DADA VUA BWANAH..
Sehemu Ya 01
Simulizi yetu inaanzia katika jumba moja la familia ya mzee maarufu sana hapa mjini KWETU ARUSHA,
Kama unavyojua katika familia nyingi wazazi hufikia mahali kuwagawia watoto wao baadhi ya mali ili waanze kujitegemea katika maisha yao.
Basi leo katika familia ya Mzee Nassor ilikuwa ni siku rasmi kwa ajili ya mgao wa baadhi ya mali kwa watoto wao.
Kiukweli mzee Nassor alikuwa na mali nyingi sana.
Basi siku ya leo Mzee aliwaita wanae woote kisha akawaketisha chini na kuwaambia
“WANANGU LEO NIMEWAITA HAPA ILI NIWEZE KUONGEA NANYI MANENO MACHACHE KABLA YA KUFANYA TUKIO KUBWA NA LA KIHISTORIA KWENU.
KWANZA KABISA MIMI PAMOJA NA MAMA YENU TUNAWAPENDA SANA NA FURAHA YETU INAKAMILISHWA NANYI WANETU,
KILA WAKATI NIMEKUWA NIKIWAFAHAMISHA JUU YA MALI NINAZOMILIKI MIMI BABA YENU.
SASA LEO NATAKA KUWAMEGEA ANGALAU ROBO YA MALI ZANGU ILI NANYI MUANZISHE FAMILIA ZENU
“Kabla hajaanza kugawa zile mali mzee alimuita mkewe na kumnong’oneza
“Mke wangu najua unatamani sana nifanye hicho unachofikiria lakini kumbuka masharti tuliyopewa na mtaalamu”…….
Mkewe alijibu”Mume wangu mimi kuhusu hili wala sina hofu moyoni mwangu kinachoniumiza ni suala la kuwapoteza wanangu wote wa kike bora tungewatoa wa kiume tuu lakini tuachane na hayo kikubwa tuna hizi mali basi hakuna kinachoshindikana tufanye vile tulivyoagizwa”
Basi walikubaliana pale kisha mzee na mama wakarudi pale walipo watoto wao wanne ambao ni Shukuru,Sudi,Wedi na Sule.
Mzee alianza kwa kusema
“Sasa nianze na wewe Wedi chukua hii hati ya umiliki wa (Senshen supermarket na Kadi 2 za gari)Hivo vinakutosha kwa kuanzia maisha wakati mkisubiri ujenzi wa nyumba zenu uanze.
Wedi alifurahi sana kitendo cha yeye kupewa zile mali amiliki yeye.
Mzee alimgeukia mwanae wa pili (Sudi) na kumwambia
“Naona unagugumia mate kwa kutamani kusikia nini unapewa haya shika hizi(Sudi alizitoa zile karatasi ndani ya bahasha ambapo ilikuwa ni Kadi za mabasi mawili yanayofanya safari za Arusha to Mwanza pamoja na hati ya umiliki wa hoteli moja maarufu iliyoko Mombo).
Basi ilikuwa ni furaha sana kwa watoto wale Baba aliitoa bahasha ya tatu kisha akamfungulia mwanae(Shukuru) kisha akamwambia ..
“Shukuru wewe utasimamia na kumiliki hii kampuni ya (Senshen tours).
Watoto wote walipatiwa kile kilichowastahili kasoro sule pekee.Baba alimtazama Sule kisha akamwambia” Sule wewe tunakuandalia nyaraka zako tutakupa mwezi ujao”Sule alidakia”Baba wala hata usihangaike na mimi kwani sio mara ya kwanza kufanya hichi ulichonifanyia leo”Sule aliongea huku macho yake yakionesha machozi na uso ukiwa na huzuni tele sule aliongea tena”Siumii kwa kuwa hujanipa mali bali naumia sana kuwaza mi ni nani kwenye hii familia na pengine sina wa kunipa ukweli juu ya hilo nitaishi kama mfungwa angali nikohuru”.
Mama alidakia “Mwanangu Sule mbona unaongea maneno machafu kiasi hiko Ina maana humuheshimu baba yako,kwani si umefahamishwa kuwa mwezi ujao utapata haki yako!!?”……..
“Mamaaa eeeeh nimesha sema sitaki hata mia yenu nachotaka kujua mi ni nani kwenu maana moyo wangu umechoka kuvumilia haya mnayonifanyia”.
Sule aliongea maneno mazito sana ndipo Wedi aliposimama na kutaka kuweka mambo sawa” Jamani eeeh!! tusigombane sisi ni familia moja”Wedi alimgeukia baba yao kisha akamwambia”Sasa baba fanya hivi,Kwenye hizi mali ulizotugawia fanya kurudia upya ugawaji ili Kaka yetu Sule naye apate maana hata mimi sijapenda hichi ulichokifanya kwa kaka yetu”…….
“Wedi mimi ndio Baba yenu na ninajua kile ninachokifanya msinione mpumbavu sawa!? sidhani kama mnaweza kunipangia nini cha kufanya”.,……
Sudi alidakia”Lakini Baba si kuna sheli nne si ungempa hata moja ile iliyoko Mwanza?”……..
“Sijashindwa kumpa hata hii iliyoko hapa Arusha lakini kila jambo linaenda na mipangilio ok!!”.
Sule alinyanyuka kimya kimya na kuwaacha wote wakimshangaa wasijue ni kwanini anaondoka pale.
Wakati huo Mama wa watoto hao hakuwa na nguvu ya kubadili maamuzi yaliyotolewa na kichwa cha familia (Baba).
Sule alitoka mpaka nje huku akitafakari nini cha kufanya,Alirudi akapita mpaka chumbani kwake kisha akaanza kupanga nguo zake kwenye kirasket kidogo dogo tuu.
Katika kupanga panga nguo aliona picha ya dada zake walipiga wakiwa pamoja,Aliitazama picha ikamrudisha nyuma kimawazo kwani walikuwa bado wadogo sana kipindi hicho.
Basi sule aliikumbatia picha ile kwa mapenzi mazito kwani dada zake walikuwa wamesha tangulia mbele za haki(Walifariki miaka 14 iliyopita).Sule alinyanyua kibegi chake akawa anatoka nje huku akifikiria aende wapi kwani hawezi tena kuendelea kuishi ndani ya ile nyumba”Sasa sijui niende wapi kwani kwa vyovyote lazima niondoke leo”…Sule aliwaza akakumbuka kipindi cha nyuma alishawahi kuishi katika kijiji fulani kinaitwa Ngare kule aliwahi kufanya shughuli za kilimo cha nyanya na alikuwa na hali nzuri tuu kimaisha japo nizamani sana kama miaka 16 ishapita.
Wakati anajiandaa kutoka alikuja mama yake akaingia mpaka chumbani kwake….
“We sule unataka kufanya nini!!?”….
“Kiukweli mama nikikaa hapa nitazidi kuumia tuu kwani sitaweza kuvumilia hiki kinachoendelea”……”Sasa
unakwenda wapi mwanangu sule!!!?”……
“Mama mimi ninakwenda lakini nitarejea mungu akipenda lakini kama nitakufa bila kuonana nawewe basi ni mapenzi yake mungu”.
Sule aliongea maneno yaliyojaa ghadhabu na kumuacha mama yake katika hali ya mshangao,.
Sule alifika pale walipokuwa wameketi baba na wadogo zake kisha akawaambia”Sina sababu ya kuendelea kulazimisha kuishi na wazazi wasionijali,Simaanishi kuwa nataka mali zenu laa!! bali nalihitaji mapenzi ya wazazi wangu lakini nashangaa mimi nabaguliwa mpaka wadogo zangu wananidharau kisa ni nyie wazazi hamkunipa heshima ya kuwa kaka wa wadogo zangu,.
Sasa leo nawaacha huru acha nikayatafute maisha yangu mwenyewe”Sule alionge kisha akatoka nje akiwa na hasira mpaka machozi yanamdondoka.
Wakati anaondoka Baba alionyanyua simu kisha akasogea pembeni na haikufahamika anampigia nani,.
Sule alinyanyua kibegi chake vizuri kisha akakiweka mgongoni na kuelekea Ngare.Kweli aliondoka akipitia barabara ya msitu wa Momela/Arusha National Park.
Akiwa anaanza kuingia katika pori la msitu alihisi kitu kinatokea mbele yake maana alisikia mchakacho,Basi Sule aliamua kujibanza kwenye shina la mti ili kama ni kitu cha hatari aweze kukabiliana nacho.
Je nini kitaendelea usikose sehemu ya pili ya simulizi hii
DADA VUA BWANA..H
Sehemu Ya 02
Sule alinyanyua kibegi chake vizuri kisha akakiweka mgongoni na kuelekea Ngare,.
Kweli aliondoka akipitia barabara ya msitu wa Momela/Arusha National Park.
Akiwa anaanza kuingia katika pori la msitu alihisi kitu kinatokea mbele yake maana alisikia mchakacho,Basi Sule aliamua kujibanza kwenye shina la mti ili kama ni kitu cha hatari aweze kukabiliana nacho,
SHARE NA MARAFIKI KWENYE GROUP ZA WHATSAPP WAPATE UHONDO NAO
Sule akiwa na mawazo tele juu ya kile kilichotokea nyumbani alitembea huku akiwa na mawazo sana.
Njia nzima alipiga miluzi akiimba nyimbo mbali mbali za huzuni,Ilikuwa ni safari ambayo Sule hatokaa aisahau,
Kutokana na mchakacho ule na kwa kuwa alikuwa hajajiandaa vyema aliamua kujificha ili kama ni mnyama wa hatari apite tuu asije kudhurika.
Lakini wakati anayatoa macho pale alipousikia mchakacho aliona kitu tofauti na alichodhania.
Alikuwa nimsichanmrembo ,mwembamba na mweupe akiwa amebeba ndoo ya maji.
Sule alimtazama kisha akajisemea
“Kumbe mtu unaweza ukafa na presha bure kwa woga sasa kipi kilichonifanya niogope kiasi hichi heheee”.
Sule alijicheka kwani aliona kama vile limnyama likubwa linatokea kumbe ni bonge la toto.
Lakini Sule alianza kujiuliza….
“Sasa inakuaje huyu msichana anakuja kuteka maji mbali kiasi hiki halafu mavazi aliyoyavaa na mazingira haya akikutana na vidume vyenye njaa njaa si vinamfaidi!?”.
Sule alianza kumtafakari yule binti kwani mavazi aliyoyavaa na mazingira aliyopo ni hatari kwake.
Basi Sule alitoka na kuendelea na safari yake,Kilichomshangaza zaidi Sule ni kwamba binti yule alizidi kuingia kule kule msituni.
Aliwaza”Sasa huyu anaenda wapi huku inamaana huku ndani ya msitu kuna nyumba!? mmmh!! Anyway kwa sababu sijapita huku siku nyingi labda kuna makazi ya watu huku,.
Mara ghafla yule dada alisimama kisha akaishusha ile ndoo na kuiweka chini wakati huo dada huyo hakumuona kabisa Sule,Dada aliishusha ndoo na kuingia kichakani haraka haraka.
Sule alisimama naye akajifanya anakojoa,Mara akasikia sauti ya mtiririko wa mkojo…….
“CHROOOOOOO!!!”……Sule aliguna tuu “Mhhhh!! kaniona nini mbona kama kananitega”,.
Dada yule kwa kuwa hakujua kuwa kuna mtu nyuma yake alitoka huku akilazimishia kukivaa kile kikaptula cha jinsi.
Kilikuwa kimembana sana kiasi kwamba kina mlazimu kutumia nguvu sana pindi avaapo.
Sule alimtazama yule binti anavyohaingaika,Ndipo macho ya yule binti yalipo kutana na kidume handsome.
Sule alikodolea macho pale kwenye kalio kwani kaptula iligoma kabisa kufika kunako kiuno.
Basi yule binti ilibidi arudi nyuma ili aweze kumalizia kuvaa.
Sule alianza kuingiwa na tamaa akajikuta anamwambia” Sasa waogopa nini bibie!!?”.
Binti kwa aibu alijikuta amenyamaza kimya bila hata kutoa neno,Binti yule alijitokeza kisha akawa anajitwika ile ndoo,
Muda huo tayar Sule alikuwa miguuni mwa binti.
Sule alijikuta anamsaidia binti yule kumtwisha ile ndoo”Pole sana dada yangu”……
Binti alimjibu”Asante!”…..
Sule hakuishiwa na maneno….
“Mbona unanijibu shortcut sana au nimekosea kukusaidia”….
“Mmmmmmh!! hayo umesema wewe kaka mimi aaaka!!”.
Sule hakutaka kupitwa na toto la kimeru alijikuta anamwambia
“Basi fanya hivi shusha hiyo ndoo nikusaidie,kwani kwenu ni mbali!!?”……
“Hapana sio mbali ni hapo chini”……Binti aliongea huku akimuonyeshea kwa kidole.
Basi Sule aliyapanga maneno mtoto akajikuta anakubali kusaidiwa ile ndoo.
Sule alimuuliza
“Mbona hatufiki???”……
“Kama umechoka nipe tuu mi ntamalizia”…..
Sule alijibu kiustadi kabisa
“Simaanishi kuwa nimechoka bali nakuonea huruma kwani unachota maji mbali sana”……
“Tumeshazoea kwani wewe unaitwa nani na unakwenda wapi”……..
Sule aliwaza kabla hajatoa jibu kisha akajibu
“Naitwa Bright na nimeamua tuu kunyoosha nyoosha miguu huku nikivinjari madhari ya msitu huu”…….
“Waoooo jina zuri sana sasa huku kuvinjari gani porini huogopi wanyama??
“Binti aliuliza huku akiishika ndoo upande wa pili wakisaidiana na Sule……
“Ntaogopa vipi mi wa kiume wewe!!!
kwanza siku hizi hakuna hata hao wanyama na wewe unaitwa nani??”
Sule aliongea kwa mbwembwe kwani hata jina alimpa la uongo……
Dada huyu jina lake kamili anaitwa HELENA lakini kwa kuwa Mshkaji kataja jina lenye swaga naye alimjibu”Call me Maadam Hellen”.
Kila mmoja alimfahamu mwenzake kisha helena akamwambia mwenzake Sule”
Bright kwetu paaale tumeshafika”….
“Hellen why mnachota maji mbali hivi ina maana kuna shida ya maji sana!!!?…..
“Sio mbali bhaana sema tuu hujazoea”.
Basi Sule alitaka kumuaga Helena kwani si vyema kwenda naye mpaka nyumbani”
Basi mi nikuache niendelee na SAFARI yangu tutaonana mungu akipenda”.
Waliagana pale lakini Helena alionyesha sura ya huzuni kama vile alitaka kuendelea kumjua mtu huyu
“Haya kaka yangu BRIGHT mungu akutangulie Siku ukipita njia hii usisite kuja nyumbani.
(HUKU NYUMBANI KWA KINA SULE)
Uliibuka mzozo mkubwa sana mara baada ya Sule kuondoka.
Baadhi ya wadogo zake Sule hawakupenda kabisa kitendo walichokifanya wazazi wao kwani kutokumpa Sule haki yake kama kaka mkubwa wa familia hakikuwa kizuri.
Wadogo zake Sule hawakujua kiundani kusudi la wazazi wao kufanya hivyo.
Wakati wanaendelea na mzozo mama alitoka akiwa ana hasira sana.
Basi mama aliimuita mumewe kwa sauti kali”
Mume wangu unafikiria nini kuhusu hili mbona umekaa kimya!!?”…….
“Sikia mama Sule,Mimi kabla hata Sule hajawaza kufanya chochote tayari nilishawasiliana na mtaalam hivyo mambo yataenda sawia.
Mzee alirudi mpaka sebuleni kisha akaanza kuwatuliza watoto wake ili wasije farakana.
Huku upande wa pili Bright(Sule) na Hellen(Helena) Waliagana kila mmoja akimgeukia mwenzake,Helena alimtazama kwa umakini sana huyu kijana na kugundua ya kuwa Sule alikuwa na mawazo sana.
Helena aliamua kusimama na kumtazama.
Helena alishusha ndoo yake kisha akaamua kumfuata huku akaita,
“BRIGHT!!! WEE BRIGHT!!!!”….
Usikose inayofuata maana picha ndo kwanza linaanza.
DADA VUA BWANAH
Sehemu Ya 03
TOLEO LILILOPITA,.
Huku upande wa pili Bright(Sule) na Hellen(Helena) Waliagana kila mmoja akimgeukia mwenzake,
Helena alimtazama kwa umakini sana huyu kijana na kugundua ya kuwa Sule alikuwa na mawazo sana.
Helena aliamua kusimama na kumtazama.
Helena alishusha ndoo yake kisha akaamua kumfuata huku akaita “BRIGHT!!! WEE BRIGHT!!!!”
TELEZA NAYO MSOMAJI WANGU .
MKIWA WAVIVU KUSHARE NTAKUA MZEMBE KUPOST,.
DONDOSHA LIKE NA MAONI YAKO
Maadam hellen aliamua kumuita Bright,Bright alisimama kwanza kwa sekunde kadhaa lakini hakugeuka kumtazama Hellen.
Hellen alimuita tena ” Sasa si uje heee!!!”,Kiukweli Sule alivyoachana na Helena alifika mbali sana kimawazo mpaka akajikuta chozi likimdondoka.
Sasa baada ya helena kumuita hakugeuka kwa sababu angegundulika kuwa alikuwa analia,Alijifuta machozi haraka haraka kisha akageuka akiwa na tabasamu feki ili kumzuga binti yule mrembo.
Hellen alipomtazama Sule aligundua kuwa kuna kitu kinamsibu
“Wee Bright uko sawa kweli!!!?”……..
“Yaah mbona niko poa kwani vipi!!!?……..”
Huenda hauko vizur ila wanificha tuu,nimekuona mwendo wako yaani kama vile kuna kitu kinakuumiza kichwa?,
We nambie tuu naweza kukusaidia hata kimawazo eti!!”.
Sule alikaa kimya kwa sekunde kadhaa akitafakari kwani helena kampa swali ambalo kiukweli sule anahitaji ushauri,.
Baada ya Helena kuona Sule kawa mzito kumuelezea kinachomsibu alijaribu kumbembeleza ili wafike hata nyumbani kabla hajaendelea na safari yake.
Sule hakuwa na kipingamizi kwani hata anakoenda hana uhakika sana kama atafanikiwa kupata shughuli aliyoikusudia.
Helena alijaribu kutumia maneno mazur ili kumuweka sawa huyu kijana Sule.
Sule alimuuliza Helena”
Sasa Hellen unaishi na nani hapo kwenu!!?”……
Helena alicheka”hehee!! mbona unajishuku sana usiogope Bright naishi na dada yangu pamoja na Shangazi”…….
“Sule alitamani kumjua kiundani zaidi lakini aliona kama atamchosha binti kwa maswali”mmmmmh!! haya lakiiiiini!!!?”…..
“Bright acha maswali ya uoga we twende?”.
Yalikuwa ni mazungumzo ambayo yalimshawishi kidume huyo kukubaliana na sweet manka HELLEN,.
Wakati huo shangazi yake helena alikuwa kwenye banda la mifugo akiwahudumia wanyama wake kwani anapenda sana ufugaji.
Shangazi alitupa macho kwa mbali alimuona Helena akiwa anakuja na mtu asiyemjua.
Shangazi alimuita dada yake Helena”Weee Lucy!!!!”…..
Lucy alikuwa chumbani”Beee!!”…..
“Njoo uone huyu mwenzako zoa zoa sijui kabeba limtu gani!!?,.
Kiufupi shangazi huyu huwa hapendi sana wageni nyumbani kwake na hataki kabisa kina Helena wazoeane na mwanaume yoyote.
Basi Lucy alivyosikia vile alitoka kisha akasimama nje na kutazama kule wanakotokea kina helena.
Lucy alitazama kisha akarudi ndani haraka,Alivyofika akabadili nguo alizokuwa amezivaa alichukua kioo kisha akaanza kujaribu kama ataweza kucheza na lips ili kumtega huyu jamaa anayekuja na mdogo wake,.
Aliweka kila aina ya pozi kisha akajipuliza marashi na kutoka.
Wakati huo shangazi yake Helena aliacha hadi kuihudumia mifugo akabaki anamshangaa yule kijana,
Alimtazama kwa hasira sana.,
HUKU NYUMBA KWA KINA SULE
Baada ya Baba kukataa kabisa swala la kumgawia Sule mali wadogo zake waliamua kumpigia Simu sule ili arudi wakati wanaendelea kumbembeleza baba yao.
Wedi alichukua simu kisha akawa anampigia kaka yake Sule,Simu ya Sule iliita lakini haikupokelewa.
Wakati anaendelea kupiga mara Sudi alikuja huku akiongea
“Simu yenyewe kaiacha chumbani kwake hii hapa”.
Kweli Sule aliiacha simu ndani na sijui kasahau au aliamua tuu.
Wedi alizidi kupata hofu kwani anajua hasira za kaka yake”mhhhh! sasa kwanini kaacha simu!? usikute kaamua kufanya jambo lingine tofaouti”
Yalikuwa ni mawazo ya Wedi.
Wedi alimfuata mama yake na kumwambia”
Mama unafikiria nini kuhusu swala la kaka Sule”…….
“Achana nae kwanza ana kiburi sana akiamua kurudi atarudi tuu”.
Wedi alitegemea mama atasaidia kumshawishi baba lakini alionekana kama hajali wala halimuumi swala la Sule kuondoka pale nyumbani.
HUKU KWA KINA HELENA
Lucy alitoka akiwa amejipodoa kweli kweli huku akizichezesha lips zake kama alivyokuwa akifanya zoezi kwenye kioo.
Mara simu ya Shangazi iliita akawa anaongea huku akimtazama sana Sule,Sule hakujua ni kwanini Bibi huyu anamuangali huku anaongea na simu.
Alimaliza kuongea na simu kisha akampokea Helena kwa maneno”
We helena muda wote huo hayo maji ulienda kuyateka Usa au”.
📝KWA WALE MLIOWAHI KUFIKA ARUSHA NADHANI MNAJUA USA IKO WAPI NA HUU MSITU WA MOMELA UKO WAPI 📝
Basi Shangazi alimfokea bila kujali kuwa kuna ugeni amekuja nao,Helena hakujibu kitu shangazi alitupa tena dongo
“Eheee na huyo ni nani!??
maana wewe hukawii kuniletea mijizi”…….Lucy alidakia …..”Looooh!! shaangazi huogopi kutoa mineno hadi kwa wageni”.
Sule kuona vile alimwambia Helena”Aaaaamh!! hellen acha mi niende nisije kukugombanisha na shangazi yako”……
“Bright usiogope huyu yukogo hivi anapenda sana kuongea”…..
Lucy naye alijichangamsha kwa Sule kama vile anamjua wakati ndio mara ya wa kwanza wanaonana
“Kakaaa karibu usiogope mwaya karibu sana”.
Helena alitangulia ndani akiwa amebeba ndoo yake akawaacha Lucy na Sule nyuma.
Lucy alikuwa na machachari sana mpaka Sule alishangaa”
Mhhhhh!! huyu dada vipi kadata au!??”
Mara Lucy akafunua kidogo nguo yake kwa pale kwenye nyonyo huku akimuonyesha Sule Vichuchu…….