SHEMEJI KAUTAKA
SEHEMU 7 – 9
Baada ya kumpiga de………
Aliinua kidole chake, akapasa nywele moja iliyokuwa imeshuka kwenye paji la uso wa Rahma. “Samahani,” alitamka kwa sauti ya mvuto.
Rahma aliondoka ghafla na kusimama. “Acha utani wako, Ramadhani…”
Ramadhani naye alisimama, “mmmmmh bhana nilikuwa nakutania shemu kama shemu si unajua utani ni suna.”
Alimfuata nyuma hatua moja.
Rahma alihisi mgongo wake
ukiguswa na kifua cha Ramadhani. Akasimama. Hakusema kitu. Mikono ya Ramadhani ilienda kiunoni… ikasita… halafu ikajitoa.
“Sawa,” alijisemea. “we endelea na utani wako unajua sipendi shemeji jamani .”
Dakika tano baadaye…
Rahma alijifungia chumbani kwake taratibu. Aliegemea mlango kwa mgongo, akavuta pumzi ndefu. Moyo wake bado ulikuwa unapiga kwa kasi.
Mikono yake ilitetemeka.
“Rahma… umefanya nini?” alijiuliza kwa sauti ya chini, akishika kichwa.
Alienda moja kwa moja kitandani, akajifunika na shuka kana kwamba lingeweza kumficha na yale aliyoanza kuhisi. Lakini kumbukumbu ya Ramadhani kusogea karibu, kupasa nywele yake, na joto la kifua chake mgongoni haikuondoka akilini mwake.
Aliinua uso wake juu kidogo, akatazama dari.
BONYEZA HAPA kuendelea kusoma hii Story katika pdf