1. Uvivu wa kijinga usio na msingi unaua ndoa
2. Kuwa na Mashaka na mwenzio kunaua ndoa
3. Kutokuaminiana kunaua ndoa
4. Kutoheshimiana kunaua ndoa
5. Kutosamehe kunaua ndoa
6. Mabishano yanaua ndoa
7. Kutunza siri kutoka kwa mwenzi wako kunaua ndoa
8. Kila aina ya ukafiri unaua ndoa
9. Mawasiliano duni yanaua ndoa
10. Uongo unaua ndoa kirahisi
11. Kuhusiana zaidi na wazazi wako kuliko mwenzi wako kunaua ndoa
12. Kukosekana au kutofanya tendo kwa kutofurahishana kunaua ndoa
13. Kuhangaika kunaua ndoa
14. Maongezi mengi ya hovyo yanaua ndoa
15. Kutomwamini Mungu kunaua ndoa
16. Kukosa uwezo wa kujinyima raha zako nyakati ngumu kunaua ndoa.
Si mara zote mambo yatakuwa mazuri hivyo inapaswa kuvumiliana na kuaminiana
kwenye ndoa