SHEMEJI KAUTAKA
SEHEMU 13 – 15
Baada ya kukutana ana kwa ana na Nasra mlangoni! Walipata nafasi ya kuzungumza …
“Eeh! Nasra! Hujalala?” alishtuka kidogo.
“Mmh! Nilihisi kiu, nikatoka kuchukua maji. Wewe je?” Nasra alijibu kwa upole huku macho yao
yakitazamana moja kwa moja, na kimya kizito kikaingia kati yao.
Walisimama kwa sekunde kadhaa, macho yao yakitizamana, moyo wa kila mmoja ukipiga kwa kasi.
Mhh… Nasra,” Ramadhani alijikuta akisema bila kupenda, “sijui kwanini, lakini kila nikikuangalia, kuna kitu ndani yangu kinachemka.” huku akimsogelea karibu zaidi
Nasra alinyamaza, akimtazama bila kusema neno. Mikono yake ilianza kutetemeka kidogo, na akakumbatia kikombe cha maji kama kingeweza kumtuliza.
“Sikutegemea haya,” Nasra alijibu kwa sauti ya chini sana, “nilidhani wewe ni mtu wa heshima… lakini maneno yako…”
“Nasra, maneno yangu yamefanyaje?,” aliuliza Rashid huku akimtazama Nasra
BONYEZA HAPA kuendelea kusoma hii Story katika pdf