CHUMBA CHA MASSAGE
Sehemu ya 11 na 12
Basi maisha yangu na jmo yakaanza, nikawa nafanya kazi na kama mfanyakazi wa ndani, ila jmo alikuwa ananitreat tofaut kwa maana, alikuwa anataka kila siku asubuh kabla hajaenda kazin, ni lazima atake ninywe nae chai, na usiku alikuwa anataka niwe nae nakula nae chakula cha usiku, maisha yetu yakawa hivyo na alikuwa ni mtu anaeniheshimu mno, na kuna muda akawa mpaka ananisaidia kazi za nyumban kama haendi kazin…
Nikaanza kumzoea taratibu na kumuona kama hana shida, maana namna ambavyo nilikuwa namfikiria ni tofauti kabisa na namna alivyo, namna ambavyo nilikuwa nategemea jmo yupo ni tofauti kabisa na namna ambavyo nilikuja kumjua baada ya kuishi nae…
Alikuwa kama anapenda kampan yangu sana, kwa maana muda mwingi alikuwa anafika nyumban mapema, na kingine alikuwa anapenda sana kutoka na mimi out, yaan nimekaa nae siku tatu tu alikuwa ameshanitoa dinner mara mbili,
yote tisa kumi sasa, alikuwa anisifia sana, kila siku kuwa mara mm ni mrembo sana, mara najua kupika sana, mar ni msafi sana, mara anataman kuwa na mke kama mm, ila ndio hivyo hana bahat, niulikuwa naona kama anaongea maneno ya kiuchangamsha kijiwe na hajamaanisha jambo lolote lile kwenye mambo anayoniambia kila siku…….
siku moja nikiwa nyumban pekee yangu, mara simu yangu ikaanza kuita na aliekuwa anapiga simu alikuwa ni neema…
“ shoga kuna dili la laki ya chap chap, kuna mtu anataka ukamfanyie massage alafu pesa yote unaweka mfukoni, mm nimeshindwa si unajua huyu madam boss na sharia zake, akasema neema, “ boss wangu ni mtata sana na hataki nitoke kabisa, nikasema ,……
“ wewe nawe kama mtoto mdogo, kwan sasa hivi si ameenda kazin, mpaka akirudi na wewe utakuwa umedharudi, wewe nenda kapige hela chap chap my wangu na siku zote fursa hazijag mara mbili, akasema neema…
Nikaona ni kweli, yaan nipoteze laki kizembe si uzembe huu si ujinga, nikamuomba neema anipe location, kisha na vifaa kwa maana sikuwa na vidfaa, neema akanambia niende
nyumban kwake nikachukue vifaa, na nikifika kwake atampigia toyo anipeleke, lakin nauli nitamliupa mimi…
Basi bibi mimi nikakubali, na kwenda mpaka nyumban kwa neema, huwa najua sehemu ambayo huwa anawekaga ufunguo, nikachukua ufunguo na kufungua ndani, nikakuta hivyo vifaa na baada ya dakika chache nikafatwa na toyo, mie huyo mpaka masaki…
Nikafika kwenye nyumba moja kubwa sana, nikaingia ndani, kulikuwa na mlinzi mzee, akaniuliza nimefata nn pale, akanambia nimekuja kumfanyia massage mtu, Yule mzee ni kama alikuwa na wasiwasi, ila sikumzingatia, akanielekeza sehemu pa kwenda kumpata huyo mteja, alikuwa ni mbaba wa makamo, akaniambia umekuja bint, nikamjibu ndio, akanipa kabisa hela, nikawa nashangaa ananipa pesa nyingi tofaut na ile ambayo tumekubaliana, akanipa laki tano na wakat mm niliambiwa kuwa nitapewa laki tu, ila sikuhoji, hapo kimoyo moyo najiambia kuwa, nikipata wateja kama hawa watano tu basi nimefanikiwa…..
Basi nikaanza kumfanyia massage pale, na hakunifanya kitu, aknambia kuwa baada ya siku mbili anataka niende tena
nikamfanyie massage, nikakubali, mtu mwenyewe anamwaga pesa nyingi vile, sasa kwann nisiende, akaniambia nimpe namba yangu ya simu hata sikubisha, nikama namba za simu kisha nikaondoka zangu…
Nimefika nyumban tu nashangaa namkuta jmo, kana kwamba alikuwa ananitafuta…
Umetoka wapi? Akaniuliza, …
“ kazi zako zote nimezimaliza, au kuna kazi nyingine ambayo unataka nifanye? Nikamuuliza…
“ nimekuuliza umetoka wapi, na unatakiwa unijibu nimetoka sehemu flani na sio kunipa maelezo yako yasio kuwa na kichwa wala miguu, akasema jmo….
Sikutaka kumjibu nikawa naenda zangu ndani, akanishika mkono, kisha ndio akaniona nimebeba pochi na ndani kulikuwa na vifaa vya massage, na dakika hio hio nikawa napigiwa simu, mtu ambae alikuwa anapiga ni Yule mwanaume ambae nilitoka kumfanyia massage, nilimsave mteja massage ……………..
“ pokea simu, jmo akaniambia kwa hasira..
Nikapokea simu, “ ohhh mrembo nambie umeshafika nyumban, akauliza Yule mwanaume…
“ ndio nimefika, akajibu
“ nimependa huduma yako, ila kingine wewe mtoto mshallah yaan umekamilika kila idara, akasema Yule mwanaume nikashangaa napokonywa simu kisha jmo akaikata ile simu…..
Tukiwa bado tunashangaana mara ikaingia sms inasema “ nambie mrembo, jmo akaisoma kwa hasira na kusema “ mwanaume wako anasema nambie mrembo….
“ haya mama cha huruma mrembo wa kila mwanaume, kwann huyu mwanaume sijui ni mbaba anakuambia niambie, huwa unamuambiaa nn, au ndio chaguo lako mpaka mnakaa mnaambiana s ndio, akawa analalamika jmo…
‘ embu achana na mimi, haya ni maisha yangu, kama namuambia au simuambii wewe hakuna kitu ambacho kina kuhusu hapo, achana na maisha yangu na uachane na mimi, nikasema nikiwa naondoka zangu, nikamuachia akae na simu maana ndio starehe yake…
‘ unaondoka unaenda wapi, embu njoo ujibu maswali yangu, kwann huyu mpuuzi akuambie nambie, embu sema huwa
unamuambiaga nn, au ndio huwa unamuambiaga kama unampenda sana, au ndio unamuambiaga kuwa hauwez kuishi bila wewe, au ndio unamuambiaga yeye ndio mwanaume wa maisha yako si ndio, embu njoo ujibu kwann amekuambia niambie, akawa analalamika jmo…
Sikujua kama angepanik kiasi kile, na alishanihakikisha kuwa hana hisia na mimi, sasa kwann yupo kama ananionea
wivu, “ embu nambie unataka kujua nn, ndio nampenda sana na ndio maana nikaenda kumpa huduma, haya muache anisifie maana kaelewa shoo, nikajibu kwa nyodo kisha nikaanza kuondoka kuelekea kwenye chumba ambacho nilikuwa nalala, navutwa mpaka tukasogeleana kwa karibu zaidi, akawa ananiangalia kana kwamba ni mtu
ambae alikuwa na hisia kali na mimi, kisha akanambia “ kwa hio ukamuaonjesha, haya naomba na mm unionjeshe kwa maana nadhan mm ndio nakuhonga zaidi yake…
“ una shida gani wewe, mbona sikuelewi, naomba uniachie niende nikalale nimechoka, nikajibu…
“ nina shida na penzi lako, nataka unipe kama huyo mpuuzi ulivyompa, nataka unipe kama ulivyompa binamu yangu siku ile, nataka unipe na mimi, akawa analalamika…
Sikuwa namuelewa kabisa, yaan ingawa nilikuwa namjibu kwa dharau ila ukweli ni kwamba sikuwa nimewah kulala na mwanaume kabisa toka nilivyolala nae yeye…..
Alipoona simpi ushirikiano, akaanza kunikiss kilazima, pemben kulikuwa na mdoli wa mbao nikampiga nao kichwani, akaanguka chini kisha akasema mimi ndio mwanaume wako na nitahakikisha nakuoa, akasema jmo akiwa anaugulia maumivu chini….
Nikaingia ndani na kuchukua kila kilichokuwa changu na kutaka kuondoka maana niliona kama siwez tena kuishi pale…
“ ukitoa mguu wako hapa hakikisha haurudi tena, akasema jmo, ila hata sikumjali, maana kwanza nilikuwa na hela karibu million moja na nusu so nikaona kama naweza kwenda kuanzisha maisha yangu bila yeye, na jmo ni kama alijua kuwa sina pa kwenda ila ndio hivyo nilikuwa naondoka zangu, ila hata sijui hichi kiburi changu kilikuwa kinanipeleka wapi….
Sehemu ya 13 na 14
Ila kabla hata sijatoka getini nikasikia naitwa na jmo, “ unataka nn wewe? Nikamuuliza…
“ kabla haujaondoka kumbuka kuwa nimekulipa pesa ya kufanya kazi kwangu mwezi mzima na ndio kwanza una siku sita, na kama unakumbuka nimekulipa laki tatu, kwa maana kwenye hio laki tatu umefanya kazi ya elfu 60, haya nirudishie laki mbili na nusu yangu, alafu ndio uondoke, akasema jmo…
Kutoa kwangu pesa kilikuwa kipengele, nikakaa na kujitafakar kisha nikaona nirudi tu ndani, kwa maana huo mwezi sio mkubwa na nikiumaliza tu naondoka zangu, nikawa najiambia
Basi nikarudi, nikawa namuona kama jmo anataka kucheka, nikaenda mpaka kwenye chumba changu nikaweka vitu kisha nikarudi ukumbin jmo, hakua ameniona, nikashangaa namuona anashangilia na kusema ‘ she is finaly here, hawez kuniacha bana, ikabidi nimuulize nani huyo , alishtuka sana kwa maana ni kama hakuwa anategemea kama mimi naweza nikawa eneo lile…….
Nikashangaa anatengeneza sura ya huzun kisha akasema “ mama yangu alikuwa anaumwa kwa kipindi kirefu sana na ndio maana nilikuwa nashangilia kuwa amepona sasa, hakika mungu ni mkubwa sana, na namshukuru sana mungu kwa kumfanya mama yangu awe na afya njema tena…
Nilimuonea huruma na nikaanza kumpa moyo pale kwa maana nilihisi kama anahitaji faraja vile kumbe ananichora tu na ana mambo yake tu, na hio furaha aliokuwa nayo ni kwakuwa nilikuwa pale nyumban kwake…
Basi maisha yakawa yanaendelea kati yangu na jmo, na ugomvi wetu mkubwa n kwamba jmo anataka kunigeuza mbwa wa kizungu kwa maana hakuwa anataka hata niende sokoni, sasa sijui kama ndio wivu au alikuwa anashida gani..
Mimi nae sikuwa nasikia, siku ya kwanza baada ya kutoka kwa Yule baba ambae nilimfanyia massage nikata nirudi tena kwake ili anipe pesa nyingine, maana alikuwa anaonekana kama anajua sana kuhonga……..
Ila nikampigia neema, maana yeye ndiio aliniunganisha nae, neema akampigia simu, Yule baba akasema kuwa wiki hio anasafiri anaenda nje kikazi ila akirudi atamuambia au atanitafuta mm niende, basi nikaanza kupiga story na
neema, akawa ananiuliza maisha yangu na boss mpya yapoje, nikaanza kumsimulia namna ambavyo nazuiliwa hata kwenda dukan, neema akaniuliza kisa nn, nikakosa hata jibu la kumjibu, kwa maana sikuwa najua hata jmo hataki nitoke kwa sababu n gani….
“ sasa hapo shoga unatakiwa umchenge, yaan fanya kazi zako haraka haraka na akitoka tu na wewe toka nae, ukiona huna pa kwenda, twende hata pale saloon tupi9ge pige story, usikubali kukaa ndani bana, kwan wewe utumbo, akasema neema, na mm nikaona ni kweli siwez kukaa nimefungiwa tu kama mfungwa…
Basi siku inayofuata, nikamaliza kazi zangu mapema sana, na mara baada ya ya jmo kutoka na mimi nikatoka nikaenda zangu saloon, hapo muda wote nipo makin na simu kwa maana natakiwa kuwa nyumban kabla jmo hajarudi, kumbe mwamba alirudi mchana bana, sijui alikuwa amenimiss, karudi sipo, simu niliweka kindege ili nisipatikane, kwa maana mtu pekee ambae alikuwa anauwezo wa kunipigia alikyuwa ni yeye…..
basi ilivyofika saa tisa, nikawaaga wale wa dada wa pale saloon na nikaanza kurudi ninapoishi , kwa maana nyumban kwa jmo, yaan nimefika nikamkuta amesimama getin na anaanaza huku na huko, si ndio akaniona nashuka kwenye toyo…
alinifata kisha kwa sauti ya ukali akaniuliza ‘ umetoka wapi?
Kwa nyodo nikamjibu “ kwan wewe ni nani mpaka kila sehemu ambayo naenda unataka nikuambie…
“ ni boss wako, akajibu…
‘ yes ni boss wangu na sio mume wangu, au bwana boss hautaki shemeji, kwa maana natoka nje nionekane, nikajibu, jmo hata hakunijibu akaingia zake ndani, na hapo nikaona kama nimeshamkomesha na aisiniletea ujinga…
Ile naingia ndani, akanivuta kisha tukawa tunaangaliana, hakuwa anasema chochote, akawa ananiangalia kila kiungo cha mwili wangu taratibu, akaniangalia kwa karibu dakika moja nzima, kisha akaanza kujipiga vibao mpaka nikawa namshangaa kuwa amepatwa na nn, kisha akaenda zake chumban kwake…
Nikataka kwenda kumuuliza kama yupo sawa ila nikawa naoopa kwenda kumuuliza, kwa maana niliona kama nitakuwa najipendekeza bure……….
Siku hio jmo hakutoka kabisa nje ya ile nyumba, yaan alishinda ndani mpaka asubuh, nikadamka mapema sana kisha nikaanza kumuandalia kifungua kibnywa, ila hata hakula akaondoka zake, na hata nilipokuwa najaribu kumsemehsa hata hakunijibu, hivyo akaondoka zake na kuniacha mm niendelee na shughuli zangu…..
Sasa nilikuwa kama nimekula miguu ya kuku, nimemaliza kufanya kazi tu, nikasema ngoja nitoke nikanyooshe nyooshe miguu, ila hata sijafika wapi, nashangaa jmo huyo “
unaenda wapi? Akaniuliza, mara baada ya kushuka kwenye gari….
“ tuna rudi nyumban, akasema jmo akiwa ananivuta akitaka twende ndani…
“ wewe upoje , kwani ni lazima mimi kuondoka na wewe, kwan nilikuwa nazurura na wewe, embu nambie kosa langu n inn mpaka unanibana bana kama nn, nikawa nalalamika…
“ hujui kosa lako si ndio, yaan kosa lako kubwa nikutembea tembea kama mwena wazimu, hii ni darn a sio kule vijijin kwenu madongo kuinama, kuna watu wengi wabaya huku, na kama unataka kutembea basi hakikisha unatoka na mm,
wewe niambie nitakupeleka sehemu yoyote ile unayoitaka, akasema jmo…
Nikaona nisiendelee kubishana nae, kwa maana muda sio muda, tulikuwa tunajaza watu, maana walishaanza kusogea mmoja mmoja, basi bana tukafrudi nyumban, na jmo akawa anataka nimpikie, sikuwa mbishi nikapika, na mara baada ya kumaliza kupika nikamtengea chakula akatakla nikae pemben yake wakat anakula…
‘ mm nimeshiba, nikasema nikiwa naondoka…
Hakunisemesha, nay eye akanyanyuka kisha akasema na yeye ameshiba, nilishangaa kwann anasema vile na wakat ameniambia kuwa anasikia njaa sana…
“ yaan kunichosha kote uliponichosha mwisho unaniambia umeshiba, una utani nn wewe, nikaanza kulalamika……
“ inawezekana kweli nina njaa, ila aliepika mwenyewe anaogopa kula, je kama chakula kikiwa na sumu, akasema jmo…
“ kwa hio una maanisha kuwa chakula nilicho kupikia nimewekea sumu si ndiio….
“ inawezekana , kwann upike alafu ukatae kula kama chakula hakina shida, akasema jmo, nikajua kuwa ni lazima atakuwa anataka nile nae, sikutaka kubisha, nikakaa mezani kisha tukaanza kula….
Tumemaliza kula jmo akaniangalia kisha akasema “ hivi huwa unanichukuliaje wewe….
“ si kama boss wangu, nikajibu… “ hilo tu? Akauliza jmo…
“ ndio nakuona kama boss wangu, boss ambae mwanzo nilijua ni mshenzi sana kila baada ya kuishi nae nimekuja kugundua kuwa nina boss mweusi mwenye roho ya kizungu, nikasema na jmo akatabasamu kisha akasema, “ ikitokea nimefanya jambo lolote lile, ambal litakuwa linakufurahisha, naomba usiache kunipa mauwa yangu endapo nitakufanyia jambo lolote lile zuri, akasema jmo na nikakubaliana nae…
Basi tukawa tunaishi kama marafiki wa karibu sana, na alikuwa anaonekana kama ananipenda sana, ila mm na hili bichwa langu nikawa naona kama hawez kumpenda mtu wa bushi kama mm, na kama akinihitaji basi atakuwa ananihitaji kimwili tu, na hawez kunipenda, kumbe mwenzangu amekufa ameoza….
Sehemu ya 15 na 16
Basi jmo akatoa maagizo kwa mlinzi kuwa nikitoka ampe taarifa mm sikuwa najua, siku moja nilikuwa namalizia zangu usafi, Yule neema akanipigia…
Ndio shoga pekee sasa nilie nae mjini, akaniambia kuwa Yule mzee amerudi hivyo nitrafute namna ya kuondoka pale nyumban na kwenda kumfanyia huduma, nikakubali, kwa maana kwanza mwanaume mwenyewe kimwaga, yaan nilienda kumfanyia massage mara moja tu akanipa laki tano, leo nikienda si atanipa pesa mpaka nichanganyikiwe…
Nikamaliza kazi zangu pale kisha nikaanza kujiandaa, na mara baada ya kumaliza kujiandaa nikatoka na kumuambia mlinzi kuwa naenda sokoni, hakuwa ana hata ubavu wa kunikatalia, kwa maana yeye ni mlizni tu na hata aliponiambia kuwa boss hataki nitoke, wala sikumsikiliza, nikaondoka zangu…
Kumbe wakat huo huo akapiga simu kwa jmo, na jmo akapiga simu kwa toyo ambayo ilikuwa maeneo ya pale nyumban kuwa anifatilie, na kumbe Yule toyo alikuwa anampa habar zote kuwa nimefika wapi na niko kwenye barabara ipi, kwa maana nilichukua taksi, na jmo nae akawa anakuja kwa kufata maelezo ya yule dereva toyo aliemuambia anifatilie, mm hapo sina habar kabisa kama nafuatiliwa, na nilikuw nawaza hela tu, yaan Yule mzee anipe hela tu, maana nilishaamin kuwa siku hio nitalipwa hela nyingi sana….
Kama kawaida ya mlinzi wa ile nyumba aliponiona akawa na wasiwasi ila sikumjali, kwa maana hata mara ya kwanza nilipokuja alikuwa anawasiwasi hivyo hivyo, so nikajua ni kawaida yake, kumbe kuna mambo mengi kwenye hio nyumba ambayo sikuwa nayajua na mm nikawa najiendea kichwa kichwa tu….
Kumbe Ile nyumba jmo alikuwa anaijua, nin tajiri mmoja mkubw sna nchini na anasifika kwa ukatili, lakin kesi zake zote huwa zinamalizwa chini chini kwa sababu anapesa, alishapataga mashtaka ya kumuuwa mwanamke mjamzito kikatili sana, na hata kesi haikuzungumzwa, hivyo alipoambiwa na dereva toyo kuwa nilikuwa nimeingia pale,
wakat huo huo akapiga simu polisi kwa ajili ya kuja kuniokoa…..
Na mm nilipoinia ndani, nikashangaa namkuta Yule mbaba amevaa suti, akanishika mkono kwa mahaba kisha akaniingiza chumban, kulikuwa kuna maiti mbili ambazo hazikuwa na viungo vya ndani, akanambia anataka nivioshe kisha kuna dawa niwapake na baada ya hapo niwavalishe, nilishtuka, mkojo ulikuwa unataka kutoka kwa uoga, nikaanza kukumbuka maneno ya jmo kuwa nisitoke bila ya ridhaa yake, nikaaanza kuyaona kama yana maana kubwa sana, nikamkumbuka mno….
Yule baba akawa ananilazimisha pale, sikutaka na kuamua kukimbia chooni, nilikuwa nalia kwa kwikwi na kusali, kwa maana sikutaman kushika zile maiti kwanza nilikuwan naogopa mno, mnikawa najiambia kuwa sitakaa tena niwe na tamaa kwenye maisha yangu yote………
Nikawa namskia Yule baba anasema “ huyu lazima afe, yaan hakuna mtu ambae anakuja kwenye hii nyumba siku kama ya leo alafu atoke mzima, nikajikuta nakuwa na hofu
usiokuwa na mfano, nilikuwa nasali sana na kumuomba mungu sana, kuwa anitoe pale salama….
‘ toka huko choon kabla sijavunja huo mlango, kwa maana mm sijawah kuwa na hasara hata siku moja kwenye maisha yangu, toka huko bafuni haraka, kabla sijakufanyoa jambo baya, akawa anasema Yule mwanaume, hapo natetemeka kama jeneretor bovu………….
Mara nikaanza kusikia ving’ora vya polis, Yule baba nikamchungulia Yule baba nikaona kashika bastola, akanambia toka taratibu na uje unifanyie massage, ka uoga nikatoka, hapo nimelia mpaka basi , yaan mpaka macho yamevimba kwa kulia sana, nikatoka nikawa namfanyia massage huku nikiwa natetemeka mno….
Na nilipotoka sikuona hatazile maiti zimehifadhiwa wapi, kwa maana sikuona hata dalili ya maiti wakat natoka kule chooni, ila sikutaka hata kujiuliza kwa maana nilikyuwa nayahofia sana maisha yangu, kweli mapolisi wakafika pale na kukuta kweli nilikuwa namfanyia massage ila hali ambayo nilikuwa nayo ni dhahiri kuwa nilikuwa nalia, na polisi
walijua hilo,simulizi hii imeandikwa na husqer baltazar,
haina season two, so ogopa matapeli, na mtu yoyote akikuambia kuna season two, mtafute husqer baltzar atakupa full kwa pesa yako hio hio, wakaanza kumuhojin Yule baba, akawa anatoa maelezo yake pale ndani, mara nashangaa namuona jmo, hata hakutakla kusema na mtu, kwa maana alinishika mkono kisha akaanza kunikokota mpaka nje, yaan nilikuwa namfata kama kazezeta kwa maana hatab mm mwenyewe sikuwa najielewa kabisa….
Nikashangaa wale polisi wanarudi na kusema hakuna kitu cha maana, nikajua wameshalipwa hawa, jmo akanichukua na kuondoka ila nilikuwa natetemeka mno, sasa wakat ambapo nilikuwa kwa Yule baba nilikuwa bafuni, kuna maji yalinimwagikia, sasa yakachora vyema shepu na maziwa yangu…
Jmo akawa ananitazama sana kifuani ila sikumjali, maana kwa wakt ule nilikuwa na hofu sana, kumbe mwenzangu hali yake ilishabadilika kabisa, na akawa yuko juu juu, kama flyover za ubungo…
Kuna muda nilikuwa nataka kusimama nipondoke aisee alinishika na kunivuta nikajikuta namkalia, alikuwa kama amechanganyikiwa vile, akaanza kunipapasa kifua nikawa nataka kuleta vurugu ila alikuwa na nguvu sana, sikua najua zile nguvu alikuwa amezitoa wapi, kila nikiuleta vurugu
akawa amenishikilia vyema, sikuwa naweza kujisogeza wala kufurukuta hata kidogo, mwisho akanilaza na kuniingilia kwa mara nyingine, nililia sana, kwa maana kwanza tyoka alivyoniingilia kwa nguvu mara ya kwanza, sikuwah kulala na mwanaume tena, sasa njia ikawa imeziba, akawa ananisababishia maumivu kwa mara nyingine, hakuwa anajali malalamiko yangu, akaahakikisha yeye ameridhika ndio akaniachia….
“ mamaa samahan , samahan sana nimeshindwa kujizuia tena leo, akaanza kujitetea…
Nilimuona kama katili kwa maana alikuwa anajua fika kuwa nimetoka kwenye jambo ambalo lilinivuruga ubongo wangu, na yeye tena anakuja kunibaka kwa mara nyingine, niliona kama amenifanyia ukatili wa hali ya juu, hata siku sema nae, nikaenda chumban kwangu na kukusanya kila kilicho changu na kuanza kuondoka pole pole, na hata aliponiita hata sikugeuka nyuma, kwa maana nilikuwa kama nimechanganyikiwa vile…
Sasa wakat ndio nimefika getini, nikasikia anasema “ wewe ni wangu tu mamaa, usije ukafikiria kuwa utaweza kunikimbia, hata sikumjibu nikawa naondoka zangu….