DADA VUA BANAH
Sehemu Ya 10/11
……..ilipoishia
Tukirudi huku walipokuwa Lucy na Sule mambo yalikuwa tete.
Lucy alimuingiza Sule kwenye chumba wanacholala na Shangazi yao.
Sule alijikuta anamsikiliza Lucy kile anachokiongea na hapingi hata kidogo.
Sule alipoingia pale alimwambia Lucy”Lakini Lucy mi naona sio vyema mimi na wewe kuwa humu ndani tufanye utaratibu mwingine lakini sio humu ndani.
Lucy alifikiria sana akagundua anachokisema Sule ni kweli kabisa,Basi Lucy alimwambia”Sawa ni vizuri pia ila huku hakuna sehem nyingine zaidi ya kuingia vichakani”……
Sule alimjibu haraka haraka”Hakuna shida hata huko huko poa tuu”.
Wakati huo giza lilizidi kutanda ilikuwa ni mishale ya saa moja moja hivi jioni.Basi Taaratibu walitoka ndani huku wakipiga story za mahaba mahaba.
Lucy alimwambia”
Yaani sule nina hamu wee acha tuu”Basi sule alimshika kalio huku akimwambia”
Umejaliwa saana yaani twende nikupe mambo bibie”…
UKIISOMA FANYA KUILIKE ILI UNIPE MZUKA WA KUJA NA KITU KIZURI ZAID YA HIKI.
Sule alitamanishwa na minyama nyama ya Lucy hivyo alijikuta anatamani kujua ndani ya sambusa kuna nini?Lucy alimwambia Sule”
Tufanyie hata hapa hapa hakuna shida kwanza giza limeingia kwa hyo ngumu mtu kutuona.
Sule alimwambia”Angalia isije ikawa tatizo maana mi nakuhofia wewe usije letewa shida na shangazi yako.
Lucy alionekana hana hofu kabisa,Basi Lucy haraka haraka aliishusha ile nguo yake na matiti yakawa nje nje!!Sule alilishika moja kwa kulipapasa huku akigugumia sauti”nsssssii!!! Wooow!!”
Akimaanisha kulitamani nyonyo hilo.
Mara akamkumbatia tena Sule huku mikono akiingiza ndani ya mwili wa sule,Joto lilianza kuwapanda kwani kila mmoja alikuwa na hamu na mwenzake.
Lucy alikuwa na haraka sana maana sio kwa hamu alizokuwa nazo”Aaaaamh!! aaaayiiiii!!!Sule jamounii mi nataka weka sasa!!”…..
Sule alijua tuu mtoto kashaiva hivyo akichelewa mambo yanaweza kuwa kama yalivyokuwa kule na Helena,
Basi sule alimwambia”Oukey baby usijali mi ni wako tuu”.
Wakati huo Helena hakuwa mbali na tukio,Na hapo anashuhudia dada yake akipewa vitu ambayo alistahili kupewa yeye.
Basi alibaki kuitoa sauti ya kimnyama mnyama lakini ni ya kuhudhunisha,Helena alilia sana japo alilia kilio cha samaki kwani hata akilia hakuna atakayemsaidia.
Shangazi naye alikuwa ndio anafika nyumbani akitokea kisimani,Hakukuta mtu ndani na cha kushangaza zaidi begi la Sule halipo alijiuliza”Ina maana mizimu haijafanya kazi Sule kaondoka iiiiiighii hapaaana!!!?? na Helena yuko wapi?”
Alitamani kumuona helena ili amrudishe katika hali yake,
Shangazi aliingia chumbani kwake kisha akashusha koba la vitu vyake.
Mkoba ulikuwa una zana nyingi sana za kichawi.
Shangazi alitoka akiwa anahahaa kiwewe cha kumkosa sule.
Alionekana kama kuna kitu anataka kukifanya kwa sule.
Mara simu ya Shangazi iliita kisha akaipokea
“Halooo!!”
“???????”
Shangazi”Hakuna kitakachoharibika atarudi tuu tena leo hii hii,lakini nawe hakikisha unakuja ili tufanye lile tambiko si unajua ni mwisho wa mwaka”
“????????”
“Sawa sawa”
Yalikuwa ni mazungumzo ya Shangazi na mteja wake ambaye hatujajua ni nani.
Shangazi alipomaliza kuongea aling’ata kidole kwa hasira huku akiangaza macho kanakwamba anatafuta mtu”Sasa na huyu Lucy yu wapi”Shangazi alijiuliza.
Wakati yupo kwenye harakati za kutafuta mara alisikia mchakacho kama vile kuna kitu kinapita lakini ni ngumu kukiona kwani ilikuwa ni giza,Alirudi ndani ili atafute hata kibatari cha kumulika.
Upande wa pili huku walipokuwa Lucy na Sule mambo yalikuwa yanapamba moto,Wakiwa wamesimama sule alikuwa akipapasa chura la Lucy huku akiishusha mikono yake kuelekea mapajani.
Alifika mahali akagusa paja tepetepe kwani kinguo cha lucy kiliishia hapo,Sule alikipandisha kile kinguo juu na kumfanya Lucy abaki utupu hali iliyozidi kumpandisha Sule mori.
Lucy alibaki na chupi tuu wakati huo Sule dudu lilishasimama haswaa.
Basi sule taaratibu aliingiza mkono wake ndani ya chupi ya Lucy pale kwenye chitumbua,Lucy aliachama mdomo kusikilizia mkono wa Sule unavyopenya,Mara Lucy akahisi kidole kinamuingia,Aling’ata lips zake kwa meno”nsiiiiiiiiaaaaaa!!!Suuuuuulee!!! mi staki bwaaaana!!!,Naumiaa eeeeti!!! Acha bwaaana!!!”.
Sule alipachika kidole cha kati mule ndani na kumfanya lucy asikilizie raha ya kidole wakati wanajiandaa kukamilisha tendo.
Basi Lucy alimsogezea Sule mdomo kwa mara nyingine ili aongezee raha juu ya raha.
Basi sule alizipokea zile lips huku kidole kikiendelea na kwichi kwichi.
Mara Lucy maji yalizidi unga akamgeuza sule kwa nguvu na kumtanguliza chini.
Lucy aliona kama anacheleweshewa wakati ye tayari kashafika peak.
Kidume sule alishtuka Lucy yuko juu yake huku akimwambia”
Tulia mpenzi wangu mi naumia eti weka haraka!!”.
Wakati hayo yanaendelea Helena hakuwa mbali kwani aliwafuatilia hatua kwa hatua,
Helena alikaa pembeni huku akimlilia mpenziwe Sule,Atafanya nini na hana uwezo tena.
Lucy alianza kuifungua suruali ya Sule huku akionekana kufakamia mithili ya mbwa mwenye njaa.
Wakati huo Shangazi huku ndani aliwasha kibatari na kutoka nacho ili akaangalie pale aliposikia mchakacho kuna kitu gani.
Shangazi alinyatia pale taaratibu huku macho ameyatoa balaa,
Akiwa mbali aliona kama kuna kitu kina katiza katiza.
Akili ya shangazi ilijua tuu huyu atakuwa ni Helena,Alimuita kwa ishara ya kichawi.
Kumbuka helena alikuwa karibu kabisa na kina Lucy,Basi helena akiwa katika umbo la mnyama alianza kunusa nusa kama mbwa anatafuta kitoweo.
Helena aligundua kuwa anaitwa na shangazi yake,Basi aliondoka na kumfuata Shangazi pale alipo.
Lakini cha kushangaza zaidi Helena alipofika kwa sahangazi aliuma nguo ya shangazi huku akimvuta kuelekea kule waliko kina Sule.
Shangazi hakujua kwanini helena anamvuta ,Naye hakutaka kupuuza ujinga wa helena alimfuata……
..Je unadhani ni kipi kitatokea?? mimi na wewe hatujui
DADA VUA BANAH
Sehemu Ya 12
……….ilipoishia
Akili ya shangazi ilijua tuu huyu atakuwa ni Helena,Alimuita kwa ishara ya kichawi.
Kumbuka helena alikuwa karibu kabisa na kina Lucy,Basi helena akiwa katika umbo la mnyama alianza kunusa nusa kama mbwa anatafuta kitoweo.
Helena aligundua kuwa anaitwa na shangazi yake,Basi aliondoka na kumfuata Shangazi pale alipo.
Lakini cha kushangaza zaidi Helena alipofika kwa sahangazi aliuma nguo ya shangazi huku akimvuta ,naye hakutaka kupuuza ujinga wa helena alimfuata…..
Endelea…
USIWE MCHOYO WA LIKE FANYA KULIKE ILI NAMI NIFANYE KWELI.
Lucy alikuwa yuko juu ya kifua cha kidume sule tayari kabisa kukata mauno.
Wakati huo Sule alisikilizia na kuungoja utundu wa Lucy.
Walikuwa hawana hili wala lile walichojua wao ni kuwa hakuna mtu aliyewaona.
Kumbe Helena ameshuhudia kila kitu kilichoendelea baina ya Lucy na Sule.
Basi Lucy alianza kuitoa suruali ya Sule taaratibu ,Aliishusha mpaka magotini kisha akaifunua boxer ya Sule na kuiacha dudu ikiwa nje nje.
Lucy naye aliipandisha vizur ile nguo yake na akaanza kuishusha chupi yake mpaka magotini.
Lucy aliikamata dudu ya Sule tayari kwa kuanza shughuli.
Shangazi kama kawaida yake mziba riziki alikuwa kashatia maguu pale,Lucy na Sule wakiwa katika steji ya utamu kolea Lucy alishtukia kusikia kibao cha matako”Paaaaah!!”.
Alishtuka na kukurupuka cha kwanza aliivuta chupi yake na kuivaa,Sule naye haraka haraka aliipandisha suruali na boxer yake kwa pamoja maana sio kwa fumanizi hilo.
Sule kwa aibu alifunika uso wake kwani ni mara ya pili shangazi anamfuma na tena bora ingekuwa ni kwa helena tuu Sule alitaka kupita na wote Shangazi alikasirika”
Weee umbwaa unataka kuharibu wanangu woote!!!! muone bichwa lake kama rungu”.
Sule kwa mara nyingine anakosa chitumbua kwa mrembo Lucy,Sule kwa aibu alinyanyuka na hakuwa na kumbukumbu begi lake kaliacha wapi maana shughuli ilikuwa pevu,Shangazi alimwambia”
Nenda mwana kwenda nilikuona una busara kumbe kuhani mkubwa!!
Punguani weye!!”
Sule aliporomoshewa mitusi mfululizo na shangazi.
Shangazi alimgeukia Lucy na kumwambia”
Hivi nyie mnanitaka nini labda!!?,Au nivue nguo niwaachie radhi pumbavu nyie!!!”Lucy alimuangalia shangazi yake kwa dharau kisha akaongea”
Hivi shangazi kwa kuwa wewe haukuolewa ndio unataka na sisi tuwe kama wewe!!!”
Shangazi alikasirika akamuita Helena kwa ishara kama kawaida kisha akamnyooshea kidole na helena pale pale akarudi katika hali yake,Shangazi alimgeukia Lucy kisha akamnyooshea kidole.
Lucy alikuwa jeuri lakini alivyoona kidole alijikuta anaomba msamaha,Lakini shangazi alimgeuza Lucy kuwa lidubwasha kama alivyokuwa Helena.
Helena alimfuata shangazi yake kisha akampigia magoti kumshukuru”
Asante sana shangazi yangu nakupenda sana”
Shangazi alimuangalia kisha akamwambia “
Nyanyuka halafu mwambie lucy aache kunidharau naweza kumfanya aishi hivyo milele shetani huyu!!?.
Wakati huo Sule alifika katika nyumba ya shangazi yake Helena na kuanza kuizunguka kama vile amechanganyikiwa.
Alikwenda kutafuta begi lakini safari yake iliishia pale kwa kuizunguka nyumba.
Shangazi alimuamuru Lucy aende kwenye banda lao,Banda hili ni banda ambalo waliishi kipindi kile walipokuwa misukule kamili walipokuwa hawatoki ndani.
Basi shangazi wakiwa na Helena walifika pale nyuma ya nyumba yao na kumkuta Sule anazunguka tuu.
Walimuacha akizunguka pale kisha wao wakaingia ndani,Shangazi alimwambia Helena”
Sasa helena nataka unisaidie kitu”….
Helena alimuuliza”
Kitu gani tena shangazi”…….
“nataka nimuachie huyu kijana lakini nataka uumpe kinywaji hiki anywe utajua wewe utatumia njia gani kumshawishi lakini ninachotaka ni akitie tuu mdomoni”.
Helena kusikia vile naye akatumia nafasi hiyo kumuombea Lucy msamaha”
Lakini shangazi kwanini tusimsamehe tuu Lucy maana anateseka sana”.
Shangazi huwa anampenda Helena kiasi fulani hivyo alijikuta anakubali ombi la Helena.
Basi Helena alipokea kinywaji kile huku shangazi akifanya mambo yake ili kumruhusu Sule arudi sawa.
Sule alibumburuka na kuanza kulitafuta begi lake,Kumbe alilisahau pale walipokuwa wanamchinja yule mbuzi.
Alilifuata kisha akalichukua tayari kuondoka ,
Basi Helena alishapata wazo na namna ya kumzuia Sule.
Je wazo lake litafanikiwa?? songa nayo…..
TUKIRUDI HUKU TOWN WALIKO WAZAZI WA SULE
Wakati yote yanaendelea huku nyumbani kwa kina Helena na huku nyumbani kwa mzee Nassor mambo yalikuwa hivi.
Mama na Baba wa kambo wa Sule tayari walishapata taarifa za Sule kuonekana na utaratibu uliokuwa unafuata ni namna ya kumrejesha nyumbani.
Mama alionekana kufuahi kwani ndio mwanaye wa pekee aliyebaki,
Mzee akiwa yuko chumbani alipokea simu,Alipomaliza maongezi alimwambia mkewe”
Mama suu!! ile safari yangu bado ipo kwa hivyo kesho nitasafiri sasa njoo nikuachie maagizo ya jinsi ya kufuatilia shughuli zangu kwa muda wa wiki 2″
Kiukweli mzee huyu anampenda sana mkewe kwani asilimia kubwa ya mali zake ni mchango kutoka kwa mkewe huyu.
Mzee alimwambia”Sasa hizi ni document na hati miliki za miradi yetu yoote kuachana na ile tuliowagawia watoto,Na ikitokea serikali inahitaji kujua kuhusu umiliki au uhakiki wa miradi yetu utatoa copy na hizo copy ndio utakazozionyesha pindi watakapohitaji,Na pia uhakikishe makusanyo yote yamekwenda benki”,
Mama aliachiwa majukumu yote mbali na hayo majukumu mzee alimwambia
“Na uhakikishe sule anarudi kama si leo iwe kesho mapema”
Mzee aliongea huku akipanga panga mambo yake.
Huku kwa kina Helena tayari Lucy alisharejea katika hali yake ya kibinadamu na wakati huohuo Sule alionekana anaondoka.
Kwa kuwa helena alikuwa amepewa kazi ya kumzuia sule asiondoke bila kunywa kinywaji kile alichopewa na Shangazi,Basi alimfuata sule akiwa na kile kinywaji kujaribu kama hilo litawezekana…..
Unahisi nini kitatokea endapo sule atakunywa kinywaji hicho???