Mahusiano
Mwanamume
anayeweza kudhibiti hamu ya tendo ni mtu anayeweza kuishi miaka mingi duniani.
Wanaume hawajui kwamba baadhi ya kushindwa kudhibiti hamu husababishwa na kuwa
na wanawake wengi japo Sio wanaume wote.
Wanawake wengine wanakuja kwako kwa lengo la uharibifu.
kuwa Makini sana:
1. Mwanaume wa kweli ana mwanamke mmoja tu maishani mwake.
2. Usiruhusu kupandisha hisia wakati wote. Mishipa mingi huchoka kudhibiti uume
wako ikiwa hutaki kudhibiti hali hiyo.
3. Usimchumbie mwanamke kwa sababu ana umbo zuri, matiti na umbo la kuvutia.
Haya mambo ni ya kupotosha.
4. Sio kila unachokiona chini ya sketi lazima ukifanyie kazi. kudhibiti hamu
zako za ngono au Kujidhibiti na kujiepusha kuna faida sana
5. Kuoa mwanamke maana yake unammiliki lakini Mtendee mema kwa heshima Mfanye
kuwa malkia wako, mpende, mheshimu na mpe sababu za kukutendea sawa.
6. Kuwa na mahusiano ya wanawake wengi hakukufanyi kuwa mwanaume bora.
Inakufanya tu kuwa mwanaume, mdanganyifu na kukutoa ukubwani na kurudi kuwa
mvulana.
7. Kwa sababu wewe ni mzuri kitandani hakukufanyi kuwa mwanaumebora. Mwanaume
wa kweli ni mwanaume yule asiyekimbia wajibu na majukumu yake na kuamua
kukabiliana nayo
.
8. Mheshimu mwanamke yeyote anayekupenda, si rahisi kwa mwanamke kutupa upendo
wake na kusaidia kwenye maisha yako ikiwa unaishi kwa kumuumiza tu.
9. Leo hii Dunia inasherehekea wanaume waliofanikiwa Hakuna atakayekusherehekea
kuwa na wapenzi wengi wa kike. kitendo hiki ni sawa na Upotevu wa nishati, pesa
na upotevu wa mbegu za kiume.
Kumbuka, kuwa mwaminifu akikutana na mwaminifu ni alama ya ushindi katika ndoa