Clickable WP Image

LOO DADA MARTHA..

JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

Sehemu Ya 01

Utangulizi…

“Wewe una hoja Martha, kumbe unajua chakula kizuri…

nikuambie kitu mke wangu.”

Martha alipoisoma meseji hiyo, akaguna kwanza, akamjibu”

“Mh! Nimekuwa mkea mara hii jamani?”

“Kwani umeboreka kukuita hivyo?”

JIACHIE MWENYEWE SASA…

Martha hakujibu haraka, Roi akawa na presha kubwa ya kutaka kuiona meseji iliyofuatia kutoka kwa msichana huyo kuwa angejibu nini…

“Si vibaya ila….”

“Ila nini tena?”

“Basi tuyaache kwanza.”

“Sawa, nahitaji nikuone leo jamani,” aliandika Roi.

“Leo?”

“Ndiyo! Mbona umeshtuka hivyo mke wangu?”

“Kwa leo hapana.”

“Mpaka lini?”

“Labda siku nyingine.”

“Ndiyo nataka kuijua hiyo siku nyingine,.

“Ila si nimekwambia nitakwambia jamani!”

“Basi sawa, hakuna tatizo.”

Katika kila hatua aliyokuwa akipiga, Roi alijiona kuwa mshindi, uzuri wa Martha ulikichanganya kichwa chake mpaka kufikia hatua ya kumuona mjinga mwanaume aliyezaa naye na kisha kuuacha mzigo mzuri kama ule ukiondoka zake…

Siku hiyo alifanya kazi harakaharaka, kitu pekee alichokuwa akikihitaji ni kutaka kuzungumza na msichana huyo tu.

Alipomaliza kazi zake, akaondoka.

Ilipofika usiku kama kawaida yake akachukua simu yake na kumtumia meseji.

“Jamaniiiiiii….” alianza kumchokoza…

“Nini tena kababaaaa?”

“Hata kunikumbuka!”

“Nilikuwa bize kidogo.”

“Naomba nikupigie basi niisikie sauti yako.”

“Nipo kwenye kelele, nitakushtua.”

“Sawa.”

Roi akabaki akiwa na presha kubwa, kila wakati alipokuwa akimkumbuka Martha, mwili wake ulikuwa unamsisimka kupita kawaida.

Hakujua kama alikuwa amempenda mwanamke huyo au alimtamani, lakini kila wakati alihisi kuwa na hamu ya kutaka kuwasiliana naye….

Alisubiri meseji ya Martha mpaka zilipopita dakika thelathini, akasikia mlio wa meseji, kwa haraka sana huku akiwa na presha tena akikenua meno yake akaiwahi simu, akaichukua na kufungua meseji.

 Martha, alikuwa rafiki yake Sudi ambaye alimshtua kwenda kuchukua hela yake aliyokuwa akimdai….

“Mjinga kweli huyu mtu, watu tupo kwenye presha, yeye anatushtua tu, na hiyo hela abaki nayo,” alisema Roi kwa hasira na kumalizia na msonyo mkubwa,.

 Baada ya hapo, wala hazikupita dakika nyingi, Martha huyo simuni….

“Nipigie sasa,” ilisema meseji aliyotuma Martha.

Roi hakutaka kupoteza muda, alijiona kama angechelewa vile, kwa haraka sana akaanza kumpigia Martha simu, ikapokelewa, Roi akashusha pumzi ndefu na nzito.

“Mambo,” ilisikika sauti nyororo ya Martha….

“Poa, mzima mke wangu…”

“Mi mzima sijui wewe kababaa.”

“Nipo poa.

Nimekumisi sana wangu, unanibania kweli kukuona,” alisema Roi.

“Unasema kweli?”

“Ndiyo.

Nimekukumbuka mno.

Nataka nikuone, lini utakuwa tayari?”

“Sijajua, nina kazi zinanibana sana kwa sasa.”

“Kwa hiyo hatutaweza kuonana?”

“Ntaangalia.”

“Ushaanza.”

“Nimeanza nini tena?”

“Tangu siku ile umesema utaangalia, huko kuangalia hakuishi tu?”

“Hahaha! Sawa, nitakujibu kesho, usijali.”

“Sawa. Ila nikwambie kitu?”

“Niambie tu.”

Una sauti nzuri sana, nampa pongezi mama aliyekuzaa, hata Mungu kakupendelea sana,” alisema Roi, sauti yake ilisikika kimahaba….

“Hahaha! Nashukuru jamaniiii…”

“Upo wapi sasa hivi?”

“Nipo kitandani, nimejiachia tu.”

“Upo na nani?”

“Peke yangu, halafu kuna kibaridi, si unajua mvua zinazoendelea, natamani ningekuwa na mtu hapa,” alisema Martha maneno yaliyompagawisha Roi…

“Nielekeze nije.”

“Mmh! Hapana.

Usiku sana sasa hivi!”

“Si nachukua bodaboda tu…”

“Hapana bwanaaaa, usiku ushaingia,”

 alisema Martha, wakati akiongea na Roi kipindi hicho, tayari mwanaume huyo alishainuka kitandani, alikuwa akivitafuta viatu vyake kwa kuona kwamba angekubaliwa kwenda…

“Sawa.

Basi tutazidi kuwasiliana.”

“Hakuna tatizo kababaa…”

Roi akakata simu, alikuwa hoi bin taabani, alipojiangalia, hakujiona kama alikuwa vizuri, akainuka pale alipokuwa na kwenda bafuni kuoga.

Sauti ya Martha ili utetemesha moyo wake, mwili wake ulisisimka sana…

Kila alipokuwa akizungumza naye alichanganyikiwa zaidi mpaka kufikia kipindi akawa halali vizuri kwa kumkumbuka msichana huyo…

“Yaani simuelewielewi, anaingia bandani, anatoka, anaingia, anatoka, ila poa tu, akiingia tena, nafunga banda,” alijisemea Roi huku akijiandaa kulala na kichwa chake kikiwa kimechanganyikiwa kwa mwanamke huyo,.

LOO ..DADA MARTHA

Sehemu Ya 02

ILIPOISHIA:

“Yaani simuelewielewi, anaingia bandani, anatoka, anaingia, anatoka, ila poa tu, akiingia tena nafunga banda…”

JIACHIE KIVYAKO SASA…

“Martha…Martha…anaonekana ni mwanamke mwenye kujitambua,.

Inaonekana ameshaumizwa sana sasa machale yanamcheza namna ya kumkubali mtu,” alisema moyoni Roi akiwa amelala anaangalia juu…

“Da! Iko siku lakini…naweza kusema atakuwa wangu lakini kumbe ana mwingine ndiyo maana anaingia na kutoka.”

***

Kwa upande wake, Martha kule kwake alikokuwa alikuwa amelala huku akiwaza…

“Mh! Roi bwana.

Anaonekana ananitaka, lakini mimi siwezi kwa kweli.

Nimeshalizwa sana tu.

Wanaume wa siku hizi ndivyo walivyo,”

 alisema moyoni Martha, akajikuta akishika simu na kumtumia meseji Roi…

“Baba!”

Roi alikuwa anaangalia muziki kupitia runinga, meseji ya Martha ikaingia, akaisoma…

“Nikwambie kitu baba?”

Roi aliachia tabasamu, akaamini kwamba anachotaka kukisema Martha ni kwamba amekubali wawe na uhusiano, akamjibu…

“Niambie baby wangu…”

“Unanipenda?”

“Sana!”

“Kweli?”

“Kweli kabisa.”

“Mimi naomba…tena naomba sana baba, tuwe kaka na dada.”

Roi alikuwa peke yake lakini aliguna kwanza, akaangalia kulia na kushoto kama aliyeamini kwamba, kuna mtu anamwona alivyong’onyea…

“Sawa,” alijibu Roi meseji kwa ufupi sana…

“Loo! Asante God…sasa naweza kuwa huru na wewe kama kaka yangu…

nakupenda sana kaka, nitakuheshimu na kukuthamini.

Nimetokea kukupenda sana Roi, amini hivyo.

“Kifupi mimi sina kampani yoyote ile, wewe ndiyo utakuwa kampani yangu kama kaka.”

“Usijali sista…hata mimi nakupenda sana kama dada yangu, nitakuheshimu na kukuthamini,” alijibu Roi.

Baada ya hapo, waliagana kwa ajili ya kulala…

“Bro, usiku mwema, Mungu akulinde…”

“Na wewe sista.

Mungu akutangulie, ulale salama chini ya ulinzi wake.”

“Asante kaka…”

***

Kulikucha, Martha ndiye alikuwa wa kwanza kumtumia meseji Roi…

“My love bro.”

Mlio wa meseji ndiyo uliomwamsha Roi kutoka usingizini, akaisoma meseji hiyo na kuijibu…

“Yes darling sista.”

“Umeamkaje my sweethaert kaka?”

“Niko vizuri my baby sister.

Wewe je?”

“Mimi pia…niko njiani bro nakwenda job Leo tunaweza kuonana?”

“Hakuna tabu sista.”

“Oke…basi kazi njema na wewe bro wangu, nakupenda sana.”

“Nakupenda sana pia sista.”

***

Jioni walipomaliza kazi, walikwenda kukaa baa ya Ground Pub! Waliipenda pub hiyo kwa sababu ilikuwa inauza pweza na supu yake ‘mchuzi wa pweza’ na wakazi wengi wa Jiji la Dar walipenda kwenda kukaa hapo jioni.

Wakiwa hapo, Martha alimtumia meseji Roi…

“Sweetheart bro!”

Roi baada ya kuisoma meseji hiyo alianza kuweweseka akitingisha kichwa na kuachia tabasamu.

Kuitwa sweetheart bro alihisi mwili kusisimka kimahaba..!

“Duu! Huyu Martha huyu…sijui! Huu ni usista kweli au kuna lingine?” alijiuliza mwenyewe, akamjibu…

“Darling sista!”

“Wapi?”

“Nipo hapa Ground Pub …wewe je?”

“Mimi ndiyo natoka. Je, tunakutana?”

“Yes! Njoo hapa, si unapajua?”

“Yes! Nikifika hapo?”

“Ukifika nipigie.”

Roi alipomaliza kuzungumza na Martha aliwaambia wenzake…

“Jamani…jamani…sikieni…”

“Vipi?” walimuuliza…

“Kuna mgeni wangu anakuja hapa,.”

“Ni shemeji yetu au?” aliuliza Julio…

“Acha maswali mengi wewe, mtamuona hapahapa akifika.

Lakini Roi akatumia nafasi ile kuwasimulia kisa chake na msichana huyo.

Aliwasimulia ishu yote kuhusu Martha walivyokutana, walikofikia na wanakoelekea…

“Aaah! Mtu kama huyo bwana ngumu sana kumwelewa.

Hapo unatakiwa kujiongeza katika kila neno lake.

Pengine yeye yupo serious kwamba anataka wewe uwe kaka yake halafu wewe unawaza mapenzi, utamboa” alisema Julio…

“Hakuna, huyo ameshaingia laini, hapo Roi ni wewe tu,” alisema Pauli wakiwa tayari wapo kwenye moja baridi, moja moto.

Walibadilishana mawazo kuhusu Martha mpaka wakafikia hatua ya kuachana na mazungumzo hayo, wakahamia kwenye mambo mengine.

Baada ya nusu saa, simu ya Roi iliita…

“Jamani huyo, ameshafika…halooo sista…”

“Ee… nimefika hapa barabarani.”

“Ngoja nimtume mhudumu akufuate.”

“Poa.”

Roi alimpa simu yake mhudumu mmoja wa baa hiyo aende nayo barabarani…

“Ukifika pale piga namba hii, utakutana na dada mgeni wangu mmoja mlete hapa,”

 alisema Roi, mhudumu akaondoka na simu.

Baada ya dakika mbili, mhudumu aliongozana na Martha mpaka alipokaa Roi na marafiki zake.

Kazi ikawa, Martha akae wapi sasa? Akae kwenye kiti cha jirani na kaka yake, Roi au?,.

Unadhani udada na ukaka huo utafikia wapi……!!? Basi endelea kusoma

LOOH DADA MARTHA…

Sehemu Ya 03

ILIPOISHIA:

Roi alimpa simu yake mhudumu mmoja wa baa hiyo aende nayo barabarani…

“Ukifika pale piga namba hii, utakutana na dada mgeni wangu mmoja mlete hapa,”

 alisema Roi, mhudumu akaondoka na simu.

Baada ya dakika mbili, mhudumu aliongozana na Martha mpaka alipokaa Roi na marafiki zake.

Kazi ikawa, Martha akae wapi sasa? Akae kwenye kiti cha jirani na kaka yake, Roi au?

GARA GARA NAYO MWENYEWE…

“Karibu hapo,” alisema Roi akimtengea kiti Martha ili akae jirani na yeye.

Martha siku hiyo alivaa suruali ya jinzi iliyomkaa sawasawa kwa kumbana, alionekana ni mwanamke mwenye kujiamini sana.

Ongea yake, tazama yake ilimfanya kila mmoja kati ya Roi mwenyewe, Pauli na Julio kujua kuwa, Martha ni mwanamke…

“Bro,” Martha alituma meseji palepale kwenda kwa Roi…

“Sema sweet sista.”

“Mimi nina majina mawili.

La kwanza, Martha. La pili ni Liz. Lakini jina ambalo limezoeleka sana ni Liz.

Kwa hiyo kuanzia leo nitapenda uniite Liz na achana na jina la Martha.”

Roi alipoisoma meseji hiyo aliona sawasawa tu.

Atumie jina la Martha, atumie la Liz sawa, kwake majina yote yalikuwa ni mazuri…

“Poa sista, love u sana…”

“Love u too.”

Mazungumzo kati ya Roi na marafi zake yaliendelea huku Liz akiwa ametulia kimya pembeni kwenye kiti akiwasikiliza.

Ilifika mahali, Roi akawaomba watulie ili atoe utambulisho…

“Jamani…jamani…” Roi alisema kwa maana ya kuomba utulivu…

“Sema kaka…”

“Huyu anaitwa Liz, ni dada yangu kipenzi,” alisema Roi huku akimshikashika begani dada yake huyo…

“Kumbe hapa Dar upo na dada yako? Sisi tulikuwa hatujui,” alisema Julio…

“Hata mimi nimeshangaa sana,” alidakia Pauli huku wote wakimkaribisha Liz tena na tena…

“Asanteni jamani, nashukuru sana.”

Baada ya utambulisho huo, mazungumzo ya wote yalikata, sasa ikawa wote wako na simu zao.

Kila mmoja alituma meseji alikokujua yeye…

“Bro!” alituma Liz kwa Roi…

“Yes, niambie…”

“Upo oke?”

“Nipo sawa mama, wewe?”

“Hata mimi my bro. Nipo happy kuwa na wewe.”

“Wewe kama mimi.”

“Kumbe tuko sare!”

“Umeona ee?”

“Yes! Sijakuboa lakini?”

“Wala! Hujaniboa! Hivi sista wewe ni mwenyeji wa wapi?”

“Natokea Iringa bro.”

“Oke…oke…kamwene,” alitania Roi…

“Kamwene…”

“Mnogage?”

“Ndi mnofu…Teh! Teh! Teh! Sijakaa sana Iringa lakini nakijuajua bro…teh!”

Roi naye alimrudishia meseji kwa kicheko huku akimchombezea kwa maneno kama…

“Umependeza sana my darling sista…”

“Hata wewe sweetheart bro.”

Walikunywa, walikula, ikafika mahali Liz akaamua kuaga kwa Roi kwa njia ya meseji…

“Baby bro, mimi naondoka zangu.”

“Mh! Mara hii sista?”

“Usijali, siku nyingine tutakaa wote kwa muda mrefu sana.”

“Basi poa.”

Roi alisimama, Liz naye akasimama, akawaaga Pauli na Julio, Roi akamsindikiza hadi barabarani kwa ajili ya kupanda daladala.

Walisimama kando ya barabara, Roi akapeleka mdomo wake pembeni mwa shavu la Liz, akambusu…

“Mmmwaaa….”

“Thanx my bro, usiku mwema, tutachati,” alisema Liz…

“Poapoa.”

Roi alirudi kuungana na marafiki zake, Julio na Pauli…

“Ee bwana naona sista kama hajayazoea mazingira haya,” alisema Pauli…

“Ni kweli, amesema pana kelele sana.”

“Lakini jamani ni kweli.

Mnajua kukaa hapa panataka moyo maana hakuna utulivu.

Kama umetoka kazini na unataka kupumzika, si mahali pazuri sana.”

“Ni kweli kabisa,” alidakia Julio…

“Ni kweli,” alidakia Roi mwenyewe sasa.

***

Liz alipofika nyumbani kwake, alimtumia meseji Roi kwamba amefika…

“Bro, nimefika. Leo nimefurahi sana kukutana tena na wewe.”

“Hata mimi…”

“Oke, nataka kuoga kwanza halafu baadaye tutaendelea kaka yangu.”

“Usijali dada yangu Martha.”

“Bro! Nilikwambia tumia Liz na siyo Martha.”

“Ha! Nilisahau sista jamani! Oke dada Liz…”

Roi na wenzake waliendelea kunywa, wakanywa wee! Wakanywa mpaka kila mmoja akaanza kuonesha dalili kwamba amelewa…

“Jamani vipi? Suni tunatimua?” Julio aliwasilisha hoja binafsi…

“Ni kweli,” alishadadia Pauli…

“Sawasawa,” alimalizia Roi.

***

Usiku wa saa tano, Roi alikuwa kitandani, alilala chali akiwa ndani ya bukta tu. Alikuwa ameingia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuangalia nini kinaendelea.

Mara meseji kwenye WhatsApp ikaingia…

“Baby…” ilitoka kwa Liz, Roi akashangaa kuona meseji ya Baby imeingia bila nyongeza.

Alizoea baby bro, sweetheart bro na mengineyo…

“Darling,” na yeye alitingisha kiberiti, akatuma meseji hiyo bila kuongezea neno sista…

“Umeshatoka hapo?”

“Zamani sana sista, niko home.”

“Unafanyaje muda huu?”

“Nimejilaza kitandani tayari kwa kusinzia Wewe je?”

“Hata mimi nimelala my bro…”

“Umelalaje hapo kitandani my sweetheart sista? Please niambie…”

 Je, unajua nini kilitokea hapo?

LOOH DADA MARTHA…

Sehemu Ya 04

ILIPOISHIA:

“Nimejilaza kitandani tayari kwa kusinzia. Wewe je?”

“Hata mimi nimelala my bro…”

“Umelalaje hapo kitandani my sweetheart sista? Please niambie…”

TAMBAA NAYO MWENYEWE…

“Nimelala chali au niseme nimelala naangalia juu.”

“Umejifunika shuka?”

“Hapana my bro! Na joto lote hili? Wewe je?”

“Mimi nimelala naangalia chini, yaani tumbo limegusa godoro, tofauti na wewe mgongo ndiyo umegusa godoro.”

“Duu! Tumebadilishana, mimi naangalia juu wewe unaangalia chini…teh! teh!”

“Kumbe tumelala vizuri sana. ndiyo inavyotakiwa, mwanaume analala hivyo na mwanamke analala hivyo kama wewe.”

“Teh! Teh! Mi nalala bwana kaka, kesho.” “Kabla hujalala nataka nikuombe kitu kimoja sista…”

“Kipi hicho braza?”

“Kesho tukutane lakini iwe sehemu ya siri sana.”

“Sehemu ya siri kama ipi bro? Unanitisha.” “Kama hotelini.”

“Mh! Jamani kaka! Hotelini tena? Yaani chumbani au?”

“Yes!”

“Ah! Sasa itakuaje mtu na kaka yake chumbani? Inawezekana kweli?”

“Mimi naweza sana.”

“Mimi siwezi kaka.”

“Kwa nini huwezi dada?”

“We unajua ni vigumu. Unaweza kuzidiwa ukanibaka bure, sitaki.”

“Yaani sikia sista…tukiwa mle hatutakaa pamoja, wewe kona nyingine na mimi kona nyingine. Halafu kila mmoja atakuwa ndani ya mavazi…”

“Lakini kisa cha yote hayo ni nini?” aliuliza Liz…

“Sikia Martha…”

“Nilisema usiniite Martha, niite Liz.”

“Oke.

Sikia Liz…hakuna kisa ila nimependa tu.

Isitoshe mimi na wewe ni mtu na dada yake, siwezi kuwaka tamaa kama ambavyo najua na wewe hutaweza kuwaka tamaa.”

“Mh! Una maneno matamu sana bro!

Haya sawa, lakini asitokee mtu akakiuka.”

“Hatutaweza sista bwana.”

“Sawa.

Usiku mwema basi, kesho my kaka.”

“Lala salama my sista.”

Liz alipanda kitandani huku akiwa na maswali kibao kuhusu ombi la Roi kwamba kesho yake wakutanie chumbani hotelini…

“Hivi amekusudia nini? Au anataka kuonesha kwamba, hata tukiwa chumbani wawili hatuwezi kuzini kwa vile tumeshakuwa kaka na dada? Anyway, tutaona hiyo kesho,” aliwaza Liz na kupitiwa na usingizi.

Kwa Roi hali ilikuwa hiyohiyo, naye aliwaza…

“Lakini si naweza kabisa…naingia naye hotelini, chumbani lakini sifanyi naye chochote…mwenyewe atashangaa sana.”

***

Kulikucha, Liz ndiye aliyekuwa wa kwanza kumtumia meseji Roi…

“Morning my bro…”

Roi alifurahi sana kuamshwa na Liz, akamjibu…

“Morning my sista…umeamkaje?”

“Nimemka salama bro…wewe?”

“Hata mimi pia.”

“Oke, kumekucha.”

“Ni kweli sista…sasa vipi ile safari yetu?”

“Saa ngapi?”

“Nataka iwe mchana wa leo.”

“Utaniambia ni wapi!”

“Poa sista.”

“Lakini bro, ni kweli hutafanya lolote kwangu?”

“Ni kweli kabisa sista, wala usiwe na shaka.”

“Basi sawa.”

***

Ilikuwa saa saba mchana, Roi alimtumia meseji Liz ya kumshtua kwa ajili ya kumfuata alipo…

“My sweetheart sista…”

“Honey bro!”

“Sasa?” “Nakusikiliza wewe kaka’angu mpenzi.”

“Mimi nipo hapa giraffe Hotel, Njoo basi.”

“Duu! Bro uko shap sana! umeshatafuta na hoteli kumbe? Poa nakuja sasa hivi.”

Roi alikuwa ndani ya chumba cha hoteli hiyo.

Mwili ulimtetemeka kila mara.

Alianza kuhisi kwamba, kiapo chake kwa Liz si cha kweli…

“Hivi nitaweza kweli kukaa naye mpaka mwisho bila chokochoko?” alijiuliza.

Dakika kumi na tano mbele, Liz alimpigia simu kwamba amefika yuko nje…

“Njoo mpaka ndani sista, utaoneshwa chumba nilichopo.

Ni namba hamsini.”

“Poa bro.”

Mara mlango uligongwa, Roi akaruhusu mtu kuingia, Liz akazama ndani…

“Oohooo! Huyu mchokozi sasa,” alisema moyoni Roi baada ya kumwona Liz amevaa suruali ya matirio kama t-shirt, mbaya zaidi imembana vilivyo na juu kiblauzi chepesi mpaka unaona ramani ya kifua chote.

“Karibu sana sista,” alikaribisha Roi.

Liz aliweka kipochi chake kwenye meza kisha akakaa upande wa miguuni mwa kitanda na kuangalia ukutani wakati Roi alikaa eneo la kichwani naye akiangalia ukutani…

“Za hapa?” alisalimia Liz…

“Poa sista, za safari?”

“Njema tu.

Ndiyo umeamua kweli kabisa kuchukua chumba kaka jamani?”

“Usijali sista, hili ni eneo salama sana kwetu.”

“Mh! Mfano akija mtu akauliza sisi ni akina nani tukasema ni mtu na kaka yake itakuaje? Ataamini kweli bro?”

“Nani kwanza atakuja sista?”

“Mfano yaani bro…”

“Hamna cha mfano sista, hakuna atakayekuja humu ndani.”

Walianza maongezi ya mbali kwa mbali, kila mmoja akiangalia ukutani.

Mwishowe Liz alilala chali, nusu ya mwili kuanzia kiunoni kwenda juu kitandani, nusu iliyobaki ikining’inia chini…

“Umechoka nini sista?” aliuliza Roi…

“Nahisi kusinzia bro…”

“Hata mimi pia,” alisema Roi na kulala kama alivyolala Liz, wakakutana vichwa!,

Je, unajua nini kiliendelea? Usikose kusoma chombezo hili tamu sana.

LOOH DADA MARTHA..

Sehemu Ya 05

TOLEO LILILOPITA

Walianza maongezi ya mbali kwa mbali, kila mmoja akiangalia ukutani.

Mwishowe Liz alilala chali, nusu ya mwili kuanzia kiunoni kwenda juu kitandani, nusu iliyobaki ikining’inia chini…

“Umechoka nini sista?” aliuliza Roi…

“Nahisi kusinzia bro…”

“Hata mimi pia,” alisema Roi na kulala kama alivyolala Liz, wakakutana vichwa!

SHUKA NAYO SASA…

“Basi tulale ili tupunguze usingizi japo kidogo tu!”

“Sawa sista.”

“Lakini tulale hivihivi,” alisema Liz kwa sauti iliyokuwa ikienda kwenye kukatika.

Ulipita ukimya kidogo, ni lazima wote, kila mmoja alikuwa kwenye mawazo yake anayoyajua yeye…

“Huu mtihani…tena mtihani mkubwa sana,” alisema moyoni Roi…

“Halafu alivyovaa sasa…yaani mtu anajua wazi kwamba anakuja kukutana na mwanaume ambaye si ndugu yake, tena chumbani halafu anavaa nguo za kuonesha mwili namna hii? Kwa kweli hajanitendea haki,” Roi aliendelea kusema moyoni mwake…

“Lakini inataka moyo kweli! Na hivi sijaduu siku nyingi halafu nakutana na mwanaume, tena gesti lazima niwe na roho ngumu sana,” aliwaza Liz.

Wakati wakiendelea kuwaza hayo, Roi alipitiwa na usingizi mzito kwani alisikika akikoroma moja kwa moja…

“Kroooo…kroooo…”

“Mh! Kweli alikuwa na usingizi,” alisema Liz baada ya kumsikia Roi akikoroma.

Katika kulala huko, Roi alifika mahali akakunja miguu, akapanda juu kidogo na kurusha mkono pembeni, ukaangukia kwenye paja moja la Liz…

“Mh! Huyu naye…ameanza sasa…”

 alisema Liz.

Akautoa mkono huo na kuuweka pembeni kwa taratibu kabisa.

Roi hakuona sababu ya kuendelea kulala huku akining’inia, alipanda moja kwa moja mzimamzima na kulala sanjari na Liz sasa…

“Mh! Kaka…bro…” aliita Liz akimtingisha, Roi akaamka…

“Mh! Mh!”

“Mbona unakiuka sasa?”

“Nakiuka nini sista?” aliuliza Roi huku akijifuta usoni…

“Unapanda kulala juu…”

“Ah! Usingizi, jana nilichelewa kulala ndiyo maana.

Panda basi na wewe ulale.”

“Aaah! Bro, si utavuka mipaka jamani?”

“Wala! Nilishakwambia kwamba siwezi kwenda kinyume na makubaliano.”

“Oke,” alisema Liz akipanda kitandani kulala sawasawa.

Alimwamini Roi kwamba hawezi kufanya kitu chochote.

Sasa walilala sambamba, Liz aliangalia ukutani, Roi aliangalia mlangoni.

Wakaanza kuzungumza kwa staili hiyohiyo, Liz ukutani, Roi mlangoni…

“Ina maana sista wewe bado una wasiwasi na mimi siyo?”

“Hapana, ila natoa tahadhari tu.”

“Ooo! Sawa, niamini mimi sista.”

“Nakuamini sana bro.”

Walilala, wakapitiwa na usingizi mzito.

Kwa hiyo hakuna aliyekuwa akiukontroo mwili wake.

Kuna wakati Liz alirusha mikono na kumfikia Roi na kuna wakati Roi alijikuta amegeuka upande wa Liz wakalala wakiangalia kumoja.

Kuna wakati, Roi akageuka, Liz naye akageuka, wakaangalia kumoja, mlangoni, Liz akapitiliza, mkono wake mmoja ukaenda ubavuni kwa Roi, Roi naye akaushika na kung’ang’ania.

Liz akautoa, akamshika kifuani, akamsogelea, wakawa beneti zaidi, Liz akatoa mkono ubavuni, akaupeleka kwenye kiuno, Roi akashtuka kwamba mbali na kubaini kuwa, yuko kitandani na Liz..

“Daa! Kumbe sista! Lakini mbona na yeye ananifanyia hivi, anakiuka makubaliano?” alijiuliza Roi.

Akaamua na yeye kukiuka makubaliano…

“Kama ni hivyo na mimi nakiuka.”

Roi alimgeukia Liz, wakawa wamelala kwa kuangaliana, Liz bado alikuwa katika usingizi lakini siyo mzito kama awali.

Roi alimsogelea Liz mpaka mdomoni, akatoa ulimi kuelekea kwenye kinywa cha mrembo huyo.

Liz akiwa hajui lolote, alijikuta akipanua kinywa, ulimi wa Roi ukapenya ndani, Liz akaanza kuburudika nao huku akiguna.

Liz alijikuta akishtuka kutoka usingizini, akatumbua macho na kumwona Roi mbele yake…

“Haa! Broo,” alisema kwa tabu huku ulimi wa Roi ukiwa bado kinywani mwake, lakini hakuutoa!

Walikaa kimya, kilichosikika wakati huo ni dalili na mihemko tu, kila mmoja alishapanda joto la mahaba…

“B…ro…”

“M…mm…”

“Ah!”

“Mh!”

“Oo!”

“Ha!”

Liz alimvutia Roi kifuani kwake, akamweka karibu kabisa na kuanza kufaidi denda kwa uwazi.

Ndani ya dakika kumi nzima walizama huko, Liz alipokuja kumtoa Roi kwenye kifua chake, akalala chali na kuchojoa.

Roi hakutaka kusubiri na yeye alichukua hatua hiyo, akajichojoa mwenyewe, wakawa saresare.

Walijikuta wapo uwanjani, kila mmoja alikuwa moto wa kuotea kwa mbali.

Walijitamani sana, wakaamua kuingia uwanjani bila kuulizana wala kulaumiana.

Mchezo ulianza vizuri kabisa, kila upande ulisukuma mashambulizi kwa mwingine mpaka mchezo kuwa wa vuta nikuvute!,

“Bro…ooo.”

“Si…staaa…”

“Tume…tumekiuka?”

“Daa…aaa!”

“Mwisho leo…”

“Kufanyaje?”

“Tusirudie tena, sawa?”

“Kweli kabisa sista…tusirudie tena,” alisema Roi huku akikazana.

Alikazana sana mpaka Liz akabadili mawazo…

“Bro…oooo…”

“Sist…aaa…”

“Una..unaonaje tukiachana na undugu? Mbona kama huku ni kuzuri zaidi…”

“Broooo…oooo…”

Share.
Leave A Reply

error: Content is protected !!
Verified by MonsterInsights