DADA VUA BANAH..
Sehemu Ya 07
TOLEO LILILOPITA,.
Ulikuwa utani mara utani ukazaliana kupelekea watu kushindwa kuzuia hisia zao,Sule alijisemea kimoyo moyo
“Yaani kitu namfanyia huyu hatokaa anisahau”
Sule alifungua zipu ya Helena wakati huo Helena alimpa Sule uhuru afanye anachotaka,Basi zipu ilifunguka huku taaratibu Sule aliuzamisha mkono mule ndani.
Aiupitisha mkono wake pale juu ya chitumbua huku akimeza mate kwani kitumbua kilikuwa kimepikika haswaa.
Basi Helena naye aliamua kujipimia ili ajue kama ni kibamia au laa!!,Basi kwa utaratiiibu Helena alianza kupapasa pale juu ya suruali kisha akaanza kuufungua mkanda wa Sule.
Songa nayo….
DONDOSHA LIKE SASA ACHA UCHOYO…
SHARE TUJIFUNZE SOTE,.
Wakati hayo yanaendelea kumbe saa nyingi shangaziye na Helena alikuwa kashafika eneo lile na alikuwa amejificha sehemu akiangalia nini kitaendelea.
Aliona kila kitu”
Hivi huyu kijana ana akili kweli sasa ngoja ataenda kuadisia huko aendako”
Yalikuwa ni maneno ya Shangazi huku kina Sule wao walikuwa wamekolea haswa.
Helena alikuwa anaifungua suruali ya Sule lakini Sule alimuwahi mkono na kumwambia,
“Ladies first kwa hiyo natakiwa mi nianze kukutolea wewe”
Sule aliongea kisha akachuchumaa na kuivuta kile kikaptula alichokivaa dada Helena.
Basi taaratibu kidume aliivuta na kuishusha mpaka saizi ya magoti kisha akaupeleka mkono wake pale juu ya chitumbua akipapasa kwa ufundi wa hali ya juu.
Wakati huo Helena alikuwa amefumba hadi macho kusikilizia raha anazopewa na Sule.
Sauti za Helena zilizidi kumuhamasisha kidume kuifikia swagrati.
Kumbe saa nyingi Shangaziye Helena alikuwa ameshafika karibu kabisa na kina Sule lakini hawakumuona kwani walikuwa bize kupeana utamu,.
Shangazi akiwa ameshika kiuno aliongea kwa hasira”
Naona mnachota maji!!!?”.
Helena alishtuka sana na haraka aliipandisha kaptula yake na kujizuia matiti yake kwa mikono.
Shangazi alisema
“Endeleeni si mnajifunya nyie wajuaji”…
Sule alinyanyuka na kukimbilia kofia yake kisha akaanza kurudi nyuma taratiibu akiangalia njia ya kukimbilia.
Sule alipopata upenyo alitoka nduki balaa.
Shangazi alimwambia
“We umbwa njoo hapa!!!! na utanikoma punguani wewe!!!
Na wewee kunguuru ebuu njoo! njoo haraka kikaragosi wewe!!”
Shangazi alimuita Helena,
Helena alienda kwa woga sana huku mkono mmoja akiwa umeyakumbatia matiti na mwingine uko pale kwenye kaptula.
Shangazi alimpokea kwa kumvuta masikio”
Hivi wewee uuuna! akili kweli!!?”.
Wakati huo Sule alifikiria namna ya kwenda pale nyumbani kwa kina helena na kuchukua kibegi chake kwani tayari kashaharibu”
Sasa mkosi gani tena huu mbona laana hii!!?”
Alijisemesha kwa kulaumu kile alichokifanya.
Wakati huo Lucy alikuwa anamuhangaikia yule mbuzi ambaye alikuwa mgonjwa na hakujua kilichotokea.
TURUDI HUKU NYUMBANI KWA KINA SULE.
Mama yake sule ilifika mahali kaanza kumkumbuka mwanae,Pamoja na unyama wake wote lakini hakuweza kabisa kuvumilia swala la mwanae kuondoka bila kujua ni wapi kaelekea.
Mama aliamua kumuita mumewe ambaye ni mzee Nassor ili ajaribu kumshawishi kama atakubali wamtafute na kumrejesha nyumbani,Alimuita kwa jina ambalo huwa akimuita mumewe hujisikia raha sana”
My passion!!?”……..
Wakati huo mzee alikuwa anapangilia mambo yake kwenye laptop,Basi mzee alistop kufanya kile anachokifanya
“Yees!! mamy nambie??”…….
“Sory kama nimekuvurugia mambo yako ila nikuombe kitu”…….
“Be free honey”.
Basi Mama wa Sule alimsogelea karibu kabisa na kumkumbatia kwa nyuma mzee wake ili amshawishi kwa maneno”Unajua nimeshindwa kuvumilia suala la Sule kuondoka nyumbani fanya kitu basi juu ya hilo baby wangu”……
Mzee alicheka kisha akamwambia
“Yaani kabla hujaongea nilishakuona kitambo na tayari nimeshafanya utaratibu wa jinsi ya kumpata kwa hiyo ondoa shaka”
Kwa ufupi mzee huyu pamoja na mkewe huwa wanaamini sana mambo ya kishirikina,asilimia kubwa ya mali zao wamezipata kwa njia hiyo ya kishirikina huwa wana mtaalamu wao special ambaye huwa anawarekebishia mambo pale yanapoenda kombo.
Kwa hiyo mzee Nassor aliamini kupitia huyu mtaalamu wao watampata Sule kwa hiyo alimuelezea mkewe vile alivyoongea na mtaalam wao
“Nimeongea na Bi kidako hivyo hakuna litakaloshindikana mke wangu”.
Mama baada ya kusikia hivyo alifurahi sana kwani anamuamini sana mtaalam wao
“Waoooh!! yaani umefanya vile nilikuwa nawaza asante mume wangu”…….
Alimpiga busu moja matata.
📝UNAJUA UKIAMINI MAMBO YA KISHIRIKINA KILA KITU UTAKIHUSUSHA NA USHIRIKINA HATA KAMA NI JAMBO LA KAWAIDA TUU.
HII NI SAWA NA TEJA ANAAMINI BILA KUJIDUNGA KIDOGO MAMBO HAYATAENDA SAWA.
KUPITIA HII SIMULIZI UTAJIFUNZA MENGI KAMA UKIISOMA NA KUELEWA DHIMA YAKE
📝
HUKU KWA KINA HELENA MAMBO YALIKUWA HIVI:-
Sule alivizia taratibu kuingia ndani ili achukue lile begi lake ili aendelee na safari yake.
Kweli alifanikiwa kuingia ndani lakini alishangaa kuona begi lake zipu ilifungwa nusu.
Kumbe Lucy alivyokutwa na Shangazi yake alilifunga haraka haraka hakulifunga vizuri,Basi alichungulia ndani ya begi akakuta picha zake ziko juu juu wakati aliziweka chini kabisa.
Kwa kuwa alishaharibu kule hakutaka kuremba alifunga begi lake kisha akatoka kwa kunyata,Lakini kumbe Lucy hakuwa mbali sana na nyumba.
Sule alimuona Lucy akiwa amemkamatia mbuzi kama vile anamchinja,Sule alipigwa butwaa kwani ni kitendo kigeni kwake kuona mwanamke anachinja.
Katika harakati za kushangaa Mara Lucy si akamuona Lucy alimtupia bonge ya tabasamu huku mkononi akiwa amekamata kisu kile alichokitumia kumchinja Mbuzi yule
Je unadhani kutaenda je!!?
DADA VUA BANAH..
Sehemu Ya 08
Ilipoishia
HUKU KWA KINA HELENA MAMBO YALIKUWA HIVI:-
Sule alivizia taratibu kuingia ndani ili achukue lile begi lake ili aendelee na safari yake.
Kweli alifanikiwa kuingia ndani lakini alishangaa kuona begi lake zipu ilifungwa nusu.
Kumbe Lucy alivyokutwa na Shangazi yake alilifunga haraka haraka hakulifunga vizuri,Basi alichungulia ndani ya begi akakuta picha zake ziko juu juu wakati aliziweka chini kabisa.
Kwa kuwa alishaharibu kule hakutaka kuremba alifunga begi lake kisha akatoka kwa kunyata,Lakini kumbe Lucy hakuwa mbali sana na nyumba.
Sule alimuona Lucy akiwa amemkamatia mbuzi kama vile anamchinja,Sule alipigwa butwaa kwani ni kitendo kigeni kwake kuona mwanamke anachinja.
Katika harakati za kushangaa Mara Lucy si akamuona Lucy alimtupia bonge ya tabasamu huku mkononi akiwa amekamata kisu kile alichokitumia kumchinja Mbuzi yule……
Pengine kilikuwa ni kitendo cha kushangaza lakini Lucy hakuwa na njia nyingine tofauti na kumuacha mbuzi ajifie lakiñi hakutaka kuona mbuzi anakufa hivi hivi kwani ni kitoweo.
Basi baada ya Lucy kumuona Sule,Lucy alichanganyikiwa kwani alishampenda sana Sule.
Lakini Sule hakutaka kabisa mazoea na binti huyu kwani ana kihere here balaa isitoshe ameshakinukisha kule kisimani.
Sule alimpungia mkono Lucy ishara ya kumuaga,Lucy alisimama na kumuacha mbuzi pale chini alikuwa bado hajamchinja.
Lucy alikiachia kisu pale chini kisha taaratibu akawa anamfuata Kidume Sule”Bright ndio unakwenda”
Aliuliza Lucy huku akiumauma kucha zake……”ndio mi nakwenda na usiniite Bright naomba niite Sule”.
Huku kisimani palikuwa hapatoshi kwani Shangazi alimcharukia sana Helena”
Hivi weeweeee!! umeanza lini tabia ya kupapatikia wanaume!? au nikurudishe vile ulivyokuwa sema umbwa weye”
Helena alionekana kulia kwani Shangaziye alimtishia kumrudisha alivyokuwa mwanzo,Basi helena aliongea huku akilia kwa uchungu sana”
Haaapana shangazi naomba usinirudishe bora unipe adhabu yoyote nitaifanya”.
KWA UFUPI SHANGAZI YAKE NA HELENA NI MCHAWI SANA ANASIFIKA KWA UCHAWI ENEO HILO ANALOISHI.
SASA HAPA NDIO UTAJUA HUYU HELENA NI NANI.
TWENDE KAZI
Sasa Shangazi alimwambia Helena”
Laiti ungejua huyu uliyekuwa naye ni nani usingethubutu kufanya ujinga huu uliokuwa unaufanya”.
Helena Alimtolea macho shangazi yake hukuakimuuliza”Una maana gani kusema hivyo!??”.
Shangazi alimjibu”
Hupaswi kujua hata kidogo”.
Shangazi aliongea huku akimnyooshea Helena kidole machoni,
Helena baada ya kuona vile alimsogelea Shangazi yake huku analia alishajua baada ya kunyooshewa kidole nini kinafuata”Jamani shangazi nimekuomba usinifanyie hivyo!!!
Nisaaamehe shangazi yaaangu!!!”
Shangazi huyu ana roho ya kinyama na haogopi kufanya chochote kwani huyu helena na Lucy ni misukule yake na maumbo yao halisi siyo hayo yanayoenekana bali wana maumbo ya kutisha sana,Shangazi aliongea”
Si unaringia hili umbo lako sasa unarudi kwenye umbo lako tuone utamringia nani”.
Helena akizingatia jinsi alivyompenda Sule aliwaza hatamuona tena na hatoweza hata kumkumbatia,
Moyo wake ulisononeka sana kwanini, sawa na kufa huku ukimuona akupendaye mbele yako anakulilia,Maumivu aliyoyapata hayasimuliki kwa maneno.
Basi Helena haikuchukua muda alibadilika na kuwa dubwasha la ajabu sana.
Shangazi aliliamuru dubwasha hilo likamzuie Sule asiondoke kwani ana kazi na mtu huyo.
Huku nyumbani aliko Lucy sasa ilikuwa ni balaa,Lucy alimfikia kwa karibu kabisa Sule huku akiongea”
Sasa wewe kaka mbona hujiongezi jamouny,
Naomba basi uje unisaidie kuchinja huyu mbuzi maana anaumwa na atakufa muda si mrefu”Ilikuwa ni akili ya Lucy ikiweweseka njia ya kumakamata Sule kwani alionyesha dhahiri kumpenda,Sule aliwaza “
mmmmh! hapana huyu Lucy atafanya nikutwe tena na Shangazi yako hapa halafu ije iwe tafrani”
Hapana wacha niondoke,Lakini wakati huo Shangazi yake Helena Alikuwa akizungumza na mizimu yake,
Aliongea maneno yake pale akitaka mizimu imstopishe Sule asiondoke kabisa.
Sasa Sule hakujua kuwa amejipeleka kwenye nyumba ya kishetani,
Mara Sule alishangaa anabadili mawazo badala ya kuondoka akajikuta anaanza kumtamani sana Lucy.
Basi Sule naye alijikuta anamfuata Lucy ili amsaidie kuchinja mbuzi yule.
Lucy alijihisi malkia kwani kitendo cha kumshawishi Sule kilizidi kumpa moyo ya kuwa kile alichokusudia kitafanikiwa.
Basi Sule alipo maliza kumchinja mbuzi alimtundika tayari kabisa kumchuna.
Lucy Alizidi kupagawa na kumtamani Sule kwani habari za sule alizipata kupitia picha na kondom alizozifuma kwenye begi.
Basi Lucy alianza tena kumsemsha Sule” Hiiivi!! wee kaka mbona uko siriaz kiasi hicho!!?”…….
“Niko siriaz kivipi yaani,Si umeniomba nikusaidie na hapa nafanya nini au niache!!?”……….
Lucy aliiremba sauti wakati huo yu karibu kabisa na Sule”
Hapana Sule simaanishi hivyo
“Aliongea Lucy huku akionekana kumvizia Sule kwa nyuma ili amkumbatie.
Sule akiwa hana hili wala lile alishtuka kwani alihisi joto limeongezeka kwa mgongoni,Mara alisikia kitu laini kimemgusa.
Kilikuwa ni kifua cha Lucy na mikono akiipeleka pale mbele kwenye tumbo la Sule.
Wakati hayo yanaendelea Helena akiwaamebadilishwa maumbile hakuwa mbali na eneo lile…….
Unafikiri nini kitatokea hapo!!!!?
DADA VUA BANAH..
Sehemu Ya 09
TOLEO LILILOPITA
Basi Sule naye alijikuta anamfuata Lucy ili amsaidie kuchinja mbuzi yule.
Lucy alijihisi malkia kwani kitendo cha kumshawishi Sule kilizidi kumpa moyo ya kuwa kile alichokusudia kitafanikiwa.
Basi Sule alipo maliza kumchinja mbuzi alimtundika tayari kabisa kumchuna.
Lucy Alizidi kupagawa na kumtamani Sule kwani habari za sule alizipata kupitia picha na kondom alizozifuma kwenye begi.
Basi Lucy alianza tena kumsemsha Sule” Hiiivi!! wee kaka mbona uko siriaz kiasi hicho!!?”…….
“Niko siriaz kivipi yaani,Si umeniomba nikusaidie na hapa nafanya nini au niache!!?”……….
Lucy aliiremba sauti wakati huo yu karibu kabisa na Sule
“Hapana Suye simaanishi hivyo
“Aliongea Lucy huku akionekana kumvizia Sule kwa nyuma ili amkumbatie.
Sule akiwa hana hili wala lile alishtuka kwani alihisi joto limeongezeka,Mara alisikia kitu laini kimemgusa mgongoni.
Kilikuwa ni kifua cha Lucy na mikono akiipeleka pale mbele ya dudu la Sule.Wakati hayo yanaendelea Helena akiwaamebadilishwa maumbile hakuwa mbali na eneo lile.
:::::::::::::::::::::::
USISAHAU KULIKE PAGE YETU ILI PINDI TUCHAPISHAPO CHOMBEZO HILI LIKUFIKIE POPOTE ULIPO MWANA,.
:::::::::::::::::::::::
Wakati huo kagiza kalikuwa ndio kanaingia,Sule alijikuta kwa mara nyingine anajiingiza kwenye mtego.
Mbali na tamaa Sule alizuiliwa kwa nguvu za kishirikina hivyo ni ngumu yeye kuondoka labda aombe nguvu ya mungu ishuke.
Wakati huo Helena alifika kabisa pale alipo dada yake pamoja na Sule,Helena alikuwa anawaona na aliona dada yake akiwa anazoeana na Sule,
Alitamani kumwambia lakini hana tena uwezo wa kuongea Masikini wa mungu.
Helena japokuwa yupo katika umbo la mnyama lakini hisia bado zinamjia kuwa Sule ni kitu kizuri kwake hivyo hawezi kumdhuru mpaka aamrishwe na boss wake ambaye huwa wanamuita Shangazi.
Na wakati huo Helena alipita eneo hilo na hakuna aliyehisi kuwa kuna kitu kimekatiza hapo.
Sule akiwa katika hali ya mshangao kwa kile alichokifanya Lucy aliachia kisu chini na kumgeukia Lucy”
Hiivi wewe dada una akili kweli!!!?”..
Sule aliuliza huku akimuangalia Lucy uson kwa hasira……
“Jamouny we mkakaàa Mbona una hasira kiasi hiçho,Kwani hiki ninachokifanya ni kigeni kwako”…..
Lucy aliuliza huku akizidi kumsogelea Sule karibu zaidi.
Sule alikumbuka kilichomkuta kule kisimani kisha akasema
“Hivi Lucy unategemea nini kitatoke endapo Shangazi yako akikukuta unanishikashika hapa!!?”.
Sule aliuliza makusudi ili ajue Shangazi amechukuliaje kile alichokikuta kule kisimani”
Aaaaamh!!! unajua shangazi yangu ni mtu wa kuongea ongea halafu anapotezea”
Basi sule kusikia hivyo alijipa moyo labda shangazi kapotezea
.Yaani laiti sule angelijua kitu alichofanyiwa Helena na huyo shangazi yao angeondoka haraka ila ndio hivyo hajui.
Wakati haya yanaendelea huku Kule kisimani Shangazi alimaliza kuongea na mizimu yake na alikuwa anarudi nyumbani.
Muda huo huo Helena alikuwa yuko pembeni akitazama kina Sule wakimalizia kuchuna yule mbuzi,Walimaliza kisha wakambeba na kumuingiza ndani.
Helena akiwa katika hali ya mnyama aliwafuata nyuma nyuma(Alikuwa anamfuata sule kwani bado anampenda) huku roho ikimuuma sana kwani Sule alionekana akicheka na kufurahi kwa story alizokuwa akipigiwa na Lucy.
Sule taaratibu alianza kumkubali Lucy na kusahau yalimtokea muda mfupi uliopita.
Ukizingatia mwili wa Lucy ulivyo yaani unamshawishi kwa jinsi Lucy alivyo mashallah,Basi Lucy alivyoona sule kashaanza kuingia kingi akaanza kufanya madoido yake ili kumuweka sule kiganjani zaidi.
Walivyohifadhi tuu kile kitoweo Lucy alimfuata tena Sule na kumwambia”Sule!!”……
“Naam Lucy”……Lucy alifurahia kitendo cha Sule kuitikia hiyo (naam lucy) kwani Sule aliitikia kwa ufundi sana,
Ndipo Lucy alipofunguka kwa kusema”Ina maana Sule husikii ishara za macho yangu au unanifanyia makusudi mwana wa mwenzio??”……
“Hapana Lucy sio kwamba sisikii bali mi siwezi kufanya hivyo unavyotaka wewe”……
Lucy alionekana kufedheheka alimfuata huku akisema”Sawa sule lakini naomba hata kiss basi”.
Sule alicheka kisha akamwambia”Aaaah!! hilo tuu!! okey Welcome”.
Lucy alivyosikia hivyo alifumba macho huku mikono yake na uso vikionesha furaha kwa kile alichokisikia.
Alimfuata Sule kisha Taaratibu akamkumbatia kwa mahaba mazito,Lucy alinyanyua shingo yake lakini Sule alishangaa kuona Lucy analia
“Wewee vipi tena!!?”
Lucy alimtazama Sule huku mkono mmoja ukiyapangusa machozi”
Kiukweli sule sikutegemea kama utaniruhusu nikukumbatie na wewe unikumbatie nasikia raha sana yaani ihiiihiiiii!!!”.
Sule alijiona ni mtu wa tofauti sana kwani hajawahi kuona msichana analia kwa mapenzi dhidi yake.
Baada ya Sule kuona hivyo basi aliona atimize kile alichokiomba Lucy,
Kwanza alimsaidia kufuta machozi kisha taaratibu akazisogeza lips zake karibu na za Lucy,Wakati huo Lucy alikuwa ameyafumba macho kama vile anasubiria sindano imchome.
Basi kidume Sule aligusanisha lips zake juu ya lips za Lucy,
Hakumpa denda ila alizipepesa kwa juu hali iliyomfanya lucy kubana mapaja yake kama vile anajizuia kukojoa.
Ndipo Sule alipoanza kuutoa ulimi wake na kuuchomeka kwenye lips za Lucy,
Lucy naye aliupokea kwa kutanua mdomo wake taaratibu”
Nsssssssiaaaaaah!!!”zilikuwa ni sauti za Lucy akipokea juice kutoka kwa Sule.
Wakati huo Helena alikuwa akishuhudia hayo yote na alibaki kuumia,
Helena aliambiwa amzuie Sule Asiondoke na hakuambiwa amdhuru laiti angeamuriwa amdhuru basi Sule leo ingekuwa ndio mwisho wake.
Helena hakuwa na njia nyingine zaidi ya kutazama na kuumia moyoni pamoja na kwamba yu mnyama.
Wakati huo shangazi alikuwa njiani anakuja kichwan amebeba ndoo na mkononi lile galoni vyote vikiwa na maji.
Shangazi alijaribu kuwaza”
Leo nimemkosea sana helena kwani aliniomba msamaha ila sikumsamehe,
helena nisamehe mwanangu ila nakuja kukurejesha katika hali yako”
Shangazi alikuwa akiwaza lakini aliendelea kufikiria”
Lakini kwanini anataka kufanya mapenzi na sule,
Na vipi siku Hellena na Lucy wakimjua vizuri huyu sule!!!?
Shangazi aliwaza na kuwazua bila kupata majibu.
Shangazi pamoja ya kuwa ni mchawi alijikuta akianza kuingiwa na imani ya mungu kwa mbali…..
Je kuna kitu gani kimejificha hapa kati??endelea kufuatilia…
LIKE YAKO MUHIMU MNOO
***
Tukirudi huku walipokuwa Lucy na Sule mambo yalikuwa tete.
Lucy alimuingiza Sule kwenye chumba wanacholala na Shangazi yao.
Sule alijikuta anamsikiliza Lucy kile anachokiongea na hapingi hata kidogo.
Sule alipoingia pale alimwambia Lucy”
Lakini Lucy mi naona sio vyema mimi na wewe kuwa humu ndani tufanye utaratibu mwingine lakini sio humu ndani”.
Lucy alifikiria sana akagundua anachokisema Sule ni kweli kabisa,Basi Lucy alimwambia”
Sawa ni vizuri pia ila huku hakuna sehem nyingine zaidi ya kuingia vichakani”……
Sule alimjibu haraka haraka”
Hakuna shida hata huko huko poa tuu”.
Wakati huo giza lilizidi kutanda ilikuwa ni mishale ya saa moja moja hivi jioni.
Basi Taaratibu walitoka ndani huku wakipiga story za mahaba mahaba ,Na helena alizidi tuu kuwafuatilia.
Lucy alimwambia sule”Yaani sule nina hamu wee acha tuu”Basi sule alimshika kalio huku akimwambia”Umejaliwa saana yaani twende nikupe mambo bibie”……..
Usikose sehemu inayofuata, je nini hatima yao, na kuna siri gani imejificha hapo basi usisite kuifuatilia….