HANDSOME WA SHULE 5
Songa nayo
John alimpa namba marry iliasije akafanya maamuzi Magumu.
Baada ya kumpa namba John aliendelea na safari yake ya dukani. Marry alifurahi kupewa namba akaona itakuwa kazi nyepesi kumpata John.
John alinunua vocha na kurudi kwako.
Anitha alikuwa anamsubiri John afike amuulize kwanini Leo yupo vile.
John alifika akaenda moja kwa moja hadi chumbani akutaka kumwongelesha anitha.
John akiwa chumbani kwake simu ilipigwa ilikuwa namba ngeni akaipokea tu.
Ilikuwa ni sauti ya kike ikiwa inasikika vizuri
Mwnamke:hallow John.
John: Nani mwenzangu?.
Mwanamke:Ni Mimi Marry
John: aaanha,Marry kumbe ni wewe
Marry: eeeh,ni Mimi unafanya nini sahizi.
John: nimekaa chumbani tu.
Marry:mwenzako sina hata hamu ya kula nakuwaza tu wewe John.
John alishindwa cha kumwambia alikaa tu kimya akimsikiliza tu.
Marry:Marry:John nakuomba usinifikilie vibaya ila huwezi kushindana na moyo, moyo wangu unakupenda wewe na sio mwingine zaidi yako nipo tayari kuishi na wewe vyovyote vile kwa shida na raha nipo tayari maana moyo Wang umeuteka wewe John.
Marry aliongea mengi ili John amwelewe .
John alitulia kumsikiliza marry anachoongea.
John alimjibu tu nitakujibu kesho usihofu marry.
Marry:Mimi naogopa nisije nikawahiwa na watu wengine
John akaamua abadilisha mada iliasiulizwe maswali mengi maana marry alikuwa anaongea Sana.
John: ulishakula?
Marry: sina hamu ya kula chochote.
John: basi kula kwaajili yangu Mimi
Marry: kweli sina hamu ya kula
John: Kama u.anipenda kula.
Marry:Sawa nitakula
John: :ngoja na Mimi nikale nitakupigia baadae.
Marry:sawa
Marry alikata simu .
John aliona afadhali kidogo akaamua kuiacha simu maana marry anaweza kupiga.
John alitoka mlangoni na kukutana na Anitha.
Anitha: Kwahiyo unitaki Mimi kisa marry wako sio.
John: kwan wewe unatakaje, hujui kukataliwa.
Anitha: Leo unanijibu hivyo kisa umeona na kuuchezea mwili wangu
John: Mimi sikutaka kuuchezea mwili wako kwakuwa wewe hujieshimu na huuehishimu
HANDSOME WA SHULE 6
Songa nayo
John alicheka tu na kuendelea kujiandaa,akiwa katika harakati za kujiandaa simu ilianza kuita jina lilikuwa Marry.
John hakuipokea maana alijua tu akipokea atakuwa analitaka tu jibu.
Simu iliita mpaka ikakata John hakuigusa simu japokuwa meseji ziliingia lakini hakuzifungua.
Alipomaliza kujiandaa alikunywa chai nakuelekea nje ambayo nikama stendi ya shule..
Alisubili gari mpaka lilipowasili akaingia kwenye gari nakukaa kwenye siti yake ya siku zote.
John alianza kuangalia nyuma kama atamuona marry lakini wapi hakufanikiwa kumuona.
Akajisemea labda nimeangalia vibaya ngoja nikifika shuleni ndio nitapata jibu kamili.
****************★★★★
Hatimaye wakawasili shuleni John akasimama mlangoni (pembezoni)mwa gari.
Akijaribu kupepesa macho kama atamuona lakini wapi hakumuona Bali basi lilikuwa empty hakuna mwanafunzi yeyote aliyesalia kwenye basi LA shule.
John alishangaa kwanini marry hajafika shuleni huku nafsi yake ikimsuta kwanini hakupokea simu yake lakini sasa anamtafuta.
John alijishangaa kwanini moyo wake umempenda sana marry ghafla hivo.
John darasani alijiona mpweke sana mpaka rafiki yake akamfuata .
Pheston:John una tatizo gani?
John: Hamna kitu nipo sawa tu.
Pheston:mph!nakujua rafiki yangu haupo sawa maana Mara kwa Mara unageuka nyuma au unamtaka Josephine.
John: Hamna nitamtakaje mtu mmbeya sana si ataniua Mimi .
Pheston:Angel je?
John: Nitamtakaje mtu mnene.
Pheston:rafiki yangu Leo haupo sawa kabisa unabidi ukapimwe mkojo.
Pheston akamtania John.
John: wewe mwenyewe unajua siumwagi hovyo sasa niende hospital kufanya nini?
Pheston:
Mhh!John haupo sawa umekuwa muongeaji kunizidi ngoja nikuache tu.
John: Nenda kasome siyo kukaa na wasichana muda wote halafu hujawahi kutongoza ila unajitongozesha.
Pheston:Tatizo Mimi domo zege labda msichana anianze ndiyo nitaongea ilasio Mimi nianze sijui na tatizo gan?
John: hahaha!unakaa na wasichana masaa manne kila siku lakini huja
HANDSOME WA SHULE 7
SONGA NAYO
John alimponda sana pheston kuwa yeye ni domo zege.
******
Mpaka muda wa kurudi nyumbani John hakuwa na furaha yoyote Bali akijitadhimini kwanini hakupokea simu ya marry.
John alifika nyumban kwao na kuiwasha simu yake alikuta meseji zote ni za marry na missed call 24 za marry.
John aliamua kumpigia marry.
John: hallow marry.
Marry: John, kwanini hujapokea simu yangu.
John: sikuwepo nilikuwa nishaondoka nyumbani.
Marry:sawa,vipi kuhusu jibu langu?
John: marry,mbona unaharaka sana.
Marry:niambie kama umekubali au laaa
John: nimekubali marry kwakuwa sitaki kuumiza moyo wako.
Marry:kweli John.
John: kweli nakupenda
Marry:kama kweli unanipenda nikiss.
John: hilo tuu Mwaaaah.
Marry:ahsante John nakupenda sana na hautojutia kuwa na Mimi.
John: najua ukimpata mwingine utaniacha tu.
Marry:hapana,John Mimi nakupenda wewe sio mwingine.
John: mbona Leo hujafika shuleni mpaka nimeumwa shuleni kisa sijakuona.
Marry:ninaumwa.
John: pole my sweetheart
Marry:ahsante my Darling
John:umeenda hospital
Marry:naenda kesho siku ya mapunziko shuleni (jumamos)
John: basi nitakusindikiza.
Marry:nitafurahi kuongozana nawe.
John: pooooa my,basi kesho tutaonana.
Marry: sawa my.
Maongezi yaliishia hapo John alijilaza kitandani..Usingizi ulimpitia mpaka asubuhi kwamaana hiyo hakula chakula cha usiku.Anitha hakuenda kumuhamsha kwakuwa wanaugomvi.
John alishika simu yake na kumpigia marry na kuhaidiana sehem ya kukutana.
John Aliinuka na kuoga akavaa nguo safi kabisa.akaenda kunywa chai.akamuaga mama yake anaenda kutembea.
Njiani John simu yake ilipigwa jina lilikuwa marry alivopokea alishtushwa na sauti ya kiume ikisema”KAMA UNAMPENDA HUYU MSICHANA NJOO KATIKA PORI LA THE FOX LA SIVYO ATAULIWA”.simu ilikatwa.
John bila kufikilia akachukua taxi nakumwambia ampeleke katika pori LA the foxes.
Baada ya NUSU saa alikuwa amefika.
John aliingia porini kablahajafika mbalialikutana naMbwamwitu
Ghafla aling’atwakwenye upandewa mbavu
HANDSOME WA SHULE 8
Songa nayo
Ghafla John alijikuta ameng’atwa sehemu ya mbavu.
John hakuwa na nguvu ya kushindana naye Mbwamwitu alimfuata akiwa na dhamira LA kumtafuna lakini kabla hajamtafuna alitokea mbwamwitu mkubwa said I yake.
Wakaanza kupigana lakini yule mbwamwitu alkyemng’ata John alishindwa kuhimili mapigano Yale.
Mbwamwitu yule alimchukua John na kumpeleka katika nyumba yake (pan go)
*********************
Upande wa pili Marry akiwa nyumbani kwao alimpigia John simu lakini hakupatikana alianza kuingiwa na hofu ikambidi aende kwa kina John.
Marry alifanikiwa kufika kwakina John. Aligonga mlango aliefungua alikuwa ni mama John.
Merry alimsalimu mama John na kumuulizia John lakini aliambiwa ametoka tangu asubuhi mpaka mchana hajarudi nasiyo kawaida yaje kukaa muda mrefu,na sasa hivi ndio najiandaa nielekee kituo cha polisi maana siyo kawaida yake.
***************************
Upande wa pili
John akiwa amepata ufahamu alijikuta akiwa katika pango huku pembeni alikuwa mbwamwitu aliyenenepa huku macho yake yakibadilikabadilika John aliinuka kwa hofu kuna lakini hakufika mbali alianguka chini na kusikia maumivu makali huku akajiona anaanza kuhisi kizunguzungu.
John alikuwa na wakati mgumu sana maana yule mbwamwitu alikuwa amekaa anamuangalia tu John.
John alipoteza fahamu papohapo
******************
Upande wa mama John na merry wakiwa wanaelekea polisi kufungua faili huku marry akiwa na wasiwasi na John.
Walifanikiwa kufungua faili na kuruhusiwa kurudi muda ulienda huku John akiwa haonekani mpaka jioni
Marry alijilaumu kwa upumbavu aliyoufanyana nakulaani mwezi WA nne (April)
Kwakuwa imemletea madhara makubwa.John alikuwa haelewi kuwa tarehe 1 April ni siku ya wajinga duniani.
Marry alilia siku nzima hakula hakunywa alilia tu kwa ujinga alioufanya siku ile.
MAma John alikaa na wasiwasi hakula hakunywa akibaki anamsubiri John arudi
Anitha yeye hakuwa na wasiwasi yoyote aliendelea kufanya shughuli zake za kula siku
Mam
INAENDELEA