CHUMBA CHA MASAJI
Sehemu ya 21 na 22
Niliendelea na majukum yangu mpaka mida ya jioni kabisa, sasa kumbe jmo hakuwa ameondoka kabisa pale, sasa mimi huwa nalalaga pale pale, kwa maana bado sikuwa najua nafanya je, ingawa pesa kidogo nilikuwa nayo, nay ale maeneo hakukuwa na nyumba za kupanga karibu, kwa maana wateja wetu wengi ni wale wanaotoka mashambani tu, na wakishakula wanaenda makwao, nan i mbali na pale ambapo mgahawa upo..
Nikiwa najiandaa kulala mara tukaitwa na boss, na alikuwa n jmo, akasema ‘ kuanzia sasa hivi haturuhusub mtu yoyotwb Yule kulala hapa, kwa maana hii sehemu sio salama sana, hii nyumba haina hadhi ya binadamu kulala hapa mpaka asubuh, hivyo basi sitaruhusu mtu yoyote Yule kulala hapa, akasema jmo…
Mimi na kijana mmoja hivi ndio tulikuwa tunalalaga pale, na Yule kijana hakuwa na pakwenda, yaan bora hata mm nilikuwa nina pesa kidogo ya kunisogeza sogeza siku kadhaa mbele….
“boss mm sina sehemu nyigine pa kukaa, maana hili eneo ndio kila kitu kwangu, akaanza kujitetea Yule kijana, alikuwa anaitwa yusuph, “ neno langu ni neno la mwisho , yaan siruhusu mfanyakazi yoyote Yule kulala hapa, akaendelea kusema jmo…
Nikamsogelea Yule kijana kisha nikasema “ twende mwaya, achana na maswala ya kubishana na huyu mpuuzi, maana hata ulie machozi ya damu hawez kukusikiliza….
Aiseeeeb jmo alinikata jicho hilo ila hat sikumjali, najua hakuwa anataka tulale pale, lengo ni tulie lie, kisha atuchuku na gari lake atupeleke hotelin alafu aanze kubisumbua, hivyo nikaona bora nijichenge mwenyewe…
Kulikuwa na pikipiki ya kijiji, ikaja na kutuchukua mpaka pale tulipo, tukapanjda zetu mshkaki mpaka kijiji cha pili, huko ndio kulikuwa na guest, tukachukua vyumba viwili na kulala mpaka asubuh, ila tuliamka mapema sana, kwenye kama saa kumi na moja, kwa maana kutoka pale tulipo
mpka kwenye ule mgahawa kulikuwa kuna umbali sana, tukafika mgahawan kama saa kumi na mbili na robo, tukamkuta jmo amelala pale pale, sikutaka hata kumsemesha, nikapitiliza na Yule kijana mpaka jikoni, ikabidi aniulize “ mbona kama amekuvalisha pete, sio mchumba yako kweli….
“ huyu anapenda sana kulazimisha mambo, mimi sijawah hata kwa bahat mbaya kua mwanamke wake, ila kwa namna ambavyo anapenda kuforce mambo hakuna namna tena, ndio maana nilikubali anivishe pete, kwa maana alikuja na mama yangu, na siku zote sitaman kabisa kumuona mama yangu hana furaha, na mama yangu anataman sana niolewe kwa maana nilitoroka kijijin ili tu nisiolewe na mzee, nimefika huku mjini ndio nakuja kukutana na huyu mpuuuzi nikasema………………..
“ ila anaonekana kama anakupenda sana, kwann usimkubalie, akasema yusuph….
‘ humjui wewe huyu, si bora hata niolewe na mwenda wazimu kuliko yeye, nikasema….
Kumbe jmo aliamka na akaamua kutufata kule jikoni, akasikia maongezi yote ambayo nilikuwa naongea na yule kijana, akasogea mpaka nilipo kisha akasema “ sijui hata ni kwann unanichukia kiasi chotew hichi, au ni kwasababu nimejichanganya kukupenda sana, au ni kwasababu ya kiapo nilichojiwekea cha kuoa mwanamke bikra, nimeteseka vya kutosha juu yako, sijui kama ni ulimbukeni wa mapenzi ulionao au kuna sababu nyingine ambayo inakupelekea usione wapi kuna mapenzi na wapi kuna
usanii, na kuanzia leo hutakaa unione nikihangaika na wewe, yaan unasema bora uwe na mwenda wazimu kuliko mm,
kwa maana kwako mwenda wazimu ni bora sana kuliko mm si ndio, nachieni umenikosea sana, sikutakiwa kukupenda mapema, nilitakiwa kukuacha mpaka dunia ikuchanganye ndio nije kwako, maana hivi hivi huwez elewa ni mwanaume yupi ni sahihi kwenye maisha yako na nani ni mpita njia, kwa maana kuna muda unaweza kumpa cheo kikubwa mpita njia na kumuacha mwanaume sahihi wa maisha yako, naondoa nachien na wewe ndio utakuwa boss hapa, kwa maana hili eneo nililinunua kwasababu yako, na mm sina kazi nalo hata kidogo, naondoka na naamin utajuta kunipoteza, akasema jmo akawa kama anataka kuondoka lakin ghafla akarudi na kunisogelea mpaka nlipo na yusuph akaanza kutuangalia kwa nafasi kisha akasema “ au unampenda huyu ndio kmaana unanitesa, kwa maana kwa kumbukumbu zangu
chache zinanionesha kwamba haukuwah kuwa na mahusiano na mwanaume yoyote Yule tofauti na mimi, akiamin kuwa akisema v ile labda atamuumiza yusuph , kwanza yusuph mwenye alikuwa ni mdogo kwangu hata kumtaman hata kwa bahat mbaya sikuwa naweza ….….
Sehemu ya 23 na 24
Jmo alivyoona kwamba hakuna anaeumia, akatusogelea kisha akasema “ unajua nn, jana umenilaza macho, nilikuwa nawaza nachien wangu anawezaje kuondoka na mwanaume usiku, yaan usiku kucha anaenda kulala pemben ya mwanaume mwingine na kuniacha mm hapa tena bila wasiwasi, nikaona kama unanikosea heshima sana, kwa maana hata kama ni kijana mdogo lakin ameshapevuka anaweza kulala na nachien wangu, na anaweza kukupa mimba kabisa na ukazaa , kiukweli nilishindwa kuondoka na kuamin kuwa huenda ukarudi usiku na unikute namna ninavyoteseka juu yako, unakuja kurudi na kuniona mimi sina thaman sana, kiasi kwamba kichaa anathamani sana kwako kuliko mimi, na kingine nisingeweza kuwatelekeza hapa, kwa maana niliona kama ukilala hapa unateseka, na kutaka kuondoka na wewe, ila nilikuwa najua kwa ujeuri
wako hauwez kukubali hata iweje, ndio maana nikajua nikitumia kigezo cha kuwakataza kulala hapa mtakosa pa kwenda na mtakuja kuniomba niondoke na nyinyi, ila kumbe sivyo ninavyofikiria, nilikuwa naongea na msichana kiburi ambae hana heshima hata kidg kwa mwanaume na hajui mapenzi ya kweli ni yapi na uongo ni upi, msichana ambae anacheti cha mwanafunzi bora cha watu wenye viburi zaidi duniani, mwanamke ambae macho hana na wala hisia hana za kuelewa kama huuu ni upendo au ni nini……
“ ndio nilikubaka, nakubali kabisa hilo, nilikuingilia bila ridhaa yako, na huenda hilo ndio tatizo kubwa ambalo limetengeneza chuki kubwa sana moyon mwako dhidi yangu, na huenda hio ndio imesababisha mpaka unaniona kama takataka mbele yako, ni kweli mara ya kwanza niliofanya vile kwa sababu ya ujinga, ila mara ya pili ni hisia nachien, wewe ni mwanamke ambae nakupenda sana, na nilikuwa tayar kufanya kila kitu kwaajili yako, ni kweli huwa unavaa nguo za heshima sana, na ni kweli kwamba
haukuwa unanitega kabisa, ila kila nilipouwa karibu na wewe nilikuwa Napata msisimko wa ajabu, nimejizuia mara nyingi sana kutokufanyia jambo lolote lile mamaa, ila sasa hisia, hisia zikaja kunisaliti, na sidhan kama natakiwa kuhukumiwa kwa hilo, kwa maana mm ni mwanaume kamili, na kupata
hisia kwa mwanamke unaempenda, sidhan kama linaweza kamwe likawa tatizo, akaendelea kulalamika jmo….
Kwa mara ya kwanza maneno yake yakaniingia, maana ni kweli nilikuwa nawaona hata marafiki zangu kule kijijini, wakiwa na wanaume wao, huwa wanaume wanashindwa kujizuia na kuwabusu au kuwashika, nilianza kumuelewa, ila niliona kama kumfata na kumuambia kuwa nipo tayar kufanya anachokitaka, niliona kama udhaifu vile, akawa anaondoka zake, nilitaka nimuambie kuwa asiondoke na nimeshaelewa kila analolitaka ila nikashindwa, sijui ni kwasababu ya utoto au ni nini,. Akatoka nje, kisha akarudi tena ndani na kusema “ nachien naondoka, kana kwamba alikuwa anataka nimzuie,n ila nilikuwa naogopa hata kumuambia asiondoke, nikawa nimetoa macho tu, na alipoona simtilii chumvi akanifata na kuniambia ‘ nilihisi umenielewa na labda utanizuia, ila nimekuja kugundua kuwa haujawah kuwa na hisia na mm hata kidogo, naapa hutakaa unione tena mamaa,na huu mgahawa nakuachia naomba uusimamie vzr kwa maana anaamin wewe ni mpambanaji sana, kisha akaondoka zake…
Moyo ulikuwa unaniuma ila sikujua kama ndio mapenzi hayo, nikaamin kuwa ni yale maneno yalikuwa yanatia huruma tu, na sina hisia nae, kumbe bana nilikuwa najidanganya ….….