Clickable WP Image

LOOH DADA MARTHA

JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

Sehemu Ya 16

ILIPOISHIA:

Ilipita kama dakika tatu hakuna aliyekuwa akizungumza zaidi ya kuendelea kushikana kiaina.

Kilichosikika ni kuhema kwa mama Anna ambaye sasa alionekana kama tayari amechaji.

Roi alimsimamisha, akamshika mkono na kuondoka naye…

“Tunakwenda wapi sasa?” aliuliza mama Anna.

“Wewe twende tu, wala usiogope,” alisema Roi, tayari akili yake ilikwishahama kabisa, kwa kumwangalia tu, ingekufanya ujue tayari penzi lilimchukua.

JIACHIE MWENYEWE SASA…

Safari yao ilikwenda mpaka kwenye gari la Roi, mama Anna akapanda upande wa abiria, Roi akakalia usukani na kuanza mwendo mpaka nyumbani kwa Roi.

“Karibu sana, hapa ndiyo nyumbani kwangu,” alisema Roi na kumshangaza sana mama Anna…

“He! Kumbe! Nyumba nzuri sana.

Sasa kwa nini unakuja kuishi kule ambako Martha amejibana?”

“Haitakuwa kila siku. Lakini tukubaliane jambo moja.

Nimekuleta hapa, iwe siri yako wewe, sawa?” alisema Roi akiwa amesimama na mama Anna sebuleni.

“Yaani elewa mimi ni msiri sana kama nilivyokwambia, kwa hiyo wala usiwe na wasiwasi wowote ule.”

Roi alimpeleka chumbani mama Anna…

“Hiki ndiyo chumba changu ninacholala,”

 Roi aliendelea kutambulisha…

“Jamani! Umebakiza kuwa na mwanamke tu! Hivi, utaoa lini wewe mwanaume?”

“Nitaoa karibuni.”

“Ndiyo Martha sasa?”

“Hata Martha wewe kwani pia si Martha?” alisema Roi huku akicheka kuashiria kwamba, alikuwa kwenye utani.

Moyoni mama Anna alinuia jambo moja. Kwamba, watakapopanda kitandani kuanza mechi, aoneshe ufundi wote, chenga kwa wingi, danadana kwa sana ili ikibidi yeye sasa, amkamate kimapenzi Roi na kumpiku wajina wake, Martha…

“Jamani, mimi bahati hiyo nitaipata kweli?” alisema mama Anna akiwa na yake moyoni.

Ni Roi ndiye aliyemuanza mama Anna mle chumbani.

Alimshika, akamvutia kwake, wakakaa wote kitandani.

Alikaa Roi, mama Anna akaja juu yake. Alimkalia Roi…

“Teh! Teh! Lakini mi mwenzako naona aibu,” alisema mama Anna huku akiuma kidole chake.

“Aibu ya nini bwana wewe? Kwanza lazima ujue mimi naweza kuwa mumeo.

Sasa mumeo utamuoneaje aibu?”

 alisema Roi, lakini moyoni alisema…

“Ungekuwa una aibu ungeanza wewe kunitongoza? Acha mambo yako wewe.”

Roi, ili kumtoa mwanamke huyo hiyo aibu, alimshika shingo, akamgeuzia kwake, akaomba denda, akapewa.

Wakapeana, wakazama kwenye mahaba mazito.

Alichofanya mama Anna, wakati wapo katikati ya denda, alipeleka mkono kwenye kifua cha Roi na kuanza kumfungua vifungo vya shati, kimoja baada ya kingine mpaka mwisho.

Akalitoa shati pembeni, akalitupa kwenye kiti. Akahamia kwenye singilendi, akaivua mpaka usawa wa midomo, akatoa ulimi na kuivua singilendi kisha akarudisha ulimi tena.

Alipoitupa singilendi, Roi alikuwa tumbo wazi, akajua mambo yameisha, kumbe mama Anna alikuwa bado.

Wakiwa ndani ya denda, akapeleka mkono kwenye suruali, akashika sehemu ya kufungia usalama wa suruali na kupafungua, akaishusha suruali huku denda likiwa palepale.

Ilifika mahali, mama Anna akatumia miguu kuimalizia suruali kwa chini, ikatoka kwenye miguu ya Roi, akabaki na boksa.

Kwa Roi, aliyokuwa akifanyiwa na mama Anna yalikuwa mageni kwake.

Hakuwahi kuyaona popote, hata kwa Martha mpenzi wake.

Yaani denda liwepo mdomoni huku anavuliwa nguo? Kwake ilikuwa elimu mpyaa!

Mama Anna akapeleka mkono kwenye boksa, akaivuta, ikavutika.

Akaitoa na mkono mpaka usawa wa magoti, akaisindikiza chini kwa miguu na kuimalizia, ikatoka na kuangukia kwenye kapeti.

Sasa Roi alikuwa kama alivyozaliwa huku mama Anna naye akianza kujiondoa vazi moja baada ya jingine mpaka wakawa saresare.

Waliingia uwanjani huku mama Anna akipania ushindi wa kishindo.

Roi yeye alitegemea kuyaona mengi zaidi.

Na kweli Mama Anna alijilaza kuangalia miguuni kwa Roi mpaka Roi akashangaa.

Alishangaa kwa sababu alihisi mwanamke huyo hakuwa tayari kwa mchezo zaidi ya kupandishana joto la mahaba tu.

Kumbe sivyo, mama Anna alikuwa kwenye pozi lile ili aanze kucheza mchezo kwa mashambulizi ya kuanzia katikati.

Roi alishangaa, mama Anna anamsogelea upandeupande huku akimshikashika sehemu mbalimbali za mwili mpaka wakawa sanjari.

Roi kuja kushtukia, mama Anna ameshaanza mchezo kwa kujihudumia mwenyewe.

Roi naye akaunga mchezoni, wakaanza kusakata kabumbu huku mama Anna akiimba mashairi mazuri ya mahaba.

Roi alichanganyikiwa, akatamani kulia kwani kuna ufundi alikuwa akifanyiwa na mama Anna ulimzuzua akili.

Mama Anna sijui alifanyaje, Roi akahisi anaondoka kwenye ulimwengu huu na kwenda sehemu nyingine…

“Noo…noo Martha noo. Hebu tuongee kwanza please,” alisema Roi kwa kupiga ukelele kidogo.

Mama Anna akatuliza mpira katikati ya uwanja…

“Niambie baba,” alisema…

“Martha,” aliita Roi…

“Sema baba nakusikiliza wewe.”

Roi hakuwahi kuitwa baba na Martha wake hata siku moja. Kuitwa na Martha huyu mwizi kwake pia ilikuwa ni jambo jipya…

“Huna mwanaume mwingine?” aliuliza Roi…

“Aaah! Sina mbona.

Mimi niponipo tu,” alisema mama Anna huku akianzisha mchezo polepole kama anayesema kumbe unachotaka kusema ni hicho tu…

“Ngoja Martha…ngoja…

”Mama Anna akatuliza mpira tena lakini si kwa kusimama moja kwa moja, kwa mbali alicheza…

LOOH DADA MARTHA

Sehemu Ya 17

ILIPOISHIA

Roi alichanganyikiwa, akatamani kulia kwani kuna ufundi alikuwa akifanyiwa na mama Anna ulimzuzua akili.

Mama Anna sijui alifanyaje, Roi akahisi anaondoka kwenye ulimwengu huu na kwenda sehemu nyingine…

“Noo…noo Martha noo.

Hebu tuongee kwanza please,” alisema Roi kwa kupiga ukelele kidogo.

Mama Anna akatuliza mpira katikati ya uwanja…

JIACHIE KIVYAKO…

“Niambie baba,” alisema Martha…

“Martha,” aliita Roi…

“Sema baba nakusikiliza wewe.”

Roi hakuwahi kuitwa baba na Martha wake hata siku moja.

Kuitwa na Martha huyu mwizi kwake pia ilikuwa ni jambo jipya…

“Huna mwanaume mwingine?” aliuliza Roi kwa sauti iliyojaa umakini wa hali ya juu…

“Aaah! Sina mbona Mimi niponipo tu,” alisema mama Anna huku akianzisha mchezo polepole kama anayesema kumbe unachotaka kusema ni hicho tu…

“Ngoja Martha…ngoja…”

Mama Anna akatuliza mpira tena lakini si kwa kusimama moja kwa moja, kwa mbali alicheza…

“Mimi nataka nikuoe wewe Martha…please nikubalie mama.”

Hapo ndipo alipokuwa akipataka mama Anna, kumzidi nguvu wajina wake Martha kama alivyowaambia wapangaji wenzake.

“Mh! Itawezekana kweli? Nahisi itakuwa ngumu baba angu,” alisema mama Anna kwa gia ya kutotaka kuonekana mrahisi…

“Tatizo litakuwa wapi kwani?”

“Si kwa Martha! Si umesema ndiyo unataka ufunge naye ndoa?”

“Nimabadili mawazo Martha, amini hivyo.”

Martha aliendelea kukataa lakini huku akiendelea na mchezo kwa staili ya kushambulia polepole, Roi akajishindwa na kutangaza kuvunja dafu lake huku akikaribishwa.

Huku akijua Roi ameshavunja dafu, mama Anna alibadili upande bila kusubiri mapumziko, sasa Roi akawa anashambulia kutoka upande mwingine ambao awali alikuwa akizuia asifungwe.

Hilo lilimfanya Roi kupata joto tena na hivyo kumudu mchezo kiasi kwamba alijihisi kama hakuvunja dafu tangu aanze.

Mama Anna FUNDI maana  alipotangaza kuvunja dafu yeye, alitumia ufundi wa hali ya juu ikiwemo kuchezesha sauti yake kwa mahaba mazito na kumbembeleza Roi ambapo sekunde kadhaa mbele akavunja dafu.

Wote walikuwa wakihema kwa kasi kutokana na mechi kuwa ya vuta nikuvute mpaka dakika za mwisho ambapo matokeo yalikuwa moja kwa moja.

(BILA BILA) hatari sana…,.

“Da! Martha, sijategemea ujue,” alisema Roi akiwa anajipindua pale kitandani…

“Hukutegemea nini?”

“Kama upo hivyo.”

“Kwani nipoje?”

“Da! We mwenyewe unajijua,” alisema Roi kisha akambusu mama Anna ambaye naye alitoa sauti ya hisia ya mapenzi.

***

Ilikuwa saa kumi na mbili na nusu, wawili hao walishacheza mzunguko wa pili na kutoka sare ya moja kwa moja kama ilivyokuwa kwenye mzunguko wa kwanza,.

“Sasa itakuaje?” aliuliza Roi…

“Kuhusu?”

“Si tunaondoka?”

“Kurudi kule?”

“Yes.”

“Sawa.”

Walitoka kitandani wote, wakaenda kuoga wote, wakavaa, wakatoka wote.

Roi aliendesha gari lakini kutokana na foleni, walifika kwa Martha saa moja na nusu usiku.

Bila woga, Roi alifika na mama Anna akiwa ndani ya gari mpaka nje.

Wakatulia kwanza kuangalia hali ya hewa, kisha mama Anna akashuka baada ya kujiridhisha kwamba hakukuwa na mashuhuda maeneo yale.

Alianza kuingia ndani mama Anna, Roi akibaki ndani ya gari.

Akapitiliza hadi kwenye chumba cha shoga yake mmoja, anaitwa Madam May ambako pia alimkuta shoga mwingine, mama Eli…

“Tayari,” alisema mama Anna…

“Acha uongo wako bwana,” walisema wenzake…

“Ohoo! Naapa, tayari.

Nimekuja naye mpaka hapo nje, nyie subirini mtasikia akiingia…

“ heeyiiuayyahh shoo Mlikuwa hotelini?”

 mama Eli aliuliza kwa sauti ya umbeya…

“Kwake.”

“Mm! Huo sasa uongo uliopitiliza,” alisema Madam May,.

“Ngoja nimtumie ujumbe halafu ajibu, ndiyo mtaamini,” alisema mama Anna huku akiandika ujumbe wa simu…

“Baby, nimefurahi sana kwa mechi ya leo,.

Halafu mechi ya kuichezea nyumbani kwako kama vile ni nzuri kuliko gesti au hotelini, nimeipenda sana.”

***”

Dohh MASHOGA mna mambo nyie,.

WASOMAJI WANGU si KWA UDABWI huo wa mashoga unadhani ROI atajibu je ujumbe wa ukanushi wa mama ana, huku tukijua ukweli ni kwamba walikuwa hotelini na si kama alivyowaambia MASHOGA wake, je shoo ataenda kuumbuka au laah!!!?

LOOH DADA MARTHA

Sehemu Ya 18

ILIPOISHIA

“Ngoja nimtumie ujumbe halafu ajibu, ndiyo mtaamini,” alisema mama Anna huku akiandika ujumbe wa simu…

“Baby, nimefurahi sana kwa mechi ya leo,.

Halafu mechi ya kuichezea nyumbani kwako kama vile ni nzuri kuliko gesti au hotelini.

Nimeipenda sana.”

SONGA NAYO MBELE…

Baada ya kuandika ujumbe huo, mama Anna aliwaonesha wenzake kisha akautuma kwenda kwenye namba ya Roi ambayo aliisevu kwenye simu yake kwa jina la ‘Wa Martha.’

Ni ndani ya dakika tatu tu, meseji ikajibiwa…

“Mimi pia nimeinjoi sana baby.

Da! Yaani wewe ni kiboko, umeniteka kabisa Martha.

Kesho twende  nyumbani.”

Mama Anna alipoisoma meseji hiyo akawaonesha wenzake, wakacheka mpaka kupiga mikono ‘pa…pa’…

“Mimi nawaambieni, lazima wajina wangu aachike hivihivi anaona.

Nimempa biti yule kaka ambazo mwenyewe hajawahi kupewa tangu azaliwe.”

Baada ya mazungumzo yao,

 Martha aliingia ndani kwake na kuwaacha wenzake wakiendelea na mazungumzo.

***

Roi alikaribishwa chumbani kwa Martha kwa mabusu mfululizo huku akipewa pole kwa kazi za mchana kutwa halafu akaambiwa…

“Baby, nilikumbuka kwamba kule nyumbani kwako baada ya kufunga, funguo uliiweka kulekule au ulikuja nayo?” aliuliza Martha…

“Iko kwenye gari.”

“Nilipenda kwenda kufanya usafi baby, labda kesho sasa.”

“Kesho sawa, utakwenda.

Saa ngapi?”

“Jioni, kwenye saa kumi hivi.”

***

Usiku wa siku hiyo, Martha alihisi kitu tofauti kwa Roi.

Licha ya kumshikashika ili achaji lakini alionekana hana habari na kwanza alikuwa mbali…

“Sweet, mbona kama upo mbali kimawazo?” aliuliza Martha…

“Hapana, kuchoka tu na shughuli.”

“Mmh! Baby jamani! Sasa ukichoka hivyo mimi nitapataje haki yangu?”

“Kesho bwana,” alisema Roi akilala baada ya kutoka kuoga.

***

Saa kumi na mbili, Martha alimka na kuamza kumshikashika Roi sehemu mbalimbali za mwili, hasa zile zenye kuamsha joto la mahaba.

Roi alimgeukia, wakapashana joto zaidi na kuingia uwanjani kusakata mechi.

Kulikucha kabisa, Martha alitoka kwa lengo la kumtengea maji ya kuoga jamaa yake ambapo alikutana na mama Anna…

“Mambo mama Anna?” alisalimia Martha…

“Poa, umeamkaje?”

“Ah! Mi mzima bwana.

 vipi shemeji yangu?”

“Ameamka salama, anataka kuondoka kwenda kazini kwake muda si mrefu, namwekea maji ya kuoga.”

“Sawasawa, lazima upalilie bwana,

 Waoaji siku hizi hakuna,” alisema mama Anna akiingia ndani kwake.

Lengo lake lilikuwa ni kumtumia meseji Roi kwani alijua Martha hatarudi muda ule chumbani…

“Baby umeamkaje?” alituma meseji Mama Anna.

“Poa, vipi wewe sweet, umeamkaje?”

“Mimi mzima tu.

Ni kukumisi tu.”

“Mh! Je, mimi? Yaani natamani tungelala wote.”

“Usijali baby, kuna siku.

Unakwenda kazini?”

“Yeah! Ndiyo nataka kujiandaa.”

“Leo vipi, tutaonana baby wangu?”

“Muhimu, si nilikwambia muda ule mpenzi wangu!”

“Saa ngapi na wapi?”

“Nitakujibu maana…” Roi aliikata meseji hiyo na kumpa wakati mgumu mama Anna kutafuta kwa nini meseji iliishia kwenye maana…

“Maana nini tena baby?”

“Nitakwambia Martha.”

Roi alisema maana kwa sababu, jana yake, Martha wake alitaka funguo ili akafanye usafi nyumbani kwake siku hiyo jioni.

***

Roi alitoka kitandani kwenda kuoga ambapo uani alikutana na wale wapangaji wenzake na Martha akiwemo mama Anna…

“Jamani mmeamkaje?” alisalimia Roi akiwa ndani ya taulo tu, kifua wazi.

 Alishangaa kuwaona wanawake wote wakimtumbulia macho yeye tena waziwazi na si kwa kuibia…

“Tumeamka salama, sijui wewe?” walimjibu, lakini mama Anna akaenda mbele zaidi kwa kusema…

“Sijui wewe baby wangu.”

Wakati anamalizia kusema baby wangu, Martha alitokea, akasikia.

Ili kuonesha kwamba alisikia kitu kisicho cha kawaida, Martha alimtumbulia macho mama Anna kama anayemuuliza unasemaje wewe?

“Vipi wajina?” mama Anna alijibalaguza kiaina kwani hata yeye alihisi maneno yake yalisikika na Martha…

“Poa tu,” Martha alijibu kwa mkato sana tena akiwa ameuelekeza uso wake chini.

Wakati huo, Roi alishazama bafuni kuoga lakini naye akijua maneno ya mwanamke huyo yamesikika na Martha…

“Hawa wanawake wa uswahilini hawa,

Yaani kuvumilia hawawezi kabisa,”

 alisema moyoni Roi akiwa ameshaanza kuoga.

***

“Baby,” Martha alimwita Roi chumbani akiwa amekaa kwenye kitanda…

“Yes baby…”

“Yule mwanamke pale uani alikuitaje?”

“Yupi?”

“Yule mama Anna.”

“Mama ni yupi kati ya wale?” Roi alijizungusha huku akijua anazungumziwa nani,.

Unadhani ROI atajitetea je mbele ya mpenzi wake  Martha hapo patamu !

LOOH DADA MARTHA

Sehemu Ya 19

ILIPOISHIA:

“Yes baby…”

“Yule mwanamke pale uani alikuitaje?”

“Yupi?”

“Yule mama Anna.”

“Mama ni yupi kati ya wale?”

Roi alijizungusha huku akijua anazungumziwa nani.

JIACHIE MWENYEWE SASA…

“Yule mwenye umbo namba nane!”

“Mi sikumsikia, kwani alisemaje baby?”

“Ha! Una uhakika sweet? Mi nimemsikia akikusalimia kwa kukwambia sijui wewe baby?”

“Mh! Kweli anaweza kunisalimia hivyo mimi? Mbona sifahamiani naye zaidi ya hapa kwako.

Sasa mimi niwe baby wake kivipi jamani?”

“Ndiyo nimeshangaa pale baby.”

***

Roi aliondoka kwenda kwenye shughuli zake, nyuma Martha aliamua kuumiza kichwa kuhusu mama Anna.

Kuna wakati alivizia mama Anna yuko bize, akamwingia mmoja wa wapangaji wenzake…

“Mambo shosti?”

“Poa, vipi Martha?”

“Poa. Hivi, asubuhi pale wewe si ulikuwepo uani wakati mgeni wangu anakwenda kuoga?”

“Nilikuwepo ndiyo, vipi kwani?”

“Hivi, mama Anna alimsalimia vipi mgeni wangu?” aliuliza Martha huku akimkazia macho mpangaji huyo.

“Alimsalimia kawaida tu.

Alimwambia salama sijui wewe hapo?”

“Kweli?”

“Kweli.

Kwani wewe ulisikiaje?”

“Mimi nilisikia akisema salama sijui wewe honey.”

“Hapana, alisema sijui wewe hapo.”

“Oke basi, lakini usimwambie chochote mama Anna.”

“Sawa, wala simwambii.”

***

Jioni, saa kumi na moja, Roi ndiye aliyeanza kumtumia meseji mama Anna ambapo mchana kutwa wa siku hiyo hawakuwasiliana…

“Mzima baby?”

“Mzima sweet, wewe?”

“Mzima, Wapi hiyo?”

“Niko home, wewe?”

“Mimi nipo njiani. Unapakumbuka vizuri nyumbani kwangu?”

“Ndiyo, Kumetokea nini kwani baby wangu?”

“Unaweza kuja?”

“Sasa hivi?”

“Yes, mimi naelekea huko muda si mrefu nitakuwa nimefika.”

“Poapoa.”

Mama Anna aliwafuata wenzake, akawatonya kuhusu kuitwa na bwana wa Martha nyumbani kwake…

“Safi sana, Nenda katese mwanamke mwenzetu.”

“Sawa, baadaye basi.”

Mama Anna alibeba nguo pea moja, Alipanga atakazovaa akienda siyo atakazovaa akirudi .

Wakati anatoka, Martha alikuwa amekaa nje na wapangaji wenzake…

“Mwenzetu mtoko wa wapi huo?” aliuliza Martha.

“Kwa shemeji yako.”

“Msalimie basi, siku nyingine mlete tumwone.”

“Wewe hujatuonesha wako lakini, Sanasana huyu wa sasa unasema ni kaka yako.”

“Ee! Kaka yangu jamani.

Mjue ni kaka yangu, lakini mbona huwa mnamuita shemeji wakati niliwaambia ni kaka yangu!” alisisitiza Martha.

Walicheka wote, mama Anna akatokomea zake kwa kuchukua Bajaj hadi nyumbani kwa Roi.

Anashuka tu, Roi naye anaegesha gari hapo

.

Waliingia sambamba ndani huku Roi akimuuliza habari za alikotoka…

“Martha hajakuuliza kitu?”

“Hapana, kwani kuna kitu?”

“Aliniuliza asubuhi vile ulivyonisalimia kwa kuniita baby.”

“Kweli?” alishtuka mama Anna…

“Kweli, lakini usijali, yaliisha palepale. Alijua alisikia vibaya.”

Wawili hao hawakutaka kupoteza muda, waliingia chumbani, wakachojoana na wakapanda kitandani kuanza mechi.

Safari hii, mama Anna aliongeza gia namba kubwa zaidi kuliko jana yake.

Mfano, wakiwa uwanjani, alimtoa kitandani Roi wakatembea mpaka bafuni na kurudi huku wakiendelea kucheka, Roi akapata ushindi wa kwanza ile anafika tu kitandani.

Alianguka chini kwa jinsi alivyochokeshwa.

***

Martha kule nyumbani, akakumbuka kwamba alipanga kwenda kufanya usafi nyumbani kwa Roi, hivyo alijiandaa, akatoka akipanga kwamba atakapokaribia kufika ampigie simu Roi kumwambia ampitishie funguo za nyumba.

Je unadhani ndo 40 za mwizi zimefika au laah!! Hebu dondosha comment yako tuzidi kuchimba na kujua hatima ya Martha na roi ndo hapo mwisho au anna akifumaniwa itakuwa aje, CHOMBEZO hili bado jipya KABISA …

LOOH DADA MARTHA

Sehemu Ya 20

ILIPOISHIA:

Martha kule nyumbani, akakumbuka kwamba alipanga kwenda kufanya usafi nyumbani kwa Roi, hivyo alijiandaa, akatoka akipanga kwamba atakapokaribia kufika ampigie simu Roi kumwambia ampitishie funguo za nyumba.

JIACHIE MWENYEWE SASA…

Aliwaaga wapangaji wenzake akisema anatoka mara moja…

“Jamani natoka, nitarudi lakini,” alisema Martha akiwa tayari kwenye ngazi.

“Poapoa.”

Martha alichukua usafiri wa Bajaj, akapanda hadi alipokuwa akikaribia nyumbani kwa Roi, akampigia simu…

“Uko wapi baby?”

“Niko mtaani bby.”

“Mi nakaribia kwako, nipitishie funguo nifanye usafi.”

Roi moyo ulimlipuka puu! Maana alijua Martha atakumbana na mama Anna, kama si nje basi mitaa hiyo.

“Mh!” aligunia moyoni, akatafuta uongo wake…

“Funguo niliziacha nyumbani kwako mbona.”

“He! Kweli?”

“Yes! Kwenye nini?”

“Kwenye begi langu, kama siyo basi kwenye suruali niliyovaa jana.

Kacheki.”

Martha alimwamuru dereva wa Bajaj ageuze amrudishe nyumbani kwake.

Wakati anageuza, mama Anna alimwona mita chache, yeye alikaa kwenye kiduka jirani na kwa Roi, akauchuna, akazungusha sura.

Alipoiona Bajaj imepotea, akampigia simu mpangaji mmoja…

“Martha yuko hapo?”

“Ametoka.”

“Alisema anakwenda wapi?”

“Hajasema, kasema natoka kidogo tu. Vipi kwani?”

“Mh! Kaja mpaka nje kwa huyu jamaa yake, kageuza.

Yuko na Bajaj.”

Wakati mama Anna akiendelea kuongea na mpangaji mwenzake huyo, mara simu yake ikawa inaita, kuangalia ni Roi, akakata simu hiyo na kupokea ya Roi…

“Niambie baba.”

“Uko wapi mama?”

“Niko nje kwako hapa.”

“Ha! Martha hajakuona kweli? Maana kaja hapo.”

“Nimemuona, lakini yeye hajaniona. Kwani kaja kufanya nini tena?”

“Eti alikuja kufanya usafi.

 Nimemdanganya kwamba funguo ipo nyumbani kwake.”

“Kwa hiyo kaifuata?”

“Kaifuata. Sasa mimi nakuja hapo dakika tano tu.”

“Poa.”

Baada ya dakika tano kweli, Roi akawa amefika nyumbani kwake, akashuka, akafungua geti na kuingiza gari ndani.

 Akamwingiza na mama Anna ndani, tena mpaka chumbani.

“Uzuri wake hata akija, hawezi kuliona gari ndani.

Nitamwambia niko njiani bado,” alisema Roi kwa sauti ya kuibiaibia.

Martha alifika na kuangalia funguo sehemu zote alizoambiwa, hakuziona, akampigia simu…

“Baby, sijaona funguo bwana, utakuwa nazo kwenye gari, hebu angalia vizuri.”

“Ngoja niangalie.”

“Kwani uko wapi?”

“Nipo barabarani bado.”

“Poa.”

Roi alifunga milango yote, akazama chumbani ambako alimkuta mama Anna akiwa amejilaza na ameshajichojoa nguo zote.

 kama alivyozaliwa.

Na kwa kujua hilo, alipomwona Roi ameingia, akajitingisha makusudi pale kitandani, Roi hoi.

Alianza kuhema kimahaba.

“Si unaoga kwanza baba?” aliuliza mama Anna akiitoa sauti kwa kupitia kwenye tundu za pua.

“Yes,” Roi alisema kwa sauti nzito huku macho yako kwenye mwili wa mama Anna pale kitandani.

Roi alizivua nguo zake na kuzitupa chini kama vile hatazivaa tena katika maisha yake…

“Teh! Teh! Teh!” alichekacheka kwa kicheko cha uchu huku akimfuata mwanamke huyo pale kitandani…

“Jamani baba, si umesema unakwenda kuoga kwanza.”

“Yeah! Lakini kuna nini kama nita…nita naniihii kabla sijakwenda kuoga..? Teh! Teh!” Roi alibabaika.

Hapo tayari alikuwa mwilini mwa mama Anna.

Alilala na kumpapasapapasa sehemu mbalimbali za mwili.

Mama Anna naye akachangamka maana aliguswa, akapatwa na hisia za mapenzi, hasa kwa joto la Roi…

“Kwa hiyo utaoga baadaye?” aliuliza mama Anna…

“Au ngoja nikaoge sasa hivi,” alisema Roi, mama Anna akamzuia maana sasa na yeye mzuka si ulishapanda!

“Hakuna hapa, kama ungetaka ungekwenda tangu muda ule.

Mimi mwenzio tayari sasa,” alisema mama Anna.

“Tayari nini?” aliuliza Roi akijifanya hajui lakini ukweli ni kwamba alikuwa anajua tayari nini.

“Kwani hujui?”

“Sijui,” alijibu Roi.

Mama Anna akapeleka mkono wake mmoja na kushika maiki akiashiria utayari wake uko wapi.

Roi naye akaunganisha hisia, wakabilingishana mpaka wote wakawa hoi, wanahema tu.

Mama Anna akavuta mpira uwanjani, mchezo ukaanza kupigwa huku ushangiliaji ukiwa mkubwa kwa pande zote mbili.

Maneno yote, mama Anna aliyatumia, Roi akawa kama amepungukiwa akili, alisema yasiyosemwa.

***

Martha alipoona muda unakwenda aliamua kutoka tena akiamini, Roi alishaziona funguo na sasa atapitia nyumbani kwake ili wakutane.

Alipanda Bajaj tena mbele ya wale wapangaji wenzake.

Ile anapotea tu, yule mpangaji aliyepigiwa simu na mama Anna akamtumia meseji mama Anna…

“Martha katoka hapa tena, nahisi anakuja hukohuko.”

Mama Anna hakupata nafasi ya kuisoma meseji hiyo kwani wakati inaingia ndiyo kwanza yeye alikuwa katikati ya mashambulizi uwanjani akitafuta ushindi na alishatangaza kwamba anakaribia kuupata.

Hata alipoupata, Roi hakumwachia ili na yeye apate pointi yake moja ili kusiwe na wa kumzidi nguvu mwenzake.

Mama Anna alitumia ufundi kidogo tu, Roi akawa akihangaika mpaka jasho jembamba likamchuruzika, ambapo mama Anna alilimudu kuliondosha kwa taulo.

***

Martha alifika nje ya nyumba na kumpigia simu Roi.

Simu iliita kule chumbani, Roi kwa vile alishashinda, akatoka kwa mama Anna na kuiwahi…

“Du! Wajina wako anapiga,” alisema.

“Sasa.

Anaweza kuwa nje?” aliuliza mama Anna…

“Inawezekana,” alisema Roi lakini hakuipokea simu hiyo.

Mama Anna naye akakumbuka, simu yake akaifuata, akakutana na ile meseji.

Alipoisoma, akamwonesha Roi…

“Martha katoka hapa tena, nahisi anakuja hukohuko.”

Roi alitumbua macho pima, akasimama akiwaza, akasema…

“Kwa hiyo yupo nje hapo?”

“Ndiyo maana yake,” alijibu mama Anna.

Martha alishangaa simu ya Roi kuita bila kupokelewa kwani si kawaida yake.

Akaenda kwenye kile kiduka cha jirani…

“Dogo hujambo?” alimsalimia muuzaji.

“Sijambo.”

“Eti, huyu kaka anayekaa hapa huwa anafika muda gani?”,.

Waoo… Unadhani DOGO atajibu nini patamu hapo,…..

Share.
Leave A Reply

error: Content is protected !!
Verified by MonsterInsights