VUA CHUPI NIKUPE AJIRA
Episode 31 – 36
Jonas alimtazama usoni mlinzi akapata mawazo makubwa sana.
Ghafla waliingia mabinti wawili pale ofisini
Esta pamoja na Sada walikuwa wamekuja kama walivyoagizwa walimtazama wote wakatabasamu, hawajui yaliyomkuta
“Boss….good morning” kila mmoja alisema
“Morning”
“ndo tumefika” alisema Esta kwa uchangamfu
“Okay, nisubirini pale mapokezi” alisema
“Sawaa” alijibu Esta na walienda hadi mapokezi. Wote walikuwa tayari ila walikuwa hawajui kama wameshatafunwa wote. Kila mmoja alijiona special.
Jonas alipoona wameishia, alimpa ufunguo mlinzi halafu akatoka nje ya geti, alipofika nje alitazama kushoto kulia akaona pikipiki na bajaj zikipita.
Alipotazama hivi kuna mabinti wengine watatu walikuwa wanakuja, hakika wale akikuwa hajawatafuna bado. Halafu walikuwa ni vyombo vibaya sana
“Boss….shikamoo” walimsalimia
“Marahaba vipi bwana…karibu” alisema mtaalam
“Asante”
“Wewe unaitwa nani?” alimuuliza wa kwanza
“Salma Eid”
“Na wewe?”
“Anita”
“Oh wewe?”
“Joyce”
Haya ingieni ndani pale mnisubiri kuna wenzenu wapo pale” alisema kijana yule
“Sawa boss asante ee” walisema na kuingia ndani ya geti
Daah, hii ilimuuma sana mwamba alitafakari kwamba kumbe kuna watoto wakali halafu hajawala
“Daaah huyu Joyce huyu ni mkali!!” alisema halafu akasimamisha pikipiki na kuipanda
“NIPELEKE USA RIVA” alisema
“Poa” Dereva alisema na kuanza safari.
*
Baadaye mabinti walikuwa wamejaa pale ofisini wanamsubiri boss bila kujua ameshafukuzwa kazi saa mingi.
Ilibidi Jessica ampigie simu boss wake mkuu na kumuuliza
“BOSS, WALE WASICHANA WALIOKUJA KWA AJILI YA MASOKO WAMEJAA HAPA NJE, OFISINI HAKUNA DIRECTOR, NIWAAMBIEJE?” aliuliza binti
“UTAKAIMU UKURUGENZI KWA MUDA, WAPE MAELEKEZO, NITAKUJA KESHO ASUBUHI SANA…..WAPE NA MKATABA KABISA WAANZE KAZI”
“KWANI MSHAHARA SHILINGI NGAPI?”
“LAKI 6, NA PIA WAAMBIE MTU ATAKAPOFANYA KAZI VIZURI KUNA BONAS KILA MWEZI” alisema boss
“SAWA MKUU”
Jessica alikata simu, akaanza kutetemeka, kazi imeshahamia kwake hajui aanzie wapi aishie wapi.
Alitoka nje na kuwasalimia
“Hi….warembo”
“Hiiiii” wote waliitikia kwa furaha isipokuwa Sada tu maana walikuwa wameonana jana yake kule kwa mwamba
THE INTERVIEWER 32 🔞
“Mmendezaaaa!!” Alisema Jessica kwa tabasamu pana, alikuwa na roho nzuri sana binti huyu
“Asantee umependeza piah” baadhi walimsifia.
“Ok, samahanini kidogo kuna mambo hayajakaa sawa! Umeme umekatika halafu mimi ndo nimeachiwa ofisi, kwa hiyo nimeona niwaombe kama mtaweza kuwa free kesho mje tuweze kuwasainia mkataba maana leo imeshindikana, au labda kama mtasubiri umeme halafu tutaprint hiyo mikataba tafadhali”
Alisema msichana yule
“Mh kwani Boss yuko wapi?” aliuliza Halima maana kichwani mwake alijisikia special sana, lakini kumbe 5 kati yao walikuwa wameshatandikwa kama yeye alivyofanywa
“Boss ametoka, nafikiri wiki hii nzima hatokuwepo” alisema binti huyo kwa busara, hakutaka kuwaambia kwamba kafukuzwa kazi, wala hakutaka kusema kwamba yule alikuwa sio boss, bado alimfichia ya ndani.
“Sawa, lakini hatujaelewa sisi tunafanya kazi kwa njia gani” Salma aliuliza
“Hilo msiogope, kila kitu tutawafundisha ndani ya mwezi mmoja mtakuwa competent kabisa”
“Sawa”
“Basi sawa kwa hiyo mmekubaliana vipi??” aliuliza “Tubaki tusubiri umeme au mtakuja kesho?”
Wale mabinti walitazamana na kujadiliana mwisho wakakubaliana warudi tu kesho yake.
Waliaga pale ila Joyce alibaki akawa anaongea na Jessica
“Sorry dada…” alisema Joyce
“Vipi, hivi wewe unaitwa nani?” Jessica aliuliza
“Naitwa Joyce…..”
“Anhaa, Joy nambie”
“Unajua mimi napenda sana fashion, nimeona nisiondoke kwanza maana nimependa style yako kuanzia nywele hadi mavazi, nataka nipate eneo la kupata hii mitindo yako jamani” Alisema Joyce
“Mmh, wewe mwenyewe nimependa sana mavazi yako” Jessica alisema akimkagua Joyce kuanzia juu mpaka chini,
Joyce alikuwa na umbo hasa, halafu alivaa gauni jekundu lililomshika maungo, limamkaa haswa, chini alvaa viatu vyeupe vya wazi huku juu akisuka yeboyebo iliyomkaa vyema.
“asante” Alisema Joyce kwa kusifiwa
*
Muda huo huo, Jonas alikuwa sebuleni kwake anachezea kompyuta, ana mawazo tele.
Alichokuwa anafanya ni kukagua majina yale ili kutafuta jina la Joyce na namba yake aweze kumtafuta kwenye simu.
“Wooow, bora hata, yaani yule nikimpata natulia kabisaa” alisema huku akiinakili namba ya Joyce mara tu baada ya kuiona namba..
THE INTERVIEWER 33 🔞
Joyce alikuwa bado anaongea na Jessica
“Nieleze basi ntapata wapi vazi hilo”
“Nakumbuka jina? niliagiza mtandaoni. Kuna watu wanajiita Lipuka Waka wana nzuri sio powa”
“Mmmh”
“Niachie namba yako nitakutumia jioni nikifika home” Alisema Jessica
“Ok, andika but make sure unanitafuta”
“Usijali mdogo wangu” alisema
Walipeana namba na Joyce aliondoka.
Akiwa njiani alipigiwa simu, alipopokea simu ilikuwa imetoka kwa Jonas
“Hallow” Joyce alisema
“Hello, naongea na Joyce”
“Yes, who are you?” Joyce aliuliza
“Wait kwanza, upo hapo Terejo au mmeshaondoka?” Aliuliza Jonas
“Tumeshaondoka tutarudi kesho”
Alisema Joy
“Okay, mimi ni Jonas niliyewafanyia interview….unanikumbuka?”
“Anhaa boss, nambie”
“Niliondoka na mawazo sana hapo kazini asubuhi kwa sababu tu niliwaona”
“Kwanini boss”
“Nilikuw nimepata dharura kwani hamjaambiwa chochote kuhusu mimi?” aliuliza
“Tumeambiwa tu haupo kwa leo”
“Oookeey….”
**
Ofisi iliendelea kama kawaida mpaka saa 9 na nusu alasiri ndipo wafanyakazi walipoondoka
*
Mida ya saa 12 Jessica alikuwa akitembea kwa mguu kuelekea Arusha mjini stand. Alipokuwa anazidi kutembea alipigiwa simu na boss wake
“JESSICA UKO WAPI?” aliuliza
“NIKO BARABARANI NAENDA NYUMBANI”
“MAENEO GANI?” aliuliza
“SHIVA”
“OKAY NJOO STAND KUU MARA MOJA KUNA KITU NAKUAGIZA”
“SAWA MKUU”
Boss alikata simu na Jessica alirudi akaenda mpaka pale alipoagizwa. Alipofika alimkuta boss akiwa ameegemea gari na bahasha mkononi, akampatia
“MPELEKEE SASA HIVI JONAS KULE NDANI, MAANA ANAWEZA AKAIBA VITU KULE ILI KUNIKOMOA”
“SAWA MKUU”
Boss alitoa pesa mfukoni “SHIKA NAULI” alimpa shilingi elfu kumi ya nauli
Jessica alifanya haraka kama alivyoagizwa, alifika mida ya saa 12 na nusu kagiza ka usoni kameshashuka.
Alitembea haraka haraka kuelekea kwa Jonas, ili akampe ile barua.
Alipofika alijaribu kugonga geti ila hakufunguliwa akasukuma liko wazi.
Kwa mbali alisikia za vilio vya mahaba akashtuka.
Alienda hadi mlango wa sebuleni ukawa umefungwa akazunguka wa nyuma ulikuwa wazi.
Kwa kuwa alikuwa anampenda Jonas alijisikia kwenda kujua kama anafanya kweli.
Aliingia kwa kunyata, akakuta mlango pia uko wazi wa chumba chake
THE INTERVIEWER 34 🔞
“aaash aaha aaah” sauti za mahaba za mwanamke zilisikia ndani ya chumba, hizi zilimfanya binti ajisikia anasisimka mwili
Mlio wa kugonga kalio paa paa paa ulisikika pia.
Jessica alisogea taratibu kuchungulia ndipo akakuta Jonas amemuinamisha mwanamke wapo uchi wa mnyama.
Jonas kasimama nyuma yake anamfyatu hasa. Kashikilia rasta za mwanamke huyo ambaye alikuwa akipiga kelele hasa.
Jessica aliona bora aondoke akaweke barua pale sebuleni, ili akimaliza shughuli yake aikute
Alitembea kwa kunyata huku roho ikimuuma sana, alipofika alikuta nguo zikiwa kwenye sofa pale na zingine chini
Alipotazama nguo, kuna gauni jekundu, sidiria na nguo za ndani zingine zilikuwa zimezagaa chini kwenye zulia.
Vile vile vile kulikuwa na viatu vyeupe na nguo na simu mezani
Alipovitazama vile vitu alishtuka sana! Aliwaza imekuwaje
“Mh, Ina maana Joyce naye amejileta?” aliwaza Jessica
“Anyway……huyu sio mwanaume”
E bwanaeee kumbe yule aliyekuwa akitandikwa alikuwa ni Joyce
HIVI HUYU MWAMBA ANATUMIA DAWA GANI?
KWANZA ALIMTONGOZA SAA NGAPI HADI WAKAKUBALIANA NA KUJA KUPEWA ALKASUS!
THE INTERVIEWER 35 🔞
“heeeee” Alisema Jessica baada ya kuiona ile simu akamkumbuka binti alivyokuwa anamtajia namba yake “Yaani hawa!” alisema.
Ghafla binti alisikia kelele za hatari sana
“Mume wangu nakojooooaaa aaaaah nakojoaaa honeeey” alikuwa akipiga makelele Joyce
“Makubwa” Jessica alisema kwa mshangao.
Alioona bora aondoke zake pale ndani ameshafikisha alichokuwa ameagizwa.
Alifungua mlango wa sebuleni akatoka haraka haraka na kuondoka moja kwa moja.
*
Jonas alipomaliza kuinjoy penzi alimbeba Joyce mzima mzima mpaka bafuni halafu wakaanza kuogeshana taratiibu.
Baada ya kuoga alimbeba mpaka sebuleni na kumvalisha nguo zake halafu wakaketi na kuanza kupiga story.
Wakati wanazidi kupiga story, Jonas aliona barua mezani, akaifuata na kuichukua
“Mh mbona hii…..imeletwa saa ngapa?” aliwaza
“Vipi mbona umeduwaa?” Aliuliza Joyce
“Hamna” alisema na kutoa tabasamu la kulazimisha ndipo akaifungua barua.
Alipoanza kuisoma aligundua ni ‘notice’ kutoka mahakamani inamtaka aondoke pale kwenye ile nyumba, ndani ya masaa 72 (siku 3) bila kuchukua mali yoyote isiyokuwa ya kwake
“Daaaah” alisema na kuifunga ile barua
“Mi sikuelewi” alisema Joyce
“Hapana nilikuwa nimeshasahau kama hii barua nilitumiwa”
“Kwani ina taarifa mbaya?”
“Nope, ila ina uharaka zaidi, kwa hiyo naomba tuondoke basi” alisema mtaalam
“Sawa…mi mwenyewe nimechelewa”
“Poa”
Alimtoa nje ya nyumba ile akampakiza pikipiki maana hakuwa na gari tena.
Aliporudi alitafakari
“Hii barua imeletwa saa ngapi? Halafu ni nani? Usikute ni boss. Ina maana ameona uchafu wangu wote” alisema kwa sauti ndogo
“Anyway basi nitahama” alisema na kuchukua simu yake akatazama kuna ujumbe kutoka kwa Jessica
“JONAS NIMEKULETEA BARUA HAPO KWAKO NIKAONA UKO BIZE NIKAIWEKA HAPO SEBULENI, TAFADHALI IZINGATIE”
“Eeh kumbe ni Jessica” alijisemea “Mh angalau, ila kademu kasnich haka”
JE JONAS ATAFANYA NINI?
ATAONDOKA?
THE INTERVIEWER 36 🔞
Kesho yake asubuhi wale mabinti walifika tena pale ofisini, waliandikishwa mkataba vizuri halafu walianza kufundishwa kazi.
Kwa kuwa Jessica alishajua kwamba Jonas amepita na wawili Sada na Joyce na hakujua kama kuna wengine tayari, basi ilibidi awape onyo
“Samahanini kidogo, yule aliyewafanyia interview mnamkumbuka?” aliuliza
“ndio…..tunamkumbuka……ndio ndio…” waliitikia
“Yule sio boss, alikuwa ni director tu kwenye kampuni hii na amefukuzwa kazi jana kwa sababu ya tabia zake mbaya….hivyo kama akiwapigia simu na kuwaambia chochote kinachohusiana na ofisi hii mjue anawadanganya, boss atakuja mtamuona”
Wale mabinti 6 waliduwaa huku Salma na Anita wakiwa kimya bila kufahamu kinachoendelea maana wao walikuwa hawajapitiwa bado
Wengine walikaa kimya wameshatapeliwa tayari
Mida ya jioni jioni, Jonas alibeba kila kilicho chake halafu akaenda kwa wakala wa benki akatoa zaidi ya milioni 7 kwenye akaunti ya kampuni halafu akampigia boss
“Tafadhali boss nataka kukukabidhi nyumba mimi naondoka” alisema
“Unakwenda wapi?” aliuliza Boss
“Naenda kwetu Songea”
“Sawa, nakuja hapo nyumbani tukabidhiane vitu”
Sawa sawa
Jonas alichokifanya aliviweka vitu vyake kwenye gari la mizigo, halafu akamuambia dereva amsubiri.
Alienda hadi nyumbani akafungua milango na geti kisha akakaa barabarani akijificha ili amuone boss
Boss alifika, alikuwa na baadhi ya watu asiowajua halafu aliingia ndani ya geti
“ooooopsss” Jonas alivuta pumzi “Kwa Heri mzee Kimario, nashukuru kwa kuniweka town, ila sipo kukukabidhi nyumba maana nimekuibia, PAMBANA NA HALI YAKO” alisema na kuondoka akaenda kupanda gari akaanza safari kuelekea MOSHI na mizigo yake
*
Huku nyuma aliacha maswali
“Sasa mbona hayupo, hajaniibia kweli? Aliuliza Boss
“Hukumuambia?” aliuliza mtu mwingine
“Nilimuambia” alisema na kumpigia simu lakini Jonas alikuwa hapatikani tena.
*
Hawakujua yuko wapi. Kesho yake waligundua benki zimetolewa milioni saba na laki nne, machozi yalimtoka yule mzee hajui atampata vipi tena!
Aliripoti polisi atafutwe
*
Ofisi iliendelea lakini kamwe hawakumpata kijana yule walimtafuta sana hawakujua kakimbilia mkoa gani na mtaa gani
MWISHO
ASANTE KWA KUWA NAMI KATIKA “THE INTERVIEWER”