SHEMEJI KAUTAKA
SEHEMU 10 – 12
Rahma alisimama mlangoni kwa Ramadhani, macho yake yakionyesha
kitu kilichochanganya tamaa na wasiwasi.
Huki akijishika mapa.. Na kuyatalii taratibu na mikono yake
Alikuwa bado amevaa gauni la kulala, laini na nyepesi, ikiufanya ang’ae kama dhahabu iliyo kwenye meza.
Ramadhani alipotoka chumbani, alishtuka kwa kumkuta Rahma hapo.maana hata yeye alikuwa anatoka kumfuata yeye . Ramadhani alimtazama
Moyo wake ulianza kwenda kasi kuna kitu kinamchochea kufanya jambo. Walitazamana sekunde kadhaa bila kusema. Muda huo ulikuwa kama dakika kwao. Kimya kikali kilitawala, lakini macho yao yalikuwa yakiongea lugha ambayo hata mdomo hauwezi kuzungumza kwa usahihi.
“A-a… Rahma, umekuja wangu … Nimekumis na wewee umenimis?” Ramadhani aliuliza, sauti yake ikiwa ya kupoteza nguvu kama mtu aliyefumaniwa.
BONYEZA HAPA kuendelea kusoma hii Story katika pdf