PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA
Sehemu ya kwanza.
Angel sio vizuri unavyofanya umemkatalia kaka wa watu kuongeza unga umpe ugali.
” Amina wewe ujui tu mume wangu alivyo mkari ivi ningepokea alafu wakati napakua mume wangu karudi anaona Sahani mbili zina ugali akiniuliza namjibu nini?
” Mumeo na PATRICK ni marafiki wakubwa sana wewe Ushangai kwanini PATRICK kaja kukuomba wewe ajaniomba mimi tokea nihamie hapa namuona Patrick na mumeo wapo karibu sana.
” Mimi mume wangu ajaniambia mengi juu ya PATRICK kama akitaka ugali nimpe.
” Basi nakushauri hili mshirikishe mumeo hili Kesho ikitokea upokee unga wa PATRICK.
” Sawa.
( Ni maongezi walikuwa wanaongea wapangaji wa kwenye mjengo mmoja upo kongowe dar salam….anjel anampenda sana mumewe ataki afanye jambo litakuja kuleta sitofahamu kati yake na mumewe…anjel alimsubili mumewe ambaye anaitwa joji white langi ya pesa….akamwambia)
” Mume wangu Samahani mchana PATRICK alikuja na unga aliomba aongeze kwangu nikipika nimchote ugali ila mimi nimekataa sasa mpangaji mwenzangu amina amenisema sikufanya vizuri wewe na PATRICK ni marafiki wakubwa.
” Tena wakubwa sana mimi na PATRICK tunatoka mkoa mmoja kwa kukosea umekosea ila sio sana acha nimwambie kuwa siku akiwa nyumbani Akupe tu unga au mchele awe free.
” Sawa.
” Unajua mke wangu kabla ujaja nilikuwa napika nae hapa PATRICK tunatoa zetu dongo mambo yanaenda.
” Sasa mbona yeye aoi?
” Hapo sasa siwezi kujibu.
( Joji akatoka ndani akaenda ghetto la PATRICK akugonga mlango yani kama kwake vile wanaishi kwa upendo)
” Oya mwamba vipi mbona umelala.
” Naumwa joji toka mchana sipo Poa nilimuomba Shemeji anisonge ugali nipate nguvu ya kumeza dawa ila naona amenitolea nje.
” Pole sikumpanga ila ushakula?
” Bado.
” Jiko si lipo Fresh aje akusonge ugali chap.
” Lipo fresh nimejaza juzi tu.
” Poa.
( Joji anamwita sasa mkewe aje ampikie PATRICK wakati mke anapika joji akaenda magengeni kununua mboga uku anjel anaomba msamaha)
” Nisamehe Shemeji.
” Nishakusamehe upo sahihi.
” Shemeji tv yako kubwa umenunua Shilingi ngapi?
” Nimesahau nimenunua Muda sana.
” Yani nzuri picha unaona kubwa nitamwambia joji anunue kubwa kama hii.
” Sio vizuri kumwambia yeye mwenyewe anajua kuna siku atanunua.
” Poa Shemeji vipi nikusonge ugali mgumu au laini.
” Mgumu.
( Joji akarudi amebeba samaki akampa PATRICK)
” Oya utahishi humu.
” Poa ndugu.
” Alafu Tabia ya kutembea na funguo uwache Shemeji yako yupo mpe funguo sio kila siku unavunja mlango.
” Aina noma ndugu yangu.
” Anjel uyu ni rafiki yangu sana unajua sana Kwaiyo akikwambia sijui Akupe unga sijui mchele wewe pokea Mpikie ale.
” Sawa.
( Walitoka wakarudi chumbani kwao…asubuhi PATRICK akaondoka funguo kaacha kwa Shemeji yake….joji na yeye akaondoka…sasa anjel akamwambia amina)
” Jana nimemwambia mume wangu kama ulivyoniambia.
” Ikawaje.
” Mbona nilienda kusonga ugali usiku ule kwa PATRICK.
” Nilikwambia marafiki hawa.
” Leo kanipa funguo PATRICK ya chumbani kwake.
” Twende basi tukaangalie moves.
” Amina unanichekesha ata usafi atujafanya tuingie chumbani kwa PATRICK.
” Tena umenikumbusha vyombo uliosha ulivyompikia.
” Nilimuacha anakula.
” Aya twende tukachukue vyombo.
” Aya kama ivyo vyombo vingi twende.
( Walienda wakaingia chumbani kwa PATRICK amina akakaa kwenye sofa akamwambia anjel)
” Mimi kwa sababu tu nimeolewa ila PATRICK.
” Ana nini?
” Tuache tu wewe niwashie tv niangalie.
” Washa mwenyewe wewe mwenzangu kazi umemaliza naona angalia TV mimi acha nikafanye kazi kwanza nioshe vyombo alafu nakuja tuangalie wote.
” Sawa.
( Amina akabaki peke yake chumbani kwa PATRICK sasa akaweka mziki mzuka ukampanda akawa anacheza kuna ya daimond kafunga kanga kiunoni kainama anakatika uno mdogo mdogo…..kumbe PATRICK na yeye karudi kaona mlango umesindikwa alafu anamuona Shemeji yake anaosha vyombo vyake…anjel ajamuona PATRICK….sasa PATRICK anaingia ndani ndio anaona amina anakatika uno tena kipande kile cha daimond anaimba)
🎵 NYIE WANA DAR SALAMA ACHENI UMBUMBU SHART KUINAMA UKITAKA CHA UVUNGU MBONA WAPATA BWANA ALAF UMPI MKU….NAOMBENI BARUA YANGU.
( PATRICK udenda unamtoka amina ajui analikata uno uku amegusa matuta yake anayachezesha….simu ya PATRICK ikaita amina ndio anageuka anakutana na PATRICK macho kwa macho)
” Endelea kucheza unajua kweli amina kucheza..
ITAENDELEA
AMINA ATAJIBU NINI?
USIKOSE EPISODE INAYOFATA….
PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA
Sehemu ya pili.
👉 Endelea kucheza unajua kweli amina kucheza….👇
” PATRICK jamani naona aibu mwenzio.
” Samahani nimeingia bila Hodi.
” Jamani unapigaje hodi chumbani kwako.
( Mala anjel anaingia kuleta vyombo alivyoosha anjel akashangaa tu kumuona PATRICK ndani)
” Shem umepitia wapi?
” Nimepita hapo hapo nje nimeona umejiinamia kusugua sufulia.
” Poa nilikuwa naosha vikae kwenye usafi.
” Poa mimi naenda zangu nilikuja mala moja kuchukua kibegi ichi cha mazoezi.
” Sawa.
( Amina akadakia)
” PATRICK auna nguo chafu nikufulie nimemisi kufua nguo za mwanaume.
” Wewe mke wa mtu sio vizuri kufua akija mumeo atanichukulia tofauti.
” PATRICK ilo usijari mume wangu amesafili naomba nikufulie.
” Shemeji unamsikia nisije kupigwa.
” Shem wewe mpe si kataka mwenyewe kufua.
( PATRICK akampa mashuka na baazi ya nguo alafu akaondoka….amina alifua vizuri kabisa akamaliza akaingia jikoni kupika alimuwekea chakula mezani PATRICK hapo ndio anjel akamwambia amina)
” Uwe makini unajua unayoyafanya ni kama mtu na mpenzi wake vile.
” Nipo makini ila PATRICK ajui tu nampenda sana nilikuwa siwezi kumzoea tu.
” Aya.
” Anjel usije kumwambia joji aya unajua aya ya kike tena.
” Siwezi naanzaje sasa.
” Poa.
( Upande wa PATRICK akawa anawaza yale mauno uku anasema kimoyoni…mumewe anafaidi kweli na ule mzigo….akatoka mazoezini akapita kijiweni kidogo)
” PATRICK naona unakata mwili.
” Juma wewe umeona kukata mwili tu sio kuweka afya Sawa napenda sana mazoezi.
” PATRICK kwenu kuna chuma kimoja kimetoka nimekiona leo Leo asubuhi ana kalio flani ivi alafu katoka na kipensi.
” Oya mke wa joji yule.
” Joji uyu uyu white langi ya pesa.
” Ndio.
” Kakitoa wapi chuma kile kimekaa vizuri kweli kwa matumizi ya kitandani.
” Acha tamaa juma nimekwambia mke wa joji usingeongeza neno maana ushamjua kuwa ni Shemeji yako.
” Poa ila dah mtoto mkari sana.
” Poa baadae.
( PATRICK anarudi kwake uku anaona juma ni mweu sana anamtamani Shemeji yake…anafika Kwake anamkuta amina yupo chumbani ananyosha nguo za PATRICK zile alizofua…PATRICK ajawai kunyosha nguo zake tokea amalize shule akamwambia amina)
” Dah Kesho navaa shati limepigwa pasi watu watanishangaa maana sijanyosha nguo kitambo sana.
” Usijali sasa ivi utakuwa unavaa zilizonyoshwa.
” Nitavaa siku mbili tatu akiludi Mumeo basi tena.
” Kwanini iwe basi.
” Nitakuwa kama anayeishi anategemea uji wa mgonjwa.
” PATRICK kwanini unasema ivyo.
” Anayetegemea uji wa mgonjwa ndio aishi basi atakuwa na aya mgonjwa akipona yeye kafa njaa na mgonjwa akifa na yeye anakufa.
” Mbona sikuelewi.
” ngoja kwanza nasikia harufu ya wali nazi.
” Nimekupikia.
” Amina mbona umeniweza ugonjwa wangu huu umetumia ghalama za shilingi ngapi?
” Wala usijari wewe kula tu.
( PATRICK anaenda kuchukua maji anawe amina anamkataza)
” PATRICK nimeanda chakula nashindwaje kukuandalia maji usiende kuchukua maji nakuletea.
” Wewe si unanyosha nguo nisikusumbue.
” Wala unisumbui.
( PATRICK akatulia akaletewa maji akanawishwa akala akamaliza…akanawishwa tena…vyombo vikatolewa…usiku umeingia amina akatandika shuka kitandani kwa PATRICK alafu anamuuliza PATRICK)
” Unajua PATRICK mtu akipika lazima aonje.
” Najua ilo.
” Sasa mimi nimetandika shuka naomba nipande kitandani nilale kidogo.
” Sio vizuri Shemeji yangu ataanza kuisi sisi ni wapenzi.
” Sasa PATRICK ilo linakutisha.
” Wewe mke wa mtu.
” Kwanza kalala Muda mlefu anasema tumbo linamuuma na wala ajui kama mimi nipo ndani uku.
” Funguo si amekupa yeye.
” Maumivu ya tumbo yote amesahau yule naomba nilale au PATRICK utaki nilale kitandani kwako.
” Nataka ila sasa unanipa mtihani wewe mke wa mtu.
” Mimi najijua mke wa mtu wewe nipe ruxsa nilale.
” Poa lala.
” Kafunge mlango basi tuje tulale wote na wewe PATRICK ujiongezi kama ujasoma Cuba vile.
” Tukilala wote kinaweza kikatokea kitendo sio mimi najijua nina Muda sijapata kitu roho inapenda.
” Na mimi nina Muda kumbe wasakanao wamekutana PATRICK kafunge mlango jamani.
( Amina anapanda kitandani sketi kaikunja anatanua mguu ndio anapanda ivyo mapaja nje PATRICK udenda unamtoka akili ikahama anaenda kufunga mlango mwenyewe na kichwani usemi wake liwalo na liwe)
” PATRICK kafunge alaka jamani uje kula..
PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA
Sehemu ya Tatu
👉 PATRICK kafunge alaka jamani uje kula…👇
Nina hamu mwenzio.
( PATRICK akaona acha ale kisela anafika mlangoni afunge mlango anaona unagongwa anayegonga joji white)
” PATRICK Samahani.
( PATRICK akafungua mlango akatoa kichwa tu)
” Niambie joji.
” Naomba unisindikize hospital anjel anaumwa sana.
” Dah poa Shemeji anaumwa sana.
” Yah hapa nishaita uba inakuja twende ndugu mimi sijawai kuuguza naona mtihani kweli.
” Poa.
( PATRICK akaingia ndani akamwambia amina)
” Angel ugonjwa umemzidia namsindikiza hospital ukitoka funguo niweke chini ya zulia.
” Poa ila angel na yeye kwanini asiumwe Kesho.
( PATRICK akutaka kusikiliza sana akatoka wakamchukua anjel wakampeleka hospital sasa anjel analia ila joji kubembeleza mgonjwa ajui anamfokea)
” Jikaze anjel watu wote wanatuangalia sisi mpaka aibu jikaze kidogo.
” Siwezi tumbo linauma sana mume wangu uuuwii linauma.
( PATRICK ndio anabembeleza)
” Pole Shemeji litakaa Sawa tu ngoja tumuone dokta.
” Sawa shemeji.
( Walipofika hospital anjel anazidi kulia sasa watu wote wanamwangalia yeye hapo joji anamwambia anjel)
” Nitakuacha na Shemeji yako mimi mambo aya siyawezi unalia kama mtoto mdogo.
” Mume wangu naumwa sifanyi makusudi.
” Ndio ulie si ujikaze hapo tumbo je ukienda kujifungua itakuwaje.
( PATRICK anamwambia joji)
” Uyu alii kwa kupenda maumivu yanasababisha kulia mpe maneno ya falaja sio kumfokea.
” Mimi izo pigo sina PATRICK wewe pambana na Shemeji yako mimi nitakuja baadae yani watu wote wanatuangalia sisi.
( Joji aliondoka…PATRICK akaingia nae chumba cha Dokta…dokta akampima akasema)
” ngoja tumpe kitanda kwanza kuna dawa izi ameze.
” Sawa dokta.
” Wewe ni mumewe au kaka yake.
” Ni Shemeji yake.
” Basi toka nje anatakiwa apunguze nguo ya juu hili apate hewa nzuri.
( Anjel akasema)
” Dokta muache tu Shemeji yangu asitoke nje.
” Sawa.
( PATRICK alikaa na anjel…na anjel alifunuliwa brauzi kidogo tu na Dokta sasa anjel akishika tumbo anaisi maumivu yanapungua ila sasa mwili unamuwasha akamuomba PATRICK)
” Naomba unishike tumbo mimi nijikune naona mwili unawasha.
” Sawa Shemeji.
( PATRICK ameshika tumbo la Shemeji yake uku anjel anajikuna kuna anasikia raha PATRICK anajali….dk 30 akakaa Sawa kidogo…PATRICK akatoa mkono na Dokta akasema)
” Kuna sindano atachoma mbili saizi atapumzika alafu Kesho utamleta amalizie mbili.
” Sawa.
( PATRICK akamwambia Shemeji yake)
” Angel mimi natoka nje unatakiwa uchomwe sindano mbili.
” Shemeji naomba unishike mimi muoga wa sindano.
” Vumilia ndio uzima wako.
” Najua nitavumilia ila naomba unishike usitoke nje.
” Sawa.
( Dokta kweli alimchoma sindano mbili za makalio uku PATRICK ndio kamshika Shemeji kaona robo ya makalio….baada Muda kwenda akawapa ruxsa…PATRICK anampigia joji)
” Oya tayari upo wapi?
” Nipo home.
” Kwaiyo?
” Chukua usafili uje nae mimi utanikuta home.
” Poa.
( Anjel aliumia kimoyoni yeye yupo hospital mumewe karudi home ila PATRICK anamliwaza kwa maneno matamu ya falaja…mpaka anjel anatamani angekuwa mke wa PATRICK…kweli walifika walimkuta joji ametulia anaangalia tv anjel akasema kimoyoni….ungekuwa na TV kama ya PATRICK ata hospital usingenisindikiza wewe…….ila anaongea kimoyoni…PATRICK akawaaga)
” Jamani mimi naenda kulala.
” Poa PATRICK nashukuru sana mwamba mimi siwezi kuuguza kama atalia tena nitakuita.
( Anjel anatamani ajibu….basi nikalale kwa PATRICK….ila kanyamaza ammalizi mumewe…PATRICK akasema)
” Joji unatakiwa ujue kuuguza mgonjwa afokewi anatakiwa falaja.
” Kipaji icho sina Poa wewe nenda kalale.
” Poa.
( PATRICK anarudi chumbani kwake mlango umefungwa na funguo ajaacha pale chini amina…anawaza akamgonge mke wa mtu je kama mumewe karudi itakuwaje?…alikaa chini anawaza amina au yupo ndani…akazunguka dirishani kuchungulia ndani amna mtu…sasa na wingu la mvua limetanda akaona liwalo na liwe akaenda kugonga chumbani kwa amina)
” NGO NGO NGO.
( Kumbe kweli mume wa amina alikuwa karudi..amina kuchanganyikiwa simu ya mumewe alifunga mlango wa PATRICK na akaondoka na funguo…sasa PATRICK anagonga aliyetoka ni mume wa amina)
” Karibu PATRICK niambie mbona usiku unagonga kwangu kulikoni?.
PATRICK ATAJIBU NINI?
USIKOSE EPISODE IJAYO.