MKE WA MGANGA ๐
Sehemu ya 11
Asubuhi na mapema niliamka nikiwa najisikia hovyo hovyo, na niliamka mapema kwa sababu nilikuwa nimepigiwa simu na Ba Fetina kuna sehemu alitaka niende nikapige kazi fulani, Ba Fetina alinifaa sana.
Tena siku ile ilikuwa ni siku ya jumamosi, hivyo nilikuwa naenda kupata pesa za kula wikiendi kabisa.
Nilpiga mswaki wangu vizuri, nikanyesha mboga halafu nikatoka na kwenda kwa Ba Fetina. Nilipofika kwa Ba Fetina, nilimkuta ndo anakunywa chai yeye na mkewe pale sebuleni, Fetina alikuwa nje anapiga mswaki
โZa asubuhi jamaniโ niliwatakia hali
โSalama kabisa, vipi huko kwenu?โ mama Fetina alisema na kuinuka akatoka nje mimi nikaketi chini pale
โVipi dogoโ
โSafi brooโ
Baada ya sekunde chache, ma Fetina alirudi akiwa ameshikilia Kikombe cha mpira na kunikabidhi ili na mimi niweze kunywa chai, kwa kweli sikusita maana nilikuwa na uhitaji nao, alinipa vipande viwili vya mkate โAsante shemโ nilimuambia
โUnywe fasta mzee tusepeโ alisema Ba Fetina yeye akiwa anamalizia kikombe chake cha chai.
Nilikazana vizuri, nikamaliza na kuinuka wote tukaondoka kuelekea jobu
โVipi mke wa mganga bado mnaendelea?โ aliniuliza Ba Fetina
โDaaaaah broo aisee, siwezi tena, ungejua yaliyonikuta usingeamini
โHhhahaa, mbona tunajua wote mtaani?โ
โNini kwani?โ
โNasikia mganga alikuotesha mashine usoniโ
โDaaaaaaah, nani alikuambia?โ nilihuzunika maana nilijua ni siri yangu mimi, Zuhura na Mangi
โHahaha, Mangi anatangaza mzeeโ niliposikia hivyo, ndo niligundua kuwa hakuna siri ya watu wawili, nilijikatia tamaa na marafiki wasio na maana
Ilibidi niwe mpole nikamueleza kila kitu kilichokuwa kimetokea, lakini kwa bahati mbaya simu ya Ba Fetina iliita tukiwa tunaendelea na safari yetu, nikaona amesita kidogo na kuipokea
โHalo bosiโ aliongea โNdio, niko njiani na dogoโฆโฆ.etโฆโฆ.oooohโฆ.haya bana kwa hiyo lini sasaโฆโฆโฆโฆโฆ.ok powaโ alisema na kukata simu, ndipo akanigeukia na kunitazama kwa uso uliokata tamaa tayari
โVipi?โ nilimuuliza
โKasema eti, vifaa hajaweza kuchukua hivyo tutulie mpaka jumatatuโ
โJumatatu?โ niliuliza
โNdio boss turudi tuโ aliniambia nikamaindi kweli kweli maana hata home nilikuwa sina hamu ya kwenda
Tulirudi tu maana hatukuwa na la kufanya, mimi nilielekea nyumbani kwangu, nikaenda kutulia, lakini kichwani jambo ambalo lilikuwa likinisumbua kweli kweli, ni lile suala zima la kusikia kwamba mangi anatangaza kwamba mimi nimeadabishwa na mganga
Nilichukuwa simu yangu na kumuandika sms kwa hasira โBroo, sio vizuri kutangaza ile ishu iliyonitokea, sikiliza mimi bana sitaki kusikia tena maana ni watu kibao mtaani wameniambiaโ nilimtuma ujumbe niliokuwa nimeshauweka chumvi tayari lakini nilisubiri hata ajibu, wala hakujibu, hivyo nikatulia zangu kimya
Siku ile niliona bora nifue nguo zangu, na nilifua kweli mpaka mambo yakawa vizuri hivyo nikaanza kupika
Baada ya kupika nilianza kula chakula changu ambacho kilikuwa ni wali na kachumbari ya maana juu, sasa nikiwa nakula, simu yangu iliita nikaitoa mfukoni, nikakuta ni namba mpya, ikabidi niipokee
โHalooโ sauti ilisikika upande wa pili
โHallo vipi nduguโ
โSalama kabisa, mimi ni Yusufu, ninaongeaโ aliniambia huyo mtu
โYusufu?โ nilimuuliza kwa mshangao maana nilikuwa sijakumbuka ni nani
โYusufu Mwakisambwe yule tuliyekutana jana usiku nikiwa nimetoka kanisaniโ
โOoooh ok nimekupata nambie kakaโ nilimuambia
โNimeweza kuongea na mchungaji wangu, Bernard Francis nikamuambia kwamba kuna kijana, anayetaka kufunguliwaโ
โNdioโ
โSasa ameniambia, nikupe taarifa kwamba kesho unatakiwa uje kanisani saa tatu asubuhi ili kuhakikisha kwamba anakuokoa, hivyo cha muhimu ni kwamba unatakiwa ujiandae ili usikoseโ
โSawa kaka, nitafika, lakini sipajuiโ
โOk sawa utanipitia nyumbani saa tatu asubuhi halafu tutaondoka wote, si unapakumbuka pale ninapoishiโ
โNdio mtumishiโ
โOk, nikutakie wakati mwema na Mungu akutangulieโ
โAmina kakaโ
Yule kijana alikata simu yake mimi nikabaki na mawazo, nikiwaza sijui niende, au niache, niende au niache lakini sikupata jibu wakati ule nahisi shetani alikuwa amenitawala sana katika ubongo
****
Mpaka kesho yake ilipofika nilikuwa sijapata kumuona Zuhura, wala SMS alikuwa hajanitumia, nikajua lazima atakuwa ameshakata tamaa na mimi kabisa, hivyo nikaamka vizuri, kama kawaida nikanyesha michicha yangu na kupiga mswaki, halafu nikaanza kujishauri kwamba niende kanisani au nisiende
Niliketi kwenye kiti, mawazo tele nikiwaza, lakini nilipokumbuka lile tukio la kuwekewa uume kwenye paji la uso kwa kweli nilijipata niko bafuni naoga zangu
Nilioga nikamaliza, halafu nikarudi ndani nikavaa tisheti na jeans halafu nikachana nywele na kupaka mafuta.
Nilikuwa sinaga hata biblia wala chochote cha kanisani, nilichukua pesa yangu ya akiba yote, ilikuwa ni 7000, nikajisemea kwamba nikifika kanisani nitoe sadaka ya jero halafu hiyo itakayobaki nije kununulia unga na viungo vingine, niwe najilia ugali wangu taratibu
Nilitoka na kufunga mlango wangu vizuri nikatembea kuelekea kwa kijana Yusufu. Moyo wangu kidogo ulikuwa hautaki sana kwenda kanisani, tena kwa nguo nilizokuwa nimevaa nilihisi ninamkosea Mungu kwa kweli
Nilifika mpaka kwa Yusufu baada ya dakika kumi, nilita na kwenda mpaka nyumbani, nikamkuta akivalishwa viatu na mkewe, halafu mke mwenyewe alikuwa ni mzuri vibaya mno,
โHabari za asubuhi jamaniโ
โSalama karibuโ alisema broo yule na kumgeukia mkewe โHuyu ndo yule Yusufu niliyekuambia atakuja kanisani leoโ alimuambia mimi nikatabasamu
โOooh kumbe ndo huyu, Bwana Yesu asifiwe kakaโ aliniambia na kuinuka baada ya kumvalisha viatu Yusufu
โMilele Aminaโ nilisema kwa furaha kidogo lakini nilikuwa najilazimisha kwa kweli haikutoka moyoni
โKaribu sana kwa kweli kakaโ aliniambia yule mwanamke halafu akaingia ndani
โMke wangu sisi tunatangulia kwanza wewe utakuja basi maana si unajua tena?โ aliongea jamaa
โSawa mume wangu nitawakutaโ
โSawaโ
Yusufu alichukua simu yake na biblia pamoja na kitabu cha Tenzi za Rohoni halafu tukaondoka moja kwa moja kuelekea kanisani
โKumbe una mke brooโ nilimuuliza tukiwa tunatembea
โYaaah, ninaye, bwana, nimempata huko huko kanisani, hakika ni mke mwema kwangu, ninamshukuru Mungu tunaelewana
โOooh yeah, safi kabisa broo, kumbe nikikaa kanisani ninaweza pata mke mzuriโ
โWapo wengi ila ni kumuomba Mungu ili akupe wa kuendana na wewe kijana wangu sawa?โ
โSwa kakaโ aliniambia nikaona safi kabisa niende huko huko nitapata mke mwema
Safari iliendelea baada ya nusu saa tulikuwa kanisani, kakanisa kao kalikuwa kakishikwambi yaani ka kawaida sana
Kalikuwa ni miti iliyosimmamishwa vizuri ikazungushiwa maturubai ya blue juu kwenye paa pamoja na pembeni, lakini ndani waliweka sakafu nyekundu fulani hivi.
Niliitazama kwa mbele iliandikwa HIMC halafu chini pakafuatia na kirefu cha herufi hizo Heaven Intelligence Mission Center, nilisoma halafu nikaelekezwa sehemu ya kuketi nikaketi .
Hakika japo kanisa lile lilikuwa dogo na masikini kwa vitu vyote ila kiukweli kulikuwa na vitu viwili vizuri, Cha kwanza kulikuwa na muziki wa hatari, uliovutia kucheza na kuruka kila nilipousikia, halafu cha pili ulikuwepo kulikwa na wasichana wazuri na waliovaa kwa heshima sketi mpaka pale mguuni, nilitazma halafu nikafurahi kwa kweli
Walikuwa pale mbele wakiimba na kusifu, watu waliruka na kumsifu Mungu kitu ambacho katoliki hakikuwepo, nilisikiliza kwa makini nikajikuta na mimi nimeinjoy ule muziki, tulianza kuimba kwa sifa za ukweli bila kujali
Baada ya kusifu, mchungaji alipokea maiki na kuomba kwa muda mrefu, huku akimfokea Mungu wake sijui kwa kweli maana sio kwa kufoka kule, mi nilijikuta nachora ishara ya msalaba kitu ambacho hakikuwepo ulokoleni
Baada ya maombi yale, nilisikia mchungaji amenza โBwana asifiweโ
โAmeeeeeeeenโ kelele zilisikia ni mimi peke yangu nilikuwa nimejisahau na kusema โMilele aminaโ yaani hadi nilijishtuka na kuketi
โKaribuni sana wana HIMC, tumshukuru na Kumsifu na kumuabudu Mungu wetu, AMEโ
โAmeenโ
โBasi nimesimama hapa mbele yenu, niwasomee matangazo ya Kanisa, ameโฆโ
โAmeeeeniโ waliitikia watu
Mchungaji alisoma matangazo haraka haraka hadi akafika mwisho, baada ya kumaliza tu nikasikia
โTunawakaribisha wageni wote waliofikia kuabudu pamoja nasi, kama kuna mtu yeyote ambaye ni mgeni leo hapa kanisani kwetu naomba asimame na ajitambulishe tafadhaliโ aliongea mchungaji, nikaona mwanamke mmoja ameinuka na kujimbulisha
Wakati anajitambulisha, Yusufu alikuja karibu yangu na kuniambia na mimi nisimame, nikainuka
โTumsifu Yesu kristโฆ..oooh Bwana Yesu Asifiweโ niliongea baada ya kuona naleta ukatoliki
โAmeenโ
โKwa Majina naitwa Festo Dodo,nimetokea katoliki, leo nimeamua kujiunga na nyie tumuabudu Munguโ
โUmeokoka?โ Mchungaji aliuliza โAu unataka uokokeโ
โMchungaji, nataka niokokeโ
โKaribu sanaโฆ..tutamalizana mwishoni mwa ibadaโ aliongea nikaketi โEhee mwingineโ
โBwana asifiweโ Nilisikia sauti upande wa nyuma, na ilikuwa sauti ambayo sio ngeni kwangu, nikageuza shingo kutazama
Nilistaajabu baada ya kukuta ni Zuhura anajitambulisha pale kanisani, nibaki nimeduwaaโฆโฆna kujiuliza amekuja kanisani kwa ajili ganiโฆโฆ.
MKE WA MGANGA 12
Tulipoishia
โKaribu sanaโฆ..tutamalizana mwishoni mwa ibadaโ aliongea nikaketi โEhee mwingineโ
โBwana asifiweโ Nilisikia sauti upande wa nyuma, na ilikuwa sauti ambayo sio ngeni kwangu, nikageuza shingo kutazama
Nilistaajabu baada ya kukuta ni Zuhura anajitambulisha pale kanisani, nibaki nimeduwaaโฆโฆna kujiuliza amekuja kanisani kwa ajili ganiโฆ
Endelea
โKwa majina naitwa Zuhura Salum, mimi ni muislam, nimeamua kuungana na kanisa hili kuanzia leo rasmi, ili kumtumikia Munguโ alisema Zuhura, nikashangaa sana
โAmeeeeeeeeeenโ Watu walipiga kelele, maana walokole sio kwa kupenda wenzao wafuate imani yao, unaambiwa kuna watu waliruka ruka kabisa huku vigelegele vikisambaa kila kona ya kanisa mpaka nje
Mimi nilibaki nimeduwaa โIna maana amenifuata mimi au vipiโ nilijiuliza
Wengine waliendelea kujitambulisha, lakini Mimi na Zuhura ndo tulitisha zaidi na mchungaji alisema tumuone baada ya ibada ili tuweze kuongea naye
Tukio moja ambalo nililisikia kwa mchungaji likanishangaza, ni kuhusiana na suala zima la kutoa sadaka, unaambiwa mchungaji alisimama na kikapu kabisa cha sadaka ukienda kuweka anakuangalia hivi,
Sasa mimi niliogopa kupeleka mia tano kama nilivyokuwa nimepanga, hivyo niliongeza ikawa buku na kwenda kuiweka pale.
Mwishoni kabisa wakati wa kufunga ibada mchungaji alituita pale mbele ya kanisa mimi na Zuhura akawa anatuuliza uliza maswali, kama tuko tayari kuokoka na kubatizwa kwa maji mengi. Wote tukakubali, lakini tulijifanya kama vile hatufahamiani kumbe tunafahamiana vizuri na tulishawahi kuzini mara kibao.
Watu wote walikuwa wanasikiliza sisi na walitaka tujue kama sisi tungekubali,
โMama Esta namuomba tafadhaliโ Mchungaji aliongea
Niliona mama Esta amekuja haraka, alikuwa mnene mnene, alimsogelea mchungaji na pastor alimnongโoneza kwa sekunde chache, yule mama akatoka nje, na kurudi ndani akiwa ameshikilia biblia mbili mpya kabisa akamkabidhi
โSasa ndugu zetu, nyie mliokubali kumpokea kristo, sisi kama kanisa la HIMC tuna utaratibu, kama mgeni ataamua kuungana nasi, lazima aweze kupewa biblia yake mpya ili awe anatembea nayo karibu kwa ulinzi wa bwanaโ alisema mchungaji mimi nikatikisa kichwa kwa furaha halafu akatukabidhi kila mmoja ya kwake
โBiblia hizi, kila moja ni shilingi 15000, hivyo kuanzia sasa utatoa pesa yako kidogo au kama unayo yote uweze kuondoka nayoโ
โJe kama hauna mchungajiโ niliuliza kwa mshangao kanisa zima likaangua kicheko mpaka mchungaji naye alicheka
โKijana, hata kama una pesa kidogo, utaitoa na utapunguza deni, ili siku nyingine uweze kumaliziaโ alisema na kunitazama usoni โMfano wewenikikuangalia, unaonekana una shilingi 6000 mfukoni mwakoโ alisema, ikabidi nishtuke kwanza maana sikujua kwamba amefahamia wapi kwamba mimi nina pesa zile yaani hakukosea hata kidogo
โNdio mchungajiโ niliiitikia kwa nidhamuโ
โSasa sikiliza, utaitoa hiyo halafu utaenda na siku nyingine utamalizia.โ Alisema na kumgeukia yule binti Zuhura โHee, huyu naona hana tatizo yeye atatoa hela yote najuaโ alisema mchungaji nikaona binti ametabasamu na kutikisa kichwa
โHalafu mnaendana kweli, mlivyosimama hapa mbele utadhani mnafunga harusiโ alitania watu wote wakacheka
Hata hivyo sikuweza kuleta ubishi, nilijikuta natoa pesa zote nilizokuwa nazo na kumkabidhi mchungaji, halafu nikaondoka na biblia yangu, hafu bado nilikuwa nina deni lililobaki shilingi 9000, nilipata stress zaidi nikakata tamaa na nikajuta kwenda kanisani pale
Hata hivyo baada ya ibada tulienda katika ofisi ya mchungaji tukiwa mimi na Zuhura, mchungaji hakuniongelesha sana alikuwa akibezi sana na Zuhura
โKwa kuwa wewe ni mkristo mwenzetu, haina shida unaweza kwenda nibaki na huyu binti muislam nimueleweshe masuala ya kikanisaโ aliniambia mchungaji nikasema kweli ni vizuri hivyo nikatoka zangu nje
Nilipofika nje, nilikumbuka maneno watu wanayosema kwamba siku hizi wachungaji wanakula kondoo, hivyo nikajikuta nimesimama na kusita, nikajua lazima mchungaji ameshauona uzuri wa Zuhura kwa kweli, nilisogea dirishani na kuanza kusikilizia nikasikia wakipiga story
โHivi wewe ulisema unaitwa nani tena?โ Aliuliza mchungaji
โZuhura mtumishiโ
โOk, sasa inabidi ubatizwe upewe jina la kikristo, vipi umeshaolewa?โ
โNdio mtumishi, lakini nimepewa talaka na mume wangu kuna vitu tulishindwa kuelewanaโ
โWell, nimekuelewa sana, lakini usijali, hapa kanisani kwetu utapata mume haraka iwezekananavyo, hata ukawa mke wa mchungaji si inafaaโ alisema mchungaji huku akitoa kicheko fulani hivi cha kimahaba na chenye aibu ya kutokujiamini kile alichokuwa anakiongea kwa muumini wa kanisa lake
โhahahaaaโฆ.inafaa mchungajiโ alisema Zuhura
Japo nilikuwa nimepanga kumuacha lakini kiukweli nilisikia maumivu makali kila alipokuwa akimjibu vizuri yule mchungaji
โWewe ni mzuri Zuhuraโ alisema mchungaji,
โAsante jamani, wewe kwani mchungaji hujaoa?โ alisema Zuhura, nikajua baaaasi tayari ameshajirahisisha
โWeee, bado, nioe saa ngapiโฆโฆemb bana usije ukakutwa huku na watu wakaanza kutuhisi vibaya, shika niandikie namba yako hapo tutachatiโ mchungaji alisema
Kimya kilitawala ndani ya sekunde chache, nikajua anaandika namba halafu baadaye nikasikia sauti โHii hapa mchungajiโ alisema Zuhura
โOk basi tutawasiliana vizuri tu, halafu hela yako ya biblia hii hapa, wewe umepewa bureโ alisema mchungaji, nikamaindi kweli kweli, na kanisa nikalichukia nikatoka pale dirishani na kwenda mbele kidogo nikimsubiri
Niliona wametoka ofisini wakicheka cheka, ndo nikazidi kukasirika kabisa, nililiona kama vile lichungaji ni lihuni sana, hata hivyo nilimsubiri binti
Nashangaa, siku ile nilikuwa nimepanga sitaki mazoea na Zuhura kwa sababu alisababisha mimi kudhalilika lakini kiukweli, nilikuwa namuonea wivu kila nilipohisi mtu amemtamani, niliona niondoke nisepe lakini niliona ameniwahi na kuniita
โFestoโ Aliniita nikasimama kwa hasira
โUsiniite iteโ nilijikuta nikifoka kwa sababu ya wivu niliokuwa nimeupata pale alipokuwa anamjibu mchungaji vizuri
โNini sasa mbona unagomba?โ aliniuliza ikabidi nijifanye sijamaindi lakini kichwani nilitamani sana asimkubalie mchungaji
โMi sijagomba bhanaโฆ.โ Niliongea na kusogea mbele nikitembea kwa mwendo wa haraka lakini uvumilivu ukanishinda โSasa umempa namba ya nini mchungaji?โ nilimuuliza
โHahaha,,,,,,sijampa namba banaโ aliniambia
โunafikiri mimi ni mjinga ee, sio mjinga, nimeshuhudia ujinga wenu wote mliokuwa mnaongeaโ nilijikuta naongea kwa hasira
โHaaaah, sasa sikiliza Festo, wewe umeshaniambia kwamba hunitaki, sasa wivu wa nini kwa mwanaume ambaye ananitakaโ binti aliniambia nikajishtukia
โHamna bhana, mimi nafsi inaniuma halafu wewe daaaah baasi tu endelea naye kama umemkubali basiโ niliongea kwa hasira na kutembea kasi lakini nikasikia amecheka kwa nyuma yangu
โhahahaaaโฆ.. Festo sikilizaโ alinambia nikajikuta nimemgeukiaโฆ.moyo wangu ulitamani hata aniambie kwamba alikuwa ameniona ndo maana akafanya makusudi
โNini sasaโ nilimuuliza kama vile namfokea
โhahaha,, nishajua kitu, wewe unanipenda Festo ndo maana unakasirika mimi nikiwa karibu na mwanaume mwingine, niambie tu ukweli tuendelee au?โ aliniuliza nikawa nimebaki nashindwa kumjibu kwamba tuendelee au tusiendelee
โHamna, mimi bhana sasa kwani wewe unampenda yule mchungaji?โ nilimuuliza baada ya kukosa jibu. Mara ikapita pikipiki na kusimama anataka kumpa lift, ndo nikachukia zaidi,
โNiondoke na pikipiki, au nibaki tuende kwa mguu?โ aliniuliza yule binti nikabaki nimeduwaa nashindwa kumjibu sasa akaisogelea pikipiki na kutaka kupanda nikajikuta nimeropoka
โKwa hiyo unaenda kwa pikipiki mimi unaniacha peke yangu nitembee mpaka kule?โ nilimuuliza akacheka, na kushuka kwenye pikipiki
โTangulia, acha mimi nije kwa mguuโ alimwambia dereva bodaboda, ndo nafsi yangu ikatuli,
โHivi Zuhura wewe unakaa wapi lakini mbona mimi sikuelewi, na unafanya mishe gani jamani?โ nilimuuliza mimi
โSamahani usiniulize hayo, mimi ninataka jibu, nataka uniambie tuendelee au nimkubalie mchungaji?? Alisema binti na kurudi kule tulipotokea โutanijibu kwenye simuโ aliongea akienda mbio mimi sijui hata alikuwa anaenda wapi kwa kweli.
Kichwani nilibaki najiuliza maswali sana kwamba niendelee au nisiendelee, lakini moyo ulinienda mbio nkaanza kujihisi kwamba nimeshampenda
Niliondoka nikiwa na mawazo mawili, moja hilo linalohusiana na kumkubalia au kumtalia Zuhura, na lingine lililokuwa likiniumiza ubongo ni suala zima la pesa, nilikuwa sina hata mia, sometimes nilijutak kwenda kanisani maana nilikuwa nimeshapoteza pesa zote nilizokuwa nazo, daaahโฆโฆ..NIMJIBUJE SASA? HAFU PIA NIKALE NINI?
MKE WA MGANGA 13
Baada ya dakika 20 nilikuwa nimefika nyumbani, njaa iliniandama sana, nyumbani nilikuwa sina hata mia, nilitupa biblia kwenye kochi halafu mimi nikaketi nikaanza kukumbuka tukio namna ambavyo mchungaji amenitoa ile buku sita kilaini, niliwaza kwamba amefunuliwa, au ndo wale wale wanaotumia uchawi kujifanya wana miujiza
Nilianza kujicheka kwa kweli, hata sikuamini kwamba mimi ningekamatika kirahisi hivyo, kichwani nilijisemea kwamba bora hata nisingechukua zile pesa zote, nilikaa na kuanza kuwaza, huku wazo likinijia kwamba nimjibuje Zuhura hata aniletee vitu vya kupika kama alivyofanya siku chache zilizopita, nilipata wazo la kumuambia kwamba tuendelee na mahaba yetu.
Nilitoa simu mfukoni nikaandika text kwamba โZuhura UNAJUA MIMI NINAVYOKUPENDA ILA NAOGOPA SANA, LAKINI KIUKWELI NATAMANI TUENDELEEโ ile nata kubonyeza send hivi, nikasika vuuup……kiumbe cha ajabu kimetuwa kwenye kochi la mbele yangu, halafu kinanitazama na meno marefu
โShindwaโ nilisema kwa uoga na kuinuka
โShindwa mwenyeweโฆ..nimetumwa hapa na kamulenga ujumbe ni kwamba Achana na Zuhura, bado anampenda,,,,, usithubutu kutuma huo ujumbe uliodhani ni wa maana sana kwakeโ kilitamka kumbe kile, tena sauti yake ilikuwa kama ya katuni za Disney nikatulia.
Nilichukua Biblia na kukinyooshea โkatika Jina la Yesu, ninamtumia huo ujumbe na hautafanya chochoteโ nilisema kwa hisia nikijua lazima Mungu atanisaidia wasiweze kunidhuru
Kweli nilishangaa kiumbe kile kimedondoka chini na kuanza kugaragaza chini, nikajua yes Mungu yupo, baada ya kuona hivyo niliongeza mbwembwe za Mwakasege kabisa
โNdioโฆโฆ.ondoka pepoโฆโฆusijaribu kututawala katika jinia la Yesu wewe kiumbe huna mamlaka Fire fire fieeeeeeโฆ.toka tokaaaaaaaโ nilikemea kama vile mchungaji kweli, nikaona kiumbe kile kimelegea kabisa kama vile kinakufa.
Nilitulia na kukitazama kikiwa kimelala chini, lakini nilisikia kimecheka kwa nguvu hahahahaaaaโฆ..nikaishiwa pozi nikabaki nnakishangaa huku bible nimeinyoosha mbele kidogo, niliona kimeinuka na kunirukia mkononi kikaninyangโanya ile bible na kuningโata kidogo ili nijue tu kwamba sikiweze
โMamaaaaaโ nilipiga kelele kweli maana sio maumivu ya kuumwa na kile kiumbe kilichokuwa na meno kama sindano yaani yalikuwa membamba hasa, nikajikuta nimeketi bila kutaraji huku bado kikiwa kinanicheka kabisa
โhii si ndo inakupa kiburiโ kiliongea kikiwa kinanyooshea ile biblia halafu kiume kikatoweka na bible yangu ambayo hata kulipia pesa ya manunuzi sijaimaliza
โWeweee, leta baibo yanguโ nilifokea kitu ambacho nilikuwa sikioni kwa kweli
Maumivu ya mkono yalinizidi kwa kweli,, nilishangaa mkono umevimba yaani baada ya nusu saa upande wa kushoto wote ulikuwa umeshapooza, maana ndio mkono wa kushoto ulikuwa umeumwa na kile kiumbe, halafu mbaya zaidi nilikuwa na njaa hatari
Ilibidi nijikaze, nikachukua simu yangu na kumuandikia sms, Baba Fetina โBROO NIMEPATA MAJANGA MAGUMU SANA KUNA KIUMBE CHA AJABU KIMENINGโATA YAANI MKONO UMEVIMBA SANA, SIWEZI KUFANYA KITU CHOCHOTE NIMEPOOZA UPANDE WA KUSHOTO HALAFU NINA NJAA, NAOMBA UJE ASEEโ nilituma message ile, niilikuwa nikizidi kuumia kwa shida na matatizo magumu zaidi
Nilisubiri kujibiwa lakini ilichukua zaidi ya dakika kumi bila majibu yoyote, japo mangi alikuwa mmbea lakini alikuwa akinisaidia matatizo hivyo nilimforwadia ile message, nikaona haitoshi nikamfowadia na Zuu pia.
Niliendelea kusubiri ndani ya dakika chache lakini hakuna mtu aliyenijibuโฆ.nilikata tamaa nikamtumia sms Yusufu kumuambia yaliyonikuta lakini kabla sijamaliza kumuelezea, nilisikia sauti ya pikipiki nje, nikajua mangi ndo amekuja, niliendelea kuketi pale nisubiri aje. Mara nilisikia pikipiki imeondoka, nkajua sio yeye
Kiukweli nilishtuka sana niliposikia hodiiiโฆ..halafu sauti ilikuwa ya Zuhura na alikuwa akija kwa kasi ya ajabu akitaka kuja kuniona, โwewe Festoโ alisema na kusogea mlangoni ikabidi niitike kwa taabu โEeeh vipi mbona message yako sijaielewaโ alisema na kuingia ndani huku akiwa ameshikilia mfuko mkono wa kushoto na wa kulia alishikilia kontena
Ile kuniona tu hivi, nikaona ameshtuka sana na hakuamini kile kilichokuwa kinaendelea juu yangu โAstagfrullahโ alitamka kwa mshtuko โHii ni gogli imekutokeaโ aliniambia nikashindwa kuelewa anamaanisha nini
โDaaahโ nilisema kwa maumivu nikijaribu kujigeuza
โTulia hivyo hivyo, si inauma sana eeโ alisema nak uweka vile vitu kwenye kiti halafu akanisogelea na kuugusa gusa mkono
โSana Zuhura, bora hata nisingekujua, nimeteseka sanaโ nilimuambia kwa hasira maana yeye ndo chanzo cha matatizo yote
Haikupita sekunde nyingi nikasikia Hodiii kuna mtu mwingine amekuja โKaribuuuโ Zuhura alisema
โSamahani hapa ndipo wa Festoโ alisema mtu huyo aliyekuwa akiita, nikaona Zuhura ameinuka na kutoka nje kuwaangalia, halafu akashtuka kidogo.
โNdio,.,โฆ.jamani karibuniโ alisema
โAsante sanaโ zilikuwa sauti mbili kutoka nje halafu wakasogea pale karibu
Kiukweli sikuamini, alikuwa ni Pastor Bernard Francis pamoja na Yusufu wamekuja kuniona โKaribuni ndaniโ niliongea kwa shida maana nilikuwa naumwa sio mchezo nakuambia
Waliingia ndani nikaona Yusufu ameshtuka lakini mchungaji yeye hata hakujali akafumba macho yake na kuvuta hisi โHiiiiisโ alisema kichungaji โJiiiiiisusโ alitamka mara moja, nikajisikia nimeshtuka na kusisimka mwili mzima halafu akaanza kupiga maombi ya hali ya juu pale
Wote walizunguka zunguka sebuleni huku wakiomba haswa, mimi nilifumba macho tu, nikaosikia amenikaribia na kunishika ule mkono wa kushotoa โTooookaโฆโฆ..TokaaaaaโฆโฆNakuamuru katika jina la Yesu Toooookaaaaโ Alisema kwa nguvu na kutulia kimya halafu nikasikia mkono umekuwa mwepesi, nikafungua macho, kujitazama hivi, mimi ni mzima wa afya sikuamini
โPastaโ niliongea huku machozi yakinitoka
โUsiniite mimi, muite Mungu wako aliyekuwa juuโ alisema kwa hisia
โDaaah, namshukuru Mungu sana jamani daah asanteโ alisema
โimani yako ndogo hivi vitu ndo maana vinakuandama, sikiliza embu fumba macho tukuombee weweโ alisema mchungaji na mimi nikamtii nikafumba macho yangu
Alianza kuomba kwa muda wa dakika moja tu, akamaliza na kusema amen, halafu wote tukafungua macho
โKijana, kuna kitu ambacho sio sahihi ulikitupa chooni kwako ndicho kinakaribisha nguvu za giza katika nyumba hii, sasa tunataka tukitoe kabisa ndani ya nyumba hii ili ukae kwa amaniโฆโฆ. Wewe binti embu tuletee maji na ndoo nzima hapo tukamilishe hili tatizoโ alisema mchungaji nikaona Zuhura chap ameruka na kutoka nje.
Baada ya dakika mbili alirudi na ndoo iliyokuwa imejaa maji kisha akaweka chini sakafuni pale na kuanza mchungaji alianza kuyabariki yale maji kama dakika tano hivi, kwenye maombi yake nilielewa kwamba alikuwa anayabadili kuwa damu ya Yesu, ndipo alipomaliza na kuniagiza niyapeleke mpaka chooni nikayamwage halafu mwengine nirushie rushie ndani na kuzunguka nyumba yangu
Nilifanya kama alivyoniagiza maana kweli chooni nilikuwa nimetupa ile hirizi niliyopewa na mganga kwa ajili ya utajiri, lakini mchungaji aliniambia kwamba nikishafanikiwa kumimina maji, ya upako chooni, basi ujue kwamba itakuwa hiyo hirizi haina kazi.
Nilimaliza nkaona wameniaga โLakini jumatano jioni usikose kuja kanisani kuna ibada maalumโ alisema na kutuacha pale mimi na Zuhura tukiwa tunashangaana
โdaaah, Zuhura, nimeteseka leo sitosahau tena, kiukweli mimi na wewe bora tuachane tuโ nilimuambia Zuhura nikaona amenywea lakini kiukweli mimi nilikuwa nimeshakata tamaa kabisa ya kuwa naye maana kila mara nikiwa tu karibu yake nilikuwa nikipata tabu
โSawa Festo, lakini kula basi chakula mimi nimekuletea, halafu nimekuwekea na matunda na mboga mboga za majaniโ alisema mtoto wa kike na kuinuka kwa huzuni akatoka nje
Kweli alikuwa na fadhila kwangu, maana nilikuwa katika tabu, nikawacheki watu watatu na yeye ndo alikuwa wa kwanza kufika pale na kuonyesha kunijali zaidi โZuhuraโ nilijikuta nikimuita naye akageuka kwa surua iliyojaa huzuni
โAbeeโ
โAsanteโ nilimuambia maana sikuwa na neno lingine la kimuambia kwa wakati ule
โSawa Festo byeeโ aliniambia
Nilibaki natikisa kichwa tu, nafsi ilinisuta lakini sikuwa na la kufanya zaidi ya kumuacha aende zake na mimi aniachie uhuru wangu katika maisha
Kiukweli nilbaki pale nyumbani nikiwa napaogopa sana maana nilihisi ile mizimu itanitokea tena lakini nilitulia huku nikimuomba Mungu
Kiukweli kwa sababu ya tukio lile alilolifanya mchungaji pale nyumbani na kuniponya fasta, nilijikuta ninamuamini na kujua kwamba ni mchungaji mwema kabisa kwangu na mwenye miujiza ya kipekee.
Japokuwa biblia ilikuwa imeshachukuliwa na kiumbe cha ajabu, mimi sikukata tamaa na dini, niliiahidi nafsi yangu kwamba lazima nitaenda kanisani kila mara
Nilichukua chakula nikala vizuri, nikashiba nkachukua na ndizi alizoniletea binti nikala na kujilaza kitandani, mara message, nikafungua simu na kuisoma
โFESTO, NAJUA SA HIVI TUNAELEKEA KUACHANA, LAKINI FESTO KABILA HATUJAACHANA ,NAOMBA KESHO ASUBUHI UNIPE RAHA MARA YA MWISHO NA NAKUAHIDI KWAMBA SITOKUSUMBUA TENA MILELEโ ilikuwa SMS kutoka kwa Zuhura, iliyonifanya nitulie, sikutaka mazoea kabisa
Nilisikia imeingia ya pili
โFESTO NATAKA KESHO NIKUNYONYE UBOO KWA MARA YA MWISHO, NIKUPE MAZIWA YANGU UYANYONYE KWA HISIA, UFURAHI, NICHEZEE PUMโฆ ZAKO WAKATI IKIWA NDANI, KAMA HAUTOJALI NA MIMI UNINYONYE NA KUNIINGIZA DOLE LA KATI WAKATI TUKIANDAANA, NITAKUPA RAHA ZA MWISHO MPAKA UTAPAGAWA NAJUA HIVYO VIUMBE HAVITATOKEA TENA KAMA PASTA ALIVYOSEMAโ
Hii ya pili ilikuwa SMS moja tamu sijawahi kuona, nilivuta picha namna ambavyo tutabiringitana kitandani huku tukinyonyan kila mahali katika mwili, nikajikuta nalowa taratibu kwenye boxer, yule mtoto alinitega tena, nikabaki ninaangalia sehemu moja huku nikitamani nimjibu lakini bado niliogopaโฆ..JAMANI NIMJIBU?
MKE WA MGANGA 14
Tulipoishia
โFESTO NATAKA KESHO NIKUNYONYE UBOO KWA MARA YA MWISHO, NIKUPE MAZIWA YANGU UYANYONYE KWA HISIA, UFURAHI, NICHEZEE PUMโฆ ZAKO WAKATI IKIWA NDANI, KAMA HAUTOJALI NA MIMI UNINYONYE NA KUNIINGIZA DOLE LA KATI WAKATI TUKIANDAANA, NITAKUPA RAH ZA MWISHO MPAKA UTAPAGAWA NAJUA HIVYO VIUMBE HAVITATOKEA TENA KAMA PASTA ALIVYOSEMAโ
Hii ya pili ilikuwa SMS moja tamu sijawahi kuona, nilivuta picha namna ambavyo tutabiringitana kitandani huku tukinyonyan kila mahali katika mwili, nikajikuta nalowa taratibu kwenye boxer, yule mtoto alinitega tena, nikabaki ninaangalia sehemu moja huku nikitamani nimjibu lakini bado niliogopa
Endelea
Nilijizuia kweli, nilikuwa sitaki kabisa kumjibu japokuwa nilikuwa nishapandwa na mzuka kutokana na maneno yake, lakini kiukweli sikumjibu, nilijikaza kiume, mimi nilikuwa sitaki matatizo tena aisee
Nilijilaza kitandani akawa amenitumia message kibao za malalamiko lakini nilijizuia vyema, sikutaka mazoea japo nilikuwa nimeshaanza kukole na mauno yale ya kimbulu
Nilisinzia zangu vizuri, japo usiku niilikuwa nikiota ndoto za kutisha, lakini niliweza kuamka nikiwa salama kabisa, lakini sasa shetani alikuja na mbuyu wake ile asubuhi nilipofungua mlango tu hivi, nilikutana na Zuhura akiwa amesimama mlangoni kwangu, ikabidi niogope kwanza
โShikamoo mume wanguโ alinisalimia kwa mahaba nikabaki namshangaa, akanikumbatia na kinsukuma ndani
โDaaah, sasa ndo nini Zuhura lakiniโ nilisema nikiwa namaindi kile alichokuwa anataka.
Mi nikiwa namaindi, saa nyingi ashaninasa mdomoni na kuninyonya denda haukujalisha nimeswaki au sijaswaki, mkono wake mmoja aliuingiza kwenye bukta yangu ndani na kuanza kupapasa mtarimbo wangu kwa nguvu mpaka nikawa nimenogewa eti
Aliniliaza kitandani na kuishusha bukta yangu japo nilitaka kumzuia lakini kiukweli alivyokuwa ananichezea kwa ulimi katika uboo wangu, nilijikuta napagawa na kumuacha aunyonye
โNimekuja kufanya kile nilichokuahidi kwenye messageโ alisema na kuendelea kunipapasa korodani halafu akaendelea kuninyonya sehemu zangu nyeti
โAaaash baby bhanaโ nilijikuta nanogea kwa utamu wa mdomo wake jinsi alivyokuwa akininyonya kama vile ananingโata ngโata kwa mahaba tele
โMwaah mwaah mwaahโ ilikuwa ni sauti za mdomo wake kila alipokuwa akiuchomoa mdubwasha wangu mdomoni
Nilishangaa amesitisha zoezi hilo, na kwenda sebuleni, akafunga mlango na kurudi chumbani, alipofika hivi , alivua nguo zake zote na kunirukia kifauni, acha tunyonyane denda, nilisahau kwamba ni mke wa mganga
Alihangaika na kifua changu halafu akainpapasa na kuniyonya sehemu za shingoni huku migu yake akiipitisha pembeni mwa kiuno changu, hali iliyofanya uumewangu uwe katika katikati ya mapaja yake manene.
Alianza kuitekenyatekenya mashine yangu kwa hisia hadi nikajikuta napeleka mkono na kuisaidia ipenye kitumbuani mwa mtoto Zuuu
Zuhura aliposikia kichwa tu, alikunja mgongo wake kwa tamu ya peremeni, nikasikia imeingia yote yaani kidogo angeningโata sikio maana alisikia raha za ajabu
Nilishikilia kiunon cha mtoto yule akaanzak uhangaika nayo kushoto kulia, kiukweli nilikuwa nasikia raha maana K yake ilikuwai inanata balaa
โF unajua nakupendaโ alisema kama vile anataka kulia huku kiuno akikizungusha taratibu
โDaah, hata mimi nakupenda sana Zuuh,,,ashโ nilismea kwa hisia kali
โOOOOH baby, ni tamu ya kwako, yaani inateleza ndani hadi raahaโฆโฆash aaah oppss baby naiski utaโฆ.mu aaashโ alisema na kuzidisha miuno huku akiwa anaizid kunikumbatia kwa nguvu, nilizidi kumpapasa kiuno na makalio pia kidole kimoj nilikiigiza mkuโฆni mwake kikaingia kwa kusua sua
โMMMh huko baby hapanaโ aliniambia nikakichomoa lakini akatetemeka โno baby mi sijasema ukitoe aaah rudisha hone unipe utamuโ alisema kwa hisia nikakirudisha kidole kile mpaka kule ndan kabisa
Mtoto wa kike alipiga kelele sana, na alikuwa anaifurahia mashine yangu โ aaah baby โฆ..babyโฆโฆ ooooh baby tamuโ alisema na kunipa denda tukanyonyana mara nikaona ametetemaka mwili mzima na kuuachia ulimi wangu
โaaaahs asante mume wanguโ alisema kwa hisia ikabidi nimuachilie manii zangu ndani ya uchi wake, wote tukalegea, maana naye alikuwa ameshafika
โNimekojoa babyโ nilimuambia
โmi pia, pole mpenziโ alinibembeleza mwanamke yule na kuichomoa akajilaza pembeni
Ilibidi nichukue tisheti yangu tukajifuta futa yale ma-ute ute huku tukitazamana
Kichwani nilipata jibu kwamb huenda kweli ikawa yale maji na maombi ya mchungaji yamesaidia ndo maana wakati tunafanya halijatokea tatizo lolote, nilitabasamu kwa furaha
โbaby, tumekuwa salama etiโ
โNinajua hilo, unajua ameshanipa talaka akaniruhusu niolewe na mtu yeyote sasa haweza kuleta tena nyenyenyeโ aliniambia nikatabasamu huku nikitafakari tuendelee au tuachie pale pale
Tuliendelea kidogo na kweli madhara hayakuweza kutokea
Baadaye Zuhura alitaka kuondoka, mwamba nikaamua kuvaa nguo siku hiyo nilikuwa nataka angalau nimtoe nikamuone nkapaone pale alipokuwa anaishi, nilimsindikiza sana
Tukiwa njiani akacheka โSasa mbona unanifikisha mbali hivi?โ aliniuliza binti
โZuhura usiwe unajificha kwangu, nataka kujua kwamba wewe unakaa wapi basi inatoshaโ nilimuambia
โF, ukipajua ninapokaa hata hapafanifananii, ninajua kwamba mimi ni mzuri lakini kweli ninapokaa hakuna mtu anayepajua zaidi ya mimi na mganga tuโ aliniambia
โHaaah, embu acha mambo yako, nataka nipajueโ
โHapana Festo please rudia hapaโ aliniomba lakini nikagoma, nikaona amenfuata na kunitomasa โNaomba baby urudi pleaseโ aliniambia mpaka mwenyewe nikaogopa, ikabidi nisite kidogo kwanza nkamtazama
โZuu unanipenda?โ nilimuuliza
โYes baby nakupenda sanaโ nilimuambia
โOk kama unanipenda please twende nikapaone, hata kama pakoje mimi nitapapenda hivyo hivyoโ nilimuambia
โOk Festo sasa ole wako uniache baada ya kupaonaโ aliniambia
โSitokuachaโ niliahidi hivyo
Safari ya kuelekea kwa binti iliendelea mpaka tukaingia katika msitu mmoja ambao ulikuwa unatisha sana,mim nilihisi ananitania maana safari ilikuwa ndefu sana, tulikuwa tukipiga story mbili tatu kuhusiana na maisha yake akawa ananielezea vizuri
Tulifika katika kibanda kimoja kidogo nikaona amevua viatu na kuinama akafungua mlango na kuingia ndani, mimi nilibaki nje nikiwa ninamshangaa maana sikuamini kama alikuwa serious mwanamke yule
โKaribuโ aliniambia nikatabasamu na mimi nikasogea mlango ili niingie ndani, nilivua sendo zangu na kuzama hadi ndani ya nyumba ile,
Nilipofika kulikuwa na vigoda viwili nikaketi, mara nlisikia harufu kali sana ambayo sio ya kawaida, ndipo niliposhangaa na kushangua kwamba ni nini kile, lakini sikutaka kumuuliza angeona namchunguza sana.
Ndani hamna hata nguo moja, wakati yule binti kila siku nilikuwa nikimuona akiwa anapendeza, hivyo nikaamini kwamba kile chumba sio chenyewe ananizingua tu.
Binti alinitazama akacheka na kuinuka akatoka mlangoni, akakaa kama dakika mbili hivi halafu alirudi ndani na kunikuta nimeka pale,
โHapa ndipo unakaa?โ nilimuuliza nikijua ni utani
โNdio Festo, samahani sanaโ aliniambia nikatikisa kichwah,
โAiii, uwiiiโ alianza kulalamika kama vile anapata maumivu makali sana, alijishika sehemu za tumboni huku akikakamaa kama vile tumbo linamuuma
โZuhuraโ nilimuita kwa mshtuko, mara nikaona amedondoka na kigoda chake chini โWe Zuhuraโ nilimuwahi pale chini na kujaribu kumshika, lakini nilipoitazama ngozi yake ni kama vile ilikuwa ibadilika na kuwa kama yam zee
Uoga ulinishika na kujaribu kumuachia, nikainuka huku nikimshangaa na uoga ukinipata wa hali ya hatari kabisa….niliona amebadilika na kuwa na ngozi ya mzee kabisa yaani akawa bibi kikongwe
Uoga ulizidi nilipokuwa namtazama, analalamika na kutoa sauti ya ajabu, uso wake ulikuwa umekunjamana huku akitoa harufu mbaya na kujilaza chali, kumtazama mdomoni hivi niliona meno yamechomoka yamekuwa marefu ya kutisha na kucha zilikuwa zikimtoka kila mahali
Niliutazama mlango nikatoka mbio nikakatiza msituni kama vile mimi kichaa nikiwahi sehemu ya kurudia nyumbanii hakika niliogopa sanaโฆโฆ
MKE WA MGANGA 15
Tulipoishia
Uoga ulizidi nilipokuwa namtazama, analalamika na kutoa sauti ya ajabu, uso wake ulikuwa umekunjamana huku akitoa harufu mbaya na kujilaza chali, kumtazama mdomoni hivi niliona meno yamechomoka yamekuwa marefu ya kutisha na kucha zilikuwa zikimtoka kila mahali
Niliutazama mlango nikatoka mbio nikakatiza msituni kama vile mimi kichaa nikiwahi sehemu ya kurudia nyumbanii hakika niliogopa sana
Endelea
Nilikimbia bila kuangalia nyuma, niliogopa sikuamini, kichwani mwangu nilijiuliza kipi kile kilichokuwa kimetokea pale kwa Zuhura? Nilihisi naota huku nikikimbia nilijitikisa tikisa ili kama niko usingizini niweze kuamka na niachane na ndoto ya kutisha kiasi kile
Ukweli ni kwamba ile haikuwa ndoto, ni kweli kabisa maana kila nilipokuwa nikijitikisa mimi sikushtuka usingizini, nilitembea kwa mwendo wa haraka haraka mpaka nikafika barabarani, huku nikihema nilipata wazo kwamba nipite kwa Yusufu labda anaweza akanisaidia kimawazo kwa sababu yeye alikuwa ameokoka na kazi za mikono yao nilikuwa nimeziona kule nyumbani mchana
Nilitembea kwa haraka haraka mpaka nikafika kwa Yusufu na kuita hodi
โKaribuuโ sauti ya mke wake ilisikika chumbani
โShemeji kwema?โ nilisema huku nikihema, nikaona mke wa jamaa ametoka mlangoni na kunishangaa na alikuwa na khanga moja
โShem karibuโ aliniambia
โAsante sana, samahani nimemkuta Yusufu?โ nilimuuliza
โMmh hapana, yuko ameenda sehemu tangu asubuhi nafikiri atarud jioni, karibu sanaโ aliniambia kiukarimu na kujizungusha halafu akanikonyeza
โmh sasa ndo wokovu gani huu jamaniโ nilibaki najiuliza mana nilikuwa najua kwamba wale ni waokovu lakini alikuwa ananichokoza
โKaribu basi ndani tuangalie movie?โ aliniambia na kurembua, nikajua kumbe hata wanaojifanya wameokoka kuna wengine wapo tu kwa sababu fulani lakini wana tabia mbaya sana
Bila hata kumuaga niliondoka kwa hasira maana nilikuwa nina stress zangu za maisha, halafu ananiletea mapicha picha, nikaondoka na kuishika barabara ya kuelekea nyumbaniโฆ
Nikiwa njiani nilikutana na mchungaji akiwa yuko hari hari sana nikamsalimia kwa uchangamfu lakini alikuwa anaelekea kwa Yusufu na alikuwa na haraka sana
โShikamoo mchungajiโ nilimsalimia
โMarahaba, bwana Yesu asifiwe?โ aliniambia huku akinipa mkono na kuutoa haraka maana alikuwa anawahi
โAmen mchungaji kwema?โ
โKwema, samahani, kuna sehemu naenda kutoa huduma hivyo ninawahi kidogoโ aliniambia
โSawa mchungajiโ nilimuambia na kumuacha aondoke, lakini kichwani nikajua huduma hiyo inaenda kutolewa sidhani kama sio huduma ya kwenda kudinyana na mke wa Yusufu,
Mchungaji alifika mbele kidogo nikasikia ameniita, name nikageuka kumtazama โNdio pastaโ nilisema
โSamahani umetokea kwa Yusufu?โ aliniuliza
โNdio pastaโ
โYusufu yupo?โ aliniuliza,
โhapana, yupo mkewe tu mchungajiโ nilisema kwa nidhamu kidogo
โOk asante, baadayeโ aliniambia na kuanza kutembea kwa mwendo wa haraka zaidi
Hapo ndipo nilipohisi kwamba mchungaji lazima anaenda kumpiga mambo mke wa Yusufu
Kichwani nilianza kujilaumu, nikijiuliza kwa nini sikumuambia Yusufu yupo ili tuone kwamba angefanyeje? Nilianza kucheka na kusahau maswaibu yangu halafu nikajiona mshindi kichiziโฆ. Nlitamani nirudi nikashuhudie ile mechi lakini nikatembea mpaka mbele nikasema ngoja nirudi nikaone kinachoendelea
Nilirudi kweli yaani, kweli shetani yu nami, nilitembea mpaka kwa Yusufu mdogo mdogo na nilipofika sikutaka hata kubisa hodi, nilizunguka tu nyuma ya nyumba nikasikia kama vile mchungaji anapiga story na mke wa Yusufu tu na hamna kingine..
Niliwachungulia kwa dirishani nikawaona wameketi kwenye sofa mbili wakiwa wanafunzana maneno ya kwenye biblia, nikajua kwamba nilichofikiria sicho hivyo nikaamua kuondoka
Sikufika mbali, nikasikia, โSi usubiri kidogo jamaniโ ilikuwa sauti ya hisia kali kutoka ndani ikabidi nirudi tena kuchungulia, nikakuta mchungaji alikuwa ameshahamia kwenye sofa ya mtoto wa kike anamchezea matiti na kanga ameshaifungua saa nyingi
Sauti za mabusu zilisikika, na miguno ya hatari, halafu nikaona mtoto wa kike amesimama na kuinama, mchungaji akafuatia nyuma yake, yaani mchungaji alivyokuwa amevaa suruali yake vizuri aliifungua mkanda na zipu halafu akatoa mtarimbo wake, mkubwa kinoma na kumuingizia mke wa Yusufu kwa style ya chuma mboga
โAsssh oooh baby, taamuโฆโฆahaa oooh ingiza yoteโ alilia mke wa Yusufu hadi nikadindisha na kuondoka pale dirishani fasta kwa sababu ningeweza kuonekana kisa kulikuwa njiani
Niliondoka nikiwa nimeshaupata ushahidi wa kutosha ya kwamba mchungaji ni muhuni yule
Nlitoka hadi ne ya eneo lile, lakini sikufika mbali, nilikutana na Yusufu akija akisikiliza nyimbo za Tenzi za rohoni kwenye simu yake, na sauti ilikuwa kubwa sana.. nikamhurumia sana halafu nikamsalimia kinafiki
โOi Yusufu niaje kaka?โ nilimpa hai โbwana asifiweโ
โAmina amina kakaโ alinamiba
โok mi nawahi nitakucheki baadayeโ nilimuambia nikimuacha ili awahi nyumbani akamfume mchungaji wake halafu mimi nikapita na safari zangu nikaelekea nyumbani huku nikicheka kinafiki
Sasa nilipokaribia nyumbani nilikuwa nimeshasahau yale maswahibu, lakini kilichonishangaza baada ya kufika karibu na home, niliona mlango wa nyumba yangu kwa mbali kama vile umefunguliwa nikautazama kwa uoga na kuongeza mwendo lakini nikiwa na wasiwasi
Nilifika hadi nyumbani nikakuta kweli mlango umefunguliwa nikashtuka kwanza hiyo kitu inakuwaje wakati mimi nimeondoka na nilifunga mlango vizuri
โOiiiโ ilibidi niite ili nijue kama kuna mtu mule ndani lakini kimya kilitawala
โhey kuna mtu humuโ niliita tena, mara nikasikia kama vile kuna mtu kasonya โmfyuuuuuโ ndipo niliposhtuka zaidi
Nikiwa naogopa kuingia pale ndani, nilishangaa ametoka Zuhura akiwa ameshikilia beseni lenye kujaa maji yaliyoonekana kuoshewa kitu fulani kama vyombo hivi
โZuhuraโ nilimuita kwa mshtuko maana nilikumbuka nimemuacha msituni tena akiwa katika hali ambayo siyo ya kawaida
โYaani ndo unarudi sa hivi kweli Festo?โ aliongea kwa kunifokea huku akimwaga maji chini na kushika beseni kwa mkono mmoja halafu akanishikia kiuno mimi
โDoooh, weweโ nilimshangaa tena
โNini tena baby?โ aliniita
โsitaki nikuone hapa ndani kwangu pleaseโ nilimuambia nikaona kama kashtuka hivi yaani kama vile haelewi
โVipi kwani jamani, mbona unaniandama, yaani mimi nimekutuma vitu unarudi hapa mikono mitupu halafu unanifokea, una nini lakini mwanaume wewe?โ alisema Zuhura huku akizidi kunichanganya
โVitu umenituma mimi? Embu acha kunizuga mimi nimesema sikutaki humu ndaniโ
โok nimechoka visa vyako. Basi nipe hela yangu mimi niondoke, nishamaliza kufanya usafi uliokuwa umeniambiaโ
โUsafi? Hela? Hela gani mimiโ
โHeeโ alisema na kucheka huku akiangalia juu kwa furaha
โHee niniโ
โNimekupa shilingi elfu nne, nikakuambia ukalete vitu vya kuja kupika, tena ukachukua na mfuko kabisa hapa ndaniโฆ.sasa mbona umeenda ukarudi huna chochote unataka nini?โ alizidi kunishangaza maana mimi kwa kumbukumbu zangu alikuwa hajanipa hata shilingi mia, halafu mimi nimemuacha msituni akiwa ameshakuwa kiumbe kingine
โHela ganiโ nilimuuliza nikiwa najisachi mfukoni, cha kushangaza kweli, mfuko wa kushoto kulikuwa na Shili elfu nne, ambayo nilikuwa ni noti tatu, moja ya shilingi elfu mbili na nyingine mbili za bukubuku, nilibaki namshangaa
Nilipoangalia mfuko mwingine, nikashangaa kuna mfuko wa njano ambao siku zote ulikuwaga hapo ndani, sasa hapo ndipo nilipochanganyikiwa kwamba nimechukua saa ngapi na hiyo hela kanipa saa ngapi
โwe mwanamkeโ nilimuita kwa mshangao nikaona amecheka
โNini sasaโฆโฆvitu nilivyokuambia ulete viko wapi?โ aliniuliza nikabaki ninamshangaa huku mdomo wangu ukiwa waziโฆโฆ..INAENDELEA