JIRANI ACHA UKOROFI
EPISODE 01
Naitwa kelvin ni kijana wa miaka 25 naishi katika nyumba moja ya kupanga iliyopo huku ubungo maeneo ya kibo.
Npambana na maisha yangu na hakuna kitu nachokijali kama maisha yangu ….
Mtaani kwetu yaani sehemu tuliyopanga kuna wapangaji wengi sana . Lakini asilimia kubwa ni wanawake. wanaume tupo tupo ila wanawake ndo wengi kama nyuki ila
mimi sio pigo zangu . Wapangaji wengi
wanasema labda jogoo hapandi mtungi … Lakini mimi nasemaje waje wajaribu na wakawasimulie wengine
….
Hadithi inaanza majira ya jioni nikiwa gengeni nanunua vitu kwa ajili ya kujipikia si unajua usingle boy na mambo ya kupika. Kazi nafanya lakini kazi ya kupika ni ngumu sana
” naomba dagaa wa buku “
” oooh nikuwekee wakubwa au hawa wadogo”
” niwekee hawa wadogo nikapike
haraka”
Basi ule mshangazi ukanihudumia naupa hela ukakataa et umetoa sadaka nilifurahi mi sina hiyana niliondoka lakini akawa ananikonyeza . Nikajue yaleyale mambo ambayo siyataki kabisa . Basi nilipitia gengeni na kuchukua nyanya kisha nikaelekea nyumbani … …..
Akili nilimuwaza Fatuma ule mshangazi ulionipa dagaa unanitaka sio siri tatiza mi na mapenzi wapi na wapi?
Nikirudi geto nilipofika nilisalimiana na wapangaji wenzangu japo kila wakiniona wanasema mwamba huyu.
Asiyependa wanawake wanasema eti labda jogoo hawiki niliwatazma na kuingia ndani . Huko nilipika chapu .
Kuna kupika na kuna kupika vizuri sijuwi mimi niko wapi lakini we jua tu napika chakula kilichoiva na kina lika kuhusu kupika vizuri hiyo sijuwi ….
Nilikiwa nimejipumzisha mida ya saa mbili jioni nilishtuliwa kutoka usingizi baada ya mlango kugonga …nilijiuliza
ni nani ? Maana hakuna anayegonga
mlango wangu hovyo hovyo nikajua mama mwenye nyumba ananidai kodi yake sjamlipa
“NGO! NGO! NGO ! ”
Niliamka na kuweka laptop pembeni na kuinuka taratibu. Nlipofungua mlango, niliikutana uso kwa uso na jirani mpya ambaye kahamia juzi anaitwa Tina msichana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia na nywele zilizopambwa kwa rasta fupi.
TINA: (akiwa na simu mkononi) “Pole na kazi Kelvin… naomba nichaji kidogo, simu yangu imezimika kabisa.”
KELVIN: (akiwa ameshtuka kidogo) “Ah, hakuna shida. Ingia tu, weka hapo kwenye soketi.”
Tina aliingia kwa tabasamu na kuweka simu yake chaji. Badala ya kutoka kama alivyotarajiwa, alikaa pembeni ya kochi na kunitazama muda huo narudi kukaa kitandani ….
TINA: “Nitakaa tu hapa ningoje ijae
kidogo, si unajua kwetu umeme haupo?”
Nilmwangalia kwa kushangaa yaliyojaa udadisi.
“Una uhakika itakaa muda mfupi? Unajua usiku huu…”
TINA: (akimkatisha kwa tabasamu) “Usijali, siwezi kaa muda mrefu… au kama unanitaka nikae zaidi uniambie mapema.”
Nilimeza mate taratibu Ghafla
alivyokua kakaa kwenye kiti maana tulikuwa twatazamana alitanua ma** j a nikaona kufuri la pinki mjumbe aliinuka haraka kama mshale …..
EPISODE 02
Baada ya mjumbe kusimama kama mshale , jasho likanitoka kwapani, si kwa sababu ya joto, la hasha! Ilikuwa ni presha ya kushangaa kile nilichokiona. Yani Tina bana, kawa kama sinema ya bongo, haijaingia
sokoni lakini kila mwanaume mtaani
kaanza kuizungumzia.
Nilikuwa namtazama huku nameza mate fundo la nguvi. Mi mate yenyewe michungu kama nini. Lile kufuri la pink lilikuwa linanipa wazimu .nakutaka kuvuruga utaratibu wangu kama kidume chenye msimamo .nilikuwa nahangaika kama mfamaji ni kubana na kutanua miguu
Akanitazama kwa tabasamu dogo la
kihuni, macho yake yakiwa na ujumbe wa “najua umeona.”
TINA: (Akitabasamu huku akichuchumaa kuokota kitambaa chake kilichokuwa kimeanguka) “Pole Kelvin, mbona umeshtuka kama vile hujawahi kuona msichana kavaa vizuri au umeona nini cha ajabu ? Au unataka kuona nini sema uonyeshwe?”
Nikameza mate tena, halafu nikakaa pembeni ya kitanda kama mtu
aliyekutwa anatazama movie yenye
vionjo vya watu wazima halafu mzazi akaingia ghafla. Nilihisi aibu lakini nilijitahidi kujiweka kawaida.
KELVIN: “Aah, siyo hivyo Tina… ni kwamba hujaelewa mazingira ya huku. Hapa si salama sana… unavyojichelewesha kwa watu kama sisi, unachanganya kabisa ratiba.”
TINA: (Akicheka kifedhuli) “Sasa unataka niondoke ama nikae na hata kama nikibaki unadhani nini kitatokea?”
KELVIN: “Sijui, wewe ndiyo unajua kilichokuleta. Simu ikijaa, nadhani utaondoka siyo?”
TINA: “Au nikae hadi kesho?” (Akirusha ra rasta nyuma huku ananitazama moja kwa moja machoni)
Weeeeh! Kijasho kilizidi kunitoka. Hapo hapo akanyanyuka na kuanza kupiga hatua kwenda upande wa meza yangu. Alisimama pale na kuanza kuchezea laptop yangu niliyoiweka juu ya meza baada ya yeye kuja
TINA: “Unapenda movie? Au hapa hadithi zako?”
KELVIN: “Kuna movie na kazi zangu pia. Lakini usijisogeze sana huko bana… vitu vingine ni personal.”
Nilisema hivyo huku nikimgwaya asifungue folda ya “PRIVATE STUFF”, si unajua tena single boy lazima uwe na folder la ‘mafunzo ya utu uzima’
TINA: “Relax bwana, si fanyi tu utani.
Halafu we ni mkali sana. Nani kakufundisha kutokuwa friendly na wasichana?”
KELVIN: “Siyo hivyo. Nimeamua kujitunza. Mapenzi ni kifungo cha moyo, tena siku hizi watu wana mambo. Bora nikae kivyangu.”
TINA: “Aaah wacha zako. Hapo nje wanakusema vibaya. Wanasema eti wewe hujui hata wanawake wanavyoshikwa. Unajua walivyo sema jana?”
Nikamtazama, nikiwa nimeshtuka kidogo.
KELVIN: “Wamesema nini?”
TINA: “Eti jogoo hapandi mtungi. Eti labda wewe ni shoga au unaogopa wanawake.”
Nilijisikia vibaya, ila nikajizuia. Nilimkazia macho halafu nikamwambia:
KELVIN: “Sikuzaliwa kwa ajili ya
kuwafurahisha watu. Siwezi kulala na kila demu ili kuwathibitishia kuwa mimi ni mwanaume. Na kama wewe ndio umekuja kuni-test, ngoja uone.”
Alitabasamu, akapiga kelele ya “heeeh, kumbe kuna moto ndani eeh?” kisha akavuta kiti na kukaa vizuri zaidi.
Akaanza kuonesha miguu yake kwa makusudi, sijui kama alikuwa amekuja kupima mashine au kuchaji simu.
Aligeuka na kuniambia kwa sauti ya
kimahaba:
TINA: “Mbona unaning’ata kwa macho lakini kwa mdomo husemi? Kama unanitaka sema, life is too short.”
Nilikosa cha kusema, akili yangu ikaanza kupigana na moyo. Kwa upande mmoja nilihisi nafaa kumfurahisha, kwa upande mwingine nikakumbuka mama yangu alivyonifundisha nidhamu, plus vile vibaya nilivyoshuhudia majirani
wanavyoharibikiwa kwa mambo ya
‘jirani na jirani’.
Tina aliendelea kunizunguka kama simba anayemfuatilia swala. Ghafla akanyanyuka, akaja hadi pale nilipokaa, akainama kunichukua simu yake ambayo ilikuwa karibu na mapaja yangu. Harufu ya mafuta yake ilianza kunukia puani i kama radi.
TINA: “Aah… bado haijajaa. Ila nimesikia mtaani wewe ni msafi sana. Ngoja nijiridhishe mwenyewe…”
Akanyosha mkono na kugusa kidogo
bega langu. Hapo nikashtuka, nikasimama haraka haraka kama nimepigwa shoti ya umeme.
KELVIN: “Wee Tina, acha hizo bana! Huku ni geto, siyo gesti. Kama umechaji, nenda zako!”
Akasimama, akanikazia macho kama vile anashindwa kuamini kilichotokea.
TINA: “Aisee Kelvin, kumbe hufai kuwa single boy. Unajikaza sana. Wewe ni
mume material bwana lakini unakosea
style.”
KELVIN: “Naipenda hiyo style yangu. Sina haja ya kuharibu maisha yangu kwa tamaa za muda mfupi.”
Alijifanya kucheka kwa dharau, akachukua simu yake, akavaa slippers zake za pinki, kisha akasimama mlangoni.
TINA: “Sawa. Ila kumbuka, wanaume wanaopendwa sana ni wale wagumu. Tutaonana geto la pili.”
Alisema hivyo huku akitoka, akitikisa makalio kwa makusudi kama vile anasema “ukinikosa utajijua.”
Nilifunga mlango kwa nguvu, nikavuta pumzi kwa shida, kisha nikajilaza kitandani. Moyo ulikuwa bado unadunda kwa kasi kama wa mtu aliyeingia kwenye ring na Mike Tyson.
Nilijitazama kwenye kioo cha kabati, nikajiuliza:
“Hii nyumba ya kupanga sasa inataka kuniingiza mjini. Hawa majirani wa siku hizi bwana… full mitego, full drama.”
Nikiwa nawaza hayo, meseji ikaingia kwenye simu:
“Nimeacha kikoi changu chini ya kiti, kesho nakuja kukichukua. Usikifue!” – Tina
Nikaitupa simu pembeni, nikajifunika shuka, nikasema kwa sauti ya chini:
“Jirani acha ukorofi bana…”
Episode 3
Siku iliyofuata baada ya vurugu zile nilikuwa bado nimelala na ilikuwa tayari ni saa kumi na mbili asubuhi nilishtuka kutoka usingizi .
” ni muda wa kwenda kupambana kulala hakuna ishu ” nilisema huku najinyosha taratibu.
Nilitandika kitanda changu na kuchukua mswaki then nikawa na swaki pale nje huku kichwani nawaza
vurugu za jana za Tina . Nilijisemea ila
wanawake wengine wanautafuta mguu wa punda kwa jadho la damu mwishowe wanaanza kulaumu sasa achana nao kwa sasa sihitaji
usumbufu kabisa na wanawake ……
Nilijisemea kimoyomoyo huku napiga zangu mswaki saa ngapi tena akapita kavaa kikanga chepesi anbacho kwa macho ya nyama niligundua hajaavaa kufuri maana lile kaliiiii… Lillikuwa linatikisika kama ngoma ya vita ….
Alivokuwa anaingia bafuni
alidondosha sabuni makusudi akainama ” mmmmmmmh” niliguna maana lile ta si mchezo unaweza ukaombea mkopo na ukapata ghafla akalitingisha na kugeuka kisha kunikonyeza na kuingia bafuni sio siri mjumbe aliwajibika kwa kusimama vilivyo …
Kwa aibu nilikimbilia mbali na kumshika mjumbe na kumwambia ” acha papara ” nilimkoki kama napanga gia kwenye manyu.. Kisha nikakaa ili mradi atoke maana ni kama ananikomoa hivi mi sitaki ukorofi …
Niliposikia mlango umefunguliwa na hatua za mtu kutoka nikajua ndio yeye.nikasubiri mpaka apite nilipohisi kuna ukimya nikajua tayari ashaenda . Ndipo nikachukua hatua ya kutoka nje
..
Ile natoka bafuni naye ndo anatoka nje
…
Kumbe aliyefungua mlango alikuwa ni chumba kingine . Aliponiona muda huo kalowa maji kanga waswahili wanasema ndembendembe .hapo
ndipo niliuona mfereji wa suez
unaotenganisha milima miwili . Nilitoa macho uchu na uroho vilikuwa vimenijaaa
Alinitazama na kutabasamu nyie katoto ni kazuri katudimple mashallah yuko so natural hapo hajaenda uturuki mtoto ni kama sabuni inayosafisha uchafu wote …alitikisa mpka madodo yake mmmmh nilishindwa kuvumilia na kurudi ndani ….
Ghafla ilisikika sauti ya ndoo ikiwekwa chini ilikuwa ni karibu na mlango
wangu .sauti ikasikika ilikuwa ya Tina
“we handsome boy naomba kikoyi changu fanya haraka nikavae …..
” njoo uchukue baadaye kavae kwanza”
” bhana kevi nipe niende wanichelewesha ujuwe”
” okay sawa nakuletea usijali”
Nilitembea mpaka kwenye angle ya kitanda changu na kukichukua kikoi kisha nikafungua mlango nilichokiona kilinifanya nitoe macho kama mweu…
INAENDELEA ….