DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 16
TULIPOISHIA
“Sawa Sulee mimi narudia
kijijini nikaanze maisha mapya”
alisema Monica huku
akitokwa na Machozi sana”
“sikiliza Monica baki nasi hapa hapa mjini sawa utakaa na sisi”
“kweli shangazi oooh Asante Mungu wangu”
ENDELEA
BAADA YA MIEZI MIWILI
Dokta kisarawe
alihama Dar na kuamia Morogoro
huko alikutana na kijana mmoja
aliye itwa Adams j maryo jr.
Aliye kuwa mfanya biashara
hapo Morogoro Dokta kisarawe
aliacha kazi ya udokta na kuanza kufanya biashara anazo fanya
Adams za Magari kutoka
japani Maisha yalisonga sana
kisarawe alikuwa mwembamba sana lakini alikuwa kanenepa vibaya ndani ya miezi mi3 tu
mambo yake yalikuwa safi
kutokana na Elimu yake kuwa kubwa sana alikuwa msaidizi
katika kampuni ya Adams Maryo.
Adams alikuwa akimtumia kisarawe katika mahesabu na hata akwenda nae japan,.
***
“Unajuwa safari moja tu nimeona
mabadiliko katika biashara yangu
kaka kisarawe”
“unajuwa kwa nini”
“hapana sijajuwa”
“tatizo lugha ulikuwa huiwezi
walikuwa wakikuibia sana bei ya gari moja walikuwa wakikuibia zaidi ya laki7 ya tz”
“sasa umenifungua akili,.
kaka sasa kivipi”
“kulikuwa kuna pesa inayo tolewa
katika jumla ya manunuzi
wewe ulikuwa hujuwi”
“ok asante nakutegemea
kaka”
“tupo pamoja”
****
Sulee alikuwa mtu waku lia kila
Mara Monica alikuwa ndiye Mtu wa kumliwaza Muda wote
Mimba zao zote zilikuwa za miezi 7 kila Mtu Sulee alikonda sana
alishindwa kula Hakuwa na Furaha kabisa Moyoni mwake
alimchukia kabisa dk kisarawe
kwaku sababisha Ndoa yake
kuvunjika :
“Monica nina siri kubwa sana
kuhusu Sulee”
“siri gani hiyo Shangazi…
Ila wewe inaonekana haujatulia
kabisa unaweza ukamwambia”
“Shangazi wewe ndiyo nguzo
yangu katika maisha yangu yote kwa sasa siwezi kumwambia kabisa shangazi naumia
sana kumwona sulee akiwa katika
hali ile”
“Hata mimi najuwa
sana kutoa mimba nikosa sana
lakini je ukimsababishia
nidhambi pia?”
“shangazi mh hapo sijuwi
ila ni dhambi siyo kubwa”
“huna uwakika Monica”
“ndiyo”
“basi kuna jambo ambalo
nataka itoke ikitoka
Nahuakika sulee mwanangu atakuwa na Afya njema”
“sasa shangazi ni jambo gani hilo
nijuwe maana mimi na wewe ni walezi wake sasa kila siku
hali yake ina zidi kuyumba
ona anavyo pungua hata kama ana H I V.
Ni miezi michache sana
hawezi kuwa ana dhohofika
kiasi hiki huyu hata mawazo
yana changia”
“ngoja kesho takwambia”
“shangazi sawa”
“acha niende kazini
badae”
“kazi njema Mama”
“leo unaniita mama”
“yah kuanzia leo
takuita mama nasiyo shangazi
naomba ukubali”
“sawa maana wanangu wote
wapo makwao hapa sina
mtu wakunipa mahaba ya kuniita mama nita furahi sana”
****
Baada ya siku moja:,.
“Monica”
“Naam sulee”
“hivi imekuwaje wewe huna ukimwi na mimi ninao”
“kwa nini wauliza hivyo”
“nawaza sana sijuwi
kwa nini maana wote tumetembea na mtu mmoja
Dokta kisarawe mwenye
ukimwi”
“hata mimi sijuwi
ila punguza mawazo mpezi wangu
una niliza sana napo kuona”
“hapana Monica najuta sana
Mume wangu tulikuwa tukipendana sana sana ujinga wangu umeniponza nilifanya vile
kuokoa ndoa yangu kumbe ndiyo
nilikuwa naipoteza jamani
hiii hiii mmh”
“nyamaza wangu
usilie Sulee”
“ina uma sana”
“jikaze sulee angalia upo katika
hali mbaya siyo vizuri kulia lia
kila mara”
Hali ya Sulee ilikuwa mbaya sana
Monica alitoka nje nakumwita dereva ili wampe msaada :
“dereva sulee kadondoka
hali yake mbaya sana twende tukampe msaada”
Monica dereva pamoja na mlinzi
waliingia ndani nakumkuta,.
Je nini kimetokea endelea Kufuatilia
DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 16
TULIPOISHIA
“Sawa Sulee mimi narudi
kijijini nikaanze maisha mapya”
alisema Monica huku
akitokwa na Machozi sana”
“sikiliza Monica baki nasi hapa hapa mjini sawa utakaa na sisi”
“kweli shangazi oooh Asante Mungu wangu”
ENDELEA
BAADA YA MIEZI MIWILI
Dokta kisarawe
alihama Dar na kuamia Morogoro
huko alikutana na kijana mmoja
aliye itwa Adams j maryo jr.
Aliye kuwa mfanya biashara
hapo Morogoro Dokta kisarawe
aliacha kazi ya udokta na kuanza kufanya biashara anazo fanya
Adams za Magari kutoka
japani Maisha yalisonga sana
kisarawe alikuwa mwembamba sana lakini alikuwa kanenepa vibaya ndani ya miezi mi3 tu
mambo yake yalikuwa safi
kutokana na Elimu yake kuwa kubwa sana alikuwa msaidizi
katika kampuni ya Adams Maryo.
Adams alikuwa akimtumia kisarawe katika mahesabu na hata akwenda nae japan,.
***
“Unajuwa safari moja tu nimeona
mabadiliko katika biashara yangu
kaka kisarawe”
“unajuwa kwa nini”
“hapana sijajuwa”
“tatizo lugha ulikuwa huiwezi
walikuwa wakikuibia sana bei ya gari moja walikuwa wakikuibia zaidi ya laki7 ya tz”
“sasa umenifungua akili,.
kaka sasa kivipi”
“kulikuwa kuna pesa inayo tolewa
katika jumla ya manunuzi
wewe ulikuwa hujuwi”
“ok asante nakutegemea
kaka”
“tupo pamoja”
****
Sulee alikuwa mtu waku lia kila
Mara Monica alikuwa ndiye Mtu wa kumliwaza Muda wote
Mimba zao zote zilikuwa za miezi 7 kila Mtu Sulee alikonda sana
alishindwa kula Hakuwa na Furaha kabisa Moyoni mwake
alimchukia kabisa dk kisarawe
kwaku sababisha Ndoa yake
kuvunjika :
“Monica nina siri kubwa sana
kuhusu Sulee”
“siri gani hiyo Shangazi…
Ila wewe inaonekana haujatulia
kabisa unaweza ukamwambia”
“Shangazi wewe ndiyo nguzo
yangu katika maisha yangu yote kwa sasa siwezi kumwambia kabisa shangazi naumia
sana kumwona sulee akiwa katika
hali ile”
“Hata mimi najuwa
sana kutoa mimba nikosa sana
lakini je ukimsababishia
nidhambi pia?”
“shangazi mh hapo sijuwi
ila ni dhambi siyo kubwa”
“huna uwakika Monica”
“ndiyo”
“basi kuna jambo ambalo
nataka itoke ikitoka
Nahuakika sulee mwanangu atakuwa na Afya njema”
“sasa shangazi ni jambo gani hilo
nijuwe maana mimi na wewe ni walezi wake sasa kila siku
hali yake ina zidi kuyumba
ona anavyo pungua hata kama ana H I V.
Ni miezi michache sana
hawezi kuwa ana dhohofika
kiasi hiki huyu hata mawazo
yana changia”
“ngoja kesho takwambia”
“shangazi sawa”
“acha niende kazini
badae”
“kazi njema Mama”
“leo unaniita mama”
“yah kuanzia leo
takuita mama nasiyo shangazi
naomba ukubali”
“sawa maana wanangu wote
wapo makwao hapa sina
mtu wakunipa mahaba ya kuniita mama nita furahi sana”
****
Baada ya siku moja:,.
“Monica”
“Naam sulee”
“hivi imekuwaje wewe huna ukimwi na mimi ninao”
“kwa nini wauliza hivyo”
“nawaza sana sijuwi
kwa nini maana wote tumetembea na mtu mmoja
Dokta kisarawe mwenye
ukimwi”
“hata mimi sijuwi
ila punguza mawazo mpezi wangu
una niliza sana napo kuona”
“hapana Monica najuta sana
Mume wangu tulikuwa tukipendana sana sana ujinga wangu umeniponza nilifanya vile
kuokoa ndoa yangu kumbe ndiyo
nilikuwa naipoteza jamani
hiii hiii mmh”
“nyamaza wangu
usilie Sulee”
“ina uma sana”
“jikaze sulee angalia upo katika
hali mbaya siyo vizuri kulia lia
kila mara”
Hali ya Sulee ilikuwa mbaya sana
Monica alitoka nje nakumwita dereva ili wampe msaada :
“dereva sulee kadondoka
hali yake mbaya sana twende tukampe msaada”
Monica dereva pamoja na mlinzi
waliingia ndani nakumkuta,.
Je nini kimetokea endelea Kusoma na ujifunze
itaendelea..
DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 17
TULIPOISHIA
Monica alitoka nje nakumwita dereva ili wampe msaada :
“dereva sulee kadondoka
hali yake mbaya sana twende tukampe msaada”
Monica dereva pamoja na mlinzi
waliingia ndani nakumkuta,.
ENDELEA
sulee damu zikimtoka
kwa wingi ukeni”
“jamani jamani nisaidieni
kumchukua kumpakiza kwenye gari tumpeleke hospital”
walimchukuwa
nakumwingiza katika gari nakumpeleka hospital
kwa matibabu”
“shangazi sulee kazidiwa
sana na damu zinamtoka sana ukeni kapoteza fahamu”
“mko wapi sasa”
“tupo hospital kubwa hapa”
“ok nakuja”
Monica alishangaa sana
alipo kuwa akiongea na shangazi/Mama kwakuto jali sana
angekuwa mwingine ange piga kelele (uwii jamani mwanangu)
lakini ilikuwa tofauti kabisa”
“kutokana na kupanda kwa bp
kwa kiwango kikubwa sana
imesababisha mimba kutoka
sasa mlikuwa mkiishi vipi na
huyu hamkujuwa kama mama
mwenye mimba anatakiwa
usi muudhi wala kufanyishwa kazi ngumu”
“dokta hali ya mgonjwa
imebadilika ghafla sana”
“basi ni hivyo ila kuna vipimo
vingine bado havijaja subiri
sawa mgonjwa mleteeni ndizi laini na uji ok bado anawekewa damu”
“sawa daktar”
“Mama ila
hali yake inaendelea poa
ila mimba imetoka”
“yes”
“shangazi yes wakati kiumbe
kimetoka mbona sikuelewi”
“Monica ni story ndefu kidogo
Nihivi Mimi na doktar Tuli….
Tuli Ongea adanganye
kuwa sulee ana HIV ili
Mumewe amuache nilikuwa
sipendi Sulee akae na Mumewe
kwani alikuwa hana Hadhi ya kuwa na sulee kwakuwa
walipendana na kuwa na ndoa
sikuwa na jinsi ya kuwatenganisha kabisa niliamuwa iwe hivyo tulijuwa
sulee atakuwa katika
mawazo sana na kupandisha BP itakayo sababisha kujifungua kwa kupewa dawa ya kukisukuma kiumbe au kutoka mimba mpaka hapo safi atarudi katika hali yake ya kawaida”
“lakini shangazi ulivyo fanya siyo vizuri kabisa unajuwa”
“nyie mmefanya vizuri au unaongea tu”
“hapana shangazi kuuwa na kumsaliti mwenzako
dhambi hazi fanani shangazi”
“kwahiyo mimi ni muuwaji
eeh”
shangazi alifoka kwa hasira sana
mpaka Monica akashtuka na kujirudi chini,.
“sina mana hiyo shangazi
namaanisha kuwa”
“kuwa nini eeh!?”
“kuwa dhambi ni dhambi tu”
“umeona sasa mbona mimi namuokoa sulee awe na maisha safi wewe unataka kusema mimi nina kosa wewe Moni nini”
“aah shangazi ila naona upo sahihi tu sijuwi na mimi nitoe hii mimba”
“hapana usitoe takusaidia kuilea sawa sulee nimehangaika nae
tangia mtoto wa miezi mi4 wazazi wake walikufa hivi unajuwa mimi siyo shangazi yake wa damu”
“sijuwi kabisa nilijuwa ni dada wa baba yake wewe”
“hapana baba yake alikuwa dereva tax alikuwa ana nibeba kutoka kazini mpaka nyumbani
tukawa kaka dada baba yake ni mtu wa kenya na mama yake ni mtu wa kenya nae walikutana hapa hapa dar wakawa wapenzi
mpaka waka owana na kumzaa
Sulee, walikufa kwa ajali ya gari
wakitokea Bagamoyo”
“ooh kumbe sasa sulee ana juwa kuhusu hilo”
“hapana kuhusu kufa ana juwa
kuhusu kama mimi siyo shangazi wa damu hajuwi naomba kuhusu suala hili usimwambie sawa”
“nimekuelewa”,.
BAADA YA MIEZI 03
Sulee alikuwa fiti kama zamani
japo kuwa alikuwa hana furaha kabisa alijaribu kuwasiliana na Mumewe lakini haikuwa poa kwakuwa Sulee aliasirika
Mumewe na sulee mwenyewe walijuwa hivyo isinge kuwa Rahisi kurudiana kuwa wapenzi au wana ndoa Shangazi alikuwa akimletea dawa ili ameze kama dozi ya HIV kumbe zilikuwa za BP kwakuwa alikuwa hazijuwi dawa alikuwa akimeza tu Nae Monica hali yake ilikuwa siyo nzuri kutokana na miezi9 kutimia ghafla uchungu uka mshika saa6 usiku ya juma tatu alikimbizwa hospital kufika tu nakulazwa kitandani alipiga kelele sana kuomba msaada kwakuwa uchungua aliusikia
manesi na madaktar walimchukuwa nakumpeleka
katika chumba cha kujifungulia
walimsaidia na kufanikiwa kuzaa mtoto wa kike.
“hongera sana umejifungua
mtoto wa kike yupo salama”
“ooh asante Mungu”
“sasa wewe pumzika kwanza
sawa mama”
“sawa”
***
“jamani mzazi wenu
amejifunguwa salama mtoto wakike”
Sulee alifulahi sana kusikia hivyo
“Monica hongera sana mwenzangu fungu lako limekuja
kama wewe”
“sulee asante mwaya”
“sulee hongera sana”
“asante shangazi”
“mh hata mimi sijuwi
angekuwa wakike”
Swali hilo lilimfanya MONICA atoe machozi
“Monica mbona una lia
acha uchuro badala ufurahi una lia”
“Monica nakumbuka mengi sana siyo kwaajili ya mtoto Mume wangu Sulee”
sule aliwaza sana nae alianza
kudondosha machozi kwa sababu tatu moja ana, hiv mbili kaachika, tatu mimba imetoka:
“jamani mna lia na mimi nifanyeje eeh”
Aliuliza shangazi
bila kupewa jibu Monica na sulee walikumbatiana huku wakilia.
**
Maisha ya mume wa sule yalizidi kuwa magumu kifedha alitamani kwenda kwa shangazi yake Sulee lakini aliona aibu kwenda kuomba alivumilia lakini ilizidi sana
kuwa mbaya maana alizoeya
kupewa na shangazi
Nae mume wa monica
ali Rudi kijijini kutokana na maisha kuwa magumu aliingia katika madeni makubwa benk wakataifisha nyumba na gari
lake
**
Sulee kwa nini usiende kupima
tena ujuwe afya yako”
“mimi nasubiri kufa tu”
“hapana sulee nenda wewe
mimi hainiingii akilini eti mimi sina ukimwi na wewe unao
wakati mwanaume mmoja
tumetembea nae”
“inatokea hivyo monica”
“jaribu wewe nakushauri tu
uwenda Mumeo alifanya njama
tu kwa dokta ili akuambie una virusi ili akuache maana aibu tume wapa”
“mh ina wezekana eti lakini haku paswa kufanya hivyo.
“sulee haina haja ya
kufikiria kwa sasa maji yamesha mwagika kuyazoa haiwezekani kabisa sawa”
“sawa ngoja kesho niende kupima tena hospital kama 4 kwauwakika zaidi uwongo Monica”
“fanya hivyo mpenzi wangu maana unaweza kuishi kwa mawazo wenda huna tatizo hilo
wangu”
“asante Monica”
“ila usimwambie shangazi
Kumekucha Je SHANGAZI Ataumbuka kweli na nini kitatokea ,, Tuendelee……
DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 18
TULIPOISHIA
fanya hivyo mpenzi wangu maana unaweza kuishi kwa mawazo wenda huna tatizo hilo
wangu”
“asante Monica”
“ila usimwambie shangazi
ENDELEA
kama unaenda kupima sawa”
“kwa nini Monica”
“hupaswi kuuliza kwa nini
fanya hivyo”
***
Dokta kisarawe alimsimulia Adams
Historia yake ya maisha aliyokuwa akiishi Dar najinsi alivyo kuwa akiwa fanyia wanawake za watu:
“Nihivyo Adams nilikuwa nikifanya dhambi kabisa
na sasa nimeamua kuokoka
sitaki dhambi tena”
“Uwamuzi wako mzuri sana
nakupa hongera sana mke wa mtu ni sumu kali sana usipende kupenda au kufanya mapenzi/sex nao utakufa mapema sana, ona mimi sina mke lakini sijihusishi na Mapenzi mpenzi wangu mimi ni kazi/pesa KISARAWE”
*
“Kweli nakuamini ndugu yangu”
“basi akili yako wekeza kwenye
kazi jifunze nacho usiwe na tamaa katika Mali yangu
ukiiba tu nikigundua nakupoteza asee sikutishi nakupa ukweli angalia ulio wakuta wako vipi”
“sawa Adams nakuahidi sita fanya hivyo”
“asante kama itakuwa kweli”
***
Kisarawe alizidi kuomba Mungu
na kutubu Dhambi zake zote yeye alikuwa mtu wakufunga na kusali Mpaka Adams alishangaa sana kubadilika alikuwa mkimya sana hakupenda kabisa ku share na wanawake” Kisarawe vipi
mbona uko hivyo siku hizi”
“kivipi Boss”
“Hapana niite Adams inatosha
kaka”
“ok Adams”
“naona unabadilika sana
mkimya hupendi kukaa na akina dada”
“Adams nimeamua kubadilika
kidogo sipendi kukaa nao nataka nisahau kabisa matukio yangu ya zamani nikikaa nao nitakumbuka
yaliyo pita na kuanza upya”
“Hivi ulishakuwa na mke”
“kwa nini una uliza hivyo”
“namaana yangu”
“Hapana sikuwa na mke”
“ndomaana ulikuwa ukitembea
na wake za watu”
“kwa nini”
“Ulikuwa huoni uchungu
wa mke ungekuwa na mke
usinge fanya hivyo, tuachane
na hayo kesho Naenda Dar
kuna kampuni moja nimeongea nao kuhusu gari wana hitaji”
“sawa Adams kwahiyo
kuhusu mpango wa sua kuhusu
trekta zile kumi inakuwaje
wamefika milioni95 kila moja”
“ooh nilisahau wambie waongeze 20”
“sawa”
***
ADAMS akiwa maeneo ya mbezi
alihisi tumbo likimuuma
ndani ya gari yake alikuwa
na Dereva aliye mkodisha
kuendesha gari yake kutokana
na kuto zijua vizuri njia na msongamano wa magari
kama unavyo lijuwa jiji la dar
alikuwa akilala mika sana
dereva alishauri waende
hospital ya Amana
kupima/kupewa matibabu
dk10 walifika na kuchukuliwa
vipimo wakati wakiwa
katika chumba cha kupumzikia wagonjwa walikuwa wengi
wakisubiri majibu yao ya
vipimo walikuwa wakiangalia video iliyo kuwa ipo juu ya ukuta wote wagonjwa walikuwa wakitazama juu katika video hiyo lakini kwa Adams ilikuwa tofauti kidogo.
Macho yake yalikuwa kwa Binti
mrembo sana aliye kuwa kakaa upande wa kushoto kwake.
“kaka vipi mbona hivyo”
ilikuwa sauti ya dereva wake
iliyo muuliza:
“ona yule dada alivyo”
“aah kaka mbona kama hao wengi tu wapo hapa Dar tena wazuri kushinda huyo mgonjwa
pesa yako tu kama upo tayari niambie nikupeleke viwanja”
walikuwa wakinong’onezana
masikioni ili watu wengine wasisikie.
“hapana asee Roho yangu
imetua pale asee”
“sasa kaongee nae basi”
“poa subiri hapa hapa”
“Adams alivaa kiheshima sana
ilikuwa suti kwakuwa kulikuwa na joto sana alivua koti na kubakia na shati nyeupe na tai shingoni alipendeza sana.
“samahani kaka”
“bila samahani”
“Naomba nikae hapo ulipo
kaa nataka kuongea na huyu dada”
“ooh sawa kaa”
***
Dada habari za kwako
nadhani una umwa maana naona una mawazo sana muda wote naona umeinama chini”
“Matatizo kaka angu ”
“pole sana, samahani kuna kitu nataka kuku uliza kidogo
naomba tukae pembeni kidogo”
“sawa labda wapi”
“kwenye kiti kile ile kama daktar ataita majina iwe rahisi kusikia”
“ok”
“Naitwa Adams j maryo jr.
Naishi Morogoro ni mfanya biashara”
“oh asante kuku fahamu”
“ok, nilikuona Muda wote upo
na hudhuni sana vp nini tatizo”
“Ni Afya yangu tu kaka:..
“Namba 11 ingia”
Ilikuwa sauti ya daktar
iliyo sikika hakuwa mwingine ni yule dada aliye kuwa akiongea na Adams aliinuka na kwenda.
“kaka ngoja niingie nisubiri”
“aliingia ndani kwa doktar..
Habari yako Dada”
“nzuri Doktar,Nipe majibu yangu
ilinijuwe kitakacho endelea katika Maisha yangu”
“Mbona una Haraka sana”
“Doktar ni umuhimu wangu
kujuwa”
“ok unaitwa Sulee siyo”
“ndiyo”
“ok Sasa mbona umekuja peke yako kupima”
“sina Mume wala mpenzi nipo mimi mwenyewe”
“Mh kwanini je mmeachana”
“ndiyo”
“kipindi gani tokea muachane”
“kama miezi 9 na siku kazaa”
“pole sana pole sana”
“doktar nina nini”
“hayo ni maisha yakawaida sana leo wewe kesho mimi hupaswi kujutia Mungu ana kila sababu kwenye jambo lolote sawa sulee ona wewe ni mzuri sana lakini leo hii una dosari katika maisha yako usikate tamaa kabisa Dada angu Mungu atakupa nguvu,
***
Monica Alikuwa ana furaha kubwa sana Moyoni kwakupata Mtoto japokuwa alikuwa akimkumbuka sana Mume wake aliumia sana kwa kufikiria sana Jinsi Mumewe alivyo kuwa ana mjali na kumpenda
alijikuta akimuangalia Mtoto wake huku machozi yakimtoka sana,.
****
Adam’s boss wa Docta KISARAWE amemtamani mmoja wa mwamke aliyekwisha Kuwa na docta kisarawe (SULLE) unafikiria itakuwa aje,, endelea kufuatilia
DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 19
TULIPOISHIA
Monica Alikuwa ana furaha kubwa sana Moyoni kwakupata Mtoto japokuwa alikuwa akimkumbuka sana Mume wake aliumia sana kwa kufikiria sana Jinsi Mumewe alivyo kuwa ana mjali na kumpenda
alijikuta akimuangalia Mtoto wake huku machozi yakimtoka sana,.
ENDELEA
Alianza kumchukia Mtoto wake aliye fanana sana na Kisarawe
alitamani kumtupa au amtelekeze yule mtoto kwa shangazi lakini aliona Mtoto hana Hatia kabisa alizidi kumtunza na kujitahidi kumpenda sana.
***
Mume wa Monica Aliamuwa kuwa mkulima katika kijiji cha mlali kilichopo mkoa wa Morogoro alilima mazao lakini yalimgomea kabisa alikuwa akivuna kidogo sana”
Hii itakuwa Radhi ya mke wangu tu kuachana tu maisha yamekuwa magumu sana kila ninacho kifanya kwangu siyo
imekuwaje sijuwi niende kwa Mganga, lakini hapana hapana
siwezi kufanya hivyo kwakuwa huku kijijini hawajuwi kama tumeachana na mke wangu ngoja ni rudi dar nika mtafute mke wangu tujetuishi wote lakini anaweza kukubali kuja kuishi huku sijuwi”
Hayo yalikuwa Mawazo ya
Mume wake na Monica
aliyo kuwa aki waza
***
Nakushauri Usichoke kutafuta
sawa sulee”
“Doktar doktar sikuelewi”
Sulee aliulza kwa ukali kidogo
huku machozi yakilenga lenga
huku akitetemeka kwa uwoga na presha kupanda”
“hapana sule kuachika siyo mwisho wa kuto pendwa au kupenda utapata Mume bora
na aliye sahihi kwako kazana kuomba Mungu atakuonyesha”
“doktar nime asirika tawezaje kukaa na Mtu asiye na virusi”
“nani kakwambia kuwa ume Asirika eeh”
“soma hivi hapa vyeti”
“mh Hapana sule vipimo vyetu havisemi hivyo upo salama kabisa
sulee”
“hapana doktar hostpital iyo siunaijuwa nikubwa sana
itadanganyaje hivyo”
“huwezi kujuwa wenda kuna sababu kama ulivyo niambia kuwa umeachika miezi9 naa, wenda ni njama ya mumeo”
“sasa unanishauri vp doktar”
“kapime hospital mbili tena
utapata majibu”
“asante doktar”
“haya karibu tena”
Sulee alitoka nje hakuwa na kumbukumbu kama kuna kijana
nje aliye kuwa na maongezi naye alitoka huku akielekea mlango wakutokea nje kabisa
“sulee mbona hivyo
jamani”
“nisamehe sana Adams”
“ehee ina kuwaje maongezi yetu”
“ooh tukae pale”
Kabla ya kukaa
doktar akasikika akisema namba 25 ingia” ilikuwa ninamba ya Adams j maryo jr.
“sulee ni namba yangu hiyo
je uta nisubiri niingie”
“sawa usichelewe sana”
“sawa”
“Pita tu”
“Habari yako doktar”
“salama tu ,wewe ni Adams”
“ndiyo”
“tatizo lako ni mchafuko wa Tumbo tu utaenda Dukani
uta chukuwa dawa hizi nilizo andika sawa”
“sawa kwaheri”
“pita huku ”
ADAMS ALIPITA NJIA NYINGINE
NASIYO ILE ALIPO TOKEA SULEE
ADAMS ALICHUKUWA DAWA DUKANI NAKURUDI PALE ALIPO MUACHA DEREVA NA SULEE.
“vipi dereva yuko wapi yule dada
yuko wapi”
“kaondoka mda kidogo kaka”
“khaa sasa sijuwi tampataje
asee”
“kaacha namba yake ya simu
hii hapa”
“afadhali sana ,bac twende zetu
asee”
alienda hospital 3 tofauti kupima tena mpaka saa3 usiku alikuwa akisubiria Majibu hospital zote3, Na majibu yote yalikuwa ni mamoja hana Virusi alikuwa na amani moyoni japokuwa aliambiwa arudi tena kupima baada ya miezi mi2/3
kiuwakika zaidi alirudi nyumbani
huku ana furaha sana.
“vp sulee mbona hivyo
una furaha”
“yani Mungu ashukuriwe
sina Virusi Monica”
“sasa iwe siri usimwambie shangazi sawa”
“mh kwa nini tena”
“utajuwa ukweli badae”
Monica alimwambia sulee vile
ili uadui usitokee kati yao na Shangazi yao
***
miezi mi2 sulee alienda tena kupima alipata majibu tena kuwa hana virusi aliwaza sana ninani aliye fanya kitendo hicho cha kuambiwa ana h,i,v aliamuwa kwenda katika hospil ile aliyo ambiwa kuwa ana Virusi ilikumbana doktar yule
ajuwe ukweli.
Alipo fika alimkuta daktar wakike
“zakazi daktar”
“nzuri tu”
“nina shida”
“kiafya au kiofice
“kiofice”
“karibu”
“kuna siku nilikuja hapa kupima…
Kupima H.I.V. Na vyeti vya vipimo vyangu ni hivi hapa unaweza ukasoma.
“Yes inaonyesha umeasirika
Dada angu”
“ooh vizuri je nitarehe ngapi
hapo ina sema”
“eeeeeh eeeeeh ni 21/5/2014, mbona unaniuliza maswali sana”
“asante sana,uta juwa tyuu
usiwe na haraka, Je unaweza
kunisomea katika faili la ofice hii alikuwepo nani tarehe iyo”
“aah kuna kazi nyingi zakufanya
sahizi niache nihudumie wagonjwa wengine”
Sulee aliingiza mkono
katika pochi yake nakutoka na
wekundu/pesa kazaa nakumpa yule dada/doktar akapokea
nakuweka katika Matiti yake.
“sasa naomba nisaidiye
kumjuwa ninani alikuwepo”
“ok subiri”
Baada ya dk5
Alisha pata jibu alikuwa ninani
“nimeona alikuwa ni
doktar john nimnene mweusi
ana nywele nyingi hivi”
“huyo huyo”
“sasa kafanyaje”
“habari ndefu sana wangu
angalia hivi vyeti nausome”
Doktar huyo alisoma
vyote vi nne alitoa pumzi
uphuuuu kisha akamtazama
kwa huzuni sana sulee kisha akainuka
nakumshika bega.
“sulee pole sana hiyo nikawaida yake huyo doktar hafai hata kwa dawa nakushauri fanya unavyo taka kufanya”
“ok nataka kujuwa ukweli tu
aliyemtuma afanye hivyo ninani”
“sawa”
Sulee alianza kufanya mipango:
alianzia Mahakamani
moja kwa moja kwakumshtaki
doktar john kwakumpa vipimo vyauwongo.
Kesi ilisumwa kort chemba
sulee hakutaka yawe makubwa
kwa doktar yeye alitaka ajuwe tu ninani alifanya vile tu.
Monica alikuwa akihisi kuwa ni Mume wangu ili tuachane, Lakini mbona alisema nisimwambie Shangazi kuhusu ilo suala.
Sulee alijiuliza moyoni
Doktar alibanwa sana mwisho akakubali kuwa alipewa pesa
na shangazi yake sulee adanganye majibu kuwa sulee ana ukimwi
ili aachane na Mumewe,(japo kuwa shangazi na sulee alikubaliana na Mume wa sule kuwa kama watakuwa wazima wote Mume wa sulee ange msamehe sulee)
“ok vizuri sana”
Kutokana na sifa za doktar huyo
kuwa mbaya anahusika na utoaji mimba NK.
Mahakama iliamuwa kumfungia kazi kwa muda usiyo julikana.
Sulee ali Rudi nyumbani
huku akiwa na hasira sana
alikuwa ana hamu sana amkute shangazi yake
Lakini hakumkuta.
***
“kweli Monica doktar kakubali
kumbe shangazi ndiye kafanya tukio langu hilo eti kisa tuachane na mume wangu, tulikubaliana
kama tutakuwa hatuna Virusi tungeendelea kukaa wote licha
yakuwa na mimba siyo yake”
“Sasa utafanyaje sulee”
“nataka kumchana live”
“Hapana Sulee kumbuka
hatuna pakwenda”
“potelea mbali liwalo na liwe
nimesha pagawa kasababisha kutoka kwa mimba yangu inauma sana nilikuwa nikikaa kwa Huzuni kama naumwa nilikonda kweli na Monica siwezi kumsamehe Mimi”
“Sulee huoni kama ndiyo utakuwa
mwisho wetu wakukaa hapa”
“mmh popote mimi takwenda kukaa mimi”
“na mimi je”
“najuwa atanifukuza mimi
tu siyo wewe”
“hapana sulee atajuwa nime kwambia mimi hiyo siri”
“siri siri siri gani tena hiyo
Monica”
“kuwa wewe hauna ukimwi”
“mh mbona unanichanganya inamaana hata wewe ulikuwa ukijuwa kuwa mimi sina ukimwi
Monica mbona haukuniambia
mimi kwa nini kwa nini Monica
hukuniambia mapema
mpaka mimba yangu imetoka
Monicaaaaaa….
Kumekucha ,,kutachimbika
DOCTA SIUMWI HUKOO
Sehemu Ya 20
TULIPOISHIA
“mh mbona unanichanganya inamaana hata wewe ulikuwa ukijuwa kuwa mimi sina ukimwi
Monica mbona haukuniambia
mimi kwa nini kwa nini Monica
hukuniambia mapema
mpaka mimba yangu imetoka
Monicaaaaaa….
ENDELEA
Hata wewe uliamua kuacha
kuniambia mapema mpaka
Mimba yangu imetoka aaaayi
Mbaya sana wewe nakuchukia
wewe na shangazi wauwaji kabisa nyie ni bora usingeniambia tu Mimba imesababisha niachike
leo hii inatoka/naipoteza kirahisi hivi hapana haiwezekani kabisa”
“Sulee Nimejuwa baada yakutoka ndipo aliponiambia mimi kosa langu likowapi kukuambia au?
Kumbuka sulee Tatizo lako ndiyo langu nisingeweza kukuficha mimi wangu namimi naumia sana sulee shangazi aliniambia baada ujauzito wako kutoka”
“unaongea yana uhakika hayo”
“ndiyo”
“unaniakikishia vipi mimi nikuamini”
“Naapa mbele ya Mungu kuwa, haya nayo yasema mimi Monica niukweli mtupu”
“basi sawa”
***
Sulee na Monica walikumbatiana
huku sulee akilia kwa uchungu sana:
Eeeh Mungu naomba unisamehe
kwa mambo yote niliyo mtendea Mume wangu popote alipo naomba umlinde naumpe Moyo wa kunikumbuka:
Alipokuwa akisali sulee simu yake ikawa ina ita Alipo itazama alikutana na namba iliyo ishia na 78 ilikuwa ningeni kwake akapokea.
“hallow nani mwenzangu”
“Adams j Maryo jr.
Upo wapi sahizi”
“oooh nipo home nw”
“ok upo na nani”
“nipo na ndugu yangu”
“poa sasa tutafanyaje sulee”
“kivipi”
“nilitamani tuonane
kama utakuwa una Muda”
“e eeeh yap ninao”
“asante Mimi nipo Mikocheni”
“swa kwahiyo”
“naomba tukutane Tegeta Africa sana”
“poa sasa hivi naja”
“ok nakusubiri”
Yalikuwa ni maongezi kati ya sulee na Adams wakipeana ahadi yakuonana kwao, sulee Akajiremba safi akiwa mlangoni akitoka alikutana na shangazi yake.
“Afadhali sana tumekutana”
“kivipi sulee mbona kama una jazba vile”
“hujuwi eeh hujuwi”
“nijuwe nini mie”
“sikia wewe hivi unajiskiaje
mimba yangu ilivyo toka”
“mbona nikawaida tu”
“kawaida eti, kwahiyo umefurahi”
“mh kivipi”
“wewe ndiyo uliye sababisha
haya niambie nia yako sasa”
“mbona sikuelewi sulee”
“hunielewi eee haya sasa
njama yako uliyo ifanya
imejulikana eti ukafanya njama na dokta wako aseme mimi naukimwi ili Mume wangu aniache pia mimba yangu itoke
nanimebaini shangazi wewe ni muuwaji sana sikupendi sikupendi”
“mpumbavu sana wewe leo mimi muuwaji kwa nini nisinge kuuwa tangia mdogo eeeh huni pendi kwani mimi ndugu yako shenzi wewe huruma yangu niliamuwa kukulea kama mwanangu/mtoto wandugu yangu mpaka leo jitu kubwa umesha ota mapembe basi unavimba kichwa nilikutuma ukafanye ujinga wako ulio kufanya uachike eeeh”
***
Shangazi alinisimulia kila kitu katika maisha ya wazazi wangu
mpaka wakafariki iliniuma sana Moyoni nikawa sina jinsi yakufanya.
ghafla simu yangu
ikaita nikatazama nikaona namba ya Adams japo siku isevu niliikumbuka.
“hallow”
“vp mbona kimya hivyo”
“ooh nilikuwa na kikao naja nipo njiani”
“ok wahi basi”
Nilitoka bila kuaga
“ukiona nakubana usirudi hapa”
“sawa tyuu”
Nilimjibu hivyo kwakuwa nilikuwa nina hasira sana
safari yakwenda Tegeta ilianza
nilikodisha tax njiani nilikuwa nina mawazo mengi sana
hata kufikiria wito wakwenda kwa Adams nilikuwa sina kabisa”
Safari hiyo kwa Adam’s je kitatokea nn endelea kufuatilia….