani kwao mkuu wa familia ni mama,au amekuwa bila baba ndani ya familia,au baba…
Author: Msomi Bora
Mambo 5 Ambayo Utajifunza Baada Ya Mahusiano Kuvunjika Kila mtu huwa anajifunza kitu tofauti katika mazingira tofauti.Ikitokea mahusiano kuvunjika wapo hujifunza kuacha kuamini jinsia tofauti maisha yao yote , vilevile wapo huamua kujifunza kujichukia wao wenyewe, vilevile wapo hujifunza kwenye makosa yao lakini vilevile wapo ambao hawaamini kama wanakosea popote. Kwa vyovyote itakavyokuwa mahusiano kuvunjika huacha athari hasi au chanya, mahusiano kuvunjika yanaweza kukusaidia au kukuharibia. tuangalie mambo 5 ambayo unaweza kujifunza baada ya mahusiano kuvunjika MAMBO 5 AMBAYO UTAJIFUNZA BAADA YA MAHUSIANO KUVUNJIKA Mambo hayo 5 kwanzia namba moja mpaka namba tano. 1. MAUMIVU YA MAPENZI NA AIBU YA…
JINSI YA KUJUA YA KUJUA KUWA HAKUPENDI 1. Yeye atakuwa na shughuli kila wakati unapomuhitaji uwepoi wake. 2. Hakuheshimu. 3. Hakupigii simu au kukutumia meseji, wewe ndiye utakayetuma ujumbe na kupiga simu bila kujibiwa. 4. Hajisikii vizuri kutembea na wewe na kukuonyesha kwa marafiki zake, anatoka na wewe usiku tu, uatadhani wewe ni vampire. 5. Anakufokea, anakutukana na kutumia maneno ya kashfa. 6. Kila unalomfanyia kwake huwa kosa liwe jambo dogo au kubwa kwake yeye ni kosa. 7.Hajali furaha yako,hawekezi kwako wala hafanyi chochote cha maana kwenye mahusiano yenu. 8. Anakulipizia kila kosa unalofanya anakosa kabisa huruma 9. Hakupi haki…
Tabia Ya Kutaka Kumdhibiti Mwenza Husababisha Migogoro Ya Kimapenzi Fahamu viashiria vya tabia hiyo,vyanzo vya tabia hiyo na ufumbuzi wake migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia huwa inajitokeza pale ambapo mwanaume au mwanamke anachukua jukumu la mzazi wa mwenza.Kwa maana inaitwa parenting your partner kwa maana ya tabia ya kumchukulia mwenza wako kama vile ni mtoto mdogo hivyo muda wote unakuwa unamrekebisha tabia na kumuelekeza nini cha kufanya. badala ya mahusiano kuhusisha watu wawili wenye akili timamu inakuwa kinyume chake inakuwa mama-mtoto au baba-mtoto . Mwanamke anachukua tabia ya mama mzazi au mwanaume anachukua tabia ya baba mzazi mahusiano yanakuwa…
Mwanaume – Fahamu Haya Ili Uwe Bora Katika Mahusiano Mwanamume anayeweza kudhibiti hamu ya tendo ni mtu anayeweza kuishi miaka mingi duniani. Wanaume hawajui kwamba baadhi ya kushindwa kudhibiti hamu husababishwa na kuwa na wanawake wengi japo Sio wanaume wote. Wanawake wengine wanakuja kwako kwa lengo la uharibifu. kuwa Makini sana: 1. Mwanaume wa kweli ana mwanamke mmoja tu maishani mwake. 2. Usiruhusu kupandisha hisia wakati wote. Mishipa mingi huchoka kudhibiti uume wako ikiwa hutaki kudhibiti hali hiyo. 3. Usimchumbie mwanamke kwa sababu ana umbo zuri, matiti na umbo la kuvutia. Haya mambo ni ya kupotosha. 4. Sio kila…
Kuwa Na Busara Epuka Kumuuliza Mtu Maswali Haya 1. Hujaolewa tu? 2. Kwanini Huna Watoto? 3. Utazaa lini, umri unaenda! 4. Unafanya kazi wapi? 5. Kwanini Umenenepa/Umekonda? Watu wanapitia mambo mengi magumu ambayo huna taarifa nayo wala hujawahi kuyasikia, jitahidi kuwa mwenye ufikirio unapozungumza na wengine. Ikiwa wewe umefanikiwa kupata vyote jitahidi kutoropoka maneno unayodhani yako sawa kwa upande wako. Kuna watu wanapitia changamoto za mahusiano, uzazi, uchumi na mambo mengine ya kifamilia, try to be kind! Nakumbuka kuna siku sikuwa najua lolote lile nikapata mawasiliano kwenye group na school mate mmoja hivi, maana miaka mingi ilipita bila mawasiliano, mule…
Mambo Ambayo Huwezi Kuyanunua Kwa Pesa Kwenye Uhusiano Hapa kuna mambo ambayo pesa haiwezi kununua katika uhusiano: 1. Kuaminiana: Kuaminiana hujengwa kupitia matendo, mawasiliano, na kujitolea, si kwa mali. 2. Upendo: Upendo wa kweli na mapenzi hayawezi kununuliwa au kubadilishwa na zawadi. 3. Heshima: Heshima hupatikana kwa kuelewana, kuhurumiana, na fadhila. 4. Mawasiliano: Mawasiliano yenye nguvu yanahitaji jitihada, usikivu wa makini, na akili ya kihisia. 5. Muunganisho wa Kihisia: Muunganisho wa kina wa kihisia hujengwa kupitia uzoefu ulioshikiriwa, kuongozwa na huruma. 6. Ukaribu: Urafiki wa kweli unapita zaidi ya uhusiano wa kimwili; inahitaji ukaribu wa kihisia na kushinda mazingira magumu.…
Sheria 15 rahisi za mwanaume ambazo kila mtu anapaswa kuzijua: 1. Hasira ni adui yako namba moja kwenye maisha, iruhusu ije na pia iruhusu iondoke lakini usiiruhusu ikutawale. 2. Huhitaji watu au vitu vya kimwili ili kuwa na furaha. Wapo watu watakaokuzidishia hasira zaid na kukuharibia furaha ndogo uliyo nayo. 3. Wanaokuchukia ndio watu wako wa karibu, ukiwa na watu wanaokupenda watumie ipasavyo. 4. Maana halisi ya Familia haimaanishi mchangie damu tu hata watu baki ni familia yako. 5. Ndugu msipigane wala kugombana kwa zaidi ya masaa 24. tabia hizo hufanywa na Wanawake, sio wanaume. 6. Kujifunza jinsi ya kupigana…
SIRI 9 KUBWA KATIKA NDOA! Siri ya 1: Kila unayemuoa ana udhaifu. Hakuna mtu aliye mkamilifu, anayekuja katika vivuli vyote vya ukamilifu ndiye aliye hai ndani ya mwenzi wako, na huyo ni Mungu tu. Kwa hiyo ukizingatia udhaifu wa mwenzi wako huwezi kupata kilicho bora kutokana na nguvu zake. Tazama, wanandoa wanaodumu ni wale wanaokuza nguvu za kila mmoja, badala ya udhaifu wao. Siri ya 2: Kila mtu ana historia mbaya kwenye mzunguko wa maisha yake. Hakuna mwenye umalaika. Unapooa au kuolewa acha kuchumbia zama za mtu. Cha muhimu kwenye maisha ya ndoa ni kujari maisha ya sasa ya mpenzi…
MWANAMKE – WAFAHAMU VIZURI WANAUME, EPUKA KUUMIA KIMAPENZI Wanaume huwahitaji wanawake kwa sababu kuu mbili, tendo na upendo wa kweli, lakini mara nyingi wanaume huwa hawatambui wanawahitaji wanawake kwaajili ya tendo au kwa ajili ya upendo, hali hii hupelekea wanaume kuoa mtu asiye sahihi kwenye maisha yake. Mwanaume anaweza kukupenda kwa kiasi kikubwa na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa. Lakini kama atapata mtu ambaye ataleta utulivu katika maisha yake, basi atamuoa. Wanaume ni watu wenye maono ya ajabu sana hasa wanapofikiria kuhusu ndoa, huwa hawafikirii kuhusu wao wanafikiria kuishi tu na mtu yeyote…