KWA SABABU ZIFUATAZO
1. Upungufu wa homoni za testosterone kadiri umri unavyozidi kuongezeka.
2. Matibabu ya magonjwa mbalimbali kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa
moyo, kisukari,uvimbe,ulevi kupindukia, uvutaji wa sigara kupitiliza na
matumizi ya dawa za kulevya. Vilevile kutumia dawa kali kama antidepressants na
baadhi ya dawa za fungus.
3. Ugonjwa sugu kama vile saratani,unene kupitiliza,
kufeli figo,mapafu,na ini huathiri sana hamu ya tendo la kujamiana.
4. Kuathirika kwa kujichua (Masterbation) – mwanaume ambaye ameathirika kwa
kujichua kwa muda mrefu husababisha kupoteza hisia za mapenzi,
5.
Kujihisi kuwa na Uume mdogo. Baadhi ya wanaume huwa wanajichukia sana kwa
sababu anakuwa na uume mfupi sana (kibamia) hii inaweza kumuathiri kisaikolojia
mpaka anapoteza hisia za mapenzi.
6. Hofu woga na wasiwasi husababisha mwanaume kupoteza hisia za mapenzi, wapo
wanaume huwa wanatetemeka sana wakiona wenza wao. Hali hiyo husababisha
kupoteza hisia za mapenzi haraka kwa sababu ya hofu kupitiliza.