CHUMBA CHA MASAJI
Sehemu ya 01
Naitwa Nachieni ni mzaramo nimezaliwa huko bwama, baba yangu alifariki nikiwa mdogo, na mama yangu akaolewa na mwanaume mwingine, ambae alizaa mtoto mmoja wa kiume, ambae alikuwa ni kama kaka yangu, kwa maana kwa udogo wetu tulikuwa tukipendana sana, ila
shida ilikuwa kwa baba yangu wa kambo, yaan alikuwa mlevi sana, tena alikuwa anashinda kwenye vilabu ambapo alikuwa anapata pombe ya mnazi, hakuwa anamsaidia mama hata majukumu ya nyumban, kwa maana mama ndio alikuwa kila kitu kwetu…
Kwa maana mama ndio alikuwa anatafuta pesa ya kula na hata ya shule, na biashara yake kuu ilikuwa ni mama ntilie, kwa maana alikuwa anakibanda ambacho ndio alikuwa anapika pika, asubuh alikuwa anapika chapat, mandazi na chai na mchana alikuwa anapika wali na ugali, na mimi pamoja na mdogo wangu herry tulikuwa tukitoka shule tunaenda kumsaidia mama majukum ya pale mgahawan kwa maana tulikuwa tunamuonea huruma sana, kwa sababu alikuwa anachoka mno………..
Basi maisha yalienda na mwaka 2009 nilimaliza darasa la saba, hapo nilikuwa na miaka kumi na saba tu, si mnajua kijijini namna ambavyo huwa tunachelewa sana kuanza shule, yaan nilianza darasa la kwanza na miaka kumi na moja, na mama yangu alikuwa ananiombea sana nifaulu kwa maana nilikuwa ninajuhudi sana, na nilikuwa nataman sana sku moja niwe na pesa nimsaidie mama yangu, ila siku moja nikiwa na mama jikoni, wakat huo tulikuwa tunapika
chakula cha jioni, baba yangu alikuja na akawa anaimba kwa sauti yake ya kilevi ila alikuwa kama anafuraha sana….
“ wewe mama nachieni, embu njoo hapa na huyo kidampa wako, akasema baba wa kambo kwa sauti yake ya kilevi…
Mimi na mama tukatoka jikoni na kwenda kumsikiliza alikuwa anataka nini, tulivyofika alipo akaanza kutuangalia kwa awamu kisha akasema “ mke wangu, huyu bint ameshakuwa, na anatakiwa kuolewa….
“ kuolewa, anaolewa na nani, bint yangu anataka kusoma, na naomba nisisikie hizo habar za kutaka bint yangu kuolewa, akafoka mama, lakin wakat huo huo baba alikuja akamshika na kuanza kumpiga, alimpiga sana, na nikawa
naogopa hata kumtetea, kwa maana kwanza hakuwa ananipenda hata kidogo, nikajua nikienda pale nimekwisha, alimpiga sana mama, akamuingiza ndani kwa kumburuta, na kulipopambazuka mama hakuwa anafaa, kwa maana mwili wake wote ulikuwa na makovu…
Mama aliniita kwa sauti ya kinyonge sana, kisha akanambia “ mwanangu samahan, alisema huku machozi yakiwa yanamlenga lenga, nilitega sikio kutaka kujua mama anataka kuniambia nini….
“ itabidi uolewe, akasema mama
“ nikama sikutegemea kama yale maneno yalikuwa yanatoka kwa mama yangu, ila alishindwa kuendelea kuongea, akanyanyuka na kuondoka akiwa anajizuia kulia….
Nilijisikia vibaya sana, nilijua hata mama hataman kuona naolewa, na alikuwa anataman kuniona nafikia ndoto
zangu, jioni ya siku hio baba alikuja na mwanaume , alikuwa ni mtu mzima sana, kwa maana alikuwa na vijana ambao walikuwa ni wakubwa kuliko mimi…….
“ mama nachieni mlete bint amuone mume wake, akawa anasema baba kwa sauti yake ya kilevi huku akiwa anacheka kicheko cha kejeli flani hivi, sio siri nilikuwa najisikia vibaya sana, ila sikuwa na namna, mama kwa unyonge akaja kuniita, nimefika ukumbini nikamuona huyo mzee nikisaidiwa na taa hafifu za kandili, akawa ananichekea….
Baba na mama wakatoka nje, wakatuacha mm na huyo baba tuongee, “ sasa bint yangu sijui kama baba yako amekuambia kama nimeshampa mahari, na ndoa yetu itakuwa wiki moja mbele, sauti yake ilinikiera na namna ambavyo alikuwa akiongea ndio alikuwa ananichefua kabisa yaan…..
Sikumjibu nikanyanyuka na kwenda zangu chumban kwangu, nilijikuta nalia, kwa maana sikuwa nategemea kama maisha yangu ndio yatafikia huko, basi siku hio sikulala kabisa, kwa maana nilikuwa nawaza kuhusu ndoa yangu ambayo itakuja siku chache mbele,asubuh ya siku inayofuata nikamfata rafiki yangu alikuwa anaitwa siwema, ndio rafiki yangu mkuu pale kijijini, nikamueleza hali halisi alinionea huruma sana, mwisho akanambia kuwa ataongea na pacha wake, ambae alikuwa anafanya kazi mjini kama
naweza kwenda kuishi nae, kwa maana nilikuwa na umri mdogo alafu mtu atake kunioa…
Nilimshukuru sana ingawa sikuwa najua kama nitakubaliwa au laa, lakin kesho yake siwema alinipa majibu na kuniambia kuwa pacha wake kakubali kwenda kuishi na mimi na ikiwezekana anifundishe kazi ambayo anaifanya, kwa maana ni kweli alikuwa akija kijini watu wote mnafurah, na alikuwa anakuja na vitu vya thaman sana, na alikuwa anaonekana tajiri sana bila kujua alikuwa anafanya kazi gani…
Kama miujiza pacha yake siwema alituma nauli, nilifurah sana, sikutegemea kama mambo yangekuwa marahisi kama ambavyo ningefikiria, nilijua nikiondoka nyumban na kumuacha mama pamoja na herry watapata shida sana kutoka kwa baba, na huenda wakapigwa sana kwa mimi kutokuwa nyumban, ila niliona angalau nikatafute maisha na kuja kuwasaidia mama na mdogo wangu herry kutokana na manyanyaso ya baba….
Kesho yake niliamka mapema sana, nilitoka nje ya nyumba yetu na kuangalia kwa huzuni sana, niliipunia mkono kisha nikaenda mpaka kwa akina siwema, alikuwa nay eye
ameshatoka nyumban kwao, akaenda kunipandisha gari ambalo lilikuwa linakuja dar mjini, kisha akaniaga, kiukweli nilimuona kama mkombozi pekee maisha mwangu….
Basi safar ikaanza, na kwenye majira ya kama saa nane mchana nilifika dar, sikuwa na simu ila uzuri pacha wake siwema, anaitwa sikuzani alikuwa ananisubiri stand, hivyo niliposhuka tu aliniona, akanifata na kunikumbatia, ila alikuwa amevaa mavazi ya hovyo sana, kwa maana alikuwa amevaa kama wale wadada wanaojiuza, kwenye begi langu kulikuwa na kanga, nikatoa na kumpa kwa maana niliamin huenda amepata changamot ndio maana kavaa vile, na badala yake alicheka sana kisha akasema “ huku sio kijijini mamaa, huku tunavaa tunachokitaka…
Nilikuwa naona aibu sana kuongozana nae kwa maana nilimuona kama dada asiejiheshimu kabisa, ila kwakuwa sikuwa na chakufanya wala pakwenda nikawa najifanya kama nipo sawa tu…..
“ Nachieni , ngoja nikuambie kitu, hapa nimetoroka kazini kwangu nikaja kukupokea, kama hutajal naomba tukakae wote pale kazin kisha baadae tutaenda nyumban, nikakubali
kwa maana sikuwa na jibu lingine zaidi ya kukubaliana nae………
Tulifika mpaka sehemu moja ilikuwa inawadada wamevaa uchi sana, na tulipoingia ndani tukakuta wadada wanawashika washika wanaume, nilikuwa naona aibu sana kwa maana nilikuwa naona kama wanafanya matusi, na wakat huo sikuwa najua kama ndio wanafanyiwa massage……….
Nilishinda naangalia chini, na kila mtun aliekuwa pale alikuwa busy na mteja wake, yaan mambo ambayo walikua wanayafanya yalikuwa ni aibu tupu…..
Basi kwenye majira ya kama saa kumi na mbil kasoro alikuja kijana, alikuwa kavaa kihuni sana, kwa maana alikuwa amening’iniza macheni kwenye suruali yake na alikuwa ametoboa masikio sijui, maana alikuwa amevaa herein….
Alipofika tu mule ndani macho yake yakatua kwangu, nilishtuka sana nilipomuona ananiangalia, kuna mmama mtu mzima akasema “ wakienyeji huyo umemtamani nni, sikujua kama wamemaanisha mimi…
Yule kijana akaanza kucheka kisha akasema “ hawa wanakuwaga sildi sana mpaka nimetamani, yaan nilishaapa nikikuta kitu imeziba naoa na natulia…
Wadada wote waliokuwa pale walicheka sana kisha wakasema “ jmo atulie labda apate ya paka, maana za binadamu wote nahisi utakuwa umeshazionja….
Kiukweli sikuwa naelewa kabisa hata wanamaanisha nini, maana nlikuwa naona kama wanaongea kihuni sana….
Ila nikawa nashangaa Yule kiijana ananiangalia sana mpaka nikajikuta nina wasiwasi, kwa maana mule kulikuwa na wadada warembo sana na wamevaa kisasa na sio mimi nilievaa gauni la satini la mng’ao nikafunga na kanga kiunoni…
Sehemu ya 02
Nikawa nimekaa zangu pale nashangaa shangaa sina hili wala lile,mpaka muda ukawa umeenda sana, kwa maana
ilikuwa ni usiku, nikaja kugundua pale unalipa kulingana na wateja waliokuchagua, kwa maana ukichaguliwa sana ndio unalipwa vzr kuliko mtu ambae hajachaguliwa sana, kisha kila mtu anajinunulia kila kitu, ila kuna ambao wanapataga offer yakutolewa lunch au dinner na wateja wao…
Sasa siku hio Yule mwenyeji wangu alipata offer ya dinner, wakat anaondoka ndio akakumbuka kuwa nilikuwa pale…..
“ babby nina mgeni leo, kama hutajal naomba ututoe wote, akasema sikuzani, na Yule mwanaume akakubali, basi tukaenda sehemu moja ambayo ilikuwa na hadhi kidogo, kwa ushamba wangu kila ambacho nilikuwa nakiona nilikuwa nashangaa tu, nilikuwa sijawah kuona taa zinawaka taa, nilikuja kujua kuwa ni taa zinawekwa baadae sana, baso ikaletwa pizza, sikuweza kula, sijui nilikuwa naonaje, na sikuzan alijua, akaniagizia chips yai, kwa maana kwa kijijin kula chips mayai ni kama umekula kitu cha thaman sana, na hata watu wakitoana out wanakula chips yai…
Basi tukala pale, nikawa naona namna ambavyo wanashikana shikana mpaka nikawa naona aibu pale, mwisho akatupeleka nyumban ila ni wanakiss na kushikana shikana mpaka nikawa najisikia vibaya, mwisho Yule mwanaume akaondoka zake, nikaingia na sikuzani ndani,
akapitiliza bafun akaoga, yaan alikuwa na nyumba ya kisasa sana, kwa maana alikuwa na single self yenye jiko na choo ndani, na alikuwa ameweka vitu vya kisasa sana, kwa maana kitanda cha maana, tv kubwa, kabati zuri sana na alikuwa na kabat ya vyombo yaan na nyumba inanukia balaa, nyumba ilikuwa n I yakisasa sana…
Alitoka bafuni kisha akataka na mimi nikaoge kwa maana nilikuwa nashangaa shangaa tu, nikaenda kuoga nilipotoka akanipa mafuta yake nipake, yaan nilikuwa napaka naona kabisa ngozi inavyong’aa nakumbuka mafuta yalikuwa yameandikwa golden glow, nilipaka pale kisha akanitolea dira nikavaa na baada ya hapo nikapanda kitandani na kulala….
Asubuh tulivyoamka akaniachai pesa kisha aakndoka zake, nilifanya usafi nikamfulia kwa maana alikuwa na nguo chafu nyingi sana, kisha nikapika na maisha yetu yakawa yanaenda…
Kumbe bana hakuwa anapenda namna ambavyo nilikuwa nakula kulala tu pale, sasa siku moja nipo zangu naagalia tv, mara nikashangaa mlango unafunguliwa kwa fujo, nikashangaa anaingia sikuzan na mwanaume wakiwa
wamelewa mno, na hata hawakujal kama nipo pale, wakafanya yao mbele yangu, aibu nilikuwa naona mimi…
Na usiku ule ule Yule mwanaume akaondoka, na sikuzan akalala kama mfu, asubuh alipo amka akaona anitolee
uvivu, akasema “ unajua nilikuwa nimekupa muda wa kuujua mji na badala yake unakula na kulala tu hata kusema utoke ukatafute hela hakuna, unafikiri mimi nitakulisha milele au, sasa ni hivi twende tukafanye kazi kwenye saloon yetu au katafute kazi na usiku tulete mahesabu kwa maana nimechoka kukuhudumie….
Nilijisikia vibaya, lakin n I kweli sikuwa natakiwa kula na kulala tu, na mimi nilikuwa natakiwa nikatafute kazi, maana mtu yoyote atashindwa kukuhudumia milele, basi nikawa nimeenda dukan, wakat narudi nikakuta sikuzan kafunga mlango kisha aaksema “ nenda katafute pesa tutakutana jioni…
Sikujua hata naanzia wapi kutafuta kazi , kwa maana nilikuwa mgeni sana kwenye jiji la dar es salam, akanipa akasimu kadogo kisha akasema, “ humo kuna line na namba
zangu, ukipotea nipgie nitakuja kukusaidia kisha akaondoka zake…
Sikujua hata naenda wapi na naanzia wapi, nikaanza kuzurura bila mpangilio, nikaanza kuomba wamama wa mama ntilie hata nioshe oshe vyombo, ila hakuna mtu hata mmoja ambae alikuwa ananisikiliza, mwisho ndio nikampata huyo mamaa alikuwa anapika chakula na mdada wake wa kazi hakuwa amefika, akaniambia kuwa anataka nimsaidie, basi nikamsaidia pale kuosha vyombo, akanipa chakula kwa maana nilikuwa nasikia njaa sana, kisha akanipa na elfu mbili nikaondoka zangu….
Nimefika nyumban nikamkuta sikuzani ameshafika, akanyoosha mkono kana kwamba anataka nimuoneshe nimeingiza shilling ngapi, kwa kuwa nilikuwa mgeni nikampa ile elfu mbili, aisee alicheka sana, kisha akasema ‘ hongera leo umejitahidi sana kisha akaingia ndani…
Alileta chips yai moja akanipa nile, kwa maana alihisi huenda sijala kuanzia asubuh, nikala pale kisha nikalala zangu, asubuh tena kama kawaida, nikatoka na kwenda kuanza kutafuta…
Nikaenda kwa Yule mama siku hio alikuwa anakazi nyingi sana, yaan nimefanya kazi kwa mpaka saa nane mchana nikawa nimechoka sana, mpaka nikaanza kuhisi homa, nikamuomba Yule mama anilipe hata nusu ya mashahara kwa maana nilikuwa najisikia vibaya, akakubali akanipa elfu nne, nikaanza kuondoka, hapo natakiwa nikamfate sikuzani anapofanya kazi anipe ufunguo ili nikapumzike, alafu hata sikumbuki hio sehemu ambayo alikuwa anafanya kazi kulikuwa ni wapi, akanambia nipande gari zinazoenda kariakoo, nikifika kariakoo nimuambie, basi nikapanda gari zinazoenda kariakoo, akanambia kna mtu kampa namba zanu atakuja kunifata, kweli baada ya dakika chache nikapigiwa , ilikuwa ni tyo, ikanipeleka mpaka kwenye hio saloon …
Nimefika pale kila mtu alikuwa busy na kazi,n hata muda wa sikuzan kunipa funguo haukuwepo kabisa, nikiwa nimekaa pale, mara akaja Yule mwanaume wa siku zile, na wakt huo nilikuwa nimemsahau jina, “ nahitaj mrembo wa kunihudumia , akasema Yule kijana..
“ kila aliekuwa hapa si unaona akakazi, labda usubiri kidogo, akajibu Yule mama ambae ni mmiliki wa ile saloon…
“ huyu vipi, akasema Yule kijana akiwa ananinyooshea mkono..
“ sidhan kama anaweza huduma huyo, akasema Yule kijana..
“ kama unaona anafaa mchukue, naamin wewe ni mjuzi atakufundisha, akasema Yule mama, nikawa kama siwaelewi yaan inakuwa je mpaka mm nianze kwenda kumuhudumia mwanaume, na kwanza hapo nilipo sijawah hata kuguswa na mwanaume, sasa nitaenda kumuhudumia vipi, ila Yule mama hakutaka kunisikiliza, aliwaita vijana wake, wakanibadilisha nguo, yaan sikuamin kama nabadilishwa nguo na wanaume, na baada ya hapo wakaniingiza chumban na Yule kijana akaja kwenye hicho chumba ambacho kilikuwa ndani na ile ile saloon, hiko chumba sijui hata kipoje kwa maana ukiwa ndani hakuna mtu anaweza kusikia sauti yako, sijui hata walikiset vipi…
Yule kijana akawa ananichekea ila nilikuwa nalia tu, hata hakujal machozi yangu, akanibeba juu juu kisha akanibaka….
Nililia sana, na baada ya kunikuta sijawah kulala na mwanaume ni kama kulimuogopesha akarudi nyuma kisha akawa ananiangalia kama haamin vile kisha akasema “ unaitwa nani mrembo..
“ jina langu halikuhusu , nikamjibu..
“ litanihusu muda si mrefu kwa maana unaenda kuwa mke wangu..……….
JE NINI KINAENDELEAAA …………………….
Sehemu ya 03
Nilimuona kama kachanganyikiwa, yaan aniingilie bila ridhaa yangu, anitoe usichana wangu bila makubaliano, alafu anakuja kusema kuwa nitakuwa mke wake, si atakuwa mwehu huyu, nikawa nawaza…
Nikataka kunyanyuka na kuondoka ila wakat ambapo nashusha miguu chini, nilikuwa nasikia maumivu balaa, Yule kaka akawa ananiangalia kisha akasema “ kama hautajali naomba nibebe jukumu lako, naomba nibebe jukumu la kukuhudumia kama mwanamke wangu, na kama mwanamke ambae nimemkosea, akasema Yule kijana ambae alikuwa anatambulika kama jmo…
“ achana na maisha yangu, nikasema huku nikijika za kusimama, na baada ya hapo nikawa nachechemea, “ mimi
sio mwanaume mshenzi kama unavyofikiria, na sio kama nitakutelekeza, yes inawezekana kweli nilikuwa Malaya sana, ila nilishaapa kuwa nitachukua jukumu kwa mwanamke yoyote Yule ambae nitamtoa usichana wake, naomba nichukue jukumu lako na nakuahidi kuwa nitakuoa, akawa anasema jmo….
Nikamuangalia kisha nikaanza kulia, kwa maana niliona kama maisha yangu yanazidi kuwa magumu, nikawa nawaza itakuwaje kama nikibeba ujauzito, uoga wangu wa tendo la ndoa ulikuwa mkubwa sana kwa sababu nilishawashuhudia mabint wa rika langu namna ambavyo wanateseka na mimba zisizo tarajiwa pamoja na maradhi, nikaanza kujionea huruma, kwa sababu nilihisi naweza kupata mimba au maradhi au kupata vyote, na kwanza Yule mwanaume alikuwa anasifika kwa umalaya katika eneo lile, so nilijua lazima kuna baadhi ya wanawake ameshawah kutembea nao, na inawezekana pia hata wale wadada pale kwenye saloon ameshawah kutembea, maana wafanyakazi wa
hapo, hawachagui wala hawabagui, kikubwa ni kuwa uwe na pesa tu, na jmo alikuwa anaonekana kama ishu ya pesa kwake si tatizo kabisa…..
“ naitwa juma, wanapenda kuniita jmo ila jina halisi ambalo nimepewa na wazaz wangu ni juma, akasema Yule kijana…
Hata sikumjibu nikawa nalia na kuyafikiria maisha yangu, nilihisi kama nimepitia mambo mengi sana na sikuwa na uhakika kuwa yataishi lini, kwa maana nilikuwa nataman na mimi siku moja niishi kwa amani, na nipate hela ili nikamchukue mama pamoja na mdogo wangu, kwa maana nilihisi kama baba yangu wa kambo hastahili kukaa nao, na pia nilitaka kulipia mateso yote ambayo watayapitia kipindi nimeondoka bila kuaga, kwa maana baba wa kambo atajua mama yangu ndio kanitorosha, nan i lazima aambulie vipigo vya maana….
Nikawa nawaza kuondoka pale, lakin nilijua kuwa sikuzan hawez kunipa funguo mpaka amalie kazi zake, nikawa nimekaa nalia tu, jmo au juma akaja pemben yangu na kuanza kunibembeleza huku akipambana kunipa ahadi nyingi sana, sikuwa namuelewa kabisa, kwa maana nilimuona kama mwanaume asiekuwa na maadili,
nilimuona kama mwanaume Malaya ambae kazi yake kubwa ni kuchezea wanawake…
“ nambie basi jina lako mamaa, nataman tufahamiane zaidi, akawa ananiambia..
“ ufahamiane na nani wewe mkosefu adabu yaan umenibaka alafu unakuja kusema ety unataka kufahamiana na mimi, ufahamiane na mimi ili uje kunibaka tena, achana na mimi bana, nikasema huku nikiwa nalia, mlango ulikuwa umefungwa n ulitakiwa uje kufunguliwa na mama bonge nani kama jmo hakuwa anataka niondoke mpaka nimsamehe, ila sikuona haja ya kukaa na kumsamehe mtu kama yeye, basi alipoona simuelewi akapiga simu, kisha mlango ukaja kufunguliwa, nikamuona juma ana mnong’oneza Yule mama jambo kisha akampa kibunda cha hela kisha akaondoka zake, Yule mama akaacha kazi zake zote akaja kukaa na mimi akawa ananiuliza nataka nn ila sikuwa namjibu, sikutegemea kama nitakuja kutolewa bikra kizembe vile, Yule mama hata hakusema na mm akamuita Yule sikuzan kisha akamuuliza napenda nn, nikashangaa naletewa nguo za kuvaa mafuta na chakula ila sikyutaka hata kula nikawa nalia tu, Yule mama sasa anavijana wake, yaan usipotaka kufanya kitu kwa hiari yako basi utalazimishwa tu lazima utafanya…
Nilikataa sana, nikashangaa nimebebwa kisha nikaenda kuogeshwa, nikavalishwa gaunin jeupe, wakanifunga mikono na miguu kisha wakaanza kunifanyia massae, yaan
hakuna kitu hata kimoja ambacho niliridhika nacho, ila walikuwa wanatumia nguvu, kisha nikaingizwa kwenye gari, hapo nimelia mpaka sauti imenikauka, yaan nimelia mpaka macho yamevimba…
Nikapelekwa kwenye hyumba moja ya kifahar sana, kisha nikaingizwa ndani, jikaambiwa niende chumban ila sikutaka kabisa kwenda ndani, kwa maana hata sikuwa najua walikuwa wanataka kunifanya nn, nikashangaa nimebebwa juu juu, hapo nalia balaa na kupiga kelele za msaada, nkaingizwa kwenyen hicho chumba, sikuwa najua hata nakuja kukutana na nani, ila nikawa nasikia kama kuna mtu anaoga bafuni, na baada ya dakika chache akatoka Yule jmo akiwa na taulo kiunoni….
Wale walionipeleka pale wakaniweka kitandani kisha wakaondoka zao…
“ owww mke wangu karibu , hapa ndipo ambapo tutaanzisha maisha yetu, yaan mimi na wewe tutakuwa tunalala kwenye hiki kitanda na watoto wetu tutawatafutia kwenye hii
nyumba mrembo, nimeambiwa unaitwa nachieni si ndio, akasema juma aka jmo…
“ kwani unataka nn lakin kwangu, kwann unaniandama kiasi hichi, nilishasema sikutaka na sitakaa nikutake kwenye maisha yangu yote, naomba uniache niondoke, nikawa nalalamika…
Akacheka kwa dharau kisha akasema “ badala ushukuru unalaani, haya nambie ukitoka hapa unaenda wapi maana shoga yako hawez kukupokea hata iweje, haya ondoka tuone kama hujanikumbuka na kurudi hapa kwangu ukiwa umepiga magoti, akasema juma …
Kisha akatoka na kwenda kunifungulia mlango kisha akanisogelea na kunipa busness card yake na simu, kisha akasema “ ukiona mambo magumu just nipigie na useme izrael kanibipu chap nitakuja ulipo, akasdema ila sikutaka kupokea chochote kutoka kwake…
Hakuamin kwa maana niliondoka, sikuwa najua hata naenda wapi, nikaanza kujisearch nikajikuta na elfu kumi na mbili, sikujua hata nimeitoa wapi, nikasema itanisaidia kuanzisha maisha…
Haikuwa usiku sana, Nikapanda daladala mpaka kwa sikuzani, aliponiona akaanza kucheka kisha akasema “ sina ubavu wa kuweka wake za watu nyumban kwangu, embu ondoka na uende kwa mumeo, akasema kisha akaingia zake ndani na kunifungia mlango…
Nilihisi kuchoka, nikakaa pale kwenye kibaraza, niliona ni bora kulala pale ninapofahamika kuliko nkutanga tanga, sasa asubuh kwenye kama saa kumi na mbili nikasikia gari linakujan upande ambapo nilikuwa, nikaangalia hilo gari linatoka wapi, ndipo nikamuona juma anatoka na kuja mpaka nilipo, aliponiona akaniangalia kisha akatabasamu na kusema “ vipi bado Israel hajakubip ukataka msaada wangu…
Nikasunya kitu ambacho kilimfanya acheke kwan dharau kisha akanisogelea, nikaanza kutetemeka, kwa maana sikuwa najua anataka nini, “ wewe ni wangu nachien, kiapo change lazima kitimie, na kitatimia kwako, akasema Yule kijana kwa sauti flani hivi ya mamlaka….
NAKUJA
Sehemu ya 04
“ siku ambayo nitakuja kukuomba msaada labda ni siku ambayo nimekufa uje kusaidia kunizika, lakin sio hivi nilivyo na nguvu zangu, nikaanza kuondoka zangu , akawa ananiangalia huku akicheka kile kicheko cha hana pa kwenda huyu……
Nilikuwa natanga tanga sijui naenda wapi, nikawaza kwenda kwa Yule mama ambae alinisaidia ila wakat nafika pale , sikumkuta, sikujua hata nafanya nn, nilitafuta sehemu nikakaa chini nikawa sijui hata nifanyen nini, nilikaa hapo chini mpaka saa mbili usiku, ndipo akaja dada mmoja na kunishika bega kisha akasema ‘ nimekuona umekaa hapa muda mrefu unaia shida ni nini? Akaniuliza Yule dada…
Nilimuangali ila nilishindwa kuongea, nikaanza kulia, Yule dada akawa anafanya kazi ya kunibembelexa, akanambia kuwa atanipeleka sehemu ambayo nitalala kwa siku hio alafu kesho yake atakuja kuongea na mimi kwa marefu…
Basi kweli aliniombe sehemu nikalala usikun huo, na asubuh sana alikuja na chjakula, akanipa nikala na mara baada ya kumaliza kula, akanambia nimuelezee yalionikuta…
Nikaanza kumsimulia kila kitu, kuanzia namna abavyo nilivyotoka kijijini, mpaka ambapo niliingiliwa kinguvu na jmo, alionekana kunionea huruma sana, akaniahidi kuwa atanitafutia kazi, basi nilimaliza kula akanipeleka sehemu nikaoa na mara baada ya kumaliza kuoga akanipa nguo kisha akanambia kuwa ameshaongea na boss wake, hivyo naweza kwenda kuanza kazi…
Nilimshkuru sana, ingawa sikuwa najua naenda kufanya kazi gani, ila nikashangaa ananipeleka kwenye saloon kubwa, ambayo ilikuwa na huduma nyingi sana kama zile ambazo nilizikuta kwenye saloon ambayo alikuwa anafanya kazi sikuzani…
Yule mama aliponiona akataka nikaongee nae ofisin kwake, sikubisha ingawa nilikuwa na hofu sana..
“wewe ni bint mrembo sana, na naamin hii kazi utaiweza na itakulipa vizur sana natumain hautajuta, akasema Yule mama…
“ mm siwez , nikajibu, Yule mama akatabasamu kisha akasema “ tutakufundisha mpaka uweze kwa maana hakuna mtu ambae amezaliwa anajua kila kitu, cha msingi ni
utayari wako, na sisi tupo kuhakikisha unafanya kila kitu vizur, unafanya kila kitu kama inavyohitajika, akasema Yule mama…
“ mm sitaki na siwez kufanya kazi ya kuwashika shika wanaume, nashkuru sana kwa kunipokea ila siwez kufanya kazi kama hii, nikajibu, kwa maana niliona kama ni kazi ya kujidhalilisha sana….
“mwanangu, nimeambiwa kila kitu na neema, wewe ni bint mdogo tena mzuri sana, ila kumbukla huna pa kwenda na huna mtu unaemfahamu huku dar, na kupata kazi kama hii tunayokupa sisi sio rahisi, kama huamin ringa kesho tuseme hapa kuna kazi utaona idadi ya wanawake ambavyo watatiririka hapa, akasema Yule mama ila kiukweli sikuwa namuelewa kabisa, yaan mm nivae uchi na licha ya kuvaa uchi nianzde kuwashika shika wanaume, Yule mama akamuita Yule bint ambae amenisaidia, alikuwa anaitwa neema, isha akatuacha ofisin kwake tuongee nay eye akatoka nje….
“ shida n inn nachien, kwann hutaki kufanya kazi, jana tumekuona namna ambavyo ulikuwa unalia kwa muda mrefu bla kujua unaenda wapi, sasa umepata kazi kwann usifanye, sio rahisi kupata kazi katika mji huu kama
unavyofikiria mamaa, kupata kazi ni changamoto kubwa, sasa kwann usifanye kazi hapa, na kingine madam wetu anaroho nzuri sana, na analipa vzr, na naamin unaweza ukapata chochote kitu kuliko kuranda randa mitaa, akasema neema…
“ naogopa yasije yakanitokea kama yalionitokea neema, na vipi mwanaume akinitaka kimwili, nikauliza…
“ hapa sio kama ulipotoka, una niona mimi, nina mahusiano yangu, na sijawah kuwa na mahusiano na mteja hata mara moja, ila wapo watu humu humu ambao wanatoka na wateja, so nimaamuzi yako, na hatuwez kukulazimisha kwenye kitu ambacho hukitaki, akasema neema…
Akaendelea kunisema sana, ila bado nilikuwa na mashaka sana, ila kwa kuwa sikuwa na sehemu pa kwenda nikakubali…
Basi wakaanza kunifundisha pale namna ya kufanya, ingawa mawazo yangu makubwa yalikuwa ni namna gani ambayo nitaweza kuvaa nguo za kueleweka, maana asilimia kubwa ya wale mabit ambao walikuwa wanafanya kazi pale walikuwa wanavaa nusu utupu, so nilikuwa nawaza sana hilo…
Ila nikama Yule mama alinielewa, akanambia kuwa ameanzisha online service, ambapo unamfata mteja nyumban kwake, na ukishamfata mteja ni lazima uvae nguo ya stara kidogo kwa maana hauwez kuvaa vinguo vidogo barabaran, hapo sasa nikakubaliana nae, na tayar nilikuwa nimeshajua kufanya huduma zote za massage, hata kunyoa ndevu na nywele walinifundisha kulingana na style mtu anayotaka….
Basi siku hio madam akanambia kuna mteja kapatikana osterbey, nitapelekwa na toyo ya Yule madam, ila kurudi nitarudi pekee yagu, basi nikakubali…
Nikaenda mpaka kwenye hio nyumba, ilikuwa ya kifahari sana, ila ndani kulikua na kijana mmoja tu, ambae alikuwa anaonekana kama kijana wa kifogo sana, aliponiona akaanza kunikumbatia kana kwamba kaletewa nyama…
“ excuse you, mm sio kahaba na nimekuja hapa kukupa huduma, so kama unataka huduma tofaut na uliyoiagiza basi nikuitia mtu mwingine, nikasema …
“ nakupa hela mama, sasa unataka kumaliza kunishika shika alafu nisikukule, akasema Yule kijana…
“ wakat naingia humu ndani nimeona kuna fridge, nadhan kama kuna kitu cha kula unakihitaji basi nenda kachukue kitu kwenye fridge na ule, nikasema…
“ basi mamaa yaishe, njoo unipe huduma, akasema Yule kijana, nikaanza kufanya kazi ambayo ilinipeleka pale, ilikuwa ngumu kidogo kwa maana kuna kuda hisia zilikuwa zinampanda ila nilikaza, sikwenda pale kulala na mwanaume, mwisho akakubali nimalizie kilichonipeleka, akanilipa sasa wakat natoka zangu nje kwaajili ya kuondoka, nashangaa jmo anaingia kwenye ile nyumba…
“ nachien umefata nn hapa, na ulikuwa wapi? Akauliza…
“ amekuja kunifanyia massage, akajibu Yule kijana ambae aliagiza huduma kutoka kwetu, na mm sikutaka kuongea nikawa naondoka zangu…
Akaja kunishika mkono kisha akauliza, “ kwa hio baada ya kumfanyia massage ukalala nae? Akauliza jmo…
“ naachaje, nikajibu huku naondoka na Yule kijana mwingine akadakia na kusema “ swali gani hilo bro, wewen umeshawah kufanyiwa massage usimle muhudumu, yaan leo ilikuwa shoo shoo, nikamuona jmo kapanic ila sikumzingatia, nikaita zangu toyo nikawa naondoka
nilipogeuza macho nikamuona jmo ananiangalia kwa jicho la chuki mno ila hata sikujal….
Sehemu ya 05
Jmo alikuwa na namba yangu ya simu, akaanza kunipigia, nikamblock, kwa maana sikutaka kumuona wala kumsikia, nikarudi kwenye ile saloon ambayo nilikuwa nafanya kazi, nikakuta kuna podder sehemu nyingine nikaenda, na huyu sasa alikuwa ni mmama, ila wale mashangingi na nahisi kama ni wale wamama ambao wanapenda mahusiano ya jinsia moja, yaan kila kitu ambacho nilikuwa nakiona huku mjini kilikuwa ni cha kunishangaza sana, kwa maana sikuwah kusikia kule kijijin kwetu kama kuna wanawake ambao wanataman wanawake wenzao, kwa maana kila nilipokuwa namgusa alikuwa analalamika, ila sikuwa namjal, na nilichokuwa najali ni pesa tu…
Nimemaliza, akanilipa pesa yanu sasa ile wakat nataka kuondoka, akaniita kisha akasema “ upunguze ukauzu wewe bint kwa maana utaendelea kupisha na gari la mshahara, sikumuelewa na wala sikutaka kumuelewa, nikarudi zangu kwneye kampuni…..
Basi maisha yakawa yanaendelea, na mwanzo nilikuwa nakaa na neema, kwa maana sikuwa na poa kukaa, ila nilikuwa namuona kama namnyima uhuru, kwa maana kuna muda mwanaume wake alikuwa anakuja na anajikuta anashindwa kulala, hivyo baada ya miezi miwili, nikanunua kagodoro kangu na zulia, na jiko nikaanza maisha yangu, so nikawa najitegemea………..
Basi maisha yanaendelea kwenda, na nikawa kazi yangu kubwa nikuwafata wale wateja wa nyumban, ni kuhakikisha kuwa ni wanapata huduma wanazostahiki, na sikuwah kutoa mwili wangu hata kama mwanaume atoe offer nyingi kiasi gani, sasa kumbe jmo hakuwa anajua kuwa mm nilikuwa nafanya kazi kwenye saloon ani, akawa anafanya kazi ya kuagiza wa dada wa massage na anaishia kuwalipa bila kupewa huduma, kwa maana alikuwa anakusudia kunipata mm na hakuwah kunipata, nilikuja kugundua hilo baadae sana…
Siku moja simu ilipigwa ofisin, na kuna mtu akaagiza kuwa anataka huduma nyumban kwake, ambapo kulikuwa ni sinza, na mimi ndio mfanyakazi pekee ambae nilikuwa naenda kwenye majumba ya watu, wenangu wote walikuwa wanafanya kazi pale pale saloon…
Basi bibi mimi nikaanza kujiandaa, na mara baada ya kujiandaa, na madam akaita toyo na kunipeleka mpaka alipo mteja, nilifika kwenye nyumba moa, ilikuwa ni ghorofa moja, nikaingia ndani, ila wakat naingia nikamuona kama mtu anachungulia dirishan ila sikumzingatia, na mlinzi akasema kuwa nipitilize moja kwa moja mpaka chumban, nan i jambo la kawaida sana kuambiwa nipitilize chumban kwa maana huduma mara nyingin inafanyikaga chumban…
Basi nikaanza safar, nikaenda mpaka kenye hicho chumba ambacho niliambiwa niende, nikaingia chumban, nikawa nasikia kama mtu anaoga, nikakaa kwenye sofa nikiwa namsubiri, ila alipotoka nilishtuka na sikuamin macho yangu……
“ Nachien mamaaa, nachien wangu, haya njoo unihudumie, na huduma ikiwa nzuri nitahakikisha unanihudumia mm tu,
akasema jmo, sikujal, nikamsogelea maana alijilaza kwenye massage sofa, nikaanza kufanya kama anavyotaka, ila nilipoanza kumgusa tu, alitoa mhemo mmoja, mpka mm mwenyewe nikashtuka, alafu akatulia tu, nikamfanyia massage kulingana na massage ambayo alikuwa anaitaka, nikafanya massage pale, ila wakat nimeshamaliza nataka zangu kuondoka, aiseee alinivuta nikajikuta namuangukia, akawa ananiangalia kwa hisia kali, nikawa nataka kujiondoa kwake, ila alinishika kwa nguvu…
“ naomba niachie niondoke zangu, nikasema, akafunga macho kwa sekunde kadhaa kisha akashusha sauti yake na kuanza kuongea kwa sauti flani hivi akawa anasema “ mamaaa naomba na mm unipe kama ulivyompa binamu yangu, nakuahidi nitakutunza na hautakaa uamin kuwa nitakuoa, akasema jmo…
“ sijawah kufanya jambo lolote lile na mtu yoyote Yule naomba uniachie niondoke, nikawa nalalamika, akasimama na kunikumbatia, hapo kavaa kijibksa tu na mambo sio shwari ndani yake, akanikumbatia kwa nguvu, nikawa nataka kujitoa ila sikuweza, akanikumbatia huku akiwa anapambana kunibembeleza nimpe anacho kitaka ila niliweka msimamo wangu mbele, na alipoona nimekaza
akanambia basi ni sawa, unaweza kwenda, basi akalipa na mm nikaondoka zangu, ila kesho yake asubuh ile nafika kazin tu namkuta jmo ameshafika kabla yangu, ila hata sikumjali, madam akaniita ofisin, kisha akanambia kuwa kuna wateja wawili, mmoja ndio huyo amekuja na anataka kuondoka na mimi, na mwingine amepiga simu anataka niende nyumban kwake….. Nikamuambia madam huyu aliekuja sitoenda kumuhudumia na amchague mtu mwingine, nitaenda kwa huyo alietoa odda na madam akakubali, kisha akaanza kutoka yeye, akaenda kuongea na jmo, na kumuambia kuwa achague muhudumu mwingine kwa maana mm kuna sehemu naenda…
“ anaenda kumpa huduma mwanaume mwingin? Akauliza jmo….
“ ndio maana ni kazi yake, akajibu madam… Nikashangaa jmo anashusha pumzi kisha akaangalia chini
kwa dakika kadhaa kisha akasema siwez kuruhusu hilo
litokee kwa sauti ya chini…
“ unasemaje ? akauliza madam kisha jmo akakohoa kidogo kisha akasema …………