CHUMBA CHA MASAJI
Sehemu ya 6
‘mm namtaka nachien na nitaongeza malipo, huyo mwingine mtafutien mtu mwingine, akasema jmo, ikabidi madam akubali, kwa maana kinachoangaliwa ni pesa, na jmo amapenda dau, hivyo madam akanambia kuwa niondoka na jmo, sikuwa nataka ila sikuwa na namna…
Nimefika nyumban kwake nikakutana na manguo sebuleni, jmo akaniangalia kisha akasema “ nataka ufue hizi nguo…
“ samahan hio sio kazi ilionileta, nikasema ..
“ najua unajua kufua, haya nambie ukinifulia unataka nikulipe shilling ngapi?, akauliza…
‘ elfu hamsin , nikajibu na nimejibu hivyo makusid nikiamin kuwa hatotoa, nikashangaa anaenda chumban kwake, kisha akatoka na elfu hamisin, kisha akanikabidhi na mara baada ya kunikabidhi, akasema “ haya anza kazi …
Sikubisha , kwa maana kufua tu nguo mbili tatu alafu mtu aje akulipe shilling elfu hamsin sio rahisi, basi bibi mimi
nikaanza kufua, jmo akakaa sehemu akawa ananiangalia huku anakunywa kinywaji sikujua hata nikinywaji gani, alikuwa ananiangalia mpaka anatabasasmu ila hata sikumjali, nikawa naendelea kufua, nikafua mpaka nikamaliza, na mara baada ya kumaliza kufua nikaanika nguo kisha nikaingia ndani, jmo akaniita jikon…
“ unataka nn tena ? nikauliza… “ nataka unipikie, akasema ..
“ haya nitapika ila kwa elfu themathin, nikasema …
“ yaan kupika tu elfu thelathin na wakat kila kitun kipo ndani, punguza bana, akasema jmo..
“ kama unaona pesa ni kubwa niache nuondome zangu na upike mwenyewe, nikasema…
“ basi mamaaa, usije ukazira ukaondoka na kuniacha na pambana na njaa zangu, haya pika, nikaingia jikon na kuanza kupika, nimepika na mara baada ya kupika nikaenda kutenga chakula mezani, basi jmo akataka na mm nikae nianze kula, basi sikubisha, kwa maana kuanzia asubuh pia sikuwa nimekula kabisa, nikaanza kula kwa pupa pale, na mara baada ya kula nikataka kufanya kilichinipeleka, kwa maana muda ulikuwa tayar umeenda, yaan nimetoka pale
kazin saa mbili na wakat huo ilikuwa ni saa saba mchana, na kazi waliweka ifanyike kwa walaub masaa mawili, na mm nilikuwa nimemaliza masaa matano tayar….
“ nimekaa sana hapa kwako, naona wewe hutaki huduma, haya naomba niondoke, nikasema, jmo akambia subiri, akawa anabonyeza bonyeza pale simu kisha akanionesha kuwa amemlipa madam laki moja na huduma zetu ni elfu thelathin tu..
“ nataka ukae hapa siku nzima, akasema jmo kwa sauti ya chini kidogo.…..
“ hivi wewe una shida gani, kwann unapenda sana kuniganda ganda hivi, unanikosesha hata aman kwenye kazi yangu, nimefika hapa nashangaa unanibadilishia kazi,
unanipa mm manguo yako ya kufua, kwamba nimefata kufua hapa, mara useme unataka nikae hapa kila siku, una shida gani na mm lakin, nikaanza kulalamika …
“ unataka uanze kunishika shika, uanze kunikanda kanda si ndio, mm ni mwanaume mamaaa, na nina hisia na wewe,na najikuta nateseka sana ukinifanyia massage, najikuta nakutaman sana, ila naogopa kukufanyia chochote kama
nilichokufanyia kabla ili usije ukazidi kunichukia, haya kama unataka kwenda kunifanyia massage twende na nikikuhitaj usije ukanikatalia, kwa maana sitakuruhusu utoke hapa bila kunipa haki yangu, kwa sababu nina hisia sana na wewe mamaaa, akasema jmo….
“ mr handsome mwanaume anaenipenda si ndio, kijijin nimehatafutiwa kababu changu kanioe, nimekuja kutafuta maisha mjini kwa sababu ya mama yangu na mdogo wangu, na ukweli ni kwamba Yule mzee sikuwa nampenda kabisa, ila kuliko niwe na wewe nibora niolewe na kale ka babu, maana anagalu hakana ujinga kama ujinga uliokuwa nao wewe, nikasema nikashangaa jmo amenywea kisha akasema “ unataka nifanye kitu gani ili uamin kuwa nakupenda
“ auachane na maisha yangu, nikajibu kwa saut ya kujiamin, nikashangaa jmo amebana pua kisha akasem “ uachane na maisha yangu, over my dead body, au ngoja tuone
Sehemu ya 7 na 8
“ jmo sijui kama ninakuchukia au ni sipendi kuwa karibu yako, ila niwe tu mkweli kila ukitoa odder saloon nashikwa na hasira sana, sitaman hata kidogo kuwa karibu yako, maana wewe mwenyewe unajua kuwa sikupendi…
“ na ndio maana sitaman kabisa unifanyie massage, kwa maana nahisi kama naweza shindwa kuzihimili hisia zangu, nahisi kama nashindwa kabisa kuvumilia wewe uushike mwili wangu alafu nisitaman tendo, samahan sana nachien ila sitraman kabisa ufanye hii kazi ya kufanyia massage watu, kwa maana kama ni pesa unataka nitakulipa, akasema jmo…
“ najua wewe ni tajiri sana, ila katika maisha yangu yote sijawah kutaman kutumia pesa ambayo sijaifanyia kazi, naomba niondoke, nikasema …
“ na kama sitaki, sitaki uondoke, sitaman utoke leo kwenye huu mlango, haya niambie ni bei gani, akasema jmo…
“ laki moja, nikasema nikiamin kuwa siku hio niulikuwa nimetaja pesa nyingi sana na huenda akashindwa kuzitoa, nikashangaa kaingiza mkono mfukoni kisha akanitolea hizo pesa na kunikabidhi..
“ lakin mm nilisema tu na sitaki kulala hapa, nikaanza kujitetea…
:” hakuna cha lakin, chumba chako kile pale, usiku mwema , akasema jmo kisha akaondika zake…
Nilikuwa na mashaka sana, kwa maana nilikuwa bado simuamin kabisa jmo, nilihisi kuwa huenda anatataka kunifanyia kitu kibaya usiku, nikafunga mlango kwa ndani, na sio siri nilikuwa nimelala kwa hofu kweli, na kweli kwenye usiku mkali nikawa nasikia mlano wangu unagongwa, kwa akili zangu zikawa zinanituma ni jmo, nikajikausha kana kwamba sikuwa nasikia, kwa maana usiku kama ule atakuwa anataka nn kwangu, nikajua n lazima atakuwa anataka kunifanya kama alivyonifanya siku ile kwenye kile chumba cha masaage, basi akagonga weeee na nilijikausha kana kwamba hakuna kitu ambacho nilikuwa nakisikia, mwisho akaondoka zake…
Hapo kidogo nikashusha pumzi, kwa maana nilikuwa na mashaka sana, kwa maana nilianza kuhisi huenda anafunguo anaweza kuja kufungua, ila haikuwa hivyuo kwa maana nililala kwa amani mpaka asubuh…
Kulipo pambazuka nikaamka, nikamkuta amekaa ukumbini…
Tukasalimiana pale kisha nikawa nataka kuondoka, “ unaenda wapi? Akaniuliza…
“ kazin au hujui kama nafanya kazi, nikajibu…
“ kwenye ile kazi yako ya kushika shika wanaume si ndio, akasema jmo..
“ niwe nawashika au siwashiki wewe inakuhusu nn, nikajibu kwa nyodo…
Akaniangalia kisha akanisogelea na kusema ‘ haya njoo unishike mimi nitakulipa, unataka nikulipe shilling ngapi, elfu kumi au hamsini, au laki…
“ natakiwa kwanza kwenda kureport kazin, na kama utahitaji huduma yangu, basi hakikisha kwanza unatoa odder kutoka kazin kwangu, nikasema …
“ nimeshatoa odda na nimesha lipia, haya anza kunihudumia sasa hivi, akasema jmo…
“ wewe una shida gani, kwann hutaki nipumue, kwann hutaki niwe na uhuru wangu, kwann hutaki nikae kwa
amani, yaan kila dakika unaniganda ganda kama ruba , nimechoka jmo, naomba uniache nipumue, nikawa nalalamika…
Akasimama kwa maana alikua amekaa kisha akaanza kusema “ siku ya kwanza nilipokuona ulikuwa umevaa kama bint flan wa bush sana, ulikuwa umekaa kishamba sana, ila ulinivutia mno, sijui ni kwasababu huwa napenda vya kienyeji au vp, ila nilipokuja kulala na wewe kwa mara ya kwanza ndio kama nilizidi kuvutiwa zaidi na wewe,yaan unajoto flani ambalo hawa wadada wa mjini hawana, na kingine kitu kiko tight, yaan kuanzia nimeanza kuwa na wanawake,simulizi hii imeandikwa na husqer baltazar sijawah hata mara moja kukutana na mwanamke mtamu kama wewe na jambo lingine siwez kukuacha kwa maana niliapa, siku ambayo nitamkuta mwanamke bikra ni lazima niumuoe, siku ambayo nitamkuta mwanamke hajatumika, kwa gharama zozote zile nitahakikisha kuwa anakuwa mwanamke wangu, ila kwa bahat nzuri, Yule Yule mwanamke ambae alikuwa amenivutia akawa virgn, niliapa kuwa utakuwa mke wangu, ila shida haunitaki, hauoni kama umepata bahat sana kupendwa na mm, maana ni
handsome nina pesa, alafu nakupenda kwa dhati, akasema jmo
“labda kama unanipendelea, mm siwez kuwa na wewe, nikawa nasema
“na kama sitak, huwez kuondoka mpaka intake, akasema jmo, ila hata sikubishana nae, nikawa naondoka zangu, nilijua atanizuia, ila hata hakunizuia, nikaenda mpaka pale kwenye ile saloon ambayo ndio nilikuwa nafanya kazi, nikaingia ndani nikashangaa wenzangu wananishangaa, Yule neema akanifata kisha akaniambia ‘ una bahat shoga…
“ bahat ya nn? Nikamuuliza, ila hata kabla sijamjibu akaitwa na madam hivyo akanambia kuwa atakuja kuniambia, kisha akaondoka na kwenda kumsikiliza madam anataka nn
Sehemu ya 9 na 10
Basi neema alitoka kuongea na madam kisha akaja mpaka nilipo na kuniambia “ shoga una bahat sana‘
“ bahat ya nn tena? nikauliza, kwa maana sikuwa najua hata kinachoendelea…
“ si Yule mwanaume ameshakuchumbia, sasa ametaka uachishwe kazi, anasema hataki kukuona tena ukifanya hii kazi na kama ni mshahara atakulipa yeye ukiwa una muhudumia , yaan vuta picha una muhudumia mwanaume alafu anakulipa, yaan shoga usichezee hii bahat, na honera sana maana , yaan kufika na kufika tu umeshapata bonge la bwana, neema akasema….
“ hamna Yule sio mwanaume wangu, na kwann unasema hivyo? Nikualiza..
“ ameshamlipa boss na anataka uende ukakae nae na usifanye kazi hapa, hata kukuona ukifanya kazi hapa, najua hii kazi haukuwa unaipenda, so mungu amesikia kilio chake,nenda mamaa, nenda ukaanze kula mema ya nchi kwa maana uliteseka sana..
‘ ney huyu ndio Yule mwanaume ambae nilikusimulia alinibaka, unafikiri ni sahihi mimi kuenda kukaa nae, na akanifanya rafiki yangu anifukuze na sasa hivi anataka nisiwe na kazi, unaona ni mwanaume wa aina ani huyo,
nikasema…
“ huenda kweli anakupenda, kama angekuwa anataka kukuchezea sidhan kama ungemuona hapa muda huu, angekuwa ameshakukimbia na namna unavyomsumbua, ni lazima angekuwa ameshatafuta mwanamke mwingine na angekuwa ameshakusahau muda mrefu sana, so cha msingi wewe mpe muda na nafasi ya kumsikiliza, kwa maana huenda ndio rizki yako ambayo mungu amekuandikia, akasema neema……
“ Ila mm namchukia, nikasema
“ mwanaume ana pesa vile, utampenda mbele ya safar bana, ila usimuache, na ukimuacha nitakushangaa sana, kwa maana utakuwa unachezea shilling choon, akasema neema ….
Sikutaka hata kuendelea kuongea nae, nikatoka zangu pale kwenye ile saloon, na baada ya kutoka pale nilihisi kuishiwa mara baada ya kujua kuwa jmo ameniharibia mpaka kazin, nilienda mpaka nyumban kwake kwa hasira na ni kama alikuwa anajua kuwa lazima nitaenda nyumban kwake, so akawa amekaa ananisubiri huku anapata kinywaji taratibu…
‘ kwann umeenda kuniharibia kibarua changu lakin, mm sina kazi yoyote ile ambayo naitegemea zaidi ya ile ambayo nilikuwa naifanya, unataka nilale njaa, si ndio sijui kwann matajiri mnakuwaga na roho mbaya kiasi hichi nikawa nalalamika…
“ najua unahisi kama mm nakutaka sanaa, ila sio kweli, mm sijawah kukutaka hata mara moja, na sitakaa nikutake, ilikuwa hivi nilikuwa natafuta mfanya kazi wa ndani, na kwa bahat nzuri wewe ni wabush naamin hizi kazi utaziweza, niliingia kwa kigezo cha kukutongoza, ila mtoto una msimamo wewe, ila sijui ni kwan ulimuonjesha binamu yangu, akasema jmo na sikumuelewa hapo aliposema kuwa nimemuonjesha binamu yake….
“ so nitakuwa nakulipa, utachagua kama unataka nikulipe kwa mwezi au kwa wiki, na hapa utafanya kazi zote zinazohusu nyumban, kwa maana utapika, utafua, utadeki utaosha vyombo na kazi zote zinazohusu nyumba, akasema jmo…
“ una uhakika hautonisumbua? Nikamuuliza…
“ samahan kwa taswira niliyoionyesha mwanzo na asante sana na naomba uniheshimu hicho tu, nikasema, sijui ni kwan n hata niliyaamin maneno ya jmo mapema vile, kumbe bana alikuwa anataka kujisafisha , mm nimuone mwema na
nimpende, yaan ni kama alijua kuwa mm ndio ubavu wake ambao alipangiwa na mungu…….
“ sawa na kingine hii nin nyumba yangu hivyo chochote kile ambacho utakitaka lazima uniambie mm na ukitaka kwenda sehemu yoyote ile mm ndio mtu wa kwanza ambae natakiwa kufahamu unapotaka kwenda, akasema jmo…
“ wala usijal mr boss , nitakuwa muaminifu na hautajutia uchapa kazi wangu, nikasema….
“ ewalaaa ndio unatakiwa uwe hivyo, kupambana kwako kufanya kazi ndio ongezeko lako la mshahara, na kingine , kwenye hii nyumba yangu hauruhusiwi kuleta mwanaume au kuongea na mwanaume usiku, akasema jmo…
Nikakubali kwa maana kwanza sikuwa na mahusiano, kumbe jmo amesema vile kunipima tu, ajue kama nina mahusiano au laa, ila nikajibu kwa sauti ya kujiamini na kusema “ sawa boss nitafanya kama unavyotaka, jmo au juma akanigeuzia mgongo kisha akaanza kutabasamu, niliona tabasamu lake kupitia kioo cha dirishan ila sikujal kuwa atakuwa ametabasamu kwa sababu gani nikaona kama kawaida, kumbe mjinga huyu anafurahia kuwa
ameshanipata, mimi na ushamba wangu nimetoa macho kama gorong’ondo sina ninachoelewa………….