Clickable WP Image
JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

DOCTA SIUMWI HUKOO

Sehemu Ya 21

TULIPOISHIA

Nilimjibu hivyo kwakuwa nilikuwa nina hasira sana

safari yakwenda Tegeta ilianza

nilikodisha tax njiani nilikuwa nina mawazo mengi sana

hata kufikiria wito wakwenda kwa Adams nilikuwa sina kabisa”

ENDELEA

Ehee nini kilicho kutuma umwambie Sulee kuwa hana ukimwi na kuwa mimi ndiye niliye fanya mpango huo”

“shangazi sijamwambia mimi”

“amejuwaje”

“alikuwa akilalamika

kichwa kinauma alienda kupima

kaniambia alipima kama kinga zime shuka au zipo juu alipopima aliambiwa kuwa hana H.I.V.

Nihapo alipo juwa, pia akaenda kwa dokta tuliko endakupima sikuile alimpeleka mahakamani

ndiyo alikutaja kuwa wewe unahusika shangazi”

“unajifanya mjanja eeeh

subiri” dk45,

***

sulee alifika Afica sana alipo

kuwepo Adams aliye tulia

katika baa ya, Mango garden.

Alikuwa hana wasiwasi akiwa

anakunywa juice ya embe.

Taratibu sulee alitokea katika lango kubwa alikuwa akizubaa zubaa akiangaza angaza kushoto kulia akimtafuta Adams alipo kaa

Adams alipo muona alimuita Muhudumu hakutaka kupiga simu.

“dada tafadhali naomba niitiye

yule dada aliye vaa nguo za pink

getini”

“sawa kaka”

Dk2 zilimtosha sulee kufika katika eneo alipokuwepo Adams kijana aliye kuwepo katika pozi matata ndani ya suti maridadi sana manukato yake yalikuwa mazuri sana hakika alitokelezea mbaya.

“mambo vp mrembo sulee”

sulee alivuta pumzi uuuu phuuu

“safi Mr zatokea siku ile”

“nzuri tu samahani kwakuto kukupigia simu sikumbili zilizo pita nilikuwa na mizunguko sana”

“ooh wala usiwaze kwahilo

hata mimi pia nilikuwa na mambo mengi sana”

“kuna tatizo”

“mhh yah yah”

“vp kifamilia au kibinafsi sulee”

“naweza sema kifamilia pia yangu binafsi pia”

“pole sana siwezi kujuwa”

“mmh mapema sana Mr”

“ok usijali ”

Adams aliinuka katika kiti

alipo kaa.

“sulee samahani naenda

choon”

“ok ok”

***

Adams alipokuwa akielekea

choon macho ya sule yalikuwa mbele kumtazama Adams

aliye valia suti ya Rangi ya maziwa iliyo mpendezesha sana.

“mmh huyu kaka mzuri…!

Sana sijuwi ataniambia nini

atakacho niambia kazi kwake ngoja arudi sasa atanijuwa tyuu.

***

Samahani Sulee kwakuchelewa”

“bila samahani,mpendwa”

“Ehee nipe story”

“nakusikiliza wangu sikuile ilikuwa juu juu”

“nikweli kabisa, Muhudumu tafadhali njoo”

“naam kaka”

“sulee agiza unacho taka

kuwa huru”

“Nipe maji baridi sana”

“mmh sulee maji”

“yaah, yana tosha”

“hapana,dada niitie na yule

muhudumu wa jikoni”

“sawa kaka”

Tuliendelea kuongea

mawili matatu.

“Kaka nimekuja kusikiliza uwito”

“ndiyo tuna taka nyama mbuzi kilo2 na ndizi 8 sawa haraka”

“ok sasa hivi”

***

“sulee naona hauko sawa

kwa nini”

“yah sipo sawa Adams”

“tafadhali naomba niambie”

“Adams ta kwambia nipo katika

wakati mgumu sana sasa hivi Adam’s kwa ufupi

Yah,

Huyo mwanaume sijuwi mpaka leo alipo na hapa nimetoka kugombana na shangazi yangu nanimemuacha Monica ambaye mwenzangu ana mtoto sasa baada yakubaini kuwa shangazi ndiye aliye nifanyia mpango huo ilinionekane nina H.I.V nimetokea kumchukia sana

nimuuaji kasababisha mimba  yangu itoke ambayo iliyo sababisha kuachana na mume wangu ambaye nilimpenda sana”

“umesema huyo dokta anaitwa nani”

“simkumbuki jina kwakuwa yamesha pita tuachane nayo

Adams”

“ok sasa umegombana na shangazi yako itakuwaje utaenda kuishi wapi”

“sijajuwa taenda kilosa kwa Rafiki yangu ana fundisha huko”

“mh!”

“mbona una guna”

“yani uzuri wako huo ukakae bush”

“ndiyo kuna tatizo kwani”

“ndiyo huoni”

“sioni”

“utakuwa mzee kibibi asee”

“sasa tafanyaje”

“ok nataka nikupeleke Iringa kuna kampuni yangu pale”

“ya nini”

“najishugulisha na uuzaji wa magari natoa japan  naingiza tanzania kituo kikubwa kipo morogoro”

“kweli Adams”

“ndiyo”

“tashukuru sana jamani”

“wala usijali uaminifu kitu bora kwangu utaona mafanikio yako

uta sahau shida zote sawa”

“Adams ooooh asante siamini”

“sawa sulee ukiwa tayari utanijulisha mimi naondoka kesho leo ntalala hapa hapa katika hotel hii asubuhi naondoka zangu”

“Adams Mimi sirudi kwa shangazi tena kama upo tayari tuondoke wote sawa”

“ok hakuna shida ”

Nyama ndizi zilikuja tukala

mpaka zikabakia muda ulikimbia ilikuwa saa5 usiku Nilikuwa nikisubili chochote atakacho sema muda wote nilikuwa katika sura ya furaha najinsi macho yangu yalivyokuwa yakurembua yalimpa shida Adams aliye onekana akiwa ana hangaika akitaka kusema kitu ambacho alishindwa kunitamkia.

***

huyu sulee kwakweli mrembo sana sijuwi nimwambie ukweli kuwa tuka lale wote, lakini atajuwa mimi malaya mmh angalia jicho lake uwiii jamani naumia mimi aaaah

Alijisemesha Adams.

***

“Mmmh Adams ananivutia jamani zaidi ya mwanaume lakini anaonekana muoga sana ah ananichelewesha mimi nahamu nae kwakweli ana vutia,.

***

kila mmoja aliwaza anacho jua

mwenyewe akilini mwake lakini nani amuanze mwenza wakawa akiogopana.

“sulee tuingie ndani sasa”

“sawa”

“Dada tupe chumba kingine ”

“ok namba 115 nikizuri karibu”

“sawa”

“sulee nadhani kitakufaa”

“yaah kizuri sana”

“tena wewe ni 115 mimi

ni 118”

“kweli adams tupo jirani sana”

“ok usiku mwema”

“nawe pia”

tulipo agana

ndani ya dakika 40 nili inuka kitandani nakufungua mlango nakutembea mpaka katika mlango wa chumba namba 118

Je Sulle anafuata  nini chumba number 118

,,endelea kuifuatilia like page mwana,

DOCTA SIUMWI HUKOO

Sehemu Ya 22

TULIPOISHIA

kweli adams tupo jirani sana”

“ok usiku mwema”

“nawe pia”

tulipo agana

ndani ya dakika 40 nili inuka kitandani nakufungua mlango nakutembea mpaka katika mlango wa chumba namba 118

ENDELEA

“Nilinyosha mkono nigonge mlango lakini moyo ukasita nikaegemea ukuta nikiwaza nifanyeje sasa nigonge au na akifungua ntamwambia nini Adams.

Adams nae ndani katika chumba chake alikuwa kaamka akiwaza njia yakuingia katika chumba cha sulee namba 115 alitembea mpaka mlangoni aka nyonga ufunguo mara ya kwanza sulee alipo sikia alitimua mbio mpaka chumbani kwake na kujifungia

nakuegemea katika mlango.

Adams alinyonga ufunguo mara ya pili mlango ukafunguka

akatemea kama atua 8 alifika katika mlango wa sulee

aliushika mlango na kushusha pumzi uphuuu.. akageuka na kuegemea mlango wa chumba cha sulee alikuwa kaishiwa nguvu,Adams aliwaza sana Sulee atanifikiriaje kumgongea usiku huu naje akitoka tamwambia nini tarabiiibu alirudi chumbani kwake Adams alionekana hana furaha kabisa.

Saa9 usiku sulee aliamka

nakwenda katika chumba cha Adams kwakuwa alishajuwa azma yake Adams nae.

Safari hii nagonga tu mlango potelea mbali”

Sule alifungua mlango wake

na kutembea taraatibu mpaka mlangoni mwa Adams…

Sulee aligonga mlango

mara mbili Ulipofunguliwa

Adams aliuliza “vipi sulee kuna tatizo”

“ndiyo Adams”

“lipi”

“Usingizi sipati kabisa”

“kwa nini”

“hapa tupo mlangoni naomba

tuingie ndani nikuelezee vizuri”

“ok ingia”

Nilimweleza yangu ya moyoni

sikuficha hata kidogo jinsi navyo mpenda sana Adams

nilinyanyuka nilipo kaa nakwenda jirani na alipo kaa Adams.

“Nakupenda Adams

niamini japo sijakufahamu kiundani sana ila umetokea kunivutia sana sina nia mbaya na wewe ni moyo wangu ulio dondokea kwako plz naomba unikubalie.”

“sulee sawa nimekuelewa

lakini nataka kukusaidia tyuu

kimaisha nikupe kazi”

“sawa lakini tunaweza kuwa wapenzi huku kazi ina fanyika

vizuri”

“sulee kazi na mapenzi

haiwezekani kabisa”

“najuwa sana ila mimi kwangu haipo hivyo niamini”

“sulee siyo leo nipe Muda”

“sawa ila siwezi kulala peke yangu chumba kubwa vile”

“kwa hiyo”

“tulale wote hapa hapa”

“itakuwa ngumu”

“sawa basi nipe nauli ni Rudi

nyumbani”

“sahizi usiku sana Sulee”

Nili anzisha vurugu patashika

mle ndani mara nikae vibaya

kwenye sofa lililo

kuwepo ndani mara nijilaze kitandani ilimradi nimpe matamanio Adams ili akolee

lakini Adams alikuwa jasiri sana

“sulee basi nimekubali

tulale wote sawa”

Nilifurahi sana nikaanza

kuhisi joto la Adams likitoka kifuani kwake Nilipanda kitandani

fasta nilijuwa anaweza akabadilika’

“sulee basi geukia huko

mimi na geukia huku”

“aaah tena jamani”

“sasa unatakaje”

“unikumbatie jamani”

nilideka sana lakini

haikuwezekana kabisa:

***

Adams mate yalikuwa yakimtoka kwa Sulee lakini alihofia kuwa sulee wenda ana ukimwi kweli, akifikiria na story yake aliyomwambia jioni hiyo,

siwezi kufanya mapenzi nae bila kupima

alijisemea moyoni

kwake Adams hakuwa nawazo

la kufanya uamuzi wakufanya

ngono na sulee.

***

Tulilala mpaka asubuhi

tulipo amka tukajiandaa

kwaajili ya safari ya kunipeleka

Iringa katika ofice aliyo nihaidi

sehemu takayo fanyia kazi

nilifurahi sana kwakuwa

nilimueleza ukweli wangu wakumpenda Adams nilisha utua mzigo ulio moyoni mwangu juu ya Adams

“ingia katika gari Sulee”

“sawa mpenzi”

“hahaa sulee bwana nishakuwa

mpenzi mara hii khaa”

“sasa hautaki”

“ujuwe sulee nimekaa mimi muda mrefu sana bila kuwa na mwanamke unaweza kuamini”

“hata kidogo kwajinsi ulivyo

hivyo sitaki unidanganye”

“amini amini nakwambia ukweli mtupu”

“sawa bac najuwa Tafaidi

sana utakuwa mchumba/mume Bora kwangu”

“hahaa acha utani bwana.

***

Monica alianza kuteseka sana

pale nyumbani kwa shangazi

yake sulee hakujuwa aende wapi kila mara alijaribu kupiga simu ya sulee lakini haikupatikana alijuta moyoni safari ya kijijini ilimuita lakini aliwaza sana nina umbo zuri sana lakumtamanisha mwanaume yeyote sasa yanini nirudi bush nikataabike hapana siendi labda nimtupe mtoto ili nianze maisha mapya

lakini nilimsaliti mume wangu kisa kupata mtoto leo nimtupe hapana labda nitapanga chumba kimoja mchana ntakuwa na mwanangu usiku ntamfungia ndani kisha ntakuwa natembea katika mabaa ili nijiuze kwa wanaume ili nipate pesa,.

***

“Aliwaza jinsi yakufanya Monica

ili atoke katika mateso hayo

anayo yapata kwa shangazi yake sulee aliye geuka kuwa mbogo.

“Umesababisha sulee akimbie hapa ndani utakoma Ni bora uhame hapa ndani sikutaki kabisa

sawa usije ukanifia humu ndani

mshenzi wewe”

“shangazi kosa langu mimi nini”

“ebu tulia huko sawa ntakumwagia mafuta yamoto haya sawa napokuwa naongea mimi wewe kaakimya sawa”

“sawa shangazi”

“pumbavu weee paa paa paah(makofi) Nani shangazi yako

eeeh”

***

Mateso kila kukicha yalizidi

Sikumoja walikuja wanaume wa3nyumbani kwa shangazi

Alikuwepo Monica peke yake

sebuleni akiangalia TV.

Walipo karibishwa ndani walikaa katika viti.

“karibuni wageni”

“asante anti Merry yupo”

“ni nani huyo kwani”

“mmh kwani wewe mgeni hapa”

“siyo sana nashangaa ilo jina

ni geni kwangu”

“ooh Jina lako ni nani”

“Monica”

“jina Zuri sana kama

umbo lako”

Aliongea jamaa mmoja,.

*****

Waao,, Kumenoga Je  Anti Merry ni nani na hao majamaa ni wakina nani na dhumuni la kuja hapo ni nini!???

Endelea  Kufuatilia ili usipitwe hata na kipengele  kimoja,

DOCTA SIUMWI HUKOO

Sehemu Ya 23

TULIPOISHIA

karibuni wageni”

“asante anti Merry yupo”

“ni nani huyo kwani”

“mmh kwani wewe mgeni hapa”

“siyo sana nashangaa ilo jina

ni geni kwangu”

“ooh Jina lako ni nani”

“Monica”

“jina Zuri sana kama

umbo lako”

Aliongea jamaa mmoja,.

ENDELEA

Aliye kuwa ana madevu kama

osama.

“vizuri sana sisi ni watu wakazi

tumekuja hapa kufanya tukio kwa Anti merry tuna mdai nakama hayupo tuna omba zawadi kutoka

kwako sawa”

“zawadi gani tena hiyo kutoka kwangu”

“aah hujuwi tunataka penzi lako utupe sisi wote kama tulivyo.

Wakati huo mlinzi alikuwa akikoroma kama time hizo zilikuwa saa8 za usiku kumbe ilikuwa ni mchana wa saa6

hakujitambua kabisa

“noooh hapana siwezi mimi

nyie vipi”

“hutakieee tutafanya kinguvu tu”

“Abuu mkamate miguu”

alisikika mmoja akimwambia mwenzake hivyo.

Walipo kuwa katika jaribio hilo lakutaka kumbaka Monica

Monica alikuwa na nguvu za ajabu sana hata yeye alijishangaa aliko zipata wapi alipambana na wanaume hao wa3 huku akipiga

kelele za hali ya juu

alimpiga mmoja teke la kwenye korodani jamaa akadondoka chini nakupiga kelele za nguvu sana zilizo mshtua mlinzi nje aliye kuwa ana sinzia mchana.

Mlinzi aliamka akiwa amechoka sana naaliye kuwa kama mtu aliye lewa kumbe alikuwa ( Kapuliziwa madawa ya kulevya )

Alijiuliza imekuwaje mpaka

yupo katika hali hiyo’ na kuna nini huko ndani kuna kelele hivyo hakupata jibu.

Mlinzi aliingia ndani

na bunduki yake mkononi

alipo chungulia dirishani alikuta

Monica akiwa amelaliwa juu na Mwanaume huku mmoja akiwa

kamshika mikono na yule mmoja alikuwa pembeni kashika sehemu zake za siri akiugulia maumivu.

Mlinzi ali ongea kwa sauti ya juu nyie wapumbavu acheni ujinga wenu sawa”

walipo shtuka walikimbia kwakutokea mlango

wa nyuma mlinzi aliwafukuza

na kupiga Risasi paa paa

aaaaah uuwiii

zilikuwa sauti za mmoja wao na wale watu.

Alikuwa kapigwa mguuni

alichukuliwa mpaka police

kuojiwa vizuri.

Monica alikuwa salama japokuwa alikuwa kavimba kichwani kwakujigonga katika

kabati.

Mhalifu alihojiwa kwanini walitaka kufanya tukio hilo

alijibu baada ya kuteswa sana

“Ni kwamba Anti merry alitutuma tumbake Yule dada ili tumwambukize ukimwi sisi wote ni waasirika wa H’I’V”

“kweli mna uwakika”

“ndiyo”

Monika aliona kama Mungu

ndiye kila kitu kwake kwakuponyeka katika tukio ilo.

Shangazi alikamatwa na kufungwa kutokana nakuwa ana pesa alihonga na akatoka.

***

wakati huo Monica alikuwa akiishi nyumbani kwake alipanga chumba kimoja kazi yake ilikuwa yakujiuza lakini kila akipata bwana aliishia kuongea dau na kuachwa bila kuchukuliwa kila siku ilikuwa hivyo hakupata mabwana wakulala nao hali ilizidi kuwa mbaya sana njaa ilizidi kumtesa monica siku moja alimsimulia shoga yake neema kila kitu

kutokana nakuto pata mabwana

watakao mpa pesa.

“Monica nenda kwa mganga wewe kila kazi ina dawa ya kuvutia wewe haushangai umbo lako zuri hivyo ukakosa mume yani wewe ungekuwa namba moja kila siku kuchukuliwa

hapa ujanja upo shosti wangu”

“mmh kweli Neema”

“kalaga baho utazidi kuchina”

***

ni kweli Adams nakupenda sana kwakweli yani natamani niwe mkeo uwe mume wangu”

“sulee morogoro tumesha fika

hapa naomba tulale kesho nikupeleke Iringa sawa”

“haina tatizo kabisa”-

Ilikuwa saa12 jioni.

“sule ngojea nimwite meneja wangu anae nisaidia umuone”

“sawa..

Ukisha muona tuta lala kisha kesho itaanza safari ya kwenda iringa”

“Mimi sina tatizo kabisa yani utakacho niambia mimi nipo tayari”

“ok tumesha fika hii ndiyo kijumba changu kinacho nihifazi

kwa kulala na kuishi jumla”

“Adams mmmh kijumba

nyumba nzuri hivi”

“haha hapana mbona ni yakawaida sana”

“bac sawa uonavyo wewe”

***

Tuliingia ndani kulikuwa nakila kitu kilicho enea nilikaa katika sofa zilikuwa ni sofa zakujaza na upepo nilijisikia Raha sana

dk chache nilisikia simu ikisubiriwa kupokelewa.

“hallow Big upo wapi”

“nipo home kwangu”

“unaweza ukaja mara moja”

“sawa nipo tayari maana tulikuwa tuna kikao kanisani”

“poa njoo nyumbani kuna mgeni

wangu uje umsalimie sawa”

“naja sasa hivi”

***

yalikuwa maongezi yakwenye simu baina ya Adams na dokta kisarawe.

Baada ya nusu saa

Kisarawe alikuwa jirani sana

na nyumbani kwa Adams sekunde kadhaa alikuwa kasha fika nje ya nyumba ya Adams Dr

kisarawe alipokea simu yake

kisha akaanza kuongea.

“oooh nili sahau boss na hata hivyo data zote nimeacha katika compyuta ipo nyumbani”

“nataka sasa hivi nijuwe

ubora wake ulivyo wahizo gari sawa nitumie ili niwajibu wadhamini sasa hivi wana taka

nakupa daki45 unitumiye katika

mtandao sawa tuna taka gari 24”

“ok sasa hivi nivutiye subira”

“hakuna tatizo”

Kisarawe alimpigia simu

Adams aliye kuwepo ndani.

“Adams sita weza kuingia ndani

kuna kampuni ina taka gari kama 24 sasa wanataka

maelezo yake ya ubora ngoja nikawatumie ili tupate kazi”

“dakika mbili ingia umsalimie”

“hapana ntachelewa”

“big kesho nampeleka iringa

huwezi ukaonana nae, basi ngoja tuna kuja nje”

“sawa”

Adams na Sulee walipo toka nje

hawakumkuta Kisarawe ambaye alipewa jina na Adams jina la Big kiutani”

“sijuwi vipi huyu kasema sawa anasubiri kaondoka aah”

“lakini salamu na kazi bora nini”

“kweli sulee bora kazi ndomana

huyu kaka nampenda sana anajituma sana katika kazi”

“yani Adams shukuru mungu kwakupata mtu anae jali sana kazi yako kama yake mafanikio ladhima upate tu”

“sulee kweli kabisa tokea nimpate huyu kaka mambo yangu kila siku yanazidi kuwa supe siyo siri”

***

Kisarawe alipo fika nyumbani kwake alizituma data zote za sifa za gari hizo alirudishiwa taarifa kuwa wamerizika nazo na wakaongeza 6 tena nakufikia gari30 wapeleke kwa awamu mbili yakwanza 15 baada ya mwezi 15 tena kisarawe alifurahi sana kwakupata dili hilo alimpigia simu Adams kuwa dili limekamilika.

“gari 30 zinahitajika kwanzia sasa”

“kweli”

“yes, boss”

“usiniite boss niite hata mdogo wako sawa tyuu inapendeza”

“sawa Adams tukutane kesho”

“kesho asubuhi sana nataka nimpeleke iringa huyu dada etu katika ofice yetu”

“ina pendeza ila ni mwaminifu,pia unamfahamu kiundani sana”

“kuhusu uaminifu ondoa shaka kila mali ya mtu huwa ina ulinzi hakuna tajiri yeyote awe na mali nyingi ikakosa ulinzi kuhusu kumfahamu ni story ndefu sana tutakuja kuongea nikirudi sawa”

“sawa Adams nawatakia safari njema”

“ok”

***

Walipo fika Iringa Adams alimtambulisha sulee kwa wafanyakazi wenzake.

“jamani mpeni ushilikiano wenu huyu mgeni sawa kama kawaida akikosea mpeni somo nadhani ataelewa tyuu ugeni uwa unasumbuwa sana mahali popote pale, mimi narudi zangu Morogoro sawa dada janeth utakaa na sulee nyumbani kwako sawa”

“sawa boss , karibu sana sulee

uwe na amani sana”

“asante janeth”

***

Adams alianza safari yakurudi

moro, Sulee nae aliongozana na janeth kurudi nyumbani wakiwa ndani ya gari ya ofice nyumbani walikokuwa wakienda ni nyumba ambayo ni ya Adams aliyo jenga kama sehemu ya kuwekea magari na vifaa vya magari yani spea zilizo tumika na mpya pia.

“janeth maisha ya hapa iringa yakoje”

“mazuri sana dada angu yani tofauti kabisa na morogoro”

“kivipi yawe mazuri kuliko moro”

Je Itakuwa aje wakikutana na DOCTA KISARAWE endelea kufuatilia SIMULIZI hii ya kipekee

DOCTA SIUMWI HUKOO

Sehemu Ya 24

TULIPOISHIA

“janeth maisha ya hapa iringa yakoje”

“mazuri sana dada angu yani tofauti kabisa na morogoro”

“kivipi yawe mazuri kuliko moro”

SASA ENDELEA

“kwanza iringa imejengeka vizuri sana unaweza kutembea sehemu mbali mbali ukaenjoy kwa mazingira yake siyo moro

ipo ipo tyuu”

“naomba unitembeze siku ambayo ya mapumziko ya kazi sawa”

“sawa jumapili au jumamosi”

“ok”

***

Adams alifika salama moro

alikutana na Kisarawe waka ya jenga mipango yao kuhusu mauzo ya magari

“tumekubaliana kwa bei yetu

niliwaanzia mbali kama ml50

wamefika 45”

“dili poa sana hilo kaka kisarawe

nakuhaidi kaka ukiendelea hivi hivi takupa zawadi nzuri sana naomba tuishi kama ndugu na siyo kama mtu na boss wake sawa”

“uta furahi na kuna isue ipo dar wana itaji kama gari 5

dodoma gari 3 pia naomba ufunguwe web na page katika mitandao ziwe kibao ambazo zitaweza kututangazia biashara hata kwa mtu mmoja mmoja

atakae hitaji gari na tutaweka na bei poa”

“wazo zuri sana hilo kaka

fanyia kazi sasa”

“SAWA Adams”

“ila umekosa kusaminisha

Mtoto mzuri sana wangu”

“Adams sina mpango tena wa wanawake tena naangalia maisha sasa”

“khaa kaka umeamuwa sasa

ila japo kuwa siyajuwi sana mambo yako ya zamani”

“sinilikusimulia kisa chote”

“yah najuwa ila poa kaka

wake za watu achana nao”

“sawa Nime mkabizi Mungu

Moyo wangu”

***

“janeth Mji huu nimeupenda sana yani ni mzuri sana napenda sana haya mawe mawe kwakweli nime enjoy sana”

“hahaa sulee hapa tupu tumezunguka sehemu chache sana”

“sikunyingine ntakutembeza zaidi leo nime choka sana jana nili fua sana”

“sawa usijali janeth”

Tulirudi nyumbani

Tulikula hotelini tulipo fika tukawa tunaangalia Tv huku tukiongea”

“sulee naomba nikuulize”

“uliza dada”

“Boss Adams una mfahamu vizuri”

“siwezi kukujibu kwanza, una maana gani janeth”

“ungenijibu kwanza inge pendeza”

Niliingiwa na Hofu

je kuna nini anacho taka kuniambia nilitaka kumjibu kuwa na mfahamu vilivyo lakini nilisita kumwambia wenda kuna jambo lililo jificha anataka kujuwa.

“Janeth simjuwi nimekutana nae ndani ya siku 5, nyumbani dar”

“Una uhakika usemayo”

“Ndiyo niamini naomba kama kuna jambo usinifiche”

“ok vizuri ni hivi”

“boss wetu Ana H.I.V , najuwa mimi tu”

“mh ,kwa nini ujuwe wewe tu”

“niliviuna vidonge pamoja na vyeti”

“mh kweli janeth”

Janeth alikuwa mdada mzuri

sana aliumbika sana mwili wake ulio jinyonga kama umbo la namba nane kiukweli tuliendana kiumbo mpaka tabia zake zilikuwa nzuri sana kwa Muda mchache nilio kaa nae nili mjuwa kama ni mtu mwema.

“kweli sina muda wakumsingizia kabisa”

“sawa ila nashukuru kwa kuniambia mapema maana

Hawa Maboss hawakawiagi kutongoza wafanyakazi”

“yah na ilo ndilo kusudi langu kukujulisha ili uwe makini nae sawa”

“asante sana Janeth maana ilibakia kidogo sana niingie”

“nilijuwa vizuri tyuu sasa kaa chonjo”

***

“Monica usi jilaumu sana

kila kazi ina ulinzi wake ona umbo lako zuri sana jiulize kwa nini wanaume hawakutamani eeh ujuwe kuna kitu hapo

jichugunguze mara mbili sawa usikae ukilaumu sana”

hayo ni maneno ya changudowa

mmoja aliye kuwa akimwambia Monica baada ya kuingia katika

kazi za kujiuza alifanya kazi hiyo bila mafanikio hata siku moja hakupata mwanaume wa kulala nae siku moja alikuwa kasimama sehemu yao ya kujiuza alikuta gari likisimama alipo kimbilia akasubili kioo kishushwe chini ndipo akakutana na sura ya mwanamke.

“binti haujambo”

“sijambo”

“vp upo hapa sahizi”

“maisha tyuu”

“maisha kivipi”

“story ndefu sana kifupi kama wataka mpaka uwe na muda ndomaana nipo hapa”

“ok ingia ndani basi nielezee”

“ok kwa ufupi,  ndiyo hivyo mama angu maisha yangu yalivyo najuta sana kuipoteza ndoa yangu nilitamani sana mtoto”

“mtoto yuko wapi sasa”

“Nime mfungia katika chumba nilicho panga”

“je tunaweza kwenda”

“ndiyo”

***

Walipo fika Monica na yule mama katika chumba chake walimkuta mtoto kalia mpaka kachoka sana, walimchukua na kumnyonyesha.

“sasa mbona wamnyonyesha wakati umeingia katika kazi mbaya”

“yani mama angu tokea niingie katika kazi hiyo

sija fanya mapenzi na mwanaume yeyote”

“mh kwajinsi ulivyo hivyo monica”

“niamini mama angu niliongea na mmoja katika marafiki nilio kua nao aliniambia kuwa wao

wana tumia dawa za mvuto mimi nilikuwa sina nilionekana kama vichekesho kwa wateja”

“mmh sawa una muda gani tokea

uingie”

“miezi mi3 sasa”

“poa ntakusaidia leo

chukua hii pesa kama elf50

kesho takuletea godoro na kitanda sawa, mambo mengine yatakuja sawa mama”

“asante sana mama angu Mungu akubariki sana”

“Amina”

***

“hallow janeth unasemaje sahizi usiku upo wapi”

“nipo nyumbani”

“kuna tatizo”

“Hapana Adams, Najuwa wewe ni Boss wangu kila Mara nakuelezea hisia zangu kwako kwanini hutaki kunielewa Boss nakupenda nakuhitaji uwe Mume wangu nasiyo Boss tena”

“Janeth janeth mara ngapi nakukatalia kuhusu suala hilo

eeeh siko tayari kuwa na mke kwa sasa sawa”

“sawa boss ila tambua hata mimi nahisia kama mtu mwingine sina cha kuhitaji zaidi yako nakupenda na ntazidi kukupenda daima,

Adams hata ukiniona sikufai tambuakuwa kunamtu anaye kupenda sawa”

“Asante Janeth kwakuonyesha upendo wako kwangu ila tambua unaweza kumpenda mtu asiye kupenda hapo mbeleni unaweza kuteseka sana katika penzi lako”

“niko tayari kuteseka nasiyo kukukosa wewe Adams naumia sana kila siku kwa penzi lako ninalo lihisi unapo nipa katika ndoto zangu nipe nafasi”

“haita wezekana kabisa”

“sawa napenda kukutakia usiku mwema”

“asante nawe pia, Sulee”

Asante sana”

***

BAADAYA MWEZI MMOJA

“Mahusiano kati yangu na Adams hayakuwa mazuri sana kila nikimpigia simu  alikuwa akikata  simu tofauti na mwanzo ilivyo kuwa ikawa kila akinipigia simu nilikuwa nikikata au kuto pokea.,

Adams aliamuwa kupiga ya ofisini kwangu nilipokea kwa Haraka sana kwakujuwa huko hawezi kusema kuhusu mapenzi lakini ikawa siyo,

Maongezi yakawa hivi

“sulee haujambo”

“sijambo vipi wewe”

“yah niko poa sana”

“mbona haujachangamka

leo”

“nipo kawaida mbona jamani”

“hapana sulee sijakuzoea hivyo

Je Nini Kitaendelea, endelea kuwa pamoja na nikumegee Ubuyu huu ,,uumumunye Mwanzo mwisho….,,

DOCTA SIUMWI HUKOO

Sehemu Ya 25

TULIPOISHIA

Maongezi yakawa hivi

“sulee haujambo”

“sijambo vipi wewe”

“yah niko poa sana”

“mbona haujachangamka

leo”

“nipo kawaida mbona jamani”

“hapana sulee sijakuzoea hivyo

ENDELEA

umeanza lini au una umwa, yes utakuwa unaumwa wewe ebu mwambie Janeth akupeleke

hospitali sawa”

“hapana Adams niko sawa”

“mmh haya basi ngoja nikuache”

***

BAADA YA MASAA MATANO

“kaka kisarawe nina tatizo”

“Tatizo gani tena kama biashara

zinaenda poa mbona”

“aaah najuwa kaka ila zangu

binafsi kaka”

“ehe”

“kaka yule dada niliye mtoa dar niliye mpeleka Iringa ana nichanganya sana naomba ushauri wako”

“kaka wanawake hawafai

kabisa mtu anaweza akawa mke wa Mtu lakini aka toa penzi nje tena kizembe kabisa achana nae Adams kama unataka

kaoe bush pia mpatie ubize ili asiweze kutoka mara kwa mara

ila sijuwi kama itawezekana kuto salitiwa maana hata mimi kipindi cha nyuma nilikuwa nikiwakomesha ndani ya nusu saa tena wake za watu katika ofisi yangu”

“uliwezaje kufanya hivyo”

“Adams utakuta mke wa Mtu anakuja mrembo sana

kama ilivyo kuwa Mimi ni Dokta wa akina Mama nilikuwa nikiwatamani sana nilipenda

kila umbo la mwanamke nipate

ili nifanye nae mapenzi ili Roho yangu irizike kweli nilikuwa nikifanikiwa tena wale wasio shika mimba ndiyo walikuwa wengi sana”

“ehee ikawaje”

“mfano mzuri kuna wadada wawili nilio wapa mimba kwa nyakati tofauti

kuna mmoja alikuja akilalamika

hajawahi kushika mimba miaka 8 nilim pima pima kinafiki huku nikimtomasa tomasa mpaka nikampandisha nyege Kweli nikala mzigo ikawa kawaida mara kwa mara ananiletea nagonga mpaka mimba kuna  mmoja nae  anae itwa Manica hivyo hivyo nikala mzigo

mpaka mimba hapo ikawa kasheshe baada ya mumewe kupima nakujulikana hana uwezo wa kuzalisha kutokana na kupata ajali sasa mkewe akamwambia kuwa ana mimba weee palichimbika kumbe yeye na yule wa mwanzo ni zaidi ya marafiki.

Nako moto ukawaka

baada ya kujuwa walikuwa wakija wote kwangu kutibiwa Monica akasema kweli mimba ya kwangu mbele ya mumewe”

“yule wa mwanzo ana itwa nani

vile”

“sikumbuki sana maana kitambo sana, eeh nimekumbuka

anaitwa sulee”

“Nani”

“sulee”

“ok poa tuishie hapa kwaleo sawa

ndugu utanisimulia kesho siku njema.

Adams kwa nini nisikumalizie

kisa hiki chote leo leo tafadhari

sana nipe muda maana

usipo juwa leo hii sizani kama utapata Muda wakunisikiliza”

“Unajuwa nina mambo mengi sana yakufanya leo” na

“ukajuwa kuwa sita kwambia sawa napia kwa nini Nimelitaja jina la sulle alafu ushtuke”

“Hapana hakuna kitu”

“Niambie nitakusaidia”

“ok kisarawe ni hivi, SULEE ni huyo huyo mdada niliye mleta yupo iringa”

“Aaah kweli”

“ndiyo ni kweli kabisa”

“Ehee una mpango gani nae sasa”

“Yah nampenda sana ila yeye ndiye kanitamkia kunipenda

yani tatizo lipo kwangu kukubali”

“oh sasa ni hivi sina mpango nae mimi sulee kama vipi nipeleke Iringa yeye aje hapa na kama itashindikana niache kazi”

“kakaaaa noo haiwezekani

kabisa wewe ni kila kitu kwangu

siyo mwanamke pia kutoka hapa moro nikitu ambacho hakitawezekana kabisa”

“sasa tutafanyaje”

“ok ntamleta hapa moro ila tutafanya usionane nae kabisaa

siku zote sawa”

“hakuna haitawezekana

kabisa”

“sasa tutafanyaje”

“mlete sitaonana nae kipindi chote hicho sawa ila akisha zoeya mji huu sasa tutaonana sawa”

“ok”

“ila sasa siana mtoto wangu”

“hapana mimba ilitoka kwa sababu ………….. Ni shangazi yake aliye sababisha”

“aaah Mungu wangu sijuwi na monica itakuwaje”

“uyo ana mtoto wa kike anaitwa happy”

“aah nasijuwi kama ana ishi na Mumewe”

“aliachana na Mumewe”

“daah Najuta sana yani Najuta

kuwaaribia maisha yao”

“kaka usiwaze sana ngoja nifanye mpango wakumleta”

“sawa”

BAADA YA MIEZI MIWILI

Adams alikuwa akimbembeleza sana Sulee aje Moro pia alikuwa akijaribu kumshawishi kimapenzi lakini sulee alikuwa mbali sana.

“sulee siku hizi umebadilika sana yani ulikuwa ukinibembeleza sana

nikupe penzi langu lakini leo

mimi ndiyo nimekuwa ni msumbufu kwako

nilikuwa nakuchunguza

mwenendo wako nimeshajuwa

wewe ni bora kuwa mke wangu

naomba nikubalie tafadhali”

“Adams nimebadili maamuzi

sitaki tena naomba tuwe kaka na dada”

“je nina tatizo lolote kuwa

mume kwako”

“hapana hisia zimehama kwako tena naomba nipumzike sasa katika mapenzi”

“sulee unaniumiza sana

kwa maamuzi yako hayo”

“pole Adams”

***

“Adams leo kutwa nzima nimekuwa nikikuwaza hata kazi kwangu ilikuwa nzito sana”

“Janeth nimekwambia siku pendi siku taki sawa nakama ukiendelea kunipigiaga simu nakuniambia kuhusu mapenzi ujuwe kazi huna sawa”

“Adams hapana usifanye hivyo”

“lakini umenielewa”

“ndiyo”

“ok fanya yako sasa

“sawa sawa boss”

***

Monica hapa lakini siyo pazuri pakukaa sasa inatakiwa uhame

uhamie hata kawe ili upate kupumzika sawa”

“Mama ntapata pesa wapi nikakae sehemu ya kifahari kule”

“kuna nyumba yangu yupo mdogo wangu ana kaa peke yake sasa kampe kampani ya kukaa wote”

“sawa haina shida”

“ok”

Monica alikaa kawe yeye mwanae na husna mdogo wake na huyo mama msamariya kwake maisha yali songa mbele

mtoto alikuwa ana pata maziwa ya kopo na virutubisho mbali mbali alikuwa na afya njema kabisa.

***

sulee nimeamuwa nije Iringa ili nijuwe nini tatizo sawa”.

“Boss chai tayari”

” Asante Janeth nakuja na maongezi na sulee dk chache”

“sawa boss”

***

“sulee je umepata Mchumba

mapema hivyo”

“hapana Adams nilitokea kukupenda sana lakini nimeamuwa kuku chukia/kukutenga na mimi”

“kivipi”

“Nimetokea kusingiziwa kuwa nina ukimwi iweje leo hii unataka kuniambukiza ukimwi wako”

“Nini sulee paa paaa(makofi)

nani ana ukimwi eeh nina miaka 15 sasa nipo bize na kazi/biashara simjuwi mwanamke wala nini mke wangu ni mali zangu mimi iweje niwe na ukimwi mimi sulee ndo mana ulikuwa huni taki na kama ningekuwa nataka kukuambukiza ukimwi ningeshakuambukiza dar

unakumbuka ulikuwa ukining’ang’aniza kufanya nini”

“Najuwa sana

(Nilijibu huku nalia)

ndomana nilikuwa sijuwi na Mungu akaniepusha”

“sulee Nakupenda sana tofauti ujuwavyo sawa nipo tayari

tuka pime wote wawili tulipo kuwepo dar uliponisimulia

story yako yoote ya maisha nilichukulia kama somo kwako

najuwa hauta Rudia tena pia ulitaka sana tusex ili unipate

lakini niliogopa baada yakuniambia kuwa walikusingizia kuwa una ukimwi sikuamini kama kweli huna sasa naomba tuka pime wote sawa ili tuwe na uhakika nakama ukigundulika unao ntakutunza mpaka mwisho wako wa maisha sawa sulee”

“sawa nipo tayari hata leo hii”

“ok twende sahizi”

“sawa Adams”

TULIONDOKA MPAKA HOSPITAL

TUKA CHUKULIWA DAMU WOTE WAWILI nakupimwa baada ya saa moja na nusu majibu yalikuwa tayari

mezani.

“hongereni sana wote mko safi ila tunawashauri mkapime tena baada ya mwezi mmoja sawa”

“asante dokta”

Nilimkumbatia Adams huku

niki mkiss kiss kwa fujo sana.

***

Hakika ningekupoteza Adams kijinga sana ivi kina endelea nini

kati yako na Janeth, Adams?”

“kwa nini wauliza”,,.

Je JANET kitamkuta nini baada baadaye ya SULLE kufichua siri !!?? , ,,

Share.
Leave A Reply

error: Content is protected !!
Verified by MonsterInsights