DADA VUA BWANAH
Sehemu Ya 04
ENDELEA,.
Lakini wakati wanatoka Shangazi alionekana akiendelea na shughuli zake za kuhudumia mifugo,Macho ya shangazi yaliashiria kuwa kuna kitu ndani ya nafsi yake eidha hajapenda ujio wa kijana huyu au anamjua kwa namna moja au nyingine.
Je kuna uhusiano gani baina ya huyu kijana na Bibi huyu???….
Sule alimwambia Helena”Madam Hellen nimeacha kibegi changu pale kwani kuna shida??”……..
“Bright usiwe na shaka hakuna shida”.
Huku nyuma shangazi alimfuata Lucy na kumwambia
“Hivi nyie watoto mnataka kunipanda kichwani si ndio!!?,
Kwa nini mnapokea watu msiowajua mnajuahuyu ni nani??
Siku moja mtapokea mashetani ndio mkome maumbwa nyie!!!”.
Shangazi aling’aka sana na kumuacha Lucy akijichekea kwani amemzoea shangazi kwa kuongea.
Lucy alilitazama lile begi la Sule kisha akaingiwa na tamaa ya kutaka kujua huyu ni nani,Kwanza alitoka na kuchungulia kama kina Helena wameenda ili aanze kupekua.
Alihakikisha wamefika mbali kisha akarudi ndani tayari kabisa kupekua…..
MSIWE WAVIVU KULIKE UKIISOMA LIKE ILI UNIPE MZUKA WA KULETA KALI KULIKO.
Lucy alikuwa tayari keshafika ndani na taratibu akalifungua begi lile,Kitu cha kwanza kukutana nacho ni pakiti ya kondom.
Kwanza kabisa akili ikafika mbali kwani alijua tuu jamaa ni rijali kidume haswa,Lucy alianza kuuma uma lips zake kuashiria kutamani japo amkumbatie Sule.
Hakuishia pale aliifungua ile pakiti lakini alishtuka kuona kondom ziko mbili badala ya tatu,Kwa akili yake alijua kuwa Helena atakuwa kashafanya ngono na Sule”Huyu mshenzi helena kashatoa tamu tamu kwa Bright!!?”.
Aliamua kuachana na habari ya kondom alizama tena ndani ya begi kupekua alikuta picha ya Sule/Bright akiwa na msichana mkali sana tena wanaonekana walikuwa sehemu nzuri na ya kifahari.
Lucy aliitazama picha ile akatamani nafasi hiyo angeipata yeye.
Wakati huo safari ya sule na helena kuelekea kisimani ilikuwa imepamba moto,Wakiwa njiani helena alimuuliza Sule”Samahani Bright?”………
“Bila samahani”……..
Helena alisimama kitendo kilichomfanya Sule kusimama pia,Aliposimama aliuliza”
Hivi Bright mbona unaonekana kama mtu mwenye mawazo sana kipi kimekusibu kaka yangu?”……..
“Heee!! we hellen!!! mbona mi niko normal sana sina hata chembe ya mawazo”…….
Sule alijibu huku akijichekesha ili kumpotezea Helena,
Lakini helena hakuishia hapo”
Najua unanificha kwa kuwa hunijui wala sikujui lakini tambua ya kuwa mtu yule unayedhani ndio msaada kwako siku atakufanya ulie kilio kikubwa na utafutwa machozi na mtu usiyemjua hata kidogo”……..
Sule alinyamaza kwa muda kwani neno lilimuingia haswa,Helena alitoa tena neno “Bright usiogope kuniambia kwani utazidi kuumia tuu bila kupata hatma ya tatizo huenda sina uwezo wakukusaidia lakini hata ushauri pia ni msaada tosha”……..
“Madam hellen kiukweli nina shida lakini naomba unipe muda kidogo nitakueleza tuu
“Yalikuwa ni mazungumzo baina ya Helena na Sule,Walipomaliza kuongea waliendelea na safari.
Helena aliamua kumuacha Sule huru mpaka pale atakapo kuwa tayari kusema kile kinachomsibu.
Basi Helena aliona kama Sule bado hajachangamka,
Alifikiria ni njia gani ya kumfanya yeye arudi katika hali ya uchangamfu.
Helena alimuangalia sana Sule kisha akamwambia”
Bright ebu simama!!”….
Helena aliichukua kofia ya sule kisha akakimbia nayo,Sule naye akagundua kitu”
Kumbe huyu anataka nifrai niondokane na mawazo ok nshajua!!”.
Sule alicheka”Heheee! ina unadhani utanishinda kwa mbio umejidanganya wee mtoto”.
Sule alitimua mbio kumfuata helena na Helena hakufika mbali Sule alimshika.
Helena aling’ata lips zake kisha jicho akalilegeza,Wakati huo Sule aliing’ng’ania kofia huku akiivuta ili helena aiachie.
Lengo la Helena ni kumfanya Sule aondokane na mawazo,Sule alihisi hali ya utofauti kwani uso wa Mrembo helen ulikuwa umejaa taswira ya kimahaba kwa jinsi alivyojiweka weka.
Basi sule aliachia taaratibu ile kofia kisha akasema”
unamaanisha nini??”,
Helena hakujibu ila alimsogelea kwa karibu kabisa kidume Sule kisha akaipeleka kofia pale kichwani tayari kabisa kumvalisha.
Kweli hellen alimsogelea kwa ukaribu hali iliyosababisha mboni za macho yao kugongana,Mara kila mmoja alianza kusikiliza mapigo ya moyo yanavyobadilika kuashiria mwili umepokea hisia ya tofauti kabisa.
Basi Hellen alimvisha ile kofia kisha akaushusha mkono taaratibu kupitia kwenye shingo ya Sule.
Kwa kuwa walikuwa wenyewe basi hakuna aliyepata hofu kwa kile kinachoendelea.
Hellen alishusha mkono wake kisha akaongea kwa sauti ya upole kabisa”
Bright kwanini lakini,Mbona hujachangamka bwana!!”.
Sule alivyoambiwa hivyo kichwa chake kilianza kuload mithili ya simu inavyowaka,Akili ya Sule iliathirika kiasi fulani kwa kile kilichomkuta,
Basi Sule alifumba macho kisha akafumbua.
Sule taaratibu aliivua ndoo kwenye mkono wa binti na kuiweka chini.
Wakati huo Hellen alikuwa amejiachia,hajiwezi jicho lege kama kala kungu,Hellen alinyanyua shingo yake juu kwa ufundi wa hali ya juu kisha akaizungusha shingo yake huku akigugumia kisauti kitaaaam eheeeee!!! kitamu haswaaa!!!”Aaaaammh!!! ihhiiiiiinsiiiiaaaa!!!,
Briiiiiight!! mi staaaaaki uuuuukoo!!!!”,
Sule saa nyingi alisha mshika Helena kiunoni na kutomasa tomasa kama nyanya vile………
DADA VUA BWANAH…
Sehemu Ya 05
TOLEO LILILOPITA,.
Wakati huo Hellen alikuwa amejiachia,hajiwezi jicho lege kama kala kungu,Hellen alinyanyua shingo yake juu kwa ufundi wa hali ya juu kisha akaizungusha shingo yake huku akigugumia kisauti kitaaaam eheeeee!!! kitamu haswaaa!!!”Aaaaammh!!! ihhiiiiiinsiiiiaaaa!!!,Briiiiiight!! mi staaaaaki uuuuukoo!!!!”,Sule saa nyingi alisha mshika Helena kiunoni na kutomasa tomasa kama nyanya vile…….
ENDELEA…
MKIWA WAVIVU KUSHARE NAMI NTAKUWA MVIVU KUPOST,LIKE NIPOST,.
Wakati huo Helena ufaham ulimtoka kabisa na kujikuta anasahau kwamba alitakiwa kumfurahisha tuu Sule na sio kumpa kabisa chitumbua.
Sule tayar alikuwa ameshajiwekea asilimia 100 ya kuwa anamega tunda la mrembo huyu ambaye wamefahamiana muda si mrefu.
Hapo ndipo akili inapomjia Helena kuwa walipofika sipo kabisa,
Helena alimtazama Sule usoni kisha akamwambia kwa upole kabisa”
Bright naomba uniachie”……
Sule kwa kuwa alikuwa hatanii alizidi kumtomasa helena kitendo kilichomfanya helena kuchoropoka na kukimbilia kule wanakotekea maji.
Sule alifuata nyuma huku akionekana kushindwa kukimbia vizuri kwani tayari hisia zilipanda hivyo dudu lilishaamka na kusimama kama ngongoti,
WANAUME MNAJUA KABISA LIJAMAA LIKIAMSHA MADUDE HATA KUTEMBEA INAKUAGA NI SHIDA,.
ILA KWA WENYE VIBAMIA HALI HII HAIWAHUSU/SORY
Wakati hayo yanaendelea huku nyumbani Lucy aliipekue begi la Sule na kugundua kuwa Sule alikuwa si mtu wa mchezo mchezo,
Alijua baada ya kupitia picha kwani picha zilionesha ni mtu wa matawi sana.
Wakati anajishauri ni nini afanye mara shangazi alikuja na kumkuta Lucy akiwa amekaa tuu
“Wewe leo hufanyi kazi eeee!!! sawa habari yako utaijua”……..
Shangazi aliongea kisha akachukua kigaloni kwa hasira sana na kuelekea kule walikoelekea kina Helena.
Basi Lucy alinyanyuka na kwenda kwenye banda la kuku ili kuangalia angalia kwani hao kuku ni wa kwake.
Aliwapa chakula kisha akaelekea kwenye banda la mbuzi aliwahudumia lakini aligundundua kuwa mmoja kati ya mbuzi hayuko sawa kama anaumwa vile.
Wakati huo Helena na Sule walifika mpaka sehemu wanapotekea maji,Sule aliyashangaa mazingira yale kwani yalimshawishi sana kupiga picha”heeee!! mbona pazuri hivi!!?
Tazama maji yanavyotiririka kutoka juu hadi raha”.
Sule aliongea mwenyewe huku Helena akimtazama na kutabasamu
“Heheee!! umepapenda eeeh!!?”…….
“Yah nimevutiwa na mandhari hii”……
“Basi nami nimefrahi kuona unaenjoy maana ulikuwa una mawazo sana lakini,
Naomba uniambie nini kilikusibu maana ulinipromise kuwa utaniambia”.
Kwa kuwa Sule alianza kumuamini msichana huyu kwa ukarimu wake aliona haina budi kumuelezea japo kwa ufupi tuu.
“MADAM HELLEN SIKUTAKA KUKUMBUKA KILICHONISIBU LAKINI KADRI MUDA UNAVYOZIDI KWENDA NAONA KUNA UMUHIMU WA WEWE KUJUA HILI.
UNAJUA HELLEN HUMU DUNIANI UNAWEZA KUFANYA KOSA HALAFU UKALIJUTIA MAISHANI MWAKO
(Wakati huo helena anamtazama Sule kwa umakini sana)…..
NILITAMANI KUISHI MAISHA YA KIFAHARI LAKINI NIMEIKOSA NAFASI HIYO KWA TAMAA ZANGU.
KATIKA FAMILIA YETU TUMEZALIWA WATOTO 3 LAKINI KWA BAHATI MBAYA WADOGO ZANGU WAWILI WA KIKE WALITANGULIA MBELE ZA HAKI.
WAKATI HUO MIMI NILIKUWA NA UMRI WA MIAKA KAMA 10 HIVI,
NILISHANGAA SIKU MOJA MAMA YANGU ALIAMUA KUMTIMUA BABA YETU KWA KUWA ALIKUWA HANA KAZI,
BABA ALIKUWA HATOI PESA YA MATUMIZI HADI MAVAZI ALIKUWA AKINUNULIWA NA MAMA.
NA SIKUWAHI KUJUA SHUGHULI ANAYOIFANYA MAMA YANGU KWANI ALIKUWA ANAAGA TUU ANAKWENDA KAZINI NA MARA NYINGI ALIKUWA ANARUDI USIKU NYUMBANI”.
Sule aliongea na kwa mbali machozi yalianza kumtoka,
Helena aliamua kuitumia mikono yake kumfuta chozi Sule”
Pole sana Bright ikawaje baada ya hapo”
Sule alimwambia Helena”
Kweli nikikumbuka huwa nalia nahisi kama nitakuliza na wewe tuishia hapa tuu”……..
“Hapana Bright naomba nifahamu kwani mficha maradhi huumbuliwa na kifo”……..
Walisogea pembeni kisha wakaketi chini Helena akiwa amemkalia Sule mapajani.
Sule aliendelea.
“SASA IKAFIKIA MAHALI ANAMTUHUMU BABA KUWA YEYE NDIYE ALIYEWAUWA WATOTO YAANI WADOGO ZANGU.
BABA YANGU KUTOKANA NA STREES ZA MAISHA ALIANZA KUONEKANA KAMA KAPURWA MBELE ZA WATU KWANI HATA MAVAZI HAKUNUNULIWA TENA NA MAMA,IKAFIKIA MAHALI HATA CHAKULA HAKURUHUSIWA KULA NYUMBANI MIMI NILIANZA KUMFICHIA BABA CHAKULA NA AKIJA NAMPA KWA SIRI SANA MAANA MAMA ALIKUWA MKALI NILIOGOPA.
SIKU MOJA BABA YANGU ALINIAMBIA MANENO AMBAYO MPAKA LEO HUWA YANANIRUDIA NILALAPO,
BABA ALINIAMBIA(MWANANGU JAPO WE BADO MDOGO LAKINI SINA BUDI KUKUELEZA HUYU NI MAMA YAKO MZAZI LAKINI MUANGALIE SANA ANAJALI MAISHA YAKE TUU NA HAPENDI KUONA MIMI NINAFANIKIWA NA HALI HII UNAYOIONA KWANGU SABABU NI YEYE NA TAYARI NILISHAMUONA NA MWANAUME MWINGINE LAKINI SIWEZI KUSEMA CHOCHOTE ILA KUWA MAKINI”
HAYO NI MANENO ALIYOYATAMKA BABA YANGU NA KILICHONIUMA ZAIDI NI PALE BABA YANGU ALIPOAMUA KUONDOKA NYUMBANI NA KWENDA KUWA OMBA OMBA MJINI,
NILIJUA BABA ATARUDI NYUMBANI BAADA YA SIKU KADHAA LAKINI KUANZIA SIKU HIYO BABA YANGU HAKUONEKANA TENA NA SIJUI KAMA YU HAI MAANA MPAKA SASA NI MIAKA MINGI IMEPITA.
ACHILIA HAYO KUBWA ZAIDI NI SIKU AMBAYO MAMA YANGU ALIAMUA KWENDA KUISHI KWA KWA HUYO MWANAUME ALIYENIAMBIA BABA NI TAJIRI MMOJA ANAYEITWA NASSORO,NA NIKAKUMBUKA ILE SIKU BABA ANANIELEZA HABARI ZA MAMA KUWA MAMA ANA MWANAUME MWINGINE NDIO NAPATA PICHA KAMILI KUWA MAMA SI MTU MZURI”
Helena alijikuta anatoa machoz na kulia kuliko hata Sule kwani kilichozungumzwa kinamchoma.
Lakini Sule aliendelea kumuhadisia sababu za yeye kuondoka nyumbani.
Na kumbe Sule alishawahi kukabidhiwa baadhi ya biashara azisimamie ila kwa kuwa alikuwa ni mtu wa tamaa na kupenda starehe alijikuta anapoteza nafasi nzuri maishani mwake.
(Msikilize kitu alichokizungumza hapa kwa Helena).
“BASI MAMA YANGU ALIHAMIA KWA TAJIRI HUYO ALINICHUKUA NA MIMI NA INAONEKANA ALIJUANA NAYE SIKU NYINGI KWANI HATA BAADHI YA MAVAZI YA MAMA NILIYAKUTA HUKO.
YULE TAJIRI ALINIPENDA SANA,
TAJIRI HUYO ALIKUWA NA WATOTO WATATU ILA WALIKUWA NJE YA NCHI KIMASOMO HIVYO ALINICHUKULIA KAMA MWANAE,ALINISOMESHA MPAKA CHUO NA NILIPOMALIZA ALINIKABIDHI BAADHI YA SHUGHULI ZAKE NIZISIMAMIE KWANZA KABISA ALINIACHIA SHELI 3 NIZISIMAMIE ILA KWAKUWA NILIKUWA NAPENDA STAREHE NILIJIKUTA NADAIWA PESA NYINGI SANA NA SERIKALI YAANI KODI HII ILIPELEKEA SHELI ZOTE KUFUNGIWA ,
MZEE WA WATU HAKUKATA TAMAA ALINIPA SUPERMARKET LAKINI NAYO HAIKUCHUKUA MUDA ILIFIA MIKONONI MWANGU.
MWEZI ULIOPITA WATOTO WAKE WALIRUDI NCHINI NA WOTE ALIWAGAWIA MALI KASORO MIMI.
SIJUI MAMA YANGU KAPEWA NINI NA HUYO BABA MAANA ALIONEKANA KUNICHUKIA PIA ILA NILIPOONA HIVYO NILIONA NI BORA NIONDOKE ZANGU KWANI NISINGEWEZA KUISHI NDANI YA ILE NYUMBA,
SASA LEO NDIO NIMEONDOKA RASMI NYUMBANI.
NA PIA UNISAMEHE KWANI HATA JINA NILIKUDANGANYA KWANI SIKUJUA KAMA TUTAKUWA NA UKARIBU KIASI HICHI MIMI NAITWA SULE
(Helena alilia sana lakini kadri Sule alivyozidi kumsimulia alijikuta machozi yanakauka kwani Sule aliichezea bahati na hana wa kumlaumu).
Helena alimpa pole nyingi kisha akamwambia “
Inabidi ukae ujifikirie kwani miaka inakwenda jua ya kuwa hakuna anayeishi kwa niaba yako wewe ndio hakimu wa maisha yako,Umekua unatakiwa kujenga familia sasa kwani ukiwa mtu wa kuhangaika utajikuta umefika miaka 50 huna hata pa kukaa sawa Bright aaiishi! jina lako nani tena!!!”
.”Naitwa Sule”…….”
Ahaaa!! Sawa sule halafu usipende uongo siku moja ntakuhadisia kitu ili ujue athari za uongo”.
Basi mazungumzo yalikuwa marefu sana ila pamoja na udhaifu wa Sule Helena hakuonesha kumchukia Sule alimwambia “Ulisha wahi kuogelea”……..
” Yah najua ila ni kwenye swimming pool”.
Helena alisimama kisha akamshika Sule mkono na kumnyanyua,Alimvuta karibu kabisa kisha akamwambia
“Sitaki uwe na mawazo maadamu umeshaniambia ntakuambia kitu ila sio sasa hivi”.
Basi Sule aliipata faraja ya kweli kwani ni mara ya kwanza kukutana na msichana anayeongea maneno ya hekima kiasi hichi.
Sule taratibu alisimama kwa msaada wa bibie helena.
Walipo simama Helena alimuonyesha kule yanakotiririka maji yaani WATER FALLS”
Unaona pale Twende tukacheze pale katikati yanapotiririka maji ni raha we acha tuu”……..
Kama hujui raha ya maji nenda kaoge na mpenzi wako kwenye bafu ya maji yanayotiririka?,.
Nini kitatokea staytune
DADA VUA BWANAH
Sehemu Ya 06
TULIPOISHIA,.
Helena alimpa pole nyingi kisha akamwambia
“Inabidi ukae ujifikirie kwani miaka inakwenda jua ya kuwa hakuna anayeishi kwa niaba yako wewe ndio hakimu wa maisha yako,Umekua unatakiwa kujenga familia sasa kwani ukiwa mtu wa kuhangaika utajikuta umefika miaka 50 huna hata pa kukaa sawa Bright
aaiishi! jina lako nani tena!!!”………
“Naitwa Sule”…….
” Ahaaa!! Sawa sule halafu usipende uongo siku moja ntakuhadisia kitu ili ujue athari za uongo”.
Basi mazungumzo yalikuwa marefu sana ila pamoja na udhaifu wa Sule Helena hakuonesha kumchukia Sule alimwambia “Ulisha wahi kuogelea”……..
” Yah najua ila ni kwenye swimingpool”.
Helena alisimama kisha akamshika Sule mkono na kumnyanyua,Alimvuta karibu kabisa kisha akamwambia
“Sitaki uwe na mawazo maadamu umeshaniambia ntakuambia kitu ila sio sasa hivi”.
Basi Sule aliipata faraja ya kweli kwani ni mara ya kwanza kukutana na msichana anayeongea maneno ya hekima kiasi hichi.
Sule taratibu alisimama kwa msaada wa bibie helena.
Walipo simama Helena alimuonyesha kule yanakotiririka maji yaani WATER FALLS” Unaona pale Twende tukacheze pale katikati yanapotiririka maji ni raha we acha tuu”..
ENDELEA
DONDOSHA LIKE YAKO MUHIMU WANGU,.
Mchezo ule ulianza Helena aliingia ndani ya maji kisha akamuita Sule
“Ingia basi mbona unaogopa”,.
Kwanza Sule aliyagusa maji kiukweli maji yalikuwa baridi sana kwani ni maji yanayotoka mlima meru hivyo huwa yana baridi kama yametoka kwenye jokofu”
Mmmmmh!! wee hellen unataka nizimie nini,Mwenzako sijazoea kuchezeamaji baridi eti”.
Helena aliona huyu kumforce,Alichota maji kwa mikono miwili kisha akammwagia “Hwaaaa!!”.
Helena alifungua kikaptula chake kisha akawa anajichungulia pale kati huku akijisemea “
Kuna kitu kinanikera huku sijui ni kimchanga”
Aliongea huku mkono wakewa kushoto ukipekua ndani ya chupi yake.
Wakati huo Sule alikuwa anatazama kwa kuibia na kujifanya haoni kinachoendelea kumbe anapiga chabo ya maana.
Sijui Helena alimaanisha nini kufanya hivyo.
Basi Sule alijikuta anazama kwenye maji yale pamoja na yalikuwa ya baridi sana,.
Sule alizama lakini kawoga kwa mbali ila aliamua kujitoa ufahamu.
Helena alimwambia
“We naye unaingia na likofia lako si utoe”……Sule alicheka
“Hahaaa kwani nani kakuambia nataka kuoga!??”
Walitaniana pale wakati huo Helena alikuwa anacheza na maji kwa ufundi haswaa.
Sijui huyu dada alimaanisha nini kujiachia mbele za Sule.
Sule aliamu kufunguka tuu kwa mrembo huyu
“Hivi hellen mbona unanifanyia makusudi hivo kwanini lakini,Ujue hata mimi nina moyo eti”…….
“Haaa!! We Sule wewe!! unamaana gani kusema hivyo”…..
Sule hakuongea alichofanya aliamua kufanya kwa vitendo maana kachoka mitego mitego.
Sule alimsogelea karibu kabisa kisha akamshika Helen kwenye lips huku akizitanua na maneno laini yenye hubba iliyopitiliza.
Helen aliongea kwa sauti ya chini huku akiangalia chini kwa aibu.
Sule alimwambia
“Niangalie basi jamani mrembo”……
“Aaaah! Sule ndio nini mi sitaki bwana “
Helen aliongea huku akimuangalia Sule kwa kuibia ibia.
Hawakuwa na hofu kwani wako peke yao,.
Sule alijua tuu Helen alikua tayar keshaiva kazi kwake kupakua.
Helen aliupeleka mkono wake kiunoni kwa Sule kisha akamvutia karibu kabisa,Sule aliona maajabu kwani ni wanawake wachache sana wanaojiachiaga kwa mwanaume ila Helen yuko tofauti sana.
Basi Sule alisogea karibu kabisa na Mrembo huyu,Helen aliipandisha blauz yake juu na Sule live aliona chuchu za Helen zinavyoita.
Sule taaratibu alianza kuupeleka mkono wake pale kunako kifua cha helen,Helen aliuikilizia mkono ule mara alihisi msisimko kama vile mwili umepigwa shoti.
Wakati huo Sule mkono wake tayari ulikuwa unapapasa kichuchu cha Helen.
Mara helen alianza kuhema kwa kasi kwani mwili ulipata mshtuko baada ya kuguswa,Sule aliitoa kofia yake kisha akaiweka juu ya jiwe ili isilowe.
Alimvuta helen kwa karibu zaidi kisha akamkumbatia huku maji yaliyokuwa yanatiririka kutoka juu yakizidi kuwa hamasisha zaidi.
****”
Huku nyumbani Lucy alifika kwenye banda la mbuzi kuwahudumia.
Alishtuka kusikia sauti ya mbuzi akiwa anakoroma hali iliyomfanya Lucy kukimbilia ndani ili aone ni kipi kinaendelea.
Nikweli mbuzi alikuwa anakoroma huku akiwa anagaragara chini.
Lucy alimtoa mbuzi yule hadi nje wakati akifikiria ni njia gani aitumie ili amsaidie,Akiangalia yupo mwenyewe kabisa nani atamsaidia.
***
Wakati huo Sule alikuwa tayar kashamuweka karibu Helena na wanapeana maraha,Sule alianza kumpamba pamba Helena
“Hivi unajijua kuwa we ni mzuri sana? ,
Laiti ungejijua we acha tuu”……
Helena alicheka kisha akamwambia
“Ujue Sule nashindwa kujua tumefikiaje hapa,Umenifanya nini?
“Aliongea huku akishusha kichwa chake kifuani mwa Sule.
Basi sule hakutaka kuchelewa,Aliushusha mkono wake wa kulia taratiibu kufuatisha uti wa mgongo akielekea kule kwenye chura.
Kweli ngozi ya Helena ilikuwa soft sana ukichanganya na yale majimaji basi Sule alijikuta mkono umepitiliza kwenye kipensi cha Helena na mkono ukaanza kuyapapasa hayo eeeeh!! hayo hayo!!.Kulikuwa na baridi lakini kadri muda unavyozidi kwenda miili yao ilipata kijoto licha ya kuwa walikuwa kwenye maji.
Basi Helena kwa jinsi alivyopata hisia alinyanyua Kichwa chake pale kifuani na kuzifuata lips za Sule
“Suuuuu!!!leee!!! usinishike uko jomouny”
Aliongea kwa sauti nzuri kisha akamfakamia Sule mdomoni tayari kabisa kupata shurubati, mambo yalizidi kupamba moto, ulikuwa utani mara utani ukazaliana kupelekea watu kushindwa kuzuia hisia zao,Sule alijisemea kimoyo moyo “Yaani kitu namfanyia huyu hatokaa anisahau” Sule alifungua zipu ya Helena wakati huo Helena alimpa Sule uhuru afanye anachotaka,
Basi zipu ilifunguka huku taaratibu Sule aliuzamisha mkono mule ndani.
Aliupitisha mkono wake pale juu ya chitumbua huku akimeza mate kwani kitumbua kilikuwa kimepikika haswaa.
Basi Helena naye aliamua kujipimia ili ajue kama ni kibamia au laa!!, kwa utaratiiibu Helena alianza kupapasa pale juu ya suruali kisha akaanza kuufungua mkanda wa Sule…….