mtu anapaswa kuzijua:
1. Hasira ni adui yako namba moja kwenye maisha, iruhusu ije na pia iruhusu
iondoke lakini usiiruhusu ikutawale.
2. Huhitaji watu au vitu vya kimwili ili kuwa na furaha. Wapo watu
watakaokuzidishia hasira zaid na kukuharibia furaha ndogo uliyo nayo.
3. Wanaokuchukia ndio watu wako wa karibu, ukiwa na watu wanaokupenda watumie
ipasavyo.
4. Maana halisi ya Familia haimaanishi mchangie damu tu hata watu baki ni
familia yako.
5. Ndugu msipigane wala kugombana kwa zaidi ya masaa 24. tabia hizo hufanywa na
Wanawake, sio wanaume.
6. Kujifunza jinsi ya kupigana na kujilinda ni lazima.
7. Ukiwa na hasira fahamu kuwa Hakuna nyumba bora ya matibabu ya kupunguza
hasira kuliko ukumbi wa mazoezi.
8. Angalia kile unachokula, epuka sukari, kula protini nyingi.
9. Nenda kwa mwanamke anayekuona ww ni wa thamani, ambapo atakupa penzi bila
kujari una pesa au huna.
10. ukiwa na hawa watu basi watumie Ikiwa dada yako hatakubali, kukushauri basi
dada wa rafiki yako atakubali, binamu yako, rafiki yako wa karibu. tumia nafasi
yako.
11. jitahi uwe na Chanzo kimoja cha mapato au Angalau vitatu.
12. Mpende mama yako, mlinde na umtunze. mheshimu na mpende baba yako,
hakikisha unamfanya awe na kiburi kwa wengine!
13. Kamwe usimwite mtu mwingine “mpenzi zaidi ya mkeoa.
14. Kuwa mwanaume mwenye msimamo usiwe mjinga unayeweza kumuacha mkeo kisa
umeona mdada mwenye matako makubwa.
15. Usisahau Kusali kila siku, asubuhi na usiku. Maana mtu aliye na Mungu ni
mtu mwenye vyote.