MKE WA MGANGA 🔞
Sehemu ya 16
Tulipoishia
“we mwanamke” nilimuita kwa mshangao nikaona amecheka
“Nini sasa……vitu nilivyokuambia ulete viko wapi?” aliniuliza nikabaki ninamshangaa huku mdomo wangu ukiwa wazi
Endelea
Nilimtazama kwa muda mrefu sana nikawa nawaza imekuwaje mpaka ile hali ikanitokea maana haiwezekani hata kidogo, “Wee Zuhura…. Ni nini hiki jamani?” nilimuuliza huku nafsi ikiniambia kwamba yeye ndo yuko sahihi
“Kipi?”
“Mimi sielewi elewi” nilimuambia,
Zuhura alinifuata na kunirushia maji, kimahaba “Kwenda huko, yaani wewe mahaba kidogo tu yashakuchanganya, nenda bhana ukalete hivyo vitu ukirudi tupike nikupe na kimoja, sawa mtoto handsome” alisema akinishika ndevu na kuingia ndani na beseni lake
“Vitu gani hivyo sasa umeniagiza”
“Ina maana hukumbuki?” aliniuliza
“Ndio sikumbuki, tena mimi nakumbuka tumeenda wawili msituni ukawa mzee” nilimuambia
“Hahahaa, unasemaje wewe?” aliniuliza na kunicheka
“Ndo hivyo yaani, halafu narudi nashangaa uko hapa”
“Acha kuchanganyikiwa bhana Festo, sasa je nikikupa limbwata jamani si ndo utakuwa kichaa kabisa?” aliniambia nikajikuta nacheka na kuanza kudhani kwamba mimi ndo msahaulifu
Kichwani niliona kwamba labda zile stress za mganga ndo zimenichanganya, hivyo, niliamini kwamba ilikuwa kama ndoto tu na sio kweli
“Nitajie hivyo vitu basi” nilimuambia
“Ok, sawa, ni Nyanya, za 500, karoti za 200 na vitunguu vya 200, hoho, ngogwe zile naniliu….nyanya chungu mnaita….halafu ulete mchele kilo moja pamoja na binzari na Dagaa wa mwanza” aliniagiza
“Ohoo sawa” nilimjibu halafu nikaondoka huku nikiwa nacheka na kujiuliza maswali mengi kwamba ilikuwaje ile kitu mpaka ikawa vile.
Hata hivyo nilitembea kwa mwendo wa taratibu kuelekea sokoni, sasa nikiwa njiani si nikakutana na mchungaji akiwa amefuatana na Yusufu wanapiga story
“Unajua Yusufu, Mungu ni mkuu sana, na huwa hamuachi, mja wake hakika, kila siku tuwe wema kwake”
“Ni kweli mchungaji, tangu nimekuwa karibu na wewen imejifunza mengi” Yusufu alidakia
Nilijikuta nikicheka kimoyo moyo na kumtukana nikimuita fala maana wajinga ndio waliwao, kichwani mwangu nilipata jibu kwamba hakuwafuma wakidinyana, labda alikuta mchungaji ashapiga kimoja saa nyingi halafu mke anamdanganya tu
“Jamani bwana asifiwe” niliwaambia, basi wakanichangamkia
“Amina, mtumishi amina sana, vipi za uzima” aliuliza mchungaji
“Salama, kabisa, mtumishi wangu”
“Ok vipi lile tatizo bado linakutokea?” aliniuliza
“Hapana mtumishi ninashukuru sana”
“Halleluya, usinishukuru mimi, mshukuru Mungu aliye juu” alisema na kunyanyua mkono juu kumpa nguvu Yesu lakini kichwani nilijua ule wote ni unafiki nikatulia tu
“Ninawahi sokoni mara moja nafikiri tutawasiliana” niliwaambia
“Hamna shida ndugu” alisema mchungaji kwa hisia kali
Niliondoka zangu nikawaacha na njia yao, kichwani nilipanga sitaenda tena kanisani kwao mimi sitaki uhuni kabisa aisee maana nilikuwa ni tukio la pili mchungaji kumuona akifanya kitu ambacho ni kinyume na wokovu
Siku ya kwanza nilishuhudia akimtongoza Zuhura, na siku ya pili alikuwa anamkwanyua mke wa Yusufu halafu bado alikuwa anajifanya mtukufu sana, niliondoka na mawazo yangu mpaka nikafika katika duka kibanda nikanunua hivyo vitu nilivyokuwa nimeagizwa halafu nikarudi nyumbani nikiwa na furaha
Kichwani kitu kimoja kilichokuwa kikitatiza ni kwamba nilikuwa nimeenda na mke wa mganga mpaka msituni, halafu yeye akageuka na kuwa mzee, halafu niliporudi nyumbani nikamkuta akiwa anafanya usafi, kamwe sikuamini kwamba ile ilikuwa sio kweli, hivyo nilijitahidi kusahau lakini nilishindwa kwa kweli
Nilifika nyumbani nikakuta ameketi kwenye kochi lake na alikuwa akichezea simu yake ya Smartphone, kwa mara ya kwanza nilipata wivu baada ya kuona kwamba anachezea simu ile
“Nenda kapike huko unachat na nani?” nilimuuliza
“mmmh una wivu mbaya mwanaume wewe” aliniambia mtoto huyo wa kike
“Lazima niwe nao juu yako baby” nilimuambia kwa kujiamini
“Usizidishe sasa maana simu hii hapa ina namba yako tu” aliniambia
“Hahhaaa…. Acha kunifanya mimi mtoto” nilimuambia nikiwa naichukua ile simu na yeye aliinuka na kwenda moja kwa moja hadi nje kwani jiko lilikuwa nje kidogo na nyumba ya kulala, alikuwa anataka aanze kufanya maanjumat
Kiukweli nilishtuka kidogo maana kila nilipokuwa nikipita kwenye simu ile nilikuta kuko empty, nilikatiza kwenye gallery nikakuta kuna picha zake tu lakini kilichonishangaza zaidi kulikuwa na video za ngono nyingi, mpaka ya Grace Kisaka ilikuwepo kudadedeki, nilishangaa sana
Nilitoka mule nikaenda kwenye message, hakika message zote alikuwa akichati na mimi tu, yaani kulikuwa hamna za mtu mwingine, nikajua labda kafuta ili nisione wivu, kisha nilikatiza kwenye majina, nkakuta kuna jina langu tu.
Unajua nilishangaa sana maana nilitarajia tofauti, ila nilihisii tu kwamba ni kwa sababu simu za smartphone mimi kuzitumia ni mara chache hivyo vitu vilinichanganya sana kujua vilivyosetiwa hivyo nikaamini ni setting tu
Nilikatiza youtube, naangalia hivi vitu anavyoangaliaga ni vile vya kjiinga kama vile, namna ya kumridhisha mwanaume, namna ya kufanya uke uwe mdogo wa kubana, nikaacha nikasepa kwenye Chrome, kiukweli hapo ndo nilipagawa maana nilikutana na video za ngono tu, nikaanza kuona yule demu anapenda sana chini
Niliirudisha simu chini taratiiibu nikatulia nisubiri tu msosi nikiwa namuwaza na kukumbuka matukio kadhaa ya mtoto wa kike
Baada ya muda mfupi tu, niliona binti ameleta msosi mezani, na alikuwa amepika vizuri akaanza kukata kachumbari pale ili tule kwa raha zetu, hii ilinipa, alipomaliza kukata alipakua vizuri na alipendelea tule katika sahani moja huku tukilishana na kutomasana
Tulikula tukamaliza akaosha vyombo vilivyokuwa vimetumika kisha akapiga magoti chini sehemu ambayo nilikuwa nimekaa, aliingia katikati ya mapaja yangu, akafungua suruali yangu na kuutoa uume wangu, akaanza kuswaki nao, aliswakia akaswakia akaswakia, kwa raha nilizosikia nilijikuta nimemkojolea mdomoni, japo nilisikia kinyaa kidogo lakini alimeza
“Samahani, Festo, mimi nataka niondoke” aliniambia
“Samahani na wewe pia, nataka tuondoke wote nikapajue unapokaa” nilimuambia
“No please naomba niondoke peke yangu, bana wewe pumzika utakuja siku nyingine,” alisema maneno ambayo kidogo yalinipa wasiwasi nikainuka na kwenda mpaka mlangoni nikafunga kwa ufunguo halafu nikauweka mfukoni
“Kahama hutaki kwenda na mimi Zuhura, basi leo, utalala hapa” nilimsisitizia maana nilihisi ananichezea mzungumkuti ambao mimi siutaki
“Jomoni” aliniambia
“Jomoni nini” nilimuambia
Zuu alikuja hadi karibu yangu akanikumbatia kwa nguvu, ananibembelezea kwa ajili ya kuupata ufunguo lakini nilizidi kumkazia “Jamani nipe tu ufunguo, niwahi kesho si ntakuletea zawadi?” aliniambia
“Nooo sitaki” nilisema na kumsukuma
“Festo sikia nikuambie ukweli” binti aliniambia
“Mimi bhana kweli ndani kwangu pachafu sasa nikikupeleka utanichukulia vibaya, sasa subiri nikafue halafu kesho utakuja na kunila utanila sawa?” alijaribu kunishawishi lakini mwamba sikushawishika kabisa nikaenda kabisa chumbani na kujilaza
Nilimkazia, mpaka akakubali kulala pale nyumbani, kitendo cha kukubali kujilaza pale getoni kilinifanya nihisi kweli ndo yule wa mchana lakini, kila nilipomuuliza alikana
*
Muda huo wote sikuwa na hamu ya kufanya naye mapenzi, hivyo tulijilaza kitandani huku akiniomba kwa njia yoyote nimuache aweze kwenda nyumbani kwake amepaacha vibaya wanaweza wakamuibia, mimi nikawa ninamuambia tuende wote akagoma kabisa
Tulikaa kama masaa mawili hivi, muda huo tunapiga tu story na alikuwa anajaribu kunitomasa kila mahali, mpaka nikajikuta ninapata tena hisia
Sasa katika kupata hisia nilimvaa binti na kuhakikisha nimevua nguo zangu zote halafu nkaanza kupapasana naye, niliendelea kumpapasa na kumvua nguo, yaani tulichezeana sana, na hii ni kwamba naamini mimi na binti tulikuwa tunapendana sana
Tulipomaliza kuvuana nguo niliingia katikati ya mapaja yake nikamuingizia uume ndani ya kitumbua chake, ile nimeingiza hivi nikashuhudia ameaanza kukakamaa kitu kisicho cha kawaida, sauti alitoa kama ya farasi, nikajua ni hamu inamsumbua
Nilianza kumchochea lakini kila ninavyofanya niliona kwamba alikuwa anakakamaa na hali inakuwa sio kawaida mpaka akaanza kubadilika tena kama pale msituni
“Zuhura” nilimuita huku nikichomoa uume na kusogea nyuma kidogoa
“eeee” aliitika na lisauti la kizee ,sana., halafu akainuka
Nywele zake zilianza kubadilika na kuwa nyeupe nyeupe kama mvi, macho yake yalianza kuwaka kama taa, halafu,Uso uligeuka na kuwa kama mzee huku mdomo wake akiuacha wazi
Nilishuka kitandani kwa uoga huku nikipiga kelele najaribu kuwahi mlango uchi, lakini ufunguo nimeuacha kule ndani ya mfuko wa suruali “Mamaaaa” nilipiga kelele nikaona ananifuata sebuleni
Ile amenifuata sebuleni hivi, alikuwa anatembea mwendo wa taratiibu, kama mazombi yale ya kwenye muvi za marekani, halafu kucha zilikuwa zishakuwa ndefu kabisa na meno yalitoka nje, halafu mdomoni alidondosha matone ya damu, sijui alikuwa akiyapata wapi kwa muda ule.
Nilikosa pa kukimbilia akanifuata na kuniparamia na makucha, nikadondoka na kupoteza fahamu…..
MKE WA MGANGA 17
Nilikuja kushtuka baada ya nusu saa, nilipofungua macho kwa harakaharaka sikuelewa kwamba ni kipi kimenitokea hivyo nikaketi kwanza, kujitazama hivi niko uchi halafu nimelala kitandani na kufunikwa vizuri
Hapo ndipo nilipoanza kukumbuka tukio, nilijikuta nikiogopa na kutetemeka, nikashuka kitandani kwa uoga kichwani nikihisi lazima mtoto yule atakuwepo pale ndani, nilitafuta kwanza suruali yangu ilipo, nikavaa na kwenda mlangoni ili nitoke nje
Cha kushangaza ni kwamba mlango bado ulifungwa kwa ndani na ufunguo ulikuwa kwenye suruali hivyo niliamini kwamba binti alikuwa pale ndani zaidi, nilifungua mlango na nikauweka wazi ili likitokea la kutokea nisepe moja kwa moja kisha nilirudi ndani kumtafuta, na kuvaa tisheti vizuri kabisa.
Nilipomtafuta na kumkosa, niliachana naye nkaamini kwamba ameshaondoka, lakini kulivyokuwa na giza nene, niliogopa kulala pale hivyo nikatoka nje bila kuelewa nielekee wapi.
Kichwani kulikuwa na mawazo tele, nilikuwa nikiogopa na kuwaza itakuwaje kwenye maisha maana nilihisi kwamba mimi ndo chanzo chakupitia majaribu yale, kwa sababu ya tamaa za kutaka utajiri wa pupa, hata hivyo nilitembea
Nilipofika mbele nilipata wazo kwamba niende kwa Yusufu labda angeweza kunisaidia hata kimawazo, nilienda moja kwa moja hadi kwa Yusufu na kugonga.
Ghafla alitoka jamaa akiwa amevalia bukta na mikono aliwakawaka na harufu ya samaki ilisikika
“Aaah bwana mtumishi karibu bwana” alinichangamkia
“Bwana Asifiwe” nilimuambia kama walivyozoea waokovu
“Amina mtumishi, karibu ndani bwana” alisema na kusogea nyuma kunipisha niingie ndani, kweli niliingia ndani na kukuta menyu mezani, mkewe alikuwa pale amejifunga khanga, wote walikuwa wakila chakula nikamsalimia na kuketi.
“habari za hapa nyumbani ziko salama ndugu zangu?” niliwauliza huku nikisugua sugua mikono yangu kwa kwa sababu ya ugeni na kutazama chini
“jamani salama tu shem” mke wa Yusufu aliitikia na kuinuka pale alipokuwa ameketi, na kutembea kuelekea katika mlango wa chumba fulani ambacho mimi nilikuwa sijui ni chumba cha nini kwa sababu nilikuwa mgeni,
Alikuwa akitikisa makalio yake ndani ya khanga hali iliyoonyesha kabisa kwamba hakuvaa hata chupi, nilimtazama alikuwa na mvuto wa kawaida tu, mumewe aliendelea kula chakula na kunipigisha story lakini ni kwamba mimi nilishindwa kumjibu vizuri kwani nilikuwa nikitazama yale makalio ambayo binti alikuwa akiyatikisa
Mke wa Yusufu alipofika mlangoni kuingia ndani, khanga yake ilifunguka, na kudondoka chini, akabaki kama alivyozaliwa lakini Yusufu hakuiona hiyo kwa sababu aliketi sehemu ambayo aliupiga mgongo mlango ule.
Mke wa Yusufu alinigeuzia macho na kunitazama kwa kwa tabasamu, huku akiinama na kuiokota khanga ile, huku akiniachia makalio na uchi wake wote kwa nyuma, niliogopa hasa, nikachora ishara ya msalaba binti akajifunga khanga na kuingia ndani kwake
Baada ya dakika moja binti alirudi akiwa ameshikilia sahani na bakuli, halafu aliniangalia kwa aibu na kutabasamu, ndipo nikajua yule sio aliyeokoka kwa kweli maana ni matukio kadhaa ya kwake ya kidunia nilikuwa nimeyaona.
“shem vipi usikute mimi ndo unanipa chakula”
“mmmmh kwani ni dhambi?” aliniuliza mke wa Yusufu
“Sio dhambi ila nimeshiba kwa kweli shemeji yangu” nilimjibu
“Hah…. Ndugu yangu acha uoga bwana, kula tu” Yusufu naye aliiingilia mada lakini nilikataa kata kata.
“Mh Festo, kama hutaki kula usije kwetu teyna” Shemeji alisema
“Hahaha, samahani shemu” nilisema na kutulia kisha nikavuta pumzi “Ndugu yangu Yusufu, nimekuja hapa kwako nina matatizo lukuki”
“Matatizo gani tena ndugu yangu?” aliniuliza
“Nimekimbizwa kule nyumbani na mzimu, yaani ni hatari, nyumba imeshakuwa ya mizimu sasa hivi” nilisema
“Ohh Yesu wangu” alisema Yusufu “Ina maana yale maombi ya juzi hayakusaidia?” aliniulza
“Kwa kweli sidhani maana sio kwa hali ninayopitia kaka
“Pole sana ndugu yangu, sasa unataka nikusaidie nini, au nimpigie pastor?” aliniuliza
“Nope kaka, mimi ninachotaka ni kunisaidia tu niweze kupata sehemu ya kujituliza hapa kwako”
“Oh, sawa ndugu…..samahani kidogo, sisi tuna kitandani kimoja tu hapa, ndo tunazidi kujipanga, lakini naomba uniwie radhi kidogo ulale hapa kwenye sofa kubwa, kwa leo tu” aliniambia kidogo nikapata furaha
“Mungu ahimidiwe, ubarikiwe mtumishi”
“Milele amina”
Baada ya dakika kadhaa walimaliza kula, tukaingia kwenye maombi ya usiku, mimi kiukweli upande wa maombi nilikuwa nyuma kidogo sio sawa na wao, maana katoliki kidogo tuna mfumo tofauti.
Baada ya maombi tuliagana, wao wakaenda kulala chumbani kwao na mimi nilibaki pale sebuleni, walikuwa wamenipa shuka kabisa.
Nikiwa nimejilaza pale nilikuwa naona mauza uza ya kutosha, yaani nilikuwa natokewa na ule mzuka wa Zuhura kila mara, lakini nilikuja kushtuka kwamba ni mawazo tu yaliyokuwa yananipora usingizi wangu kichwani na kushtuka shtuka kila mara ambapo baada ya masaa matatu usingizi ulikuwa hamna lakini nilikuwa nimefumba macho huku nikiwaza
Nikiwa naendelea kuwaza pale, nilisikia nimepapaswa kifuani “Jesus” nilitoa kasauti ka uoga halafu nikafungua macho na kutazama huku moyo ukinienda mbio, nilipofungua macho nilishtuka mbele yangu alikuwa amesimama mbele yangu.
Moyo ulinipiga paaha nikainuka pale nilipokuwa nimejilaza na kumuangalia vizuri nisijekuta ni Zuhura, “We ni….” Nilitaka kuzungumza lakini alinishika mdomoni na kuniziba kwa viganja vyake
“Shsssssh” aliniambia kwa sauti ndogo “Tulia mume wangu asishtuke, tangulia chooni nakuja” aliniambia maneno ya kushtua, ndipo nilipomuangalia vizuri usoni, nikakuta ni mke wa Yusufu.
Alimaliza maneno yale na kunibusu mdomoni halafu akarudi chumbani kwake…. Mimi akiniacha na mawazo kwamba niende au nisiende, kiukweli jinsi yule mwanamke alivyonipiga busu, nilishangaa hisia ni kali kwangu moyo ulitaka nikajivinjari
Hakuna mwanamke mrahisi kumvutia mwanaume kama yule anayejilegeza, daaah sikujua hata miguu yangu ilishuka saa ngapi kwenye sakafu na kuinuka nilipokuwa nimelala nikatoka nje taratiiiibu….nilipofika chooni nilikaa sana lakini yeye hakutokea
Ikabidi nirudi zangu ndani nikijifanya kama nilitoka kujisaidia hivi, lakini kabla sijalala nilisikia sms imeingia kwenye simu yangu na nilipoifungua ilikuwa ya Yusufu, nikaisoma
“Mbona sasa umerudi, mimi Ida” aliniambia na ndipo nikajua jina lake hapo hapo kwamba yule mwanamke anaitwa Ida… sikutaka kujibu maana nilihisi ni mumewe na wala sio mkewe kweli.
Nilijilaza kwa sofa tena na kutafuta usingizi, lakini nilipojilaza tu hivi, sms nyingine ilizama, nikafungua kwanza “Natangulia mimi ukuje”, ilikuwa ya namba mpya
Niliendelea kulala kweli nikaona mtoto Ida amepita pale sebuleni paaap akatoka nje, nafikiri alikuwa amemuacha mumewe akiwa amesinzia, alitoka nje moja kwa moja na kuniacha katika Lindi la mawazo la kumfuata nikainjoy utamu wake
Nilishuka taratiibu kwa mwendo wa kunyata nikaanza kutembea nikielekea nje ya nyumba ile, ili nifike chooni, nilipofika tu nikagusa mlango hivi ulifunguka, nikazama ndani ya choo na kumkuta ameshaivua khanga yake, tulikumbatiana na kuanza kunyonyana denda.
Alikuwa uchi wa mnyama, halafu alikuwa na hamu na uboro wangu sana, maana tukinyonyana mate yeye alifungua suruali yangu na kuutoa halafu akanyanyua mguu mmoja na kujiingizia ikazama mpaka mwisho
“Aaah” alisema kwa hisia baada ya kuingia, lakini ile naanza kuchochea moj hivi, nlisikia upepo mkali umekuja mule nje, halafu mlango ukapigwaa paaah, ukafunguka halafu kuna kitu kilinivutaa vuuup, mpaka nje
“Uwiiiii” nilipiga kelele kwa nguvu lakini nillichofanikiwa kusikiikiliza cha mwisho ni yowe ya Ida akiwa bafuni, sikuelewa kitu kingine kilichotokea maana nilipoteza fahamu moja kwa moja.
Nilikuja shtuka saa 12 asubuhi, nikafungua macho na kutazama kama ilikuwa ni ndoto , lakini nilipofungua macho hivi, nilishuhudia pembeni yangu kuna Zuhura akiwa amechora miguu kama vile anasali msikitini.
Kutazama nje na pale, niligundua niko katikati ya pori kubwa sana, nilishtuka vibaya nikajikuta nimeinuka “ZUHURAAA” niliita kwa uoga na kusimama
Kutazama hivi pale pembeni kuna vibuyu vitatu vilikuwa vimejaa damu, na Zuhura alikuwa amelowa damu mdomon, ndipo nilipozidi kuogopa zaidi…..
MKE WA MGANGA 18
Kutazama nje na pale, niligundua niko katikati ya pori kubwa sana, nilishtuka vibaya nikajikuta nimeinuka “ZUHURAAA” niliita kwa uoga na kusimama
Kutazama hivi pale pembeni kuna vibuyu vitatu vilikuwa vimejaa damu, na Zuhura alikuwa amelowa damu mdomon, ndipo nilipozidi kuogopa zaidi.
Nilianza kurudi nyuma taratibu kukimbia, lakini nilipofika sikufika mbali, Zuhura yuko mbele yangu. Ikabidi nipige kelele na kudondoka chini kwa uoga, Zuhura alipiga magoti mbele yangu na kuanza kulia sana
“Samahani Festo kwa yote unayoyaona, haya sio matakwa yangu, najikuta niko hivi tu” aliniambia kwa huzuni huku akijaribu kunisogelea na magoti lakini mimi nilianza kujiburuta nyuma maana nilikuwa nimedondoka chini nikawa nimejiwekea nanga kwa kutumia viwiko vyangu.
“No no nono shindwa kwa damu ya Yesu” nilijitahidi kumkumbuka Mungu lakini haikusaidia kwa sababu nilikuwa sina imani bali ni maneno tu kutoka katika kinywa na sio moyoni
“Haisaidii Festo, naomba unisamehe”
“Zuhura” nilimuita na kujaribu kuinuka, nia yangu nilitaka nimkimbie tena.
“Festo” aliniita na kunishika mguu huku akinizuia nisikimbie “Mimi sio mtu wa kawaida hata kidogo” aliniambia nikashangaa kabisa
“Nini???” aliniambia huku damu zikimtoka mdomoni, na meno yakianza kumtoka huku ngozi yake ikianza kubadilika na kuwa kama mzee.
“Uwiiii” nilipiga kelele halafu nikainuka haraka haraka na kukimbia ile napiga hatua tano sita, nilipigwa mtama na kudondoka katika nyasi kama vile gunia la viazi, nilipiga kelele kwa nguvu maana sikuwa na namna.
Niligeuka kutazama kilichonipiga mtama, lakini ghafla nilifungwa katika miguu yangu kwa kamba za miti, nilifungwa miguu na mikono nikawa kama yesu alivyosulubishwa halafu nikamuona Zuhura akiwa ananisogelea kwa karibu.
Nilitaka kupiga kelele lakini midomo yangu iligeuka na kuwa mizito yenye kusikitisha na kuogopesha nikabaki natoa machozi tu.
Zuhura alinyanyua mikono yake juu na kuninyanyua nikasimama lakini bado nilikuwa nimefungwa mikono na miguu bila kuweza kufanya chochote zaidi ya kumuangalia
“Usinikimbie Festo, mimi ninakupenda” aliniambia Zuhura nikajaribu kumuuliza kwa nini anafanya vile lakini nilishindwa
Katika ulimwengu wa roho ni kama vile alikuwa anaelewa kila kitu ninachoniwaza, hivyo alinijibu kama nilivyokuwa nataka kumuuliza “Najua unawaza kwanini nakufanyia hivi, ni kwamba mimi nakupenda halafu wewe ulitaka kunisaliti na mke wa Yusufu” aliniambia nikaanza kuchanganyikiwa
“mmmmh” niliguna tu, maana mdomo haukufunguka, akaanzak unielezea kwa kina
“Festo, mimi hapa duniani nimeishi zaidi ya miaka 120, mimi ni mzee sana, lakini natumia mwili wa kijana kuishi” aliniambia nikashangaa zaidi “Jina langu la utotoni ninaitwa Hadija Nilizaliwa tanga, mwak 1898….kulingana na tamaa ya utajiiri wa mtoto wangu alinitoa kafara nikiwa na miaka 60 ndipo nilipogeuka msukule wa kutumiwa na mganga kimwili kila mara, hata hivyo kwa sababu ya ujuzi wa mapenzi niliokuwa nao, ilibidi mganga anifundishe uchawi nikajibadili kwa kumuuwa binti mmoja aitwaye Zuhura wa huko Karatu, ambaye niliuvaa mwili wake na kuwa kama yeye bila watu kujua, hivyo ninaishi kama Zuhura lakini mimi ni mzee
Nimeshindwa kujibadilisha nikawa Zuhura wa kweli kutokana na masharti, ni kwamba kila baada ya masaa sita, ninakunywa damu za hedhi za wasichana wadogo wenye umri wa miaka 16 mpaka 11 ili kuonekana kama Zuhura….kama nikichelewa kunywa damu hiyo, mwili wangu hurudi katika uzee wangu wa kawaida na ninateseka sana…..hivyo basi, nilipokuwa na wewe, nilichelewa kunywa dam undo maana niliweza kubadilika na kuwa mzee kama nilivyo sasa” Zuhura aliniambia
Baada ya maneno hayo yote Zuhura alikuwa bado anaonekana na sura yake ya uzee, sikuweza kuamini mimi nimelala na mzee mwenye miaka 120 halafu mbaya zaidi mdomo ambao mimi nimekuwa nikiunyonya mate ni mdomo ambao unakunywa damu za watu kila mara tena damu za hedhi, kiukweli nilichoka sana
Zuhura alinyoosha mkono wake juu na kuanza kunena maneno ya ajabu ajabu halafu akashusha mkono chini. Niliona vimetua vibuyu viwili chini, vyote vilikuwa vimejaa damu ya kutosha, halafu samu yenyewe ilikuwa na mabonge bonge ya kutosha.
Niliona amevuta kibuyu kimoja na kuanza kunywa ile damu mpaka akamaliza, yaani nilshangaa kabisa.
Baada ya kunywa Zuhura alidondoka chini na kuanza kuhangaika, huku akionekana kupata maumivu ya hatari nikashindwa kuelewa kwanini anateseka kiasi kile, kiukweli alipiga kelele, ngozi yake ilikuwa ikijikunjua na alijigaragaza chini na kuhangaika kule na huku
Nilikuwa na kinyaa sana kwani mdomo wake ulikuwa ukitisha na kuhuzunisha.
Baada ya dakika kama tano, Zuhura alitulia kimya, ngozi yake ilianza kubadilika na kuwa mzuri ambapo sikuamini kama ni Zuhura yule ambaye nilikuwa nikimuona akiwa mzee
Zuhura alifumba macho na kutoweka pale, mimi nikabaki nikijiuliza sasa imekuwaje akaniacha wakati amenifunga kamba, nilililia sana, lakini haikupita dakika kumi, niliona ametokea akiwa amevaa na kupendeza halafu usingemini kama ni mzee yule.
Alinikumbatia kwa hisia huku akitabasamua na kuninong’oneza kwa maneno kuntu
“Samahani, Festo, kweli nina upendo wa hali ya juu kwako, ndo maana nafanya hivi, naomba nikufungue nikupeleke nyumbani” aliniambia na kuniachia halafu akanitazama usoni.
Alifumba macho na kunena maneno machache, nikaona kama zimefunguka halafu nikabaki kama kawaida… aliniangalia tena akanena maneno ya ajabu halafu nikaona kama mdomo umekuwa mwepesi hivi “unaweza ukaongea sasa Festo” aliniambia
“Zuhura” nilijaribu kumuita nikaona kweli sauti imetoka.
“Abee”
“Yale ni ya kweli?” nilimuuliza, na kusita lakini alinishika mkono na kuanza kutembea
“Ndio, sina haja ya kukuficha, kama kweli umekubali kuwa karibu na mimi tunaweza tukaendelea hivyo hivyo tafadhali” aliniambia kwa hisia huku akitikisa kichwa kwa huzuni
Kabla sijamjibu, tulisikia kama vile upepo umezidi pale msituni, nikaona ameangalia juu …na mimi niliangalia huko huko ndipo tuliposikia sauti kama ya mapanga inayotisha na ilikuwa kama vile ni vita kuu inaendelea ya makundi mawili yaliyopigana kwa upanga
Niliogopa, nikaona Zuhura amenibeba na kuanza kukimbia na mimi, yaani alikuwa na nguvu za ajabu, lakini hatukufika mbali, niliona kundi la viumbe vya ajabu, viumbe kama vile vilivyokuwa vinamuingilia mangi, vikituzunguka, vyote vilikuwa na silaha za ajabu na kushangaza zaidi, alitua mganga pale mbele yetu akiwa amefura kwa hasira halafu Zuhura aliniweka chini na kuanza kumtazama mumewe mganga
“Hadijaaaaa” Mganga aliita kwa hasira……………………
MKE WA MGANGA 19
Niliogopa, nikaona Zuhura amenibeba na kuanza kukimbia na mimi, yaani alikuwa na nguvu za ajabu, lakini hatukufika mbali, niliona kundi la viumbe vya ajabu, viumbe kama vile vilivyokuwa vinamuingilia mangi, vikituzunguka, vyote vilikuwa na silaha za ajabu na kushangaza zaidi, alitua mganga pale mbele yetu akiwa amefura kwa hasira halafu Zuhura aliniweka chini na kuanza kumtazama mumewe mganga
“Hadijaaaaa” Mganga aliita kwa hasira
“Kamulenga” alimuita pia, mimi nilibakia nikitetemeka kila nikivitazama viumbe vile vilikuwa vikitunyooshea silaha zake za kutisha
“Aghaaabristofuraalihsooododotikolokossssiiiiiii” aliongea maneno ya ajabu mzee yule nikaona Zuhura ameanza kupaa juu bila kutarajia. Na kupotelea mazima, nikabaki mimi mganga na viumbe vile visivyozungumza na mimi
Mganga alinitazama, nikaona amewaamuru viumbe wale wa ajabu, wote wakanivamia, na vifaa vyao vya ncha kali wakanichoma navyo, nilipata maumivu makali nikapiga kelele na kudondoka mzima mzima huku nikipoteza fahamu kabisa
Baadaye nilikuja kushtuka, ilikuwa ni kama saa moja imepita, nilifungua macho na kutazama, niliona niko kwenye chumba cha ajabu, kidogo, halafu nilikuwa nimelala juu ya ngozi ya mnyama nisiyemjua, ngozi ile ilikuwa bado ni mbichi hivyo nililowa damu
Katika chumba kile nilipotazama ukutani ni kwamba niliona vitu vya ajabu, kona zote zilichorwa kwa damu, huku vikiandikwa maneno ya ajabu ajabu nikawa hata siyaelewi, mlangoni kulikuwa na fuvu la mtu lilikuwa likining’inia halafu lilikuwa linatisha vibaya sana, nikajikuta nimepagawa kwa uoga
Hata hivyo nilikuwa sina nguo yoyote, nilikuwa niko uchi wa mnyama, mwili wangu ulilowa damu kutokana na ngozi niliyokuwa nimelalia kuwa mbichi kabisa. Niliinuka na kusimama pembeni ile ngozi nikaanza kupata wasiwasi baada ya kusikia sauti za ajabu ajabu kutoka nje ya chumba kile
Sauti zile zilikuwa zikitisha, na nilisikia sauti ya kelel za mwanamke ambaye sauti yake ilikuwa ya mzee kabisa, nilipata wasiwasi nikajua labda ni Zuhura anateswa huko nje “Uwiii aiiiii, mamaa” zilikuwa sauti za kutisha katika chumba hicho
Niliogopa na kuanza kutetemeka maana sikujua hata niko wapi, ghafla kelele zile ziliisha na kutulia kimya kabisa, halafu kama vile mlango wa chumba hicho ulifunguliwa
“Hahahahaaaaa” kicheko cha mganga kilianza
“Please mzee kamulenga niache nifuate maisha yangu” sauti ya mwanamke yule ilisikika
“Lazima upate adhabu, hukumbuki kiapo chako?” mganga, alisema kwa hasira mara nkasikia paaah kama vile amempiga kibao cha maana, au amempiga na upande wa panga
“Mamaaaaaa” binti alipiga kelele, kwa nguvu ilionyesha amepata maumivu makali,
“Karibu ndani Aponani” alisema mganga na alikuwa anamkaribisha mtu fulani, alipoingia ndani alicheka sana
“Hahahaaaaaa……”mtu huyo alisema lakini mimi nilikuwa sijamjua bado ni nani
“Usiniadhibu aponani tafadhali” aliongea mwanamke kwa maana ilionekana kwamba huyo mtu alikuja kwa ajili ya kutoa adhabu
“hahahaa, kama kiapo chako kilivyosema ni kwamba ukitoa siri zetu, basi tutakuuwa na kula nyama zako au tutakufanya mzimu usioonekana uwe mtumwa wetu”
“No tafadhali ninaombeni mnisamehe sitorudia tena” aliongea binti kwa huruma na kuogopa
“Niko ninaenda kumhukumu yule uliyempa siri zetu, tukimaliza tutarudi kwako kupokea jibu kwamba umeamua kipi” alisema mtu huyo ambaye sauti yake kama vile niliifananisha lakini sikukumbuka kwamba inafanana na ya nani
Mwili wangu wote ulikuwa ukitetemeka, mara ghafla mlango ukapigwa kwa nguvu na alizama ndani mganga, kichwani akiwa amevalia ktu cha ajabu, huku akinitazama kwa hasira
“HAHAHAAA….tumekuja…nilikuambiaje kijanaa” alisema
“Mkuu, niliyatii kila mliyoniambia, sina shaka juu ya hilo ila mwanamke wako ndiye alikuwa akinifuata”
“hayo yameshapita kijana….lililonileta ni lingine kabisa hapa katika hii dunia hii tuna watu wetu tumewapa maisha marefu lakini naona kama wanatafuta namna ya kutukwepa kila kukicha, kamwe hatukutaka mtu ajue siri hii lakini Khadija uliemfahamu kama Zuhura amekueleza hiyo siri”
“Hapana mzee, mimi hajania….” Kabla sijamaliza sentensi ile nilisikia kibao kumetua usoni mwangu na kunichana kwa kucha zake ndefu
“usinifanye mimi mjinga kamwe, pumbavu wewe” alisema mganga kamulenga “Aponani ingia kwa ajili ya kutoa adhabu” alisema mzee
Haikuchukua sekunde nyingi, niliona ameingia mtu ambaye alikuwa amefunikwa usoni kwa kitambaa cheusi ili tu nisimjue, alipofika pale aliinama kidogo kama mzee halafu akanisogeleea na kuninusa nusa “haahaaa…wewe kijana wewe….unazo siri zetu nyingi sana…hivyo unastahili adhabu au mabadiliko” alisema mtu huyo nikaogopa ikabidi nipige magoti
“Hapana wazee wangu naombeni mnisamehe mimi sifahamu mengi na pia sitomwambia mtu yeyote siri hii” niliwaambia kwa makini na kuogopa maana nilikuwa sielewi adhabu watakayonipa
“Hapana…kamwe hakuna siri kwa mwanadamu…lazima tukuadhibu na kukubadilisha…adhabu zetu ni hizii” alisema huyo mtu aliyefunikwa usoni
“Hapana wazee msinipe adha…” kabla sijamaliza niliona nyota nyota machoni maana kilikuwa kibao cha maana, kilitua katika uso wangu na niliogopa mazima hivyo nikajikuta nimeanguka chini bila kutarajia
“Tusikilize kwa makini, sijaja hapa kukubembeleza, lazima ukubali, adhabu moja kati ya hizi…..moja, ukubali kufa na kupotea duniani, au mbili kurudi duniani lakini ukawe kibaraka wa viumbe vyetu, vitakuingilia kinyume kila mara”
Maneno hayo yalinifanya nikaogopa na kubaki nikikumbuka tukio zima nililoliona katika dirisha la Mangi siku moja, viumbe vile vilikuwa vikimchezea kinyume na maumbile yake hivyo nilibaki njia panda nikiwaza kwamba nikubali niuawe au nikachezewe kinyume na viumbe hivyo…….
MKE WA MGANGA 20
Nilikaa kama dakika nzima nikiwa nawaza niwajibu nini
“JIBUUUU” alisema Aponani nikaogopa maana sauti ilikuwa ni kali kabisa
“Naombeni mnipe dakika moja”
Aponani alinishika na kunitikisa kwa nguvu bado nilikuwa nimelala chini, nikasikia sauti ya mganga kwa nyuma yake “Utakufa au utakuwa kibaraka wetu, uwe tajiri lakini milele viumbe vitakuingilia?” aliniuliza
Niliuzungusha ubongo haraka haraka nikapata jibu, kuliko kufa bora hata niweke historia duniani kwa kuwa tajiri, japo adhabu itakuwa ngumu lakini nitazoea kwa sababu mbona mangi yeye alikuwa akiishi maisha safi tu? Nilipata jibu
“basi kuliko nife bora niwe tajiri viumbe vyenu vini…..” nikiwa sijamaliza sentensi, nilisikia sauti chumba cha pili
“Hapanaaaaaa” sauti ile ilikuwa ikikataa kile nilichokuwa nimekubali, ilikuwa sauti ya yule mwanamke aliyekuwa amenipa siri kiukweli alikuwa ni Zuhura. Sauti yake ilikuwa na nguvu sana, hali iliyofanya upepo uwe mkali na tetemeko la ardhi likainuka katika maeneo yale halafu nikasikia ametua ndani ya chumba kile kwa fujo
“Khadija?” aliita mfalme kwa hasira lakini Zuhura alimvamia Aponani na kumvuta akaniachia na kudondoka kule.
Niliona wamejipanga, vita ikaanza pale upya, vita ilikuwa ni kali hasa, ambapo vita ile ilikuwa kati ya Mganga, Aponani na Zuhura, niliona Zuhura amepaa juu akapiga nyasi zilizoezekwa juu kule, halafu akarudi chini akiwa ameshikilia panga mkono wa kushoto na kulia akishikilia mshale unaong’aa sana
Alinyooshea mshale ule kwa ishara kunikabidhi halafu nikaupokea na kumtazama huku nikiinuka pale chini, lakini muda wote nilikuwa uchi wa mnyama
Walianza kupigana na Aponani, mara Zuhura akakipiga kile kitambaa kilichomfunika kichwani Aponani, kilfunuka na kuuacha uso wa Aponani wazi, nikamuona usoni, sikuamini kwa sura niliyoiona maana haikuwa ya mtu mwingine bali alikuwa ni ya Pastor Bernard Francis
Nilishtuka na kuanza kumshangaa huku nikijisahau kwamba niko vitani “PASTAAAA???” niliita kwa mshangao, nikiacha mdomo wazi.
Mchungaji alianza kuninyemelea ili aniue lakini kabla hajafika nilisikia Zuhura ameniita “Festo mpige na huo mshaleee” alisema binti, badala nimpige mganga, mimi nilianza kuitafuta njia, lakini kabla sijatoka Zuhura alifanikiwa kumkata kichwa Aponani ambaye mimi nilimjua kwa jina la Bernard, halafu Bernard alidondoka chini na kuanza kubadilika pia nikashangaa amekuwa mzee
Nilitoka nduki nikikimbia kwa mwendo wa haraka haraka huku nikimuacha Zuhura akipambana na mumewe.. nilienda kama mita 50 huku nikiwa uchi, na mshale wa kung’aa niliushika mkononi mwangu, nikiwa nakimbia nilisikia puuh kitu kimetuwa mbele yangu
Nilisita na kutazama, nikashangaa ni kichwa cha mtu kimetuwa pale, kukitazama hivi nilishtuka baada ya kuona ni kichwa cha Zuhura lakini akiwa katika hali ya uzee kabisa, ikabidi niogope na kurudi nyuma, huku machozi yakinitoka “Zuhura” Nilisema kwa uoga huku roho ikiuma lakini sikuwa na cha kufanya zaidi ya kuokoa maisha yangu
Niliruka kile kichwa nikakimbia huku nikihema lakini sikufika mbele, nikashangaa nimezingirwa na viumbe vya ajabu halafu mbele yangu akatua mganga
“Unafikiri utaweza kunikimbia?” alisema huku akinisogelea nikaanza kutetemeka na kuushika ule mshale vizuri ili kuangalia kama ungeniokoa, lakini viumbe vile vilizidi kunisogelea kwa karibu zaidi mpaka nikaogopa
Nilijaribu kuvinyooshea vile viumbe ule mshale nikashangaa vyote vimerudi nyuma na kutaka kukimbia, niliisogelea nikashangaa vinanikimbia, nikajua kumbe ule mshale una nguvu za ajabu,
“Ili nikusemehe naomba huo mshale kijana” aliniamba kamulenga nikaogopa, nikajua kwamba kumbe mshale ule waliuogopa hivyo nikajaribu kumsogelea, nkaona naye ameanza kukimbia, ili nisimfikie, hapo ndipo nilijiona mshindi,
Nilimkimbiza mganga kamlenga kwa nyuma, alitoka nduki lakini nilikuwa namkaribia kabisa, nikaona nimtupie mshale ule mgongoni kama ni kufa basi, nife
Nilimtupia mshale nikashangaa amedondoka chini maana nilimbahatisha mgongoni, mganga kamulenga alilala mazima, na niliposhuhudia damu yake ilikuwa sio nyekundu kabisa, ilikuwa ni rangi nyeupe ndipo niliposhtuka na kumuangalia kwa uoga,
Viumbe wengine walikuwa wameshapotea.
Nilishangaa mzee kamulenga ameanza kubadilika na kuwa kiumbe kama wale viumbe wengine, halafu akaanza kuyeyuka na kuishia ardhini, sikuamini, nilihisi ninaota ikabidi nikimbie haraka haraka kuelekea katika mji wetu, japo nilikuwa uchi lakini sikuwa na namna
Nilitembea kwa kujificha katika chocho mpaka nilipofika nyumbani nikaingia ndani na na kuvaa bukta halafu nikaenda kuoga bafuni.
Baada ya kuoga nilikaa hapo ndani nikiwa nawaza
“Kumbe yule pasta naye alikuwa ni mtu wa kule kule?”
“Mh kumbe mganga hakuwa binadamu?”
“Aisee ni kweli au naota?” hayo yalikuwa mawazo lakini nikiwa nawaza nilikumbuka kwamba simu niliiacha ndani kwa Yusufu jana yake nikiwa nmechukuliwa na ule mzimu wa Zuhura
Nilitoka nje na kuelekea kwa Yusufu, nikafika, nilishtuka baada ya kumkuta mke wa Yusufu akiwa analia sana pale nje “Daaaah, jamani” alisema mwanamke yule
“Shem vipi?” nilimuuliza
“Jamani Festo hujasikia taarifa?” aliniuliza
“Taarifa gani?”
“Eti pastor Benny kakutwa ndani amefariki” alisema binti, mimi ndo nikashtuka
“Amefariki?” nilimuuliza
“Ndio amefarikia ghafla tu wala hakuwa anaumwa eti roho inaniuma mimi pasta nilimzoea” alisema huyo Ida, nikajua kabisa kwamba analia maana alikuwa ni mchepuko wake, halafu nilipata jibu kwamba kumbe alikuwa kiini macho tu, hakuwa binadamu wa kweli, alaaah!!!
“Pole sana, samahani jana nilisahau simu yangu hapa” nilimuambia akashtuka na kuniangalia
“We jana mbona ulitoweka? Wewe ni mzimu” aliniambia ikabidi nicheke
“Wee nipe simu bana mambo ya mimi kuwa mzimu hayakuhusu” nilisema nikaona ameinuka na kwenda ndani kuchukua simu yangu akanikabidhi, nikashukuru na kuondoka pale.
Sikufika mbali, habari zilisambaa, kwamba Duka la mangi limeungua lote, halafu ndani yake alikuwepo mangi, chanzo cha moto wanahisi ni mafuta ya taa, mimi sikujali ila nilijilaumu maana nimekuwa chanzo cha kifo cha watu wengi ambao ni tegemeo la mji
Nikiwa naitazama simu yangu hivi, nilishangaa nimepokea ujumbe kutoka kwa namba ya Zuhura nikaogopa “Festo, nimepoteza maisha kwa sababu yako lakini ninafurahi kukuona wewe ni mzima, sasa nimegeuka mzimu, na ninajua kwamba nitapewa adhabu kali sana lakini ninaahidi nitakulinda”
Niliposoma message ile niliogopa maana sio kitu cha kawaida, niliifungua simu na kutoa laini nikavunja pale pale, halafu nikaondoka na kwenda nyumbani kuendelea na maisha
Nikiwa nyumbani nilisikia habari kwamba biashara nyingi za watu wa Igunga zimeharibika majumba yamevunjika na wamiliki wengi wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi, hapo ndipo nilipogundua kumbe watu tuliowaona ma-fighter walikuwa wote ni watumiaje wa pesa za kichawi na walipata mateso makali mpaka kufikia vifo vyao, nafsi ilinisuta kwamba kupendwa na mke wa mganga kumesababisha vifo vya watu wengi sana, nilijikuta nikilia mwenyewe
***
Baada ya muda ule nilianza kupambana na kilimo cha mboga mboga, nikakomaa nacho, hata nikaanza kupata mafanikio ambayo ni ya kawaida sana, siku hizi pia ninafuga wanyama mbalimbali na wananipatia pesa
Kamwe usijaribu kujihusisha na mambo ya pesa za majini ni mbaya sana na zitakupa taabu, usione watu wana pesa tu, wengine wanapata tabu sana huko waliko
MUNGU AKUTANGULIE UPATE MAFANIKIO YATAKAYOKUPA FURAHA
HUU NDO MWISHO WA HADITHI HII