PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA
Sehemu ya Nne
👉 Karibu PATRICK niambie mbona usiku unagonga kwangu kulikoni?…👇
” Samahani mke wa joji anaumwa sana nimetoka nae hospital sasa kapewa dawa ameze ila ndani akuna ata unga wa uji anywe apate nguvu ya kunywa dawa..
( Bahati nzuri kwa PATRICK joji anatoka anaita)
” PATRICK PATRICK.
” Niambie.
” Bwana mwambie amina aje kulala na shoga yake mimi siwezi kulala na mgonjwa anapiga kelele.
” Joji hapa naomba unga wa uji tu akorogewe uji ila kulala utalala nae mwenyewe mkeo.
( Anjel analia…amina akaamka akawaacha wanaume wanaongea pale kaenda kumsaidia mwenzie…mume wa amina anasema)
” Joji kwani ujawai kukaa na mgonjwa mpaka umkimbie mkeo.
” Mimi siwezi kusikia mikelele mtu mzima analia ata hospital nilimkimbia nilimuacha uyu.
” Sio vizuri mume kumkimbia mke kalale na mkeo.
( PATRICK akawai kuingia ndani kwa joji anamuuliza amina)
” Funguo IPO wapi?
” Hii Shika fasta.
( PATRICK Alishika funguo amina akamkorogea anjel uji…mume wa amina akujua kinachoendelea…joji yeye kalala na mkewe basi tu shinikizo la wanaume wenzie…asubuhi akumuamsha mgonjwa kujua anaendeleaje yeye uyo akaondoka zake kazini…PATRICK akaamka akaenda kwa anjel akamsalimia kwa upole zaidi)
” Saizi unajisikiaje Shemeji.
” Salama kidogo saizi aliumi.
” Sawa ila jioni inatakiwa ukachome sindano nyengine.
” Sawa utanisindikiza.
” Sawa jitahidi ule basi umeze dawa saizi.
” Sawa.
” Siwezi kuondoka bila kukuona umemeza dawa nikakununulie vitafunwa gani?
( Anjel alisikia raha sana Moyoni PATRICK anajali akasema)
” Ninunulie vitumbua.
” Poa Shemeji.
( PATRICK alienda akanunua vitumbua akanunua na mayai…akaja akawasha jiko akampikia mayai Shemeji yake akamchemshia na chai akampa…uku anamwambia)
” Aya kunywa kidogo chai na mayai na vitumbua upate nguvu Shemeji.
” Sawa ila ngoja nikaoge kwanza niswaki.
” Sawa mimi nipo nje.
” Sawa.
( PATRICK alikaa nje maana nyumba ya kisasa choo ndani kwa ndani…anjel alioga uku anafikilia mwanamke atayekuja kuolewa na PATRICK kapata mume…akatoka kuoga akamwita PATRICK)
” Shemeji tayari.
” Poa nakuja.
( Basi PATRICK aliingia ndani alimsimamia anjel kanywa chai kala vyote akampa dawa…PATRICK akatoa vyombo akaenda kuosha alafu akaondoka alimuacha anjel na mawazo mengi sana yani anjel anatamani joji angekuwa na moyo wa PATRICK…sasa PATRICK kaingia zake viwanja yeye anawaza…amina Alitaka kunipa tunda kumbe mumewe anarudi sasa si angelikuta tepe tepe sijui ingekuwaje…anawaza anawazua mala anamuona juma)
” Oya PATRICK wewe ujaoa na mimi sijaoa ila tuwe makini kabla ya kuoa wanawake wanazingua.
” Kwanini unasema ivyo.
” Yani unaweza ukaoa alafu mkeo bado anadanga.
” iyo si tabia ya mtu sio wanawake wote.
” Yani mimi Leo nimemsikiliza kwa makini sana jogoo nimefunguka akili.
” Alisema lipi?
” Na mnukuu alivyosema…MWANAMKE AMBAYE HUTAKIWI KUWA NAYE KATIKA MAHUSIANO, LABDA KAMA UNAPITA TU.
1.MWANAMKE AMBAYE HANA KAZI LAKINI ANAISHI MAISHA YA GHARAMA KUBWA.
Unatakiwa kuambiwa kila kitu? Kama mwanaume unakosa utashi wa kumuelewa mwanamke wa namna hii? Huwezi kujiuliza kama hizo hela anapata wapi?
Haya kama unajizima data wewe chukua aina hii ya manzi.
2.HAWEKEZI KWENYE PENZI LENU.
Acha nikwambie kitu, mwanamke akipenda anawekeza kwenye mapenzi yenu, anawekeza muda wake, upendo wake na vitu vingi ambavyo utaviona.
Lakini unapokuwa na mwanamke ambaye anajifanya yupo busy kwenye kila kitu, hafanyi jitihada zozote katika hayo mahusiano, yani kila kitu wewe ndio unatumia nguvu kukiendesha, achana na hayo mahusiano, huyo hakupendi.
3.MWENYE MDOMO MCHAFU.
Mwanamke mwenye mdogo mchafu maana yake hana malezi bora, yani unakuta mdada ila ana matusi hatari.
Unakuta mdada ana mtoto mdogo halafu huyo mtoto akikosea anapewa matusi ya nguoni kabisa, halafu ni katoto kadogo tu.
Aisee ukioa huyo mtu mtazaa vitoto vyenye matusi mtaa mzima vitakuwa vinasifika, maana vinachukua kwa mama yao vinakuja kumwaga mtaani, na usishangae siku wageni wako wakapewa matusi maana wao wanaona kawaida tu.
4.MGOMVI.
Kuna wanawake ni wagomvi, yani kugombana ndio kitu anapenda.
Anagombana na majirani, na wewe mwenyewe na kila mtu anayepita kwenye anga zake, tena unakuta kwa sababu za kijinga kabisa.
Huyo kaa naye mbali.
5.MWENYE HASIRA.
Kila mtu ana hasira, lakini sifa ya binadamu mstaarabu ni kuweza kudhibiti hasira zake.
Unapokuwa na mwanamke anayejifanya ana hasira sana na hawezi kudhibiti hasira zake huyo ni bomu, ipo siku mtapigana hadi mmoja meno yapungue.
6.ASIYE NA HESHIMA.
Mwanamke heshima bwana. Hapa siongezi neno, ukielewa elewa usipotaka kuelewa kaoe asiye na heshima.
7.MSIRI.
Jamani mwanamke akikupenda huwa hatunzi siri, mwanamke akikupenda atakupa ubuyu vibaya mno.
Nyie marafiki za wanawake zetu siri zenu tunapewa ila tukikutana tunajikaza tu tusicheke.
So bro kama mwanamke wako hakupi ubuyu huyo hana mapenzi na wewe.
8.MUIGIZAJI.
Jamani kuna mademu bongo movie wakasome, yani Sanaa kila mahari, aisee demu wa hivi hafai kwa maisha.
Kuwa na mwanamke anayeishi uhalisia wake, hayo maigizo ni hadi lini sasa? Hadi wapi sasa?
9.ASIYE NA HURUMA.
Mwanamke wako lazima awe na huruma na wewe, hasa kwenye ishu ya matumizi. Hii ni muhimu sana kwa maendeleo yako na amani yako.
Anatakiwa ajue kipato chako na aishi humo, kulazimisha kuishi nje ya kipato chako ni kukuumiza na kutokukuonea huruma.
10.ASIYE NA SHUKURANI.
Hapa napo wala siongei sana. Imagine una pisi siku huna hela unampa buku mbili anakutukana? Yani haelewi kama kuna kupata na kukosa, huyo ndo unapeleka ndani awe mke??
Sawa kama wewe mbishi oa wa hivi.
11.AMBAYE HUWEZI KUSHIKA SIMU YAKE.
Hapa tuambiane ukweli tu bila kupepesa macho, wapenzi ambao hawawezi kushikiana simu hao ni malaya wawili walioamua kuishi pamoja.
Sema utakacho ila kama hakuna baya kwenye hiyo simu kwanini usiwe huru mwenzio kuishika?
12.ANAYEPENDA KUPOKEA TUU BILA KUTOA.
Mapenzi ni kutoa na kupokea, kama mtu anapokea tu huyo ni chuma ulete.
Hakuna masikini kiasi kwamba ashindwe kutoa chochote, mpe mtu kile kilicho ndani ya uwezo wako, hata kama kidogo lakini kitakuwa na thamani sana.
” Juma mwanamke ambaye ana vyote ivyo ayupo wewe sikia ukitaka kuoa ukiona anafata unayopenda oa.
” Ila amesisitiza wake za watu sumu.
” Ilo la maana sasa amesema Oya acha niwai nyumbani.
” Poa.
( PATRICK akarudi nyumbani kwake anakutana na amina)
” PATRICK Samahani Jana mume wangu alirudi gafra ila Leo kasafili.
” Poa.
” Nakuja kulala kwako.
” Usije kulala wewe mke wa mtu.
” PATRICK jana nimemnyima mume wangu nimekutunzia wewe jamani naomba funguo unikute kwako.
” Amina mimi siwezi.
( Mala anaingia joji wakakatisha maongezi PATRICK anauliza)
” Shemeji yangu yupo macho au?
” Kalala Muda.
” Kamwamshe ndio Muda wa kwenda hospital huu.
( Joji anasema)
” PATRICK utamsindikiza wewe hospital mimi siendi nishajua uyo akiniona mimi ndio analia.
” Poa ingia basi ndani mstue ajiandae nimpeleke.
” Poa.
( PATRICK akaingia chumbani kwake kubadilisha nguo…anatoka aoni funguo mlangoni..amina kashachukua kaingia nazo chumbani kwake…basi PATRICK akatoka uyo na anjel hospital kama kawaida akamshika akachomwa sindano akarudi…PATRICK anaingia chumbani kwake anamkuta amina kalala kitandani na mtandio tu mwepesi alafu anampa ishara)
” Funga mlango uje ulale.
( PATRICK anashangaa mzigo kitandani alafu mchoro wa cheni kiunoni unaonekana udenda unamtoka anawaza afunge mlango akale au amwambie aondoke..uku amina anavuta mtandio kwa juu paja linaonekana anamwita PATRICK)
” Njoo basi na wewe.
PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA
Sehemu ya Tano
👉 Njoo basi na wewe…👇
” Amina unataka kuniingiza majaribuni naogopa wake za watu.
” PATRICK kwani wewe utamwambia mtu njoo PATRICK nimeolewa bahati mbaya tu ningekuona kabla ya uyo msukule wangu nisingekubali.
” Amina naomba kwa Leo tuache kama kufanya tukafanyie mbali sio hapa sitakuwa na uwezo kamiri.
” Njoo basi kitandani PATRICK.
( PATRICK anaushinda moyo anaogopa mke wa mtu…akafungua mlango akatoka nje uku kichwani anasema zinaa aiombewi bali inakimbiwa….sasa anasikia joji anampiga anjel)
” Joji naumwa unanipiga.
” Unaleta ujinga unajua shuka nimenunua shilingi ngapi hili unatapikia.
( PATRICK alienda kugonga na joji akafungua)
” Vipi rafiki yangu mbona unampiga tena Shemeji.
” Anazingua anatapika kwenye shuka langu la thamani.
” Joji shuka si linafuliwa kwanini sasa umpige na yeye sio anafanya kusudi.
” Mimi acha nitoke tu nikalale gest sipendi kuona matapishi mimi chumba kinanuka.
( Joji aliondoka…PATRICK akaingia ndani anamwambia Shemeji yake)
” Usilie nyamaza ugonjwa utauongeza.
” Joji kabadilika kuniona mimi naumwa naumia.
” Nyanyuka Shemeji kwanza nitoe shuka hili.
( PATRICK alimsaidia anjel kufua lile shuka na akalianika usiku huo huo akamsafishia ndani akamuacha akiwa amelala sehemu safi…akarudi chumbani kwake akumuona tena amina kaenda kulala chumbani kwake sasa amina anawaza)
” PATRICK mwanaume kamili kweli mitego yote hii yeye amekuwa mgumu kaona paja nimelala kitandani kwake bado ajiongezi anile”
( Aliwaza sana akalala…PATRICK asubuhi akamwandalia Shemeji yake chai akanywa alafu yeye akaondoka zake kutafuta lidhiki funguo akamwachia anjel uku kichwani anawaza….joji kwanini anamtesa anjel…kama ampendi kwanini amemuoa?….anawaza anawazua jioni ikafika joji akampigia simu PATRICK)
” Oya mimi sirudi home nimempigia simu Shemeji yako nimemwambia amwambie ndugu yake yoyote aje amuuguze hapo akipona nitarudi.
” Samahani joji kwenye swali nitakalo kuuliza?
” Uliza tu.
” Ulipomuoa ukusikia neno shida na raha.
” Nimesikia ila mimi kukaa na mgonjwa siwezi kwanza mimi napenda kula kitu roho inapenda uyo mgonjwa nitamlaje siwezi kuliumiza tango langu.
” Joji unauguza unawaza mapenzi?
” Sio mimi kichwa cha chini akijui kuuguza kinataka tu haki yake sasa kulizuia ilo Bora nisirudi nyumbani.
” Poa rafiki yangu.
” Poa.
( PATRICK aliludi akamkuta anjel mnyonge sana)
” Shemeji vipi?
” Safi.
” Mbona kinyonge.
” Rafiki yako kanipa maneno ya mauzi ataki kurudi na ameniambia akiludi nimpe haki yake ya ndoa ivi mimi naumwa ivi nitaweza kweli.
” Usiwaze wewe ona kama akuna kilichotokea kula kunywa dawa lala.
” Sawa Shemeji yangu.
” Poa si umeshakula?
” Ndio ila Shemeji naomba kitu kimoja.
” Niambie.
” Naomba usiwe na mazoea na amina.
” Kwanini Shemeji mbona umenistua.
” Nimekuomba tu usiwe na mazoea nae Leo nimemnyima funguo.
” Sawa ila ungeniambia kidogo tu Shemeji utaki kwa sababu gani.
” Shemeji nikipona nitakwambia.
” Unaniweka na mawazo sasa ungeniambia kidogo tu Shemeji yangu.
” Subili nipone nitakwambia sitaki uwe na mazoea nae tu kwanza.
” Poa Shemeji mimi naenda kulala nimechoka Sana.
” Shemeji Samahani nimekaa sana kitandani kiuno kinaniuma naomba uninyoshe kidogo.
” Mimi mzito Shemeji nikipanda juu nitakuumiza.
” Sio uninyoshe kwa miguu uninyoshe kwa mikono Samahani lakini.
” Basi jitaidi uje nikunyoshe chumbani kwangu.
” Sawa.
( Anjel anatoka chumbani kwake anaingia chumbani kwa PATRICK akanyoshwe kiuno…PATRICK akili yake inampa yupo kwenye msaada)
” Utalala hapa chini au?
” Nalala kitandani Shemeji.
” Sawa.
( Anjel kalala kitandani…PATRICK kuweka mikono kwenye kiuno nia amnyoshe anakutana na shanga kama zote amezishika)
” Usistuke Shemeji zishike tu ninyoshe Shemeji yangu kiuno.
” Samahani kazitoe kwanza izi shanga zinanisisimua wewe Shemeji yangu.
( Anjel akapeleka mkono mbele ya PATRICK anasema)
” Mbona sioni kama umesisimka.
( Yani mkono ajatoa tu kitu kikasimama hapo hapo…anjel akastuka)
” Shemeji umejaaliwa wewe umeona matuta yangu hospital naomba na mimi nione kidogo Shemeji itakuwa siri yetu.
” Unataka uone nini.
” Hii.
( Anaipapasa IPO ndani ya suruali)
PATRICK ATACHOMOKA KWENYE MTEGO HUO ANJEL ANATAKA KUONA KIDOGO.
PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA
Sehemu ya Sita
👉 Anaipapasa ipo kwenye suruali…👇
PATRICK akamzuia anjel.
” Shemeji hapo utakuwa unavunja heshima ninayokupa acha kunichezea.
” Shemeji kwani si inakuwa siri yetu mbona mimi unaniona.
” Shemeji nakuona kwenye msaada sio kukusudia.
” Naomba nikuone kidogo jamani.
” Shemeji apana.
( PATRICK alikaza kiume na akiisi anjel homa inampelekesha akawa anamnyosha tu kiuno uku anakwepesha mpini wake usishikwe na anjel…alifanikiwa ila anjel alikuwa anamuwazia PATRICK kivyengine yani anataka kumpa penzi kama Asante yake kwake…anjel akanyoka vizuri na akatoka chumbani…PATRICK alifunga mlango akawaza majaribu aya yanatokana ayupo na mwanamke pale chumbani kwake…akiwaza kukaa na mwanamke moyo unakataa…alilala asubuhi asubuhi aliondoka akaenda buza kwa lulenge kwa rafiki yake akamwadisia ya amina kwanza hapo rafiki yake akampa ushauri)
” PATRICK ujauzulia kikao cha mwisho wewe akitaka mwenyewe unampa ila sio kwako pale noma uyo unamvuta uku kuna gest kibao unampa kitu roho inapenda alafu akirudi kule kimya.
” Mimi naogopa mke wa mtu kinoma.
” Acha ujinga ata wewe ukioa Wauni wanapita na mkeo wewe uone huruma kwani unakuja kumuumiza si unakuja kumpa raha alafu nikwambie kitu mwanamke akikutaka ukimkataa anakusambazia wewe shoga sio mwanaume kamili mwanaume kamili akatai papuchi.
” Mfano akiwa na sura mbaya.
” Kwani wewe unakula sura ukiona sura yake inakukatisha steam unamwinamisha unamwangalia mgongo maisha yanaenda.
” Duu Kwaiyo ukijifanya mgumu wanakutangazia wewe shoga.
” Ndio maana yake mimi mwenzio nawamega kinoma wake za watu alafu mke wa mtu akikwambia saa 10 ujue saa 10 kweli na vile vile unajua ndoa ikikomaa wanawake wengi awalizishwi na waume zao wanapalazwa tu sasa akikupa ukimkosha mbona mumewe anamuona shoga yake tu ndani.
” Dah poa basi acha niondoke na moja akijishobokeza nimlete mbali nimle.
” Tena sio kumla tu ule kwa ufundi kabisa yani mpaka akikaa anacheka mwenyewe akikumbuka vituko vyako pale juu unavyomfanyia.
” Sawa.
( PATRICK anaondoka akiwa na akili za kushikiwa sio tena akili yake…akaenda kwenye mizunguko yake akawa anarudi kwake kabla ajafika anakutana na amina)
” PATRICK ndio utaki kuacha funguo kwa anjel kwanini?
” Leo nimewai kutoka asubuhi sana.
” PATRICK ivi kwanini utaki kunionea huruma mwenzio.
” Huruma wanini?
” Nakupenda.
” Asante kwa kunipenda.
” Leo usifunge mlango nakuja usiku chumbani kwako namvizia anjel alale uje unipe utamu basi.
” Wewe kama kweli unataka utamu twende buza sio pale home.
” Twende PATRICK.
( PATRICK aina kuwaza mala mbili tena wakageuka wakaenda stand sehemu moja inaitwa kwa pius pale kongowe wakapata gali ya tandika wakapanda waliposhuka tandika amina akaona gest akamwambia PATRICK)
” Si tuingie mule kwani mpaka buza.
” Sawa twende ila usije ukamwambia mtu yoyote.
” Mimi sio mtoto jambo la siri nitangaze tena zima simu asije joji kukupigia akakata starehe yetu.
” Na wewe zima simu mumeo asikupigie.
” Nimezima tokea mzinga pale nilipoona upo ukweli nakuja kukupa tamu.
( Waliingia gest PATRICK kazamilia kumla amina mke wa mtu…PATRICK akaenda kuoga akarudi na taulo tu kalifunga kiunoni…na amina akaenda kuoga akarudi na kanga moja tu ndani ana chochote walikumbatiana)
” PATRICK una joto tamu.
” Asante.
( PATRICK taulo lilidondoka na hawa kanga ikadondoka sasa mili imekutana live)
” PATRICK naomba tupande kitandani my.
” Sawa.
(Walipanda kitandani sasa)
Dah yani…
INAENDELEA………