CHUMBA CHA MASSAGE
Sehemu ya 17 na 18
Ingawa ichwa change hakikuwa sawa, ila Nikatoka pale na kwenda kulala hotelin, pesa si ninayo bana, ya Yule mzre alionipa mara ya kwanza na pesa ndogo ndogo anazoniachaaga jmo, sikupata usingizi, ila angalau nilihisi pale hotelin ndio sehemu salama zaidi kwangu, sasa asubuh nikawa nawaza pa kwenda, mara nikapigiwa simu na
neema, akaanza kunambia tabia Yule baba ambae nilienda kumfayia massage kuna mauwaji yametokea nyumban kwake, kwa maana kuna dada alimnunua na amemfanyia ukatili amemtoa maziwa na sehemu za siri, vipi wewe uko salama, akauliza neema, nikaanza kuogopa kwa maana ni kama mungu tu alikuwa anataka nitoke pale kwake salama, na bila jmo moo huenda mm ndio ningekuwa huyo dada……
Nilimshukuru sana mungu kwa kuwa ananipenda, kwa maana bila yeye nisingekuwa hai mpaka muda ule,tamaa za pesa zilikuwa zinaendea kuniponza, nilikuwa nalipwa laki tatu, na hakuna mfanyakazi wa ndani ambae alikuwa analipwa laki tatu zaidi yangu, ila tamaa sasa zikawa mbele
kuliko utu wangu, zikanifanya intake kuingie kwenye mikono ya watu wabaya….
basi nilipomaliza kuongea na neema nikatoka na kwenda kuanza kutafuta kazi, ndipo nikakumbuka kwa Yule mama ambae nilikuwa namsaidia kuosha vyombo kwenye mama ntilie yake, safar hii nilimkuta na alipo niona alifurah sana, kana kwamba alikuwa anataman nijitokeze tu na nifanye kazi, na nikamuomba kazi akakubali….
Nikaanza kufanya kazi pale, nikamuomba anitafutie kazi mbali na pale, kwa maana nilikuwa namuogopa kaka muuwaji na jmo akianza kunitafuta , akaniuliza kwann, ikabidi nimuelezee yaliyonikuta, aninionea huruma sana kisha akanambia anamgahawa wake mwingine nje ya mji, nitaenda kusaidia saidia kazi huko, na nikiwa muaminifu ataniongezea n posho, nikaona maisha ndio haya, kwa maana sikuwa na biashara ya kufanya, hivyo nikaona nifanye kwenye huo mgahawa mpaka nitakapo jua cha kufanya…..
Nikakubali, basi alinilipia guest, kesho yake asubuh akanichukua mpaka hio sehemu, kisha akaniacha pale na nikaambiwa nijitume na nijifunze kazi, kisha akaondoka zake, nikiwa naendelea na majukum yangu, kwenye majira
ya kama saa nane mchana, nikashangaa simun yangu inaita,
nilipoangalia ndipo nikakuta ni sikuzan ndio alikuwa anapiga….
“upo wapi wewe, umenifanya niwe na wasiwasi sana.
Akasema sikuzan, nilishangaa sana, kwa maana kuna muda mrefu sana sikuzan hajanitafuta, sasa amepatwa na n n cha ghafla mpaka akaamua kunipigia simu …
“acha unafki wewe, kama ungekuwa na wasiwasi usingeniacha niulale nje, alafu sasa hivi unakuja kuninafkia, nikasema kwa sauti ya jazba…
“kuna mambo mengi ambayo huyajui kwenye hii bongo mamaa, mm sina roho mbaya kama unavyofikiria, embu kumbuka namna ambavyo tulikuwa tunapendana na kusaidiana tulivyokuwa wadogo, ila huu mji sio wetu mamaa, kuna wenye mji wao, na kila ambacho tunatakiwa kulifanya linatakiwa kutoka kwenye amri zao…
“ naomba uniambei ulipo maana nina wasiwasi sana mwenzio, akawa anasema sikuzan, ila kiukweli sikuwa namuamin nilimjibu tu kuwa mm nipo sawa, na asijal kabisa kuhusu mimi kisha nikakata simu….
Basi nikawa naendelea na maisha yangu na nilikuwa najituma sio mchezo, kwa maana niliamin pale ndio sehemu pekee ambayo naweza kuja kujikomboa kwenye maisha yangu, nilifanya kazi kwa moyo na nilikuwa najituma mno, basi siku moja nikapigiwa simu na kuambiwa kuwa kuna ugeni unakuja kwenye huo mgahawa wanje ya mji, basi Yule mama akatuma uniform, tukapewa na kuzivaa na baada ya hapo wakaja wapishi wengine, wakaanza kupika, na kwenye majira ya saa saba, tukashangaa magari yanakuja mfululizo, na sisi wahudumu tulitakiwa kusimama mlangoni kwa sababu ya kuwakaribisha…………
Walishuka wanaume wa maana, yaan kama kuna jambo ambalo walikuja kufanya huko, nikawakaribisha ila sikuwa nimewazingatia kabisa, sasa kuna meza moja nikaambiwa nikatenge, sasa kwenyen hio meza nkamuonaq kijana mmoja amevaa miwani, na alikuwa ananiangalia sana, mpaka nikawa nashangaa, na nilipomkaribia nikahisi kama namfahamu hivi, nimewekan chakula hivi nikashangaa sauti inasema “nachieni……
Nilishtuka sana kwa maana ilikuwa ni sauti ambayo kama nilikuwa naifahamu, niligeuza macho taratibu kisha nikaanza kumuangalia kuwa ni nani huyo ambae aliniita, ndio nikakutana uso kwa uso na jmo….
Sehemu ya 19 na 20
Nilishtuka nilipogundua Yule alieniita alikuwa ni jmo, aliponiona akacheka kicheko flani kisha akasema “ kujificha kote huku hatimae nimekupata leo, akasema jmo kisha akasimama, nikawa sielewi anataka kusema nn, nikashangaa amepia goti na kusema “ hawa watu wote unaowaona mbele yako ni ndugu zangu, na wamekuja na mm leo kwa sababu ya tukio muhimu sana nachien, naomba usije ukakataa nitakachokuambia “ will you marry me mamaa, akasema jmo, kisha akatoa pete akawa anataka anivalishe…
Nilishangaa amepata wapi ujasiri wa kuja kule na wakat hata sijakubaliana nae, na kingine alikuwa ameniingilia kwa mara nyingine bila ridhaa yangu, na alikuwa anajua kabisa nilikuwa nimetoka kwenye matatizo, alafu leo hii anapata wapi ujasiri wakuja na kutaka kunichumbia tena mbele ya kila mtu, licha ya mambo yote alionifanyia…
mara nikashangaa amesimama na kumfata mama mmoja mtu mzima sana, kisha akasema “ mama mwambie kuwa
nimeacha umalaya kama alivyotaka , nampenda yeye tu, na nitahakikisha namtunza kwa hali na mali na umuambia kuwa nipo tayar kufanya kila kitu kwaajili yake na nitamuoa, naomba niombee msamaha kuwa nimebadilika na nitakuwa kama anavyotaka, akasema juma aka jmo, yaan sikuwa naelewa chochote kile kinachoendelea…
“ tumekuja safar yote hii kwaajili yako mwanangu, naomba uruhusu hili lipite na uiheshimishe familia yetu, juma ni kijana wangu na atapokuwa anakukosea kivyovyote vile, naomba uje kuniambia mimi na nitamuonya , akasema Yule mama…
Nilimuona namna ambavyo Yule mama alikuwa anaongea kwa uchungu, nilijua hata yeye ameshachoshwa na tabia za kijana wake, ila ukweli ni kuwa mm sikuwa nampenda kabisa juma, kunda kipindi hapa katikat nilihisi kama nilikuwa nimeanza kumpenda, ila baada yab kuja kunifanyia unyama tena na yaan ukijumlisha na mambo ambayo alikuwa ananifanyia ndio kabisa yaan upendo wangu kwake haukuwepo hata kidogo….
“ samahan mama na kila ambae amekuja hapa, mimi na huyu jmo hatukuwah kuwa wapenzi hata mara moja, sasa nashangaa imekuwaje mpaka anakuja kuwaleta huku na hatujawah kukubaliana na hata hajawah kunitongoza, naomben mnisamehe sana ila nasikitika kusema kuwa , nikawa nasema ila kabla sijamaliza kuongea nikasikia sauti nyuma yangu ikisema “ nachien mwanangu, ilikuwa ni sauti ya mama yangu, sikutegemea kama angekuwa pale na hata sikujua amefikaje…
“ ni bora ukubali kuolewa na huyu kuliko Yule ambae baba yako alikuletea, kwa maana tumeshajua ulipo hivyo baba yako kuja mjini ni dakika yoyote tu, naomba ukubali mwanangu, maana sitaman kukuona ukiolewa na kile kizee, tena anakuoa mke wan ne, huyu ni kijana mwenzako, na kama atakuwa anakosea sehemu yoyote mrekebishe na upige goti kwa mungu, naamin atasaidia ndoa yenu iwe na amani, kama ukitaka wewe iwe na amani, maana huyu kijana anakupenda sana akasema mama yangu,………………………
Maneno yake kidogo yaliniingia ila sikuwa nampenda kabisa juma, nilikua namuona kama kijana asiekuwa na maadili mno, yaan ingawa sio taratibu ya waislamu kuvalishana
pete, kwa maana kule kijijini sijawah kuona mambo ya kuvalishana pete, ila nikakubali pale, na baada ya kukubali jmo akanivalisha pete ya uchumba kisha akanikumbatia na kuanza kunipa ahadi za kutosha, kama utani nilishangaa wananitunza pesa watu, maana kwao kulikuwa kama familia ya mafogo, nikachukua zile pesa, na jion mama yangu akaondoka na watu wote wakaondoka, na juma akataka niondoke nae ila sikutaka…
Watu walipoondoka juma alisema kuwa atabaki na mimi kule, sasa baada ya watu kuondoka akaniambia “ si umeona nikiamua langu hakuna mtu wa kunipinga, wewe sio mzuri sana na sio kweli kama nakupenda sana, ila nilitaka kukuonesha nguvu ya pesa ilivyo, yaan umeniringia wee, ona sasa leo kiwepesi nimeshakuchumbia, akasema jmo , aliposema hivyo akaanza kucheka kwa dharau….
Nilimuangalia kwa hasira kisha nikasema “ ndio naziona nguvu za pesa baba angu,na nashkuru sana kwa maana umeanza kunishawishi sasa tuanze vita ya waziwazi mimi na wewe, kwa maana najua unajikuta sijui nani, na kama mapambano unayataka mume wangu mtarajiwa basi utayapata, nikasema kwa nyodo kisha na mimi nikaingia zangu ndani nikamuacha kasimama ananiangalia……..
Kumbe bana ule msemo wa waombanao ndio wapatanao una maana sana, kwa maana tulianza kufanyiana visa na jmo yaan hata hatukujua ni muda gani tulifall In love……
INAENDELEA…………