Kiu yetu baadhi ni kujibiwa maswali kama, ni ruksa kujamiina na mjamzito…
Jibu ni NDIYO
Kama jibu ni ndiyo je style zote zinaruhusiwa…!
Jibu ni HAPANA
Staili ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na mwenza wake wakiwa katika
huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa….
1. KUINAMA
Hapa mwanamke anapaswa kuinama na kushikilia kiti, kitanda au kitu chochote
kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume atakapokuwa akimwingilia
kimwili.
Hii ni staili nzuri kwa mwanamke mjamzito kwani mwanaume hataweza kulisukuma
matumbo lake.
Hata hivyo, staili hii ina tatizo moja, uume wa mwanaume hauwezi kukisugua kinena
na ikumbukwe kuwa mwanamke ili aweze kufika kileleni lazima mwanaume asiwe
mvivu kukishughulisha kinena cha mwanamke kwani ni moja kati ya sehemu kuu ya
mwanamke inayoamsha hamasa ya mapenzi na msisimko wa ajabu unaompelekea
mwanamke yoyote yule kufika kileleni.
Hivyo, mwanaume hapa lazima ahakikishe anatumia mkono wake kumshikashika
mpenzi wake kinena ili kumhamasisha kimahaba, lakini wakati anamshika mwanamke
sehemu hiyo lazima ahakikishe vidole vyake si vikavu kwani endapo vitakakuwa
havina unyevunyevu basi lazima mwanamke ataumia mara baada ya kupapaswa navyo
katika kinena kwani kinena kimefunikwa na ngozi laini hivyo mwanaume anapaswa
kuhakikishwa vidole vyake haviwi vikavu ili kumwezesha kuaamsha hamasa yake ya
mapenzi.
2. KUKAA
Mwanaume anakaa kwenye kiti kisha mwanamke anakaa kwenye
mapaja yake, hapa uume hautaweza kuingia wote hali itakayomfanya mjamzito
asiumie na mjamzito mwenye mimba ya miezi 8 hufurahia zaidi staili hii kwani
ikumbukwe kuwa katika kipindi hiki mtoto huwa tayari ameshuka.