LOOH DADA MARTHA
Sehemu Ya 11
ILIPOISHIA:
Walikaa kitandani, safari hii walikaa sanjari wote wakiangalia mlangoni, miguu yao ikining’inia kwenda chini.
“Kwa hiyo we huwezi kukaa na mimi kama hivi huku tunazungumza?” aliuliza Martha huku akimwangalia Roi, Roi naye akamwangalia Martha kwa macho ya kiume, Martha akalegea, lakini akajikaza…
“Mimi nitaweza bro,” alisema Martha huku akimwangukia mapajani Roi…
“Ka…ka ja…ma…ni…”
ENDELEA SASA…
Roi alijikuta akitetemeka, mwili ulimwishia nguvu huku akihisi kizunguzungu cha mahaba mwilini mwake…
“Sis…taaa…” aliita kwa sauti ya kiume, iliyotoka kwa mtetemeko.
“A…be…ee,” Martha naye aliitika sauti iliyojaa maumivu na kusubiri tiba ya dhati kutoka kwa mwanaume huyo akiwa kama mwanamke mkamilifu.
“Hali yako vipi?”
“Mi…mi nipo tayari mpenzi…”
Roi alimshika Martha, akamweka kifuani pake na kumwinua kitandani kisha wakaanza kwenda sambamba kwa kusukumana ili kupandisha moto mwilini.
Martha muda mwingi alikuwa akiweweseka kwa maneno matamu yaliyojaa mahaba kiasi cha kumfanya Roi ajisikie kama yuko kwenye ulimwengu mwingine kabisa na si duniani.
Roi aliamua kujiweka sawa, akamweka sawa, akaingia uwanjani na mechi ikaanza huku kila mmoja akiwewesekea mahaba hayo.
Haikufika dakika kumi, Martha akatoa tangazo la kufika kwenye eneo alilolitafuta, akamtaarifu Roi, akapokelewa kwa mikono miwili huku akisifiwa kwa maneno matamu kwamba anaweza kuucheza mpira sawasawa.
“Siistaaa,” aliita kwa kigugumizi Roi,
Martha akamkatalia kwamba yeye si sista wake tena…
“Niite mpenzi.”
“Mpenzi.”
Kumbe Roi naye alimwita Martha ili amtangazie kuwasili kwake kwenye mafanikio ya safari yao na yeye akapokelewa kwa maneno matamumatamu.
***
Martha na Roi walikuwa wakijiuliza ni kwa nini wanaingia na kutoka wakati ukweli uko wazi tu…
“Hivi kuna siku tutarudia ukaka na udada?” aliuliza Roi, Martha akacheka kwa mbali…
“Mimi nikuulize wewe…” alisema Martha.
“Na mimi nikuulize wewe.”
“Teh! Teh! Mimi naweza…”
“Huwezi bwana, tusidanganyane,” alisema Roi kwa sauti ya kujiamini sana, Martha akacheka tena, safari hii kwa kicheko cha juu kidogo…
“Haya tuamue kuanzia sasa hivi mimi na wewe ni kaka na dada,” alisema Martha…
“Haya tuanze, tena sogea pembeni yangu usiniguse,” alisema Roi huku akipeleka mkono kwenye nido moja ya Martha, akapiga ukelele na kulegea macho…
“Baby bwana…” alilalamika Martha akiwa amebadilika sauti. Ilitoka kwa kinyonge maana mwili ulishapata moto kwa kule kushikwa nido tu.
“Nini?”
“Unanisisimua bwana…”
“Aaah! Mimi na wewe si kaka na dada jamani?”
“Hata kama! Sasa unanishika huko wakati unajua nitapata tabu…”
“Ukipata tabu mimi kaka yako si nipo.”
“Hiloo, tumeshakubaliana leo iwe mwisho,” alisema Martha.
Roi akapeleka mkono tena na kushika mahali palepale, Martha akapiga kelele, akainuka na kumwegemea Roi huku akisema…
“Umenianza mwenyewe, sasa lazima umalizie kazi uliyoianza.”
Hapo Martha sasa alimlalia kifuani Roi kwa staili ya utundu huku akimwangalia kwa macho ya karibu sana…
“Sitaki,” alisema Roi…
“Hakuna bwana, huwezi kunichaji halafu ukaniacha hivihivi, haiwezekani,” Martha alitumia nguvu kumweka Roi kwenye himaya yake.
Roi alitoka kitandani, Martha akamfuata, wakakimbizana chumbani japokuwa kilikuwa kidogo.
Roi akaingia bafuni, Martha akafuatia. Hapo wote walikuwa kama walivyozaliwa.
“Kwani dada unachotaka ni nini zaidi?” aliuliza Roi huku akiachia tabasamu…
“Mimi siyo dada yako kwanza! Halafu si kingine ninachokitaka, wewe unakijua sana. Wewe si ndiyo umenichaji bwana, lazima unitoe kwenye chaja sasa,”
alisema Martha akiwa amemshika kwa nguvu mwanaume huyo na kutoka naye bafuni kurudi chumbani huku akiendelea kusema…
“Twende kitandani, sikubali mimi.”
Walipofika chumbani, Martha alitangulia kupanda kitandani, ghafla Roi akaenda nyuma ya mlango na kutungua suruali kwa lengo la kuvaa.
“Ha! Ha! Una maana…”
Kabla hajamaliza, Roi alifungua mlango ili atoke chumbani humo…
Je, unajua nini kiliendelea? Usikose kusoma chombezo hili tamu sana…
LOOH DADA MARTHA
Sehemu Ya 12
ILIPOISHIA:
“Ha! Ha! Una maana…”
Kabla hajamaliza, Roi alifungua mlango ili atoke chumbani humo…
JAMPU NAYO MWENYEWE…
Martha aliruka kama golikipa, akamdaka Roi ambaye tayari alikuwa katikati ya mlango…
“Baby noo! Si vizuri jamani, hebu rudi kwanza,” alisema Martha kwa sauti tamu huku akiwa amemlegezea macho Roi.
Roi alirudi, akafikia kukaa kitandani…
“Unasemaje sista?”
“Hivi baby kwa hali niliyonayo kweli unaweza kuniacha hivihivi jamani nateseka mwenzako na wewe kama mwanaume tena rijali upo ndani ya chumba!
“Afadhali ingekuwa tumekaa hotelini kama muda ule.
Lakini ndani kabisa ndani, tena kitandani, wawili tu na wala sisi si ndugu wa damu moja ni ndugu wa kujitakia, unaniacha nateseka. Hii siyo fea Roi.”
Roi alimwangalia Martha kwa macho yaliyojaa kicheko lakini cha kujibana, akasema…
“Martha, mimi na wewe, wawili tu bila kuwepo kwa mtu mwingine si tumekubaliana ukaka na udada urudi kama awali lakini, au?”
“Ndiyo lakini iwe baada ya leo.
Leo tumalizane kwanza kama wapenzi halafu kuanzia kesho tunaendelea na ukaka na udada wetu mi mwenzio niko vibaya sana, hujui tu.”
“Noo Martha, noo! Mimi kwanza napenda sana udada na ukaka wetu, hivyo katika mazingira hayahaya magumu ndiyo tujikomaze,” alisema Roi kwa sauti iliyokosa hali ya kujiamini.
“Hapana Roi…hapana jamani, please usinifanyie hivi,” alisema Martha huku akipiga magoti kwa unyenyekevu, Roi akajua anataka kumwomba msamaha lakini sivyo, Martha akapeleka mkono na kushika maiki ya Roi ili aanze kuimba nyimbo za mahaba.
Roi alilazimika kujichojoa mwenyewe huku akigugumia ndani kwa ndani kuashiria kwamba alikuwa katika wakati mgumu wa hisia za kimapenzi.
Kwa vile Martha alikuwa amepiga magoti, alikuwa akiimba kwa kutumia maiki hiyo huku akimwangalia Roi kwa macho ya kulegea.
Roi akawa hoi bin taaban, akamshika mikono Martha na kumvutia kwake huku akiwa anatetemeka miguu.
“Una…una…” alishindwa kumaliza kusema Roi akajikuta amebaki akiweweseka, akamkodolea macho Martha, Martha akasimama, akampandisha Roi kitandani na yeye akafuatia.
Waligalagazana pale kitandani kwa dakika kadhaa huku kila mmoja akihema kwa kasi yake, Martha hakuwa tayari kupoteza muda, akamuweka sawa Roi ili waingie uwanjani kuanza kuicheza mechi.
Martha aliamini akitumia ujuzi wake wote, anaweza kumfanya Roi akaachana na habari za ukaka na udada kwani moyoni mwake alianza kuona ukaka na udada kwa Roi utampotezea mambo mengi sana…
“Sista…aaa,” aliita kimahabamahaba Roi…
“Niambie…”
“Mi nina wazo sijui kama utanielewa lakini…”
“Liseme…”
“Tuachane na udada na ukaka kabisa, tubaki kuwa wapenzi, huenda siku moja tutakuwa mke na mume…”
“Naunga mkono baby, sitaki tena ukaka kutoka kwako…”
“Na mimi sitaki tena udada kutoka kwako.”
Martha alianza kupandisha ‘mashetani’ yake ya mahaba.
Alitoa mlio wa kumtoa simba kwenye msitu mkubwa huku akisema anachotaka kukifanya.
Akapokelewa kwa maneno matamu na Roi.
Walitulia kidogo kuvuta kasi na Martha kujiweka fiti, wakaanza tena lakini safari hii walibadili mapozi, wakaenda na pozi la muunga mboga jikoni, Roi hakufika mbali akatangaza nia.
Sasa walikuwa wamelala wote wakiangalia juu…
“Baby,” aliita Roi…
“Niambie sweet wa mimi!”
“Unajua nakupenda sana, si kama dada lakini bali kama mpenzi wangu.”
“Hata mimi si kama kaka sasa ila kama my baby.”
“Mbali na mwanaume uliyezaa naye ambaye uliniambia alikuacha, una mchumba? Maana hatukuwahi kuliongelea hili hata siku moja.”
“Ni kweli hatujawahi kuliongea hili hata siku moja mimi na wewe, nina mwanaume lakini si mchumba wangu.”
Roi alishtuka, akainuka na kukaa kitandani…
“Vipi tena baby wangu?”
“Nimeshtuka, una mtu?”
“Yes!”
“Ina maana siku ile mpaka nakuja kwako usiku ukasema una kiu, kumbe una mtu?”
“Ninaye sweet lakini alisafiri siku zile, alikuwa Zambia lakini amerudi, yupo mjini kwa sasa.”
“Anaishi wapi?”
“Anaishi wapi kivipi?”
“Huyo jamaa yako anaishi wapi hapa jijini Dar es Salaam?”
“Kwangu.”
Roi alitoka kitandani, akasimama akihema kwa kasi…
“Martha acha mambo ya utani bwana.”
“Sina utani, anaishi na mimi pale.”
“Mh! Kumbe una mume Martha?”
“Ndiyo Roi.
Ndiyo maana uliponiuliza nina mchumba nikakwambia sina kwa sababu nina mume.
Sikutaka kukwambia siku za kwanza kwa sababu zangu binafsi.”
Je, unajua nini kiliendelea? Usikose kusoma chombezo hili tamu.
LOOH DADA MARTHA
Sehemu Ya 13
ILIPOISHIA:
“Ha! Ha! Una maana…”
Kabla hajamaliza, Roi alifungua mlango ili atoke chumbani humo…
ENDELEA
Martha aliruka kama golikipa, akamdaka Roi ambaye tayari alikuwa katikati ya mlango…
“Baby noo! Si vizuri jamani, hebu rudi kwanza,” alisema Martha kwa sauti tamu huku akiwa amemlegezea macho Roi.
Roi alirudi, akafikia kukaa kitandani…
“Unasemaje sista?”
“Hivi baby kwa hali niliyonayo kweli unaweza kuniacha hivihivi jamani nateseka mwenzako na wewe kama mwanaume tena rijali upo ndani ya chumba!
“Afadhali ingekuwa tumekaa hotelini kama muda ule. Lakini ndani kabisa ndani, tena kitandani, wawili tu na wala sisi si ndugu wa damu moja ni ndugu wa kujitakia, unaniacha nateseka. Hii siyo fea Roi.”
Roi alimwangalia Martha kwa macho yaliyojaa kicheko lakini cha kujibana, akasema…
“Martha, mimi na wewe, wawili tu bila kuwepo kwa mtu mwingine si tumekubaliana ukaka na udada urudi kama awali lakini, au?”
“Ndiyo lakini iwe baada ya leo. Leo tumalizane kwanza kama wapenzi halafu kuanzia kesho tunaendelea na ukaka na udada wetu mi mwenzio niko vibaya sana, hujui tu.”
“Noo Martha, noo! Mimi kwanza napenda sana udada na ukaka wetu, hivyo katika mazingira hayahaya magumu ndiyo tujikomaze,” alisema Roi kwa sauti iliyokosa hali ya kujiamini.
“Hapana Roi…hapana jamani, please usinifanyie hivi,” alisema Martha huku akipiga magoti kwa unyenyekevu, Roi akajua anataka kumwomba msamaha lakini sivyo, Martha akapeleka mkono na kushika maiki ya Roi ili aanze kuimba nyimbo za mahaba.
Roi alilazimika kujichojoa mwenyewe huku akigugumia ndani kwa ndani kuashiria kwamba alikuwa katika wakati mgumu wa hisia za kimapenzi.Kwa vile Martha alikuwa amepiga magoti, alikuwa akiimba kwa kutumia maiki hiyo huku akimwangalia Roi kwa macho ya kulegea.
Roi akawa hoi bin taaban, akamshika mikono Martha na kumvutia kwake huku akiwa anatetemeka miguu.
“Una…una…” alishindwa kumaliza kusema Roi akajikuta amebaki akiweweseka, akamkodolea macho Martha, Martha akasimama, akampandisha Roi kitandani na yeye akafuatia.
Waligalagazana pale kitandani kwa dakika kadhaa huku kila mmoja akihema kwa kasi yake, Martha hakuwa tayari kupoteza muda, akamuweka sawa Roi ili waingie uwanjani kuanza kuicheza mechi.
Martha aliamini akitumia ujuzi wake wote, anaweza kumfanya Roi akaachana na habari za ukaka na udada kwani moyoni mwake alianza kuona ukaka na udada kwa Roi utampotezea mambo mengi sana…
“Sista…aaa,” aliita kimahabamahaba Roi…
“Niambie…”
“Mi nina wazo sijui kama utanielewa lakini…”
“Liseme…”
“Tuachane na udada na ukaka kabisa, tubaki kuwa wapenzi, huenda siku moja tutakuwa mke na mume…”
“Naunga mkono baby, sitaki tena ukaka kutoka kwako…”
“Na mimi sitaki tena udada kutoka kwako.”
Martha alianza kupandisha ‘mashetani’ yake ya mahaba.
Alitoa mlio wa kumtoa simba kwenye msitu mkubwa huku akisema anachotaka kukifanya. Akapokelewa kwa maneno matamu na Roi.
Walitulia kidogo kuvuta kasi na Martha kujiweka fiti, wakaanza tena lakini safari hii walibadili mapozi, wakaenda na pozi la muunga mboga jikoni, Roi hakufika mbali akatangaza nia.
Sasa walikuwa wamelala wote wakiangalia juu…
“Baby,” aliita Roi…
“Niambie sweet wa mimi!”
“Unajua nakupenda sana, si kama dada lakini bali kama mpenzi wangu.”
“Hata mimi si kama kaka sasa ila kama my baby.”
“Mbali na mwanaume uliyezaa naye ambaye uliniambia alikuacha, una mchumba? Maana hatukuwahi kuliongelea hili hata siku moja.”
“Ni kweli hatujawahi kuliongea hili hata siku moja mimi na wewe, nina mwanaume lakini si mchumba wangu.”
Roi alishtuka, akainuka na kukaa kitandani…
“Vipi tena baby wangu?
“Nimeshtuka, una mtu?”
“Yes!”
“Ina maana siku ile mpaka nakuja kwako usiku ukasema una kiu, kumbe una mtu?”
“Ninaye sweet lakini alisafiri siku zile, alikuwa Zambia lakini amerudi, yupo mjini kwa sasa.”
“Anaishi wapi?”
“Anaishi wapi kivipi?”
“Huyo jamaa yako anaishi wapi hapa jijini Dar es Salaam?”
“Kwangu.”
Roi alitoka kitandani, akasimama akihema kwa kasi…
“Martha acha mambo ya utani bwana.”
“Sina utani, anaishi na mimi pale.”
“Mh! Kumbe una mume Martha?”
“Ndiyo Roi. Ndiyo maana uliponiuliza nina mchumba nikakwambia sina kwa sababu nina mume. Sikutaka kukwambia siku za kwanza kwa sababu zangu binafsi.”
Je, unajua nini kiliendelea? Usikose kusoma chombezo hili tamu
LOOH DADA MARTHA
Sehemu Ya 14
ILIPOISHIA
“Martha acha mambo ya utani bwana.”
“Sina utani, anaishi na mimi pale.”
“Mh! Kumbe una mume Martha?”
“Ndiyo Roi.
Ndiyo maana uliponiuliza nina mchumba nikakwambia sina kwa sababu nina mume.
Sikutaka kukwambia siku za kwanza kwa sababu zangu binafsi.”
SHUKA NAYO MWENYEWE…
“Sababu kama zipi?”
“Nazijua mwenyewe, iko siku nitakwambia.”
“Kama ni hivyo Martha please tuendelee kuwa kaka na dada kuanzia sasa hivi tunavyoongea, mimi si mpenzi wako tena na wala wewe si mpenzi wangu tena.”
“Noo! Roi noo! Mimi bado nakuhitaji wewe kama mpenzi wangu.
Ukaka na udada ulishakufa, we unajua.”
“Martha…” aliita Roi.
“Abee…”
“Katika vitu sivitaki katika maisha yangu ni kutembea na mke wa mtu.
Sitaki wala sipendi na sitamani.
Kwangu mke wa mtu ni sumu kama sumu nyinginezo.
Yaani wewe saa hizi ninapokuangalia nakuona kama ile sumu ya kuulia panya,” alisema Roi akiwa amekunja sura.
“He! Hayo yote yanatokana na nini mpenzi wangu jamani?”
“We unajua. Kumbe una mume wako halafu unatembea na mimi! We ni msaliti.”
Martha alimlalia mapajani Roi na kuanza kulia tena kile kilio cha kwikwi.
“Unalia nini sasa?” aliuliza Roi mikono ikiwa juu kwa maana kwamba hakuwa anataka kumshika Martha.
“Baby,” aliita Martha kwa sauti tamu sana…
“Nini?”
“Kuna kitu nilitaka kujifunza kwako.”
“Kipi?”
“Niliamua kukudanganya ili nione kama utakubali kuendelea kuwa na mimi au la! Inaonekana wewe ni mwanaume mwaminifu, usiyetaka kuchanganya.
Nimefurahi sana,” alisema Martha…
“Martha we mwongo.
Unajifanya ulikuwa unanidanganya kwa vile nimekuonesha msimamo wangu siyo? We si mkweli.”
“Baby, unataka nifanyeje ili uamini?”
“Mimi sijui ufanyeje! Wewe ndiyo unajua ufanyeje!”
“Twende ukalale kwangu leo,” alisema Martha huku akimwangalia Roi kwa kutokea chini.
Sasa Roi alishalegeza masharti.
Alimshika mwilini Martha huku akimpapasapapasa sehemu mbalimbali.
Mara kifuani, mara tumboni, mara kwenye nido.
“Pengine mumeo kasafiri.”
“Utawauliza wale wanawake.”
“Ah! Si utawaambia hata kwa simu kwamba nikiwauliza wajibu nini!”
“Basi twende kwako nikalale huko.”
“Sitaki.
Si utamdanganya mumeo kwamba umekwenda kumsalimia shangazi yako.”
“Jamani baby! Sasa nifanyeje ili uamini nilikuwa nakudanganya?”
“Mimi sijui Martha.”
“Haya! Sikia, basi twende kwako, chukua nguo, twende kwangu.
Ukae pale hata kwa siku kadhaa hivi.”
“Sawa.
Twende.”
Roi na Martha waliondoka mpaka nyumbani kwa Roi.
Ilikuwa mara ya kwanza, Martha kuingia kwenye nyumba hiyo, akapongeza kwa jinsi ilivyo.
Roi alibeba nguo za kubadili kwa siku tano, aliamini ndani ya siku hizo.
Atajua ukweli kwa kuchunguza mambo kadhaa.
Walianza safari hadi nyumbani kwa Martha…
“Hilo duka lina mlinzi baby, kwa hiyo gari laza hapahapa nje,” alisema Martha.
Mbele ya nyumba anayoishi kuna barabara, ng’ambo yake kuna duka.
Ilikuwa ni dalili ya kwanza kwa Roi kuthibitisha kwamba, kweli Martha hana mume…
“Angekuwa ana mume, asingetaka gari lilale jirani hivi,” alisema moyoni huku akifunga milango.
Nje ya nyumba, walikaa wale wapangaji wenzake, Martha.
Walipomwona Roi walimchangamkia sana…
“Karibu kaka…mzima wewe? Za siku jamani?”
“Njema…njema…njema sana,” Roi aliwaitikia wote kwa kuunganisha maneno.
Walipoingia ndani, nyuma maneno yakaanza…
“Jamani, mbona kaja na begi? Ndiyo kahamia nini?”
“Inawezekana.
Lakini jamani twende mbele na kurudi nyuma, Martha si mwanamke machepele,” alisema mmoja wa wapangaji hao.
“Ni kweli. Ila aliwahi kuwa na kizee kimoja hivi, sijakiona muda, nadhani walizinguana,” alisema mwingine.
Wapangaji hao walimchambua Martha mpaka wakafika kwa Roi, kwamba kwa nini anamtambulisha kama kaka yake wakati ni mpenzi wake?
“Kile kizee alikitambulisha kuwa ni mpenzi wake, sasa huyu kijana mwenzake kwa nini anasema ni kaka yake?” aliuliza mpangaji mmoja.
“Ukiona hivyo ujue ni mume wa mtu.
Kile kizee si kilifiwaga na mke, ndiyo maana alikiweka wazi,” alisema mpangaji mwingine. Mpangaji wa tatu akatahadharisha kuwa, Martha anatoka baada ya kusikia kutembea kwake…
“Anakuja jamani… anakuja! Nyamazeni.”
Martha alitoka na Roi, wakasimama…
“Jamani! Huyu bro wangu atakuwa hapa kwangu kwa siku kadhaa.
Kwa hiyo msishangae mkimwona anaingia na kutoka,” alisema Martha kwa sauti ya kujiamini sana kisha akamshika mkono Roi na kurudi naye ndani huku wale wapangaji wakisema…
“Sawa, karibu bro.
Hakuna shida.”
Nyuma, walianza tena wale wapangaji…
“Jamani…Martha si ana chumba kimoja tu?”
“Ndiyo.”
“Sasa kaka yake atamlaza wapi?”
“Si anatuvunga tu.”
“Sasa mimi nitamkomesha,” alisema mpangaji mmoja.
“Utamkomeshaje?”
“Nitachukua namba yake ya simu halafu nitaanza kujigonga kwake.”
***
Ulikuwa ni usiku wa kwanza kwa Martha na Roi kulala pamoja wakiwa wamefuta ukaka na udada wao.
Martha ndiye aliyekuwa mchokozi pale kitandani.
Alimshikashika Roi kwa kuanzia kichwani, akaja kifuani, akampa kidole chake kwenye kinywa, Roi akakipokea, akamlalia kifuani huku akianza kuhema kwa staili ya mahaba.
Mara, mlango mkubwa wa kuingilia sebuleni uligongwa…
“Mh! Martha! Si jamaa yako huyo kweli?”
Je, unajua nini kiliendelea
LOOH DADA MARTHA
Sehemu Ya 15
ILIPOISHIA
“Nakusikiliza dada’angu. Liseme hilo unalotaka kulisema.”
Mama Anna alisogea tena, akanyoosha mikono yake yote na kushika mikono ya Roi…
“Ni hivi…” alikohoa kwanza…
SASA JIACHIE MWENYEWE…
Roi alishtuka kidogo kule kushikwa mikono na mwanamke.
Na kama mwanaume alihisi joto la mapenzi likimpanda.
Akamtumbulia macho huku akihema kwa mbali…
“Unajua wewe ni mwanaume, tena mzuri na unayevutia, si ndiyo?” alisema mama Anna…
“Pengine wewe ndiyo unaniona hivyo dada.”
“Ni kweli. Hivi, yule Martha kweli ni dada yako kama anavyoendelea kututambulisha kila siku?”
Lilikuwa swali lenye mtego mkubwa kwa Roi.
Moyoni aliona nusunusu, akisema siyo hajui nini kingetokea akisema ndiyo pia hakujua nini kingetokea.
Akaamua kusema siyo ili kama mama Anna ana jambo la siri anataka kumwambia, amwambie.
“Siyo dada yangu.”
“Ni nani wako?”
Roi aliamini kwa jibu lake kila kitu kiko wazi, lakini kwa vile aliulizwa alijibu…
“Ni mchumba wangu.”
“Ok. Ndiye utakayemuoa?”
“Ndiyo maana yake.”
“Ok. Mnaendana lakini.
Hata mimi naunga mkono wewe kumuoa wajina wangu Martha,” alisema mama Anna mpaka Roi akashangaa, moyoni akajiuliza…
“Ina maana hili ndilo alilotaka kuniambia mpaka akawa anakaa vizuri? Siyo hili, huyu ana lake jambo.”
“Kumbe na wewe unaitwa Martha?” aliuliza Roi.
“Ndiyo.
Mama Anna, ni kwa sababu ya mtoto wangu tu.
Naye yuko kwa baba yake, tulitengana kama mwaka wa nne sasa.”
“Ooh! Sawa.”
Mama Anna akamwangalia Roi kwa macho ya wizi, Roi naye alimwangalia kwa macho ya waziwazi…
“Una lingine dada’angu?”
Mama Anna alimwangalia Roi kwa muda kisha akatoa sauti ya chini sana…
“Lingine mi nakupenda.”
“Oo! Asante sana kwa kunipenda,” alisema Roi huku akimwangalia mama Anna kwa macho ya ujasiri.
Mama Anna alipeleka tena mikono yake kwenye mikono ya Roi na kuishika, akaanza kuiminyaminya kimahaba.
Roi akawa mtu wa kujishtukia tu, ulaini wa mikono ya mama Anna ulimuweka katika wakati mgumu, akahisi akianza kutokwa na kijasho chembamba.
Kwa mtu yeyote aliyewaona alijua wawili hao ni wapenzi kwa jinsi walivyokaa karibu.
“Dada Martha,” aliita Roi.
“Abe.”
“Tubaki kuwa dada na kaka.”
“Ni kweli.
Lakini mi nakupenda sana.”
“Ndiyo hivyo, tayari ninaye Martha mwenzako.
Akijua je?”
“Atajuaje? Au utamwambia jamaniiii?”
“Hapana! Si unajua dunia haina siri! Hata ukifanyia kitu chumbani, tena ukiwa peke yako, watu watajua tu, sembuse sisi dada!”
“Kwani unataka kuniambia sisi ni utu uzima wetu tunaweza kufanya mambo mpaka yakawa hadharani?” aliuliza mama Anna huku akizidi kuviminyaminya vidole vya Roi.
Sasa akawa anakikuna kiganja cha mkono wa kulia, Roi akasisimka…
“Hu…we…zi ku…ju…a,” alisema Roi kwa kukatakata maneno yake.
Roi tayari alishapandisha joto la mwili.
Kwa ni kusema ukweli, mama Anna naye alijaliwa.
Kila sehemu ya mwili wake ilikuwa ina sifa, sijui wakati wa usichana wake alikuaje kama akiwa mama wa mtoto mmoja tu ndiyo hivyo.
Alijua vyema kuyatumia macho yake. Alipomwangalia mwanaume yalionekana kama ya mtu aliyekuwa akitaka kusinzia ‘flani hivi.
“Hawezi bwana.
Mimi nitajitahidi kufanya siri ya hali ya juu. Sitamwambia hata mtu mmoja.
We niamini mimi.”
Hivi kweli hawezi kujua?
Kila ninapomfikiria, namuona kuwa mwanamke mjanjamjanja, naogopa sana,” alisema Roi, japokuwa naye alikuwa amekwishaanza kuzama katika lindi la tamaa ya mapenzi, lakini akajifanya kukaza.
“Haki ya Mungu hatojua, niamini jamani, kweli hatojua,” alisema mama Anna.
“Mh! Ma…Martha…”
“Abee.”
“Uta…weza?”
“Kufanyaje?”
“Ku…fi…cha si…ri?”
“Mi ni msiri sana usinione hivi,” alisema mama Anna huku akizidi kumkuna kiganjani Roi ambaye sasa damu zilikwenda kwa kasi.
Roi kama mwanaume rijali hakuona sababu ya kulaza damu kwa mwanamke huyo ambaye alijilengesha mwenyewe…
“Afadhali ningemtongoza, sasa mwenyewe tu anajileta halafu nimwachie, nitakuwa si mwanaume,” alisema moyoni huku sasa na yeye akianza kumshikashika mama Anna.
Ilipita kama dakika tatu hakuna aliyekuwa akizungumza zaidi ya kuendelea kushikana kiaina.
Kilichosikika ni kuhema kwa mama Anna ambaye sasa alionekana kama tayari amechaji.
Roi alimsimamisha, akamshika mkono na kuondoka naye…
“Tunakwenda wapi sasa?” aliuliza mama Anna.
“Wewe twende tu, wala usiogope,” alisema Roi, tayari akili yake ilikwishahama kabisa, kwa kumwangalia tu, ingekufanya ujue tayari penzi lilimchukua.
Je, unajua walikuwa wakienda wapi?
Usikose kusoma chombezo hili tamu……