HANDSOME WA SHULE 17
john yeye alikuwa anafikilia jinsi ya kuwaangalia wale mbwa mwitu maana yeye alikuwa mkuu msaidizi lakini mkuu wao amefariki inabidi yeye achukue mikoba yake ya kuwaangalia siku zote.
Baada ya kuwaza sana alipitiwa na usingizi mzito sana
Asubuhi nyingine tena ikiwa ni ijumaa john alichelewa kuamka kutokana na mawazo aliyokuwa nayo akaamua kutokwenda shule
mama yake alimuuliza john kwanini haujaenda shule alijibu tu ajisikii vizuri
mama yake alimwacha john na kwenda ofisini kwake Huku pale nyumbani wakabaki Anitha na John
John hakuwa sawa kabisa alikuwa mtu wa mawazo siku hiyo na kukaa sebuleni basi,.
Anitha akaanza mchezo wake wa mitego ili amtege John lakini john hakuwa na mawazo yoyote zaidi ya kufikiria kule polini
john alikaa tu anamwangalia anitha anavyojitegesha lakini hakuwa anampenda hata kuongea naye hakutamani
Anitha alijitegesha lakini wapi john hakutegeka alifanya kila njia ili john anate lakini wapi anitha ili mbidi aende kumuuliza john kwanini yupo vile
Anitha:John mbona unaonekana unamawazo sana?
lakini John hakujibu chochote alimkaushia
Anitha aliongea sana lakini john hakumjibu zaidi ya kwenda chumbani kwake na kuchukua ufunguo wa gari ili aondoke pale nyumbani maana panaanza kumbored
johnalichukua ufunguo wa gari yake na kuondoka kuelekea porini ili akampe yule mbwa mwitu salamu za mwisho
Anitha alivyoona mbinu zake zimegonga mwamba akaamua ampigie simu Pheston Mwansite
ambaye ni rafiki yake john aliempa utamu siku alivyokuja
pheston yeye hakwenda shule siku hiyo
Anitha alimpigia simu Pheston ili akampe utamu zaidi
Anitha:halow mpenzi wangu pheston
Pheston halow Anitha wangu
Anitha:njoo basi unisugue maana nawashwa sana mwenzako
Pheston:lakini hawapo watu hapo kwenu
Anitha:hawapo bhana njoo unisugue
PHESTON aya nakuja mpenzi wangu
Enjo Jeremianaye halikuwa amefika kutoka msibani ila hakwenda kwa joely
Joely Zubery yeye alikuwa anafikiria Enjo Jeremia atawasili jumamosi ila
ratiba ili badilika kabisa.
John alifika porini na kumkuta mbwa mwitu hakiwa bado yupo huku wenzake wakiwa wamemzingila
Pale porini kulikuwa na mbwa mwitu ambaye naye alikuwa ni binadamu lakini alivyongatwa alibadilika yule mbwa mwitu alikuwa mzee kuliko wote pale porini alikuwa anaitwa Joseph Twitch hilo jina lilikuwa la kibinadamu lakini alivyongatwa alibadilisha akawa anaitwa jina la kimbwa mwitu ambalo ni BLACK WOLF.
HANDSOME WA SHULE 18
songa nayo
john alikuwa amewasili na kuwa wale mbwa mwitu wakiwa wamemzunguka wakibweka kwa majonzi mengi John alishidwa kujizuia naye alianza kulia kwa kubweka
Marry naye alikuwa amesahau kama kuna nyumbani maana alinogewa na utamu ambao aliupata na joely mpaka ilipofika saa sita ndio akawa anajianda kwenda kwao
joely yeye alikuwa anamuangalia sana marry ambavyo alikuwa anajitoa kwake ili kumridhisha katika masuala yake yote
Phestonyeye alikuwa nyumbani kwa kina john akiwa anakula mzigo wake Anitha alikuwa anajisikia raha ambavyo phesto alikuwa anampeleka na kumsugua sawasawa
pheston alikuwa anamshika sawasawa Anitha na kuanza kuanza kuchezea maziwa yake kwa ustadi wa hali ya juu sana Anitha alikuwa anatoa miguno ya mahaba
ooooooopsiiiiiii,mmmmmmmmmh,taaaaamuuuuu jamani pheston weeeeeeeweeee niiiii fuuuuuuundiiiiiiiiiii aaaaaaaaaashiiiiiiiiiiii aaaaaaaaaah
John aliapishwa kuwa kiongozi wa pale porini na kila kitu kipo chini yake yeye John aliyapokea yale majukumu na taratibu za mazishi yaliendelea kama kawaida
Joely Zubery yeye alimtizama marry mpaka hamu ikampanda kwa mara nyingine tena na kuinuka pale kitandani na kumfuata marry na kumshika kiuno.
marry alitaka kuiondoa mikono ya joely lakini joely yeye alitumia kauli za vitisho kwa marry na kumfanya marry kushindwa kuiondoa mikono ile
Joelalikuwa anauchezea mwili wa marry mpaka kumfanya marry kupandwa na hisia kali sana za mapenzi na kumpa joely ushilikiano imara sana
Emjo
Enjo Jeremia naye aliondoka kwao na kwenda kwakina joely ilikuwasalimia
John baada ya mazishi aliondoka kule porini na kuanza kuelekea nyumbani kwao
Pheston naye alikuwa anampeleka puta anitha lakini muda huo John alikuwa njiani kurudi nyumbani kwao na ilikuwa hatari pheston kuwepo pale kwakina john
Johnalikuwa ana hasira alikuwa anaendesha gari huku machozi yakimtoka………
JOHN aliendesha gari huku machozi yakimtoka kutokana na Mawazo Yale nusura amgonge mwanamke ambaye alikuwa kipofu akiwa anavuka barabara.
John alipaki gari lake na kumvosha yule mwanamke upande wa pili ambapo kulikuwa na kijichaka cha nyasi.
John alishtukizwa amezungukwa na wanaume wanne wakiwa wameshika mapanga makali sana hakuna ambaye alikuwa hana jeraha usoni.
John alianza kuwa angalia vizuri naye yule mwanamke alikuwa katika kikundi kile cha wezi na kumnyooshea bastola upande wake.
Wale wanaume waliamrisha John atoe hela na Mali alizokuwa nazo pale.
HANDSOME WA SHULE 19
Songa nayo
JOHN aliendesha gari huku machozi yakimtoka kutokana na Mawazo Yale nusura amgonge mwanamke ambaye alikuwa kipofu akiwa anavuka barabara.
John alipaki gari lake na kumvosha yule mwanamke upande wa pili ambapo kulikuwa na kijichaka cha nyasi.
John alishtukizwa amezungukwa na wanaume wanne wakiwa wameshika mapanga makali sana hakuna ambaye alikuwa hana jeraha usoni.
John alianza kuwa angalia vizuri naye yule mwanamke alikuwa katika kikundi kile cha wezi na kumnyooshea bastola upande wake.
Wale wanaume waliamrisha John atoe hela na Mali alizokuwa nazo pale.
John aligoma kutoa kitu chochote mwanaume mmoja alimpiga John na ubapa wa panga.
Pale ndipo walipo chokoza moto alishtukia amekatwa mkono bila kujijua hapo John alibadilika na kuwa mbwamwitu.
Yule mwanaume alilia kama mtoto mdogo John alianza kuwa rukia wale wanaune na kuwa chana tumboni.
Yule mwanamke kuona vile aliaanza kukimbia kujiokoa mwenyewe maana mambo talikuwa magumu.
John alipoona vile alibadilika nakuwa binadamu wa kawaida na kurudi kwenye gari yake na kuondoka.
Anitha na pheston wao ndio walikuwa wanamaliza mchezo na pheston kuondoka pale kwakina John.
Enjo alikuwa njiani ili kwenda kwa joely lakini alikutana na rafiki yake kwahiyo alibadili mawqzo na kwenda kwa rafiki yake kupiga story.
John alifika kwao na kuelekea chumbani kwao na kuanza kuvua mavazi Yale na kwenda bafuni kuoga.
Baada ya kumaliza kuoga alilala kitandani na kuanza kuota matukio yaliyotokea pale barabara John aliamua kuamka na kuanza kucheza game ili kupotezeamawazo Yale yaliokuwa katika kichwa chake.
Joely baada ya kuridhika alimruhusu marry kuondoka pale kwao.wakati huo alikuwa amechelewa kurudi kwao maana toka usiku mpaka SAA Tisa ndyo anarudi kwao.
Marry alipofika maeneo ya kwao alianza kupatwa na wasiwasi juu ya wazazi wake.
Marry alikaza na kufungua mlango lakini alipofungua mlango alikutana uso kwa uso na mama yake akiwa ana hasira juu ya marry kutokuwepo pale muda…
Marry alijikaza na kuufungua mlango wa sebuleni ili aingie ndani lakini alipofungua alikutana na mama yake akiwa amefura kwa hasira.
John alicheza game mpaka akachoka na kwenda kula chakula cha mchana akiwa bado anajifariji na kupotezea yale mawazo aliyokuwa nayo wakati huo.
HANDSOME WA SHULE 20
SONGA NAYO
John alicheza game mpaka akachoka na kwenda kula chakula cha mchana akiwa bado anajifariji na kupotezea yale mawazo aliyokuwa nayo wakati huo.
Marry alipomwona mama yake alipiga magoti kumwomba msamaha ili asimwambie baba yake maana anamjua baba yake alivyomkali juu ya mabinti zake,Baba yao alikuwa hataki mabinti zake waharibikiwe.
na kama ikitokea hivyo atamdhuru yeyote anayehusika kuwaharibu mabinti zake.
Marry:Mama naomba nisamehe
Mama:Marry umentia aibu sana tangu usiku haukuwepo na sijui ili[ulilala]wapi?
Marry:mama naomba usimwambie baba,ukimwambia ataniua mimi.
Mama:Marry baba yako anajua kila kitu na hapa nilikuwa na mtuliza lakini amegoma na kuahidi kumfanya yeyote ambaye anakupa kiburi.
Mama aliongea kwa ukali sana juu ya marry kutokuonekana tangu usiku mpaka alasiri ndyiyo anarudi.
Mama:Marry umejisababishia matatizo na umelikoroga na huna budi kunywa kwa sasa.
Marry:mama usiseme hivyo unajuwa nakutegemea wewe pekee.
marry alimwomba mama yake akamwombee msamaha kwa baba yake lakini mama yake aligoma katakata.
John alipomaliza kula hakutaka kukaa pale nyumbani maana anaweza akasababisha matatizo kwa kuwa anitha anavyomsumbua kila siku.
John aliwasha gari akaenda zake kutembea tembea ili apunguze mawazo.
Alienda beach kupunga upepo ili hasira zake zipungue akiwa katika wmawazo yale alishtuliwa na mkono wa mtu k.Akiwa anamtingisha tingisha alipogeuka alikutana na ……..
John aliwasha gari na kwenda zake beach kupunga hewa na kutuliza hasira zake alizokuwa nazo wakati huo
akiwa katika mawazo yale alishtuliwa na mkono uliokuwa ukimtigishatingisha,alipogeuka alimuona msichana akiwa amesimama wakati huo.
Yule msichana alianza kwa kujitambulisha jina lake
Msichana:samahani kaka naitwa Grace sijui mwenzangu unaitwa nani?.
John:mimi naitwa John
grace;samahani ninaweza kujoin na wewe kama hutojali.
john;usijali unaweza kukaa tu.
grace;kaka yangu mbona unamawazo sana.
john;Aaah,hiyo ni hali ya kawaida kwa mwanadamu yeyote yule.
grace;sawa,kaka yangu ila nilikuwa na ombi moja kama hutojali:
john:Ombi gani dada yangu?
grace;nilikuwa naomba tuwe marafiki na ukipendezwa unipe namba yako ya simu:
john;Haina shida dada yangu
John bila hiyana yoyote alimpa grace namba yake ya simu na kuendelea na mazungumzo yao mpaka mida ya saa kumi na mbili jioni ndiyo kila mmoja aliridhika na kuondoka.
*****************************
Marry alikuwa na wakati mgumu baada ya kugundua
INAENDELEA