DOCTA SIUMWI HUKOO..
Sehemu Ya 06
Tulipoishia:
Baada ya utambulisho, Dokta Kisarawe alimuomba Sulee awaache na Monica ili aweze kumsikiliza kwa umakini mkubwa,.
“Sasa ENDELEA..
Sulee alitoka nje na kukaa kwenye benchi, lakini moyo na akili yote vikabakia chumbani kwa Dokta Kisarawe na Monica.
Kilipita kimya kidogo bila kusikia sauti yoyote achilia mbali minong’ono…
Akaendelea kukaa huku akijiuliza maswali.
“Sasa mbona sisikii wakiongea…?”
“Au…mh!…,” Sulee hakumalizi sentensi yake na kuishia kuguna.
Kimya kikazidi kupita. Giza nalo likazidi kutanda, lakini hakuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kumsubiri Monica aliyekuwa akipata tiba maalum.
Kuna wakati alitamani avamie ndani ili kuona kilichokuwa kinaendelea kati ya Dokta Kisarawe na rafiki yake Monica, maana tayari alishaanza kuhisi wivu f’lani hivi hasa akikumbuka jinsi yeye alivyoanzisha uhusiano na Dokta Kisarawe.
Wakati akiwaza hili na lile, ghafla alishituka baada ya kusikia kitu kama meza au kitanda kikilia kuashiria kama kuna mtu anakisogeza.
Akanyanyuka alipokuwa amekaa na kwenda hadi mlangoni.
Kwa kutumia tundu la komeo la mlangoni, Sulee alichungulia ndani.
“Duh! Yaani kweli…?” Sulee alitamka maneno hayo baada ya kuona kwa ndani.
Akarudi na kukaa tena kwenye benchi kama zamani, lakini akawa hatulii sehemu moja…
Kila mara alikuwa akiinuka kukaa, mara asogee mbele na nyuma, hakika wivu ulikuwa ukimpeleka vibaya…
“Haiwezekani, huyu Dokta Kisarawe anaweza kutuchanganya na rafiki yangu kweli? Hapana haiwezekani…,” Sulee akawa anawaza moyoni.
Baada ya muda mfupi, kilisikika kimya kutoka chumbani kwa Dokta Kisarawe. Baadaye akatoka Monica lakini uso wake ulikuwa haueleweki.
Kwa mbali alionekana mchovu kwa shughuli fulani lakini pia wakati mwingine alionesha uso wa uchangamfu na kuzidi kumchanganya zaidi Sulee.
“Vipi…,” Sulee alimuuliza Monica wakati wakiongoza njia ya kurudi nyumbani.
“Safi tu…”
“Umeonana na dokta…?”
“Sijaonana naye…,” Monica alimjibu Sulee huku akimkazia macho.
“Hujamuona…!?,” Sulee akauliza kwa sauti ya mshangao mkubwa.
“Sulee bwana, sasa wewe unajua kabisa niliingia ndani kwa dokta tena wewe ndiye uliyenipeleka, sasa unaponiuliza kama nimemuona dokta ulitaka nikujibuje? Basi sijamuona…,” Monica alijibu huku akimtazama Sulee kwa jicho la ‘Uwe unafikiri kabla ya kuuliza swali’.
Sulee akakaa kimya na kumuangalia Monica kama anayesema ‘Leo umeniweza’.
Wakaendelea na safari yao, lakini Sulee hakuwa amejiridhisha na majibu ya Monica hivyo akaendelea kumdadisi zaidi kujua kilichoendelea kati yake na Dokta Kisarawe.
“Oke, kasemaje…?”
“Amenipima na kunipa dawa hizi, lakini ameniambia nirudi baada ya siku mbili…,” Monica alimjibu Sulee na kumuonesha dawa ambazo alikuwa amepewa na Dokta Kisarawe.
Moyoni Sulee alijisikia wivu zaidi kwani hata yeye mara ya kwanza kuonana na Dokta Kisarawe alipimwa na kisha kupewa dawa na kuambiwa arudi baada ya siku mbili.
Hisia za Dokta Kisarawe kufanya kama alivyomfanyia yeye zikazidi kumgubika moyoni.
“Siku ya kurudi utaniambia ili twende wote, sawa…?”
“Sawa…,” Monica alijibu kwa mkato na sauti ya chini mno.
“Mbona kama umeishiwa na raha Monica…?”
“Hamna, mbona niko kawaida tu Sulee…”
“Au umeambiwa nini na Dokta Kisarawe…?”
“Hakuna kitu Sulee, niko sawa…”
Waliendelea na mazungumzo ya hapa na pale, lakini Monica alionesha wazi kuwa hakuwa sawa kabisa, jambo ambalo lilizidi kumuweka njia panda Sulee.
Baadaye waliagana na kila mmoja kwenda nyumbani kwake kwani tayari ilishakuwa usiku wa saa tatu kama na robo hivi…
Monica akiwa njiani, alianza kuwaza mambo mengi sana, lakini kubwa ni kwa nini Sulee aendelee kung’ang’ania kwenda naye mara ya pili wakati alishamuelekeza.
“Aah wapi, naenda peke yangu, si ameshanionesha…?” Monica akaendelea kuwaza na kufikia uamuzi wa kutokwenda na Sulee mara ya pili.
***
Baada ya siku mbili, Monica aliamua kwenda kwa Dokta Sulee peke yake bila kumtaarifu Sulee…
Baada ya kutimu saa moja na nusu karibia saa mbili, Sulee akazidi kushangaa kwa nini Monica hakumpitia kama walivyokubaliana.
“Huyu mbona hajafika hadi sasa hivi, au kaghairi…?” Sulee alizidi kuwaza baada ya kuona muda unazidi kusonga mbele bila kumuona rafiki yake Monica.
Akachukua simu na kujaribu kumpigia ili amuulize kama alikuwa ameghairi kwenda kwa dokta.
Simu ya Monica iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa licha ya Sulee kurudia tena zaidi ya mara tano. Akazidi kuchanganyikiwa.
Akampigia Dokta Kisarawe, naye akawa hapokei. Akaamua kumpigia mume wake na Monica ili kujiridhisha. Mume wake Monica alimwambia Sulee kuwa rafiki yake huyo alikuwa ameenda kwa dokta.
Sulee akatulia. Baada ya kupita saa nzima, simu ya Sulee iliita na alipoitazama, alikuwa ni mumewe Monica akimtaarifu kuwa Monica amepokea na kumueleza kuwa anajiandaa kurudi. Sulee hakujibu kitu zaidi ya kulala.
Kesho yake, aliamua kwenda kimyakimya nyumbani kwa Monica. Baada ya kuzungumza, walikubaliana kwenda pamoja siku hiyo huku Sulee akimlaumu kwa kumuacha jana yake.
“Nilichelewa nikaona nitakusumbua shoga yangu,” alijibu Monica lakini akikimbiza macho yake chini kwa aibu f’lani hivi.
Ilipotimu jioni, waliongozana pamoja hadi kwa Dokta Kisarawe, walikuta wagonjwa wengine wamepanga foleni.
Mlango ukafunguliwa na Dokta Kisarawe akatoka, alipowaona haraka akamuita Monica na kuwaacha wagonjwa wengine, akafunga mlango. Sulee kuona vile, akasogea hadi mlangoni na kuanza kuchungulia tena.
Kwa mbali akaanza kusikia tena vitu vikisogezwa. Mara kikatokea kimya cha ajabu.
Baadaye kidogo, Sulee alisikia sauti ya kulalamika ya Monica akisema
Dokta mimi siumwi huko jamaniiii, mmh!.
Moyo ukazidi kumwenda kasi Sulee, alijua kilichokuwa kikiendelea kati ya Monica na Dokta Kisarawe.
“Yaani kweli Kisarawe anaweza kunifanyia hivi…?.,” Sulee alijikuta akisema kwa sauti na kuwafanya baadhi ya wagonjwa waliokuwa wamekaa kwenye benchi wamwangalie kwa jicho la kumshangaa kutokana na sauti yake.
“Haiwezekani, nasema haiwezekani hapa ni lazima nifanye kitu…,” akazidi kuwaza huku akiwafikiria njia ya kuzuia kilichokuwa kikiendelea kati ya Monica na Dokta Kisarawe.
Kitendo cha Dokta Kisarawe kumuita Monica aliyefika mwishoni na kuwatangulia baadhi ya wagonjwa kilileta kero kwa baadhi ya wagonjwa na kuanza kumjadili kwa tabia yake hiyo.
“Mh, ina maana huyu dokta hajaona kama kuna wagonjwa wengine hapa tuliowahi…?” alihoji kwa sauti ya juu mama mmoja aliyekuwa amekaa kwenye benchi la wagonjwa.
“Shangaa, halafu kila akiingia na mwanamke ni lazima afunge mlango,” alishadadia mwanamke aliyekuwa ameketi jirani kabisa na Sulee.
Mjadala juu ya tabia ya Dokta Kisarawe ulizidi kupamba moto baina ya wale wanawake waliochukizwa hasa kwa kitendo chake cha kumuita Monica licha ya kuwakuta baadhi yao wakiendelea kusubiri zamu yao ifike.
“Hapo kutakuwa na kitu, siyo bure nyie niaminini mimi,” alisema mwanamke mwingine aliyeonekana kuwa na umri mkubwa kuliko wote.
“Mama yangu vile, haiwezekani watu tumewahi kufika halafu mwingine anafika na kuitwa, hapo kuna jambo, nyie fuatilieni sana,” alisema dada mmoja aliyeonekana kuwa na haraka kutokana na kukosa pozi maalum, ilikuwa mara asimame, mara akae, kifupi alikosa utulivu.
Sulee alizidi kuwaza mambo mengi sana, kwanza moyoni alianza kujilaumu ni kwa nini alimuonesha Monica kwa Dokta Kisarawe. Alijua kamwe hawezi kuukwepa mtego wa dokta huyo kwani licha ya yeye mwenyewe kuwa mgumu hadi wanaume wengi mtaani kwao kushindwa kumpata, lakini kwa Dokta Kisarawe alishindwa kupindua, hivyo aliamini hata Monica hawezi kukwepa.
Fujo za Dokta Kisarawe zilizidi kumchanganya Monica kule chumbani, kwani alipokuwa akimpima mikono yake ilikosa staha hivyo akawa anayagusa maeneo hatarishi ya mwanamke huyo mrembo.
Mwanzoni alionekana kuwa mtulivu huku akimuuliza Monica maswali ya kutaka kujua kama tatizo liko kwake au kwa mumewe.
DOCTA SIUMWI HUKOO..
Sehemu Ya 07
Tulipoishia:
Mwanzoni alionekana kuwa mtulivu huku akimuuliza Monica maswali ya kutaka kujua kama tatizo liko kwake au kwa mumewe.
“Sasa ENDELEA
“Kweli kabisa na urembo wote huu, bado hujapata mtoto Monica…?” Dokta Kisarawe alianza kuuliza maswali yake ya mtego,.
“Nimeshapata…,” Monica alijibu kwa sauti kavu tena isiyokuwa na masihara hata kidogo.
“Umeshapata!!!…?” Dokta Kisarawe aliuliza kwa mshangao aliposikia kuwa Monica alikuwa ameshapata mtoto.
“Ee, unajua dokta nakushangaa sana, sasa kama ningekuwa nimeshapata muda ningekuwa niko hapa…?”
“Mh, hapa nimepatikana, lakini atalainika tu, mimi ndiye Dokta Kisarawe bwana…,” Dokta Kisarawe aliwaza moyoni baada ya kugundua kuwa Monica alikuwa mwanamke mtata kuliko alivyokuwa akifikiria.
Oke, sasa hebu kaa hapo…,” Dokta Kisarawe alisema na kumuonesha Monica kiti kilichokuwa karibu yake.
Monica alikaa kwa utulivu na kumwangalia dokta kwa macho ya ..‘nakusikiliza’.
“Ni wanawake wengi sana walikuja na tatizo kama la kwako, lakini kupitia mikoni hii waliondoka hapa wakiwa na furaha…,” alisema Dokta Kisarawe na kumfanya Monica atabasamu japo kwa mbali.
“Kweli kabisa dokta…?” aliuliza Monica.
“Mama yangu vile…”
“Unafanyaje…?”
“Mimi siyo daktari kwa matokeo ya mtihani, bali ni mtaalam wa taaluma…,” Dk. Kisarawe alijibu.
Dokta alisogeza kiti karibu kabisa na alipokuwa amekaa Monica, alianza kumshika tumboni na maeneo mengine.
Mwanzoni Monica alionekana kutulia lakini kadiri mikono ya Dokta Kisarawe ilivyokuwa ikikosa staha, ndivyo alizidi kuhisi kitu cha ajabu kikimtokea.
Dokta alimsimamisha Monica, akawa anamshika kifuani na kumwambia kuwa alikuwa anaangalia kama mishipa ilikuwa ikipeleka vyema damu.
Kwa kuwa Monica hakujua chochote kutokana na taaluma ya kidaktari kumpita kushoto, ilibidi atulie na kumuacha Dokta Kisarawe aendelee na utaratibu wake.
“Aaah, sasa Dokta mbona unanishika huko tena…,” Monica aliuliza baada ya mikono ya dokta kushika yale matunda mawili yaliyokuwa yamesimama wima kifuani kwa Monica, wakati akisema hayo alikuwa akijigeuza na kusababisha kiti alichokalia kizidi kutoa mlio wa kuashiria kitu kisicho cha kawaida.
Licha ya kulalamika kwa kitendo cha Dokta Kisarawe kumgusa maeneo hatari, Monica hakuwa na upinzani mkubwa kwa mashambulizi ya daktari huyo mzoefu kwa kuwakwangua wanawake wasiokuwa na msimamo na ndoa zao, hakika Monica alikuwa amepatikana.
“Oooh, ophhhhuuu…,” Monica alianza kulalamika kwa sauti ya kubana tofauti na alivyokuwa akilalama kwa sauti ya juu, sasa alianza kuhema kwa nguvu huku akigeuza macho yake makubwa na meupe.
Dokta Kisarawe akazidisha mashambulizi kwa kushika na kupapsa kila eneo alilohisi ni hatari kwa mwanamke huyo mrembo kuliko wote ambao dokta huyo aliwahi kuvunja nao amri ya sita.
“Kwa nini jamani dokta…?,” Monica aliuliza huku akimtazama Dokta Kisarawe kwa macho ya ‘sasa umenibakiza nini? Si umalizie tu…’
“Aah, kwani nini tena jamani Monica…?”
“Sasa mbona unanishika huko bila lidhaa ya….nguuu….,” Monica alihoji lakini hakuimalizia sentensi yake kwani tayari Dokta Kisarawe alikuwa amelishika tunda lake la upande wa kushoto na kulibinya huku akilinyonya mithili ya maembe nyonyo yale ya Tanga…
“Sasa si usubiriiiiii….,” Monica akazidi kulalamika na kuongeza manjonjo ya kujikunja hali iliyomfanya Dokta Kisarawe alizidisha utundu mwilini kwa mwanamke huyo ambaye hakuwahi kuchubuliwa kwa mkwaruzo wa aina yoyote.
“Ok, sasa kama unataka mchezo si useme jamani dokta kuliko kuendelea kupeana mateso makali namna hii…,” alilalamika Monica huku akizidi kuhisi hali ambayo hata kama ungekuwa wewe ni lazima uhitaji huduma tena ile ya haja.
“Kwani wewe hujui hadi niseme jamani…,” alihoji dokta, lakini safari hii Monica hakujibu chochote zaidi ya kuanza kutoa sauti ya kugugumia kutokana na utamu wa sukari guru aliyokua akionjeshwa na Dokta Kisarawe.
“Aaah, hapo sasa jamani dokta, umejuaje jamaniiiii…, Monica alilalama baada ya Dokta Kisarawe kushika maeneo ya nyonga na kufanya kama anayekamua jipu kwa staili ya kubinya kwa mapozi yasiyosimulika.
Baada ya mashambulizi ya dokta kumzidishia raha ya ajabu, Monica akaona isiwe taabu kwani tayari akilini mwake alikuwa ameshahisi kuwa hakukuwa na jambo jingine ambalo Dokta Kisarawe alihitaji zaidi ya mchezo wa baba na mama.
Akaanza kujibu mashambulizi kwa kujibu mapigo ya utundu wa ajabu. Kwanza alimuangalia Dokta Kisarawe kwa macho ya karibu tena bila kupapasa, akamkazia na kusogeza kabisa kinywa chake karibu na cha Dokta Kisarawe, hapo akatoa ulimi wake mpana uliojaa mate ya uchu.
Hakuishia hapo, akausogeza kabisa karibu na midomo ya Dokta Kisarawe na bila kujali harufu ya sigara iliyokuwa ikitoka kinywani kwa mwake, Monica alitumbukiza ulimi wake mdomoni na kuanza kuuviringisha kila kona.
Utalaamu alioutumia kuchezesha ulimi wake kwa mbwembwe zaidi mdomoni, hali hiyo ilimtia wazimu Dokta Kisarawe na kuanza kugugumia kama dume la njiwa lililotoka malishoni.
Dokta Kisarawe akazidi kutoa sauti ambayo haikueleweka.
Monica naye akiwa na hali mbaya ya mhemko kutokana na kuchezewa kwa muda mrefu na mikono ya Dokta Kisarawe ambayo alikuwa akiipitisha maungoni kwake kwa ufundi na umaridadi wa kiwango cha juu.
Bila kutarajia, wailjikuta wakiwa wameegemea kitanda cha kulaza wagonjwa huku kila mmoja akiwa anahema kama aliyetoka kukimbia mbio ndefu za marathoni.
“Baby…,” Monica aliita huku akiushika mkono wa kushoto wa Dokta Kisarawe na kuupitisha katika tunda lake la kulia na kuanza kumwelekeza jinsi ya kulipikicha kwa ustadi mzuri, kitendo cha dokta huyo kuanza kupita juu ya eneo jeusi lililokuwa likizunguka kikonyo cha tunda hilo.
“Basi, basiiiii, basiiiiii jamaniiii…,” Monica uzalendo ulimshinda na kuanza kujinyonyoa manyoa bila ya kutakiwa kufanya hivyo, alipomaliza kujipembua, huku akilalamika kwa sauti ya kudai huduma, haraka alimvuta Dokta Kisarawe na kumlalalia kifuani mwake, akajiweka sawa tayari kwa mechi kali ya watani wa jadi.
DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 08
TULIPOISHIA
Haraka alimvuta Dokta Kisarawe na kumlalalia kifuani mwake, akajiweka sawa tayari kwa mechi kali ya watani wa jadi,.
SASA endelea
Kila mmoja wao alikuwa na hali ya uhitaji wa huduma.
Refaa na wasaidizi wake wakaingia uwanjani na kuruhusu mechi kuanza…
Kila upande ulianza kwa kasi kubwa na mashambulizi ya kushitukiza kwenye lango la upinzani, hali iliyowafanya washangiliaji wa pande zote kulipuka kwa mayowe kila mara.
Si Dokta Kisarawe aliyekuwa akifungua kinywa kusema chochote zaidi ya miguno na mihemko ya raha kusikika.
“Mmh! Jamani doktaaa…” Monica akajikuta akichombeza baada ya kuzidiwa na manjonjo ya Dokta Kisarawe…
“Nini tena jamani Monica, aaah, basi bwana mama…” Dokta Kisarawe naye akawa anagugumia kwa raha baada ya mikono laini ya Monica kupapasa maeneo hatari ya mwanaume huyo.
Monica alikuwa akitembeza vidole vyake kwenye bustani ya kifuani ya Dokta Kisarawe, akawa anavitanua vidole na kuvikutanisha kama mkasi ukatavyo nguo, wakati mwingine vidole hivyo vikawa vinagusa hadi vinundu viwili vya kifuani hapo hali iliyomfanya daktari huyo wa tiba za akina mama aanze kuangua kilio cha raha ya ajabu.
Monica hakuishia hapo, sasa mikono ikawa inatambaa kwa kasi katika sehemu mbalimbali za mwili wa Dokta Kisarawe.
“Jamani mama, si tumesema tuanze…”
“Nakusubiri baba…”
“Oooh, nasikia hali ya tofauti sana mama…,” Dokta Kisarawe aliendelea kulalama huku mechi ikiendelea kuchezwa.
Kuna wakati Monica alimzuia Dokta Kisarawe kuendesha gari lake, na kumtaka atulie ili yeye kunyonga la kwake bila bughudha.
“Tuliaaa, tuliaaa jamaniii…,” Monica alisema huku akimshikilia kwa nguvu Dokta Kisarawe.
Monica akawa anajizungusha peke yake huku macho yakiwa yamefumbwa, muda mfupi baadaye akaanza kutoa miguno mfululizo huku ulimi akiutoa nje.
Akawa anakunja mapaja na kunyoosha miguu kama kuku aliyekuwa akijinasua kutoka kwa mchinjaji.
“Aaa, aaaah, aaaahaaa…,” Monica alitoa kelele hiyo na kutulia baada ya kufika mwisho wa safari yake.
Kuona hivyo, Dokta Kisarawe naye akakazana na muda si mrefu naye akatangaza kufika mwisho wa safari yake ndefu na ya kuchosha.
“Ooooh, oooffffuuu…” alihitimisha huku akijinasua maungoni mwa Monica.
Baada ya mechi hiyo, haraka sana Monica alinyanyuka na kukaa juu ya kitanda hicho cha kulaza wagonjwa na kujiinamia huku akitoa kwikwi za kilio hali iliyomshitua sana Dokta Kisarawe.
“Haa, mbona unalia tena jamani?” Dokta Kisarawe alihoji huku akimalizia kuvaa suruali.
“Kwa nini mimi jamaniiii?” Monica akazidi kutoa kilio cha malalamiko na kujifuta machozi mengi yaliyokuwa yakitiririka kwa kasi ya ajabu mashavuni mwake.
“Kha, sasa mbona unalia na kuhoji kwa nini wewe, maana yake nini sasa…,” Dokta Kisarawe akawa anauliza na kumsogelea mahali pale, akamgusa begani.
Monica akauondoa mkono wa Dokta Kisarawe kwa kasi hali iliyomjulisha daktari huyo kuwa hali si shwari kwa mrembo huyo.
“Kwa nini nimemsaliti mume wangu mimi?” Monica akawa anasema kwa sauti ya juu na kumshitua Dokta Kisarawe aliyekuwa akihofia watu waliokuwa nje kusikia.
“Sasa Monica, unaposema hivyo kwa sauti ya juu kiasi hicho maana yake nini jamani, au unataka watu wafanye mambo humu ndani?”
“Kwa nini umenishawishi na kumsaliti mume wangu jamani dokta?” Monica akazidi kuhoji huku akitafuta nguo zake na kuanza kuvaa huku akijisonya.
“Sikiliza Monica, wote tumejikuta katika hali hiyo, hakuna wa kumlaumu hapa, sasa nakushangaa sana kama utaanza kunilaumu mimi wakati kama ni raha tumezipata wote…”
“Raha gani, raha gani dokta nakuuliza, au unataka nikujazie watu chumbani kwako?” alilalama Monica.
“Sasa kwa nini ufikie huko kote, halafu unaposema nilikushawishi nashindwa kuelewa, hadi naanza kukushawishi ulikuwa wapi?”
“Wewe ndiyo chanzo cha usaliti, kwani mimi nilikuambia naumwa huko, ulipoanza kushika sehemu ambazo hazihusiani na ugonjwa wangu nilikuambia kabisa kuwa dokta mi’ siumwi huko, lakini hukusikia, lengo lako lilikuwa nini…?”
“Unajua Monica hatupaswi kulaumiana sana kwa hili?” alisema Dokta Kisarawe huku akionesha uso wa huzuni japo moyoni alikuwa akifurahia na kujipongeza kwa kitendo cha kufanikisha kula tunda la mtoto mzuri kama Monica.
“Unasemaje wewe, hivi una akili kweli?” Monica aliendelea kung’aka chumbani humo.
Kutokana na maneno matamu na kuonesha heshima aliyokuwa akiyatoa Dokta Kisarawe, kwa kiasi fulani yalichangia kumlainisha Monica na kuanza kushuka taratibu.
“Sawa lakini siyo vizuri bwana”
“Sawa jamani, naomba tuchukulie kama bahati mbaya mama,” alisema Dokta Kisarawe.
Kitendo cha daktari huyo kutumia jina la mama wakati wa kumuita Monica, kilimfurahisha sana mrembo huyo kwani tangu aolewe hakuwahi kuitwa kwa jina hilo na mumewe.
“Poa, nimekuelewa, nimekuelewa baba;” Monica naye alijibu kwa sauti ya chini lakini alijikuta akimalizia kwa neno la baba hali iliyomshangaza na kumchanganya sana Dokta Kisarawe.
Kwa pamoja walivaa nguo zao huku kila mmoja akikumbuka utundu na utaalamu wa mwenzake.
“Ila twende mbele turudi nyuma, huyu dokta ni kiboko kwa mambo ya chumbani, sasa kama amenifanyia utundu wote huu kwenye eneo lisilokuwa na uhuru kama hili, vipi kama tukikutana ndani ya chumba tukiwa na muda wa kutosha, itakuwaje?” Monica aliwaza huku akimalizia kuvaa nguo yake ya ndani kabla ya kumalizia kwa zingine.
“Dah! Hata Mungu aliposema nitakufanyia msaidizi, aisee alikuwa akimaanisha huyu, mama yangu vile nakuambia…,” Dokta Kisarawe alijisemea kimoyomoyo huku akifunga mkanda wa suruali yake pana kiunoni.
“Sasa kwa hiyo kuhusu tiba dokta;?” Monica alimuuliza Dokta Kisarawe huku akimuangalia kwa macho ya; Ila unayaweza sana.’
“Aaah, kuhusu tiba inabidi uje baada ya siku mbili lakini kwa sasa nitakupa vidonge f’lani, sawa?” alijibu dokta huku akimuangalia Monica kwa jicho la hata hii si ni sehemu ya tiba?’
Baada ya muda waliagana na Dokta Kisarawe akampa Monica vidonge f’lani vya rangi nyekundu na kumpa maelekezo ya namna ya kuvitumia.
“Basi sawa, lakini dokta nitakushukuru mno kama nitapona na hatimaye kupata mtoto, ujue nina hamu sana ya kuitwa mama jamani;,” Monica alisema huku akimtolea macho Dokta Kisarawe hali iliyobadili kabisa hali ya mzunguko wa damu wa daktari huyo mwenye uchu wa warembo wazuri kama alivyokuwa Monica.
“Usijali Mamie, mimi ndiyo Dokta Kisarawe bwana, si umeona mfano kwa rafiki yako Sulee, naye alikuja hapa akiwa haamini kama wewe lakini kwa sasa ni mama kijacho…”
“Mmh! Sawa kama kweli basi mimi naenda bwana”
“Sawa, tutaonana”
Monica alifungua mlango na kuwakuta wateja wengine wakingojea huduma ya Dokta Kisarawe.
Walimtupia Monica macho ya chuki kwani kitendo cha kuitwa yeye kwanza na kuwaacha waliokuwa wametangulia kiliwakera na kuwaudhi vibaya mno.
“Muone kwanza, watu wengine wanajirahisi kwa madaktari wakidhani ndiyo njia pekee ya kutibu magonjwa yao sugu;,” yalikuwa mazungumzo ya akina mama wawili waliokuwa wamekaa kwenye benchi la kusubiri zamu huku wakimuangalia Monica kwa jicho baya.
Monica alimkuta rafiki yake Sulee amenuna bila kujua chanzo na sababu ya yeye kufanya hivyo. Moyoni akawaza huenda kilichomuudhi Sulee ni kitendo cha yeye kuchelewa chumbani kwa dokta.
Hali ilikuwa tofauti kabisa kwa upande wa Sulee, wivu wa mapenzi ya Dokta Kisarawe ulikuwa umemkaba hadi shingoni na sasa alikaribia kuzimia kwa hasira.
Kitendo cha kusikia meza na viti vikitoa sauti ya kusukumwa kila mara kilichangia kwa asilimia nyingi sana kwa Sulee kuamini kuwa ni lazima kwa vyovyote vile Monica atakuwa ametembea na Dokta Kisarawe jambo ambalo lilimuumiza kuliko ncha ya wembe kupita kwenye kidonda kibichi.
“Vipi rafiki yangu mbona unaonekana umenuna sana, pole kwa kuchelewa mwaya, “Monica alijibalaguza huku akimshika begani Sulee bila kujua hali mbaya ya wivu iliyokuwa ikimtesa mke huyo wa mtu.
“Ina maana kweli Monica unaweza kunifanyia hivyo;?” aliuliza Sulee kwa sauti ya kukwaruza.
“Nimefanya nini tena Sulee, si nimekuomba msamaha kwa kuchelewa jamani?”
“Si umetembea na Dokta Kisarawe wewe;,” alijibu Sulee kwa sauti ya juu na yenye hasira.
Je, nini kitatokea kuhusu penzi la Dokta Kisarawe na wawili hao?
DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 09
TULIPOISHIA
Si umetembea na Dokta Kisarawe wewe;,” alijibu Sulee kwa sauti ya juu na yenye hasira.
Sasa ENDELEA
“Mimi Sulee, una akili kweli au? Kwa nini unifikirie hivyo jamani?”
“Akili ninazo tena nyingi sana Monica.
Sasa ile kukurukakara ya viti kutoa mlio ilikuwa nini?
Ndiyo matibabu yenyewe?”
“Sasa je? Madokta we Sulee unawajua, wakimpima mwanamke mara wamshike makalio, mara watamani kumbusu, kama hukutumia akili yako unaweza kujikuta umemalizwa.”
“Mh! Mi siamini Monica.”
“Kwa nini huamini? Kwanza naomba nikuulize Sulee, umekuwa ukiniwekea wingu kuonana na dokta, kwani ni nani yako?”
Sulee alishtuka kwa swali hilo hasa alipokumbuka kwamba, mumewe na mume wa Monica ni marafiki na wao pia ni marafiki.
Mambo yanaweza kufika mbali…
“Mi nimeuliwa tu, si nani wangu wala nini!”
“Sasa ni kwa nini umenitolea mimacho kwamba nimetembea na dokta kisa ulisikia viti vikilialia ndani?”
“Maana yangu usije ukamsaliti shemeji.”
“Mmmh! Au wewe siku ulipotembea naye mliliza viti? Sema ukweli Sulee.”
Ilibidi Sulee acheke ili kupoza mambo, akabalaguza kwa kuanzisha hoja nyingine kabisa nje ya hiyo.
Lakini Monica alishapata ujumbe, aliamini kuna kitu kati ya Sulee na Dokta Kisarawe…
“Amekupa dawa lakini?” aliuliza Sulee.
“Ndiyo, amesema nitumie hizo kisha niwasiliane naye.
Walifika kwanza nyumbani kwa Sulee, baadaye Monica akaenda nyumbani kwake.
Alifikia kwenye kiti akiwa amechoka sana kwa purukushani za Dokta Kisarawe…
“Lakini kama asingetumia nguvu walahi vile asingenipata, ana bahati sana, kidogo nimpigie kelele…
“Lakini lo! Dokta anayajua mambo yule, sijui ni dokta wa mapenzi au wa mwili.
Kama ofisini kwake tena chapchapu ni vile. Je, tungekuwa chumbani?” Monica alijikuta akiwaza mengi sana kuhusu dokta na mazingira yote yaliyotokea. Ilikuwa mara yake ya kwanza kumsaliti mumewe na akahisi kuna tofauti kubwa kati ya mumewe na Dokta Kisarawe.
“Kwanza mume wangu hana pawa sana kama dokta.
Halafu mume wangu utadhani hahemi, dokta anatoa mhemo mpaka unajua mwanaume yuko kazini,” alisema moyoni Monica.
***
Dokta Kisarawe alikaa kwenye kiti akimuwaza Monica…
“Huyu mwanamke ni mzuri sana kuliko wengine.
Da! Bonge la mwanamke.
Sijawahi kukutana na mwanamke mzuri kama huyu, ngozi nzuri, laini, hana kipele wala manundunundu kama wengine,” aliwaza moyoni daktari huyo ambaye inawezekana mpaka kwa Monica ni mwanamke wa mia mbili tangu aanze kutoa tiba.
***
Usiku wakiwa kitandani, mume wa Monica ndiye aliyeanza mazungumzo…
“Mke wangu, kwa dokta kuliendaje leo?”
Monica moyo ulimlipuka, alihisi aliulizwa swali lile kwa maana kwamba mumewe amesikia alitembea naye palepale kazini.
“Kwani vipi mume wangu?” Monica aliuliza kwa sauti ya chini.
“Ulikwenda hukwenda?”
“Nilikwenda dear.”
“Si ndiyo nakuuliza kulikuwaje?”
“Ooo, alinipa dawa akasema nitumie nikimaliza nirudi kumwambia.”
“Basi, tusubirie. Asubuhi unioneshe hizo dawa.”
“Sawa.”
***
Nyumbani kwa Sulee, mumewe alikuwa akilishikashika tumbo la Sulee akijifanya ndiyo anaulea ujauzito huo kwa mapenzi ya dhati…
“Natamani uzae hata leo mke wangu.”
Sulee alicheka huku moyoni akisema…
“Ungejua mtoto si wako, wala usingejipongeza, mwenzako mwenye nguvu za kusababisha mtoto ndiyo amehusika.”
***
Asubuhi, mume wa Monica akiwa ameshajiandaa kutoka kwenda kazini alikumbuka kitu, akamwita mkewe…
“Abee.”
“Nipe zile dawa.”
Monica alikwenda chumbani, akatoka na kipakti…
“Tena dokta alisema nikitaka kuzinywa lazima niwe nimekunywa chai ya kutosha,” alisema huku akimpa dawa hizo mumewe…
“Khaa! Mbona ni dawa mpya za mafua mke wangu, vipi kwani?”
“Dawa mpya za mafua?”
“Ndiyo.
We hukumbuki siku zile mama alipokuja akawa anasumbuliwa na mafua nilinunua dawa hizi?”
“Mh! kweli?
Kwani zile si zipo, ngoja nikazilete.”
Monica alikwenda kwenye bakuli kubwa la plastiki, akachakurachakura na kuona kipakti cha dawa hizo.
“Kweli mume wangu, si hizi hapa!”
“Si ndiyo sasa.”
“Mh! Ina maana Dokta Kisarawe kaniingiza mkenge siyo?”
“Haya, kumbe dokta mwenyewe anaitwa Kisarawe! Kisarawe si walaya ya mkoa wa Pwani, tangu lini likawa jina la mtu! Makubwa haya.”
Monica alifedheheka, akaanza kuhisi Sulee amemwingiza mkenge kwa kumpeleka kwa daktari feki na si yule aliyemsaidia yeye…
“Lakini kama ni feki, mbona pale nje palikuwa na wanawake wengine wengi tu tena wasiofahamiana na Sulee. Au..?” alishindwa kumalizia.
Baada ya dakika tano mumewe kuondoka, Monica alishika simu, akampigia simu Dokta Kisarawe…
“Dokta za leo, mimi Monica…”
“Ooo, Monica mpenzi, umeamkaje? Vipi, umenimisi my dear?” “Sikiliza Dokta Kisarawe…”
Enhe, nakusililiza baby.”
“Umenipa dawa gani?”
“Lini?”
“Jana.”
“Si za kusaidia kutunga mimba!”
“Mh! mbona ni dawa za mafua?”
“Sikiliza mpenzi wangu, mimi siwezi kukupa dawa sizo.
We endelea kutumia hizo dawa halafu baada ya siku ishirini utaniambia matokeo,” alisema Dokta Kisarawe.
“Mh! Sijui, yangu macho.”
“Kwani uko wapi Monica mpenzi?”
“Nyumbani.”
“Unafanya nini?”
“Ndiyo nimeamka.”
“Naomba tuonane leo nje ya nyumbani kwako au nje ya hapa hospitalini kwangu.”
“Unataka nini tena?
Jana si ulifanikiwa?”
“Nilifanikiwa lakini si kwa uhuru nilioutaka.”
“Uhuru gani? Kwani ulitaka uhuru au ulitaka kutimiza haja yako?”
“Haja na uhuru.”
“Kwanza nimegundua kitu, wewe na Sulee ni wapenzi, unabisha dokta?”
“Si kweli, kama mwenyewe Sulee amekwambia hivyo basi ujue ananitaka maana nilishawahi kuona dalili za kunitaka lakini nikampotezea, unajua lazima upende kilicho kizuri kama wewe.”
“Kwani mi mzuri dokta?” Monica alianza kulainika sasa, hata lugha aliyotumia iliashiria hivyo…
“Sana, Sulee atasubiri sana kwako.”
“Mmmh! Ya kweli hayo?”
“Mimi nakwambia ndiyo maana nimeomba tuonane na wewe nje ya nyumbani kwako au nje ya hapa kazini kwangu.”
“Saa ngapi?”
“Sema wewe unataka saa ngapi?”
“Mimi jioni siwezi kutoka kwani nakuwa naandaa chakula cha mista mwenyewe, muda wangu ni asubuhi mpaka kwenye saa sitasita hivi.”
“Basi tukutane asubuhi hii.”
Walipanga kukutana kwenye gesti ya Kivumbi na Jasho nusu saa mbele ambapo Monica palepale aliingia bafuni kuoga na kuvaa.
Kwa vile ilikuwa ahadi maalum, Monica alivaa sana siku hiyo.
Alipigilia gauni jepesi la kufika magotini na hivyo sehemu kubwa ya mapaja kuwa wazi. Hakuacha pafyumu kwa kujipulizia kwa wingi.
Midomo aliichora kwa rangi nyekundu huku nyusi akizipunguza kwa staili ya kukatia na kusiliba kwa wanja.
“Hapa naamini dokta ndiyo atazidi kukubali uzuri wangu. Si amesema mimi ni mzuri kuliko Sulee.
Leo atajua mimi pia ni mzuri kuliko Kleopatra wa Misri.”
Alibeba kipochi cha begani kilichokuwa na kanga pea moja ndani yake, akachukua Bajaj hadi kwenye gesti hiyo ambapo dokta alishafika kama dakika kumi nyuma.
Alisimama nje ya gesti akamtumia meseji…
“Nipo nje.”
“Ingia namba kumi.”
***
Monica alishaingia chumbani na alikuwa amelala kwenye mapaja ya Dokta Kisarawe akimkunakuna mgongoni huku akizidi kumsifia sana…
“Baby wewe umeumbika bwana, kama hujui naomba ujue sasa.”
“Kweli dokta?”
DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 10
TULIPOISHIA
“Baby wewe umeumbika bwana, kama hujui naomba ujue sasa.”
“Kweli dokta?
ENDELEA
“Kweli kabisa.”
“Kule kushikwashikwa kulimpandisha mashamsham Monica, akaanza kuchaji. Hata kuhema kwake kulibadilika, pozi zilikuwa na kutegatega. Yeye mwenyewe akatoka kwenye miguu ya kwa dokta na kusimama, akajivua gauni, akabaki na kufuli tu, dokta akabahatika kuona uzuri wa mapaja ya mwanamke huyo.
Naye alikurupuka, akasimama, akavua suruali huku akichekacheka kama fisi aliyeona mbuzi akikatizia jirani yake kule porini.
“Lakini leo lazima dokta utumie kinga.”
“Khaa! Monica unataka mimba hutaki mimba? Kinga ya nini tena wakati unasema hujawahi kunasa ujauzito?”
“Ndiyo, lakini sitaki ujauzito wa kwako au mwanaume mwingine nje ya mume wangu.”
“Unaamini yeye anaweza kukuzalisha?”
“Si umenipa dawa!”
Dokta Kisarawe alikosa cha kuongeza, akabaki amemkodolea macho mwanamke huyo lakini kutoka moyoni hakupenda kutumia kondom kwake.
“Please my dear, twende uwanjani bila viatu,” alisema dokta huyo huku macho yake yakiwa yanakosa nguvu polepole.
“Hapana dokta, siwezi, tutumie viatu ili nisichomwe na miba. Kama ni miiba nataka ya mume wangu tu.”
“Nikwambie kitu Monica?”
“Niambie dokta.”
“Ujue raha ya mchezo kama huu ni kuingia uwanjani pekupeku, mguu kwa mguu, nyasi kwa nyasi,” hapo sasa Dokta Kisarawe alikuwa amemsogelea Monica na kumshika, akamvutia kwake…
“Noo dokta.”
“Please, nikubalie Monica,” dokta alisema huku akisogeza midomo yake kwenye sikio moja la mwanamke huyo na kumpumulia kwa karibu hali iliyomchanganya Monica ghafla…
“Aaa…dokta…”
“Nini tena Monica jamani?”
“Acha!”
“Kwani unaumia Monica?”
“Dokta bwana, unaniteke…”
“Mmm, polepole Monica wangu,” alisema dokta kwa sauti nene huku akizidi kumhemea, maskini Monica alikosa nguvu ghafla na kulegea.
“Do…do…dok…taaa.”
“Ee.”
“Kwa…kwa…ni…ni..?”
Dokta Kisarawe alimbeba Monica na kumpandisha kitandani, akamfuatia kwa haraka ili asimtoe kwenye ile hali ya msisimko.
Kuanzia hapo, Monica hakusema tena, alimwacha dokta huyo afanye kila alichotaka na yeye alikuwa tayari.
Miguno ilimtoka kinywani mrembo huyo kila pasi ya mpira ilipopigwa kwake, macho yalijaa giza jekundu huku mwili ukiwa mwepesi hasa sehemu ya katikati ambayo inaruhusu mwili kujimega sehemu moja na nyingine, hasa juu kwenda kifuani na chini kwenda magotini.
Wakiwa wazimawazima, wote walijikuta wakitangaza kila mmoja kujipatia pointi moja kwa mkwaju wa nguvu kuliko ule wa penati, wakatulia Monica akijikunjakunja kama samaki aliyerushwa nchi kavu kutoka majini na mvuvi mwenye utaalam wa hali ya juu.
“Iloo, lione kwanza,” Monica alimwambia Dokta Kisarawe huku akijua kwamba alizidiwa na kujikuta akishindwa kusimamia msimamo wake wa kucheza mechi na viatu, akakubali kucheza bila viatu.
“Umedhurika nini sasa mpenzi wangu Monica?” aliuliza dokta huku akichekacheka kimtindo.
“Madhara yapo. Je, nikinasa?”
“Hupendi kunasa?”
“Nilishasema nataka kwa mume wangu.”
“Huwezi kunasa, mi najua. Utanasa kwa mumeo tu.”
***
“Mambo Sulee?” Monica alimsalimia shoga yake huyo siku saba baada ya siku thelathini na moja za mwisho wa mwezi.
“Poa Monica, niambie.”
“Hivi unajua nimepita siku kama kumi na moja?”
“Kweli?”
“Eee.”
“Basi piga vigelegele Monica, tayari.”
“Inawezekana kweli?”
“Kabisa.”
***
Monica aliamua kwenda kwenye zahanati ya jirani na kwake ili akathibitishe kama kweli amenasa…
“Mh! Kama kweli atakuwa mume wangu tu. Siku ile si dokta alisema hakukuwa na uwezekano.”
Monica alipima haja ndogo, akasubiri majibu yake huku kiroho kikimdunda! Hakuwa amemwambia mume wake kuhusu kupitisha muda huo wote na mume naye siku hiyohiyo alikwenda kwenye hospitali moja kubwa kwa ajili ya kucheki mfumo wake wa uzazi kama upo sawa au la!
Wakati mumewe akiwa kwenye benchi akisubiri majibu, yeye alikuwa kwa dokta akipokea na alipanga asimwambie mkewe kwa majibu yoyote yale…
“Ndugu nani…katika maisha yako uliwahi kupata ajali ya gari hivi?” dokta alimuuliza mume wa Monica.
“Yeah! Mwaka elfu mbili na tatu.”
“Ulikuwa hujaoa?”
“Yah!”
“Sasa bwana sikiliza nikwambie, wewe mfumo wako wa uzazi ulivurugika baada ya ajali hiyo. Kwa hiyo huwezi kumpa mimba mwanamke.”
“Kweli dokta?”
“Ndiyo vipimo vinavyosema.”
***
“Mrembo majibu yako yapo sawa. Una ujauzito wa siku kumi na moja sasa. Hongera sana, mwambie mzee pia nampa hongera
ake,” daktari wa zahanati aliyokwenda Monica alimwambia.
“Kweli dokta?”
“Ndiyo kipimo kimesema hivyo mrembo. Wewe ni mjamzito.”
“Jamani, kweli Mungu mkubwa. Asante Mungu wangu. Mume wangu atafurahije?”
Monica alitoka akiwa na furaha iliyopitiliza, moja kwa moja hadi nyumbani, akafikia sebuleni ili ampigie simu mumewe na kumpa habari njema.
Simu ya mume wake iliita kwa muda bila kupokelewa, ikakatika akapiga tena…
“Khaa! Huyu vipi kwani? Simu hapokei, yuko wapi?”
Akajaribu kama mara tatu mpaka nne bila kupokelewa, akaamua kutuma meseji akiamini kwamba kama mumewe yuko mbali na simu, akiifikia atakutana na ujumbe wake mzuri…
“Baby, Mungu mkubwa mume wangu. Nimekwenda kupima nimeambiwa nina ujauzito. Da! Kweli Mungu hamtupi mja wake.”
Baada ya kutuma meseji hiyo, Monica alikaa nusu saa bila kujibiwa hali iliyompa wasiwasi, alianza kuhisi mumewe amepata matatizo makubwa mahali, akapiga tena simu, haikupokelewa.
“Mmh! Siyo kawaida,” alisema moyoni Monica lakini hakuchukua hatua yoyote. Ile furaha yake ikachanganyika na wasiwasi.
***
Mume wa Monica alikaa kwenye mgahawa mmoja na mume wa Sulee wakizungumza. Mume wa Monica alikuwa akimsimulia alichoambiwa na daktari baada ya kupima eneo la uzazi…
“Kwa hiyo ndiyo hivyo bwana, mimi sina uwezo wa kuzaa tena kwa mujibu wa yule daktari. Nimeumia, lakini nimeikubali hiyo hali, sina jinsi.”
“Da! Sasa shemeji yeye huko anakohangaika kwa Dokta Kisarawe ina maana anapoteza muda tu?”
“Kiukweli anapoteza muda ndugu yangu.”
Meseji nyingine iliingia kwenye simu ya mume wa Monica, mume wa Sulee akamshauri azisome…
“Kaka, kuna simu zimepigwa na meseji zimeingia, ungesoma hata meseji ujue nani, pengine madili ya hela.”
Mume wa Monicha aliivuta simu ilipokuwa, akaitumbulia macho…
“Shemeji yako amepiga mara kibao, halafu kuna meseji yake hapa, anasemaaa…baby, Mungu mkubwa mume wangu. Nimekwenda kupima nimeambiwa nina ujauzito… Da! Kweli Mungu hamtupi mja wake.”
Mume wa Sulee alishtuka kusikia hivyo, mume wa Monicha akaishiwa nguvu kabisa…
“Au dokta amekudanganya ndugu yangu, uko fiti!”
“Noo! Sidhani, huyu atakuwa na mimba ya mwanaume mwingine, kweli kabisa.”
“Hapana bwana, itakuwa yako.”
“Kaka, mimi nimemwamini dokta. Unajua nilishawahi kuwa na demu kabla ya Monica hakuwahi kunasa ujauzito wangu, lakini nilipomwacha tu, akaenda kunasa kwa jamaa mpya. Huoni kama ni kweli sina uwezo wa kuzalisha?”
“Mh! Shemeji anaweza kufanya hivyo?”
“Ndugu yangu, wanawake wanaweza. Tena unajua afadhali na mwanaume anayeweza kuzaa mtoto akamwacha kwa mama yake huko wapi sijui, lakini wao mtoto unalala naye kitandani lakini si wako.”
“Sasa unadhani iweje ili kubaini ukweli au uongo wake?”
“Itabidi nifanye uchunguzi.”
“Dah! Aisee, kama mimi nigundue mke wangu amebeba mimba ya mwanaume mwingine kwa kweli nadhani naweza kufanya jambo baya sana ulimwengu ukanishangaa.”
“Ni kweli. Lakini wewe mwenzangu si uwezo wa kuzaa unao kama hivi shemeji ni mjamzito na ulishawahi kumpa mimba yule mtoto wa mjumbe ukaitoa.”
“Eee, mimi ni mzima kaka, si Diana mtoto wa mjumbe tu, kuna demu anaitwa Maureen naye nilishampachika mimba ikatoka yenyewe,” alisema mume wa Sulee kama anayejitapa kwa mwenzake.
“Mimi bwana nitakwenda hadi kwenye DNA kutaka uhakika, niko tayari kutumia gharama yoyote ile lakini najua mwisho wa siku mtoto si wangu, naamini.”
“Mimi nitakuwa pamoja na wewe.”
Waliagana, kila mmoja akaelekea nyumbani kwake.
***
“Za kazi mume wangu?” Sulee alimsalimia mumewe.
“Nzuri tu.”
“Mbona kama haupo sawa?”
“Nitakuwa sawa kivipi wakati kumbe mnatusaliti?”
“Kivipi tena?”
“Monica amekwenda kupima akagundulika ana ujauzito…’
“Usiniambie, mbona hajania…”
“Sikiliza wewe, mbona unadandia kwa mbele.”
“Enhe?”
“Wakati yeye amekwenda kupima, mumewe naye alikwenda kupima, akabainika hawezi kumpa mimba mwanamke, sasa hiyo ya Monica ameipata wapi?”
“Mh! yamekuwa hayo?”
“Ndiyo maana yake. Nadhani hata hiyo ya kwako si yangu mke wangu.”
“Hamna my dear, mimba yako hii wala usiwe na wasiwasi,” Sulee alisema huku sura yake ikichora alama ya unyonge, alivuta picha kuhusu Monica akaamini hisia zake kwamba alitembea na Dokta Kisarawe ni za kweli.
“Lakini baby, unajua niliwahi kuhisi kwamba Monica anatembea na yule dokta aliyetupa dawa.”
“Dokta Kisarawe?”
“Ndiyo.”
“Kama ametembea naye yeye basi hata wewe umetembea naye maana ndiye uliyempeleka.”
“Wala, mimi hawezi.”
“Hawezi wewe mkali, mgumu, mjeuri au mwanaume mwenzake?”
“Hawezi tu.”
“Sikia Sulee…
Nakusikilia mume wangu.”
“Mimi si mjinga kama mume wa Monica, mimi mjanja sana.”
“Najua sana lakini siwezi kukusaliti mume wangu, amini.”
“Lakini si mlikuwa mnapelekana wote?”
“Ndiyo, lakini sijatembea na Dokta Kisarawe.”
“Je, nikigundua umetembea naye?”
“Nifanye lolote lile.”
“Sawa.”
***
Je Kutaenda je !!?