Author: Msomi Bora

MWANAUME ANAWEZA KUPOTEZA HISIA ZA MAPENZI KWA SABABU ZIFUATAZO 1. Upungufu wa homoni za testosterone kadiri umri unavyozidi kuongezeka. 2. Matibabu ya magonjwa mbalimbali kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa moyo, kisukari,uvimbe,ulevi kupindukia, uvutaji wa sigara kupitiliza na matumizi ya dawa za kulevya. Vilevile kutumia dawa kali kama antidepressants na baadhi ya dawa za fungus. 3. Ugonjwa sugu kama vile saratani,unene kupitiliza, kufeli figo,mapafu,na ini huathiri sana hamu ya tendo la kujamiana. 4. Kuathirika kwa kujichua (Masterbation) – mwanaume ambaye ameathirika kwa kujichua kwa muda mrefu husababisha kupoteza hisia za mapenzi, 5. Kujihisi kuwa na Uume mdogo. Baadhi ya…

Read More

SABABU ZA MWANAMKE KUPOTEZA HISIA ZA MAPENZI Mwanamke anaweza kupoteza hisia za mapenzi kwa sababu zifuatazo: 1. MAUMBILE Mwanamke anaweza kupoteza hisia za mapenzi kwa sababu ya kupata maumivu makali sana wakati wa kujamiana ambapo vyanzo vinaweza kuwa kusumbuliwa na magonjwa mbalimbali kama saratani, arthritis, kisukari, shinikizo la damu,ugonjwa wa moyo,na magonjwa ya neurology vilevile vyanzo vingine ni matumizi ya dawa kali kama vile baadhi ya antidepressants hushusha chini hamu ya tendo la kujamiana. -Mitindo ya maisha inaweza pia kuathiri hisia za mapenzi kama vile unywaji wa pombe kupindukia, matumizi ya dawa za kulevya,uvutaji sigara kupitiliza husababisha kushuka kwa kasi…

Read More

LIMERENCE: TATIZO LA KUWAPENDA SANA WATU AMBAO HAWAKUTAKI NA KUWACHUKIA SANA WATU AMBAO WANAKUPENDA SANA LIMERENCE ni neno la kiingereza lenye maana ya hali isiyoweza kuzuilika ya kiakili na kihisia ambayo husababishwa na hisia za mapenzi kwa mtu mwingine ambapo mtu hujikuta anatumia muda mrefu sana kumfikiria sana mwanaume au mwanamke huku akitamani mtu huyo aonyeshe kiwango kilekile cha upendo ambacho yeye anakuwa nacho kwa mtu huyo. Kwa maana kwamba unamuona mwanaume au mwanamke popote pale kisha unakuwa na hisia kali sana za mapenzi juu yake mpaka unaanza kujenga taswira ukiwa na mtu huyo kitandani au ukiwa umemuoa au umeolewa…

Read More

SINGLE MOTHER Changamoto ni kupata Mwanaume atakayekupenda wewe na Mtoto wako! Unapokuwa na mtoto, changamoto kubwa katika kuingia kwenye mahusiano siyo kupata mwanaume wa kukupenda — hao wapo tu. Utatongozwa kwa sababu si kwamba unatoka na bango usoni linalosema “Mimi ni single mother.” Lakini changamoto kubwa ni kumpata mwanaume ambaye atakupenda wewe na mtoto wako. Yaani, kukukubali wewe kama wewe na pia kukubali kuwa mtoto wako ni sehemu ya maisha yako. Changamoto Kubwa Zinazowakumba Wanawake Wenye Watoto 1. Kumuambia Mwanaume Kuwa Una Mtoto Shida ya kwanza ni hali ya kujiuliza: “Ni wakati gani muafaka wa kumuambia mwanaume kuwa nina mtoto?”…

Read More

MKE WAKO ATAKUPENDA SANAAAA IWAPO TU! 1. Unaleta pesa ya matumizi nyumbani. Moyo wa mwanamke utachoka kukupenda iwapo utaacha kuleta hela ya matumizi kwa ajili yake na watoto nyumbani.(Women are materialist in nature!), wao ni watu wa kupenda vitu sanaa kutoka kwa mwanaume na ndiyo upendo wao na heshima kwa mwanaume wanavyoutafsiri. Usipompatia pesa kwa ajili ya matumizi yake na watoto, ndivyo atakavyozidi kukudharau siku hadi siku atafika hatua atakukinai vibaya sana, kiasi kwamba anaweza kutamani kukupa nguo zake za ndani umfulie.KWANINI? ATAKUSHUSHA HADHI YA UANAUME, MWANAUME LAZIMA AKUBALI KUBEBA MAJUKUMU YA KUHUDUMIA FAMILIA. Upate, ukose wao hawajui! Wanachotaka wewe…

Read More

Mwanaume Asiejiamini Hawezi Kupata Mwanamke Mwenye Kujiheshimu Kwa asili mwanaume tangu enzi na enzi alikuwa na sifa ya kupambana na hatari misituni kukabiliana na wanyama wakali,alikuwa na tabia ya kulinda familia, kuihudumia familia kwa kuwinda wanyama porini hivyo basi kwa Mwanamke alikuwa na tabia ya kulea watoto nyumbani huku mwanaume anakwenda kupambana kwa ajili ya kuleta chakula nyumbani. Asili hiyo ipo kwa miaka na miaka na itaendelea kuwa hivyo haijalishi mabadiliko ya sayansi na teknolojia. kwa asili Mwanamke huwa anaongozwa sio kumuongoza mwanaume,hata ukiangalia vitabu vya dini utakuta mitume wote na manabii walikuwa wanaume kwa sababu ya uwezo wa kukabiliana…

Read More

Sifa 8 Za Mwanamke Ambaye Hapendeki Haijalishi Atapata Mwanaume Wa Aina Gani Bado Migogoro Ipo Palepale Kwa sababu baba ndiyo kichwa cha familia basi leo tuangalie namna ambavyo mwanaume ambaye ni muadilifu, mwaminifu,anatenda haki,hataki migogoro ndani ya familia,anataka kujenga familia imara namna ambavyo anaweza kuepukana na hawa wanawake wasumbufu ambao haijalishi utakuwa muaminifu,unajali sana,unampa kipaumbele muda wote lakini bado utaona kuna mfululizo wa matukio yenye kuibua ugomvi na migogoro. ujumbe huu umegawanyika sehemu zifuatazo I.Sifa 8 za Mwanamke ambaye hapendeki ii.Vyanzo vya Mwanamke kuwa hapendeki iii.Njia za kukabiliana na Mwanamke ambaye hapendeki SIFA 8 ZA MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI Sifa ya…

Read More

MANENO YA USHAURI KWA WANAWAKE!!! • Hakuna mwanaume anayetaka mke ‘kichaa’! Ni wal ambao hawajakua wanaitwa wavulana ndiyo wanaotaka wapenzi vichaa’, kwa hivyo usidanganywe na Mvulana anayekutaka ili afanye party na wewe kwa bidii kila weekend, anataka tu afichue kifua chako, atataka uvae nguo za kubana upake, flashy, makeups na ushuke na chupa 11 za bia wakati yeye katumia chupa 15, jua kuwa mwanaume wa namna hii HATAKUOA KAMWE! • Mvulana ambaye anaongea maneno machafu na anataka ngono na wewe kila mahali wakati bado hajakuoa atakuona kama mashine ya kitanda wakati wa ndoa. • Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya…

Read More

KWANINI UNA MATATIZO YA NDOA 1. KUJARIBU UPENDO WAKO Mara tu unapokiri kumpenda mtu, changamoto zitakuja kujaribiwa ikiwa nyote wawili mko serious kuhusu hilo. Upendo lazima ujaribiwe kuona kama utastahimili. Upendo wako unaweza kustahimili mtihani wa wakati? 2. MAHUSIANO YANVYOKUACHA UCHI Hakuna kinachokuvua nguo kama ndoa. Katika ndoa, mtagundua mambo ambayo tayari yamekuwepo au ambayo mnayapata mnapoendelea kuwa pamoja. e, nyinyi wawili mnaweza kuwa uchi bila kuoneana haya? Je, unaweza kupendwa kwa jinsi umbo lako lilivyo kweli? 3. EGO Ego itasababisha ugomvi na mabishano. Ego ndiyo inayowazuia wanandoa wengi kutatua masuala yao haraka, kutafuta msaada kupitia tiba, kukiri makosa, kusikiliza…

Read More

MWANAUME ELEWA HILI Mke wako si malaika; kuna wakati atafanya makosa mbele ya ndugu zako. Kama mume, wajibu wako wa kwanza ni kumlinda mke wako dhidi ya ndugu zako. Ikiwa amekosea au ukiona wanamvamia kwa maneno, kumuongelea vibaya, badala ya kuingia na kuchangia, kumponda, au kuongeza maneno mabaya, mlinde. Simama upande wake, na wakati mwingine jifanye kana kwamba wewe ndiye unayependa hali hiyo. Kwa mfano, labda anavaa nguo ambazo kwenu hazikubaliki. Badala ya kuanza kumporomoshea maneno kama, “Huyu mwanamke kiburi sana, nishamuambia asitukalie uchi!” ongea nao kwa utulivu. Waambie, “Mimi ndiye nampenda, ni mke wangu, na ninafurahia jinsi alivyo.”…

Read More