Close Menu
    Raha Special
    Button Login
    Raha Special
    Ndoa

    Muda Sahihi wa Kufanya Mapenzi – Na Mambo Muhimu ya Kuzingatia

    Msomi BoraBy Msomi BoraApril 29, 2025No Comments2 Mins Read

    MUDA WA TENDO LA NDOA


    1. Sio kila wakati ni wakati wa kufanya tendo la ndoa. jifunze kumtambua mwenzi
    wako akiwa na uhitaji na asipokuwa na uhitaji

    2. Kama wewe ni mwanaume una udhaifu wa kufika kileleni haraka sana, basi
    jaribu kujisoma timing yako ili uache kumpa mateso hivyo basi unapoona ukaribia
    punguza spidi na mtoe babu nje pale unapohisi unakaribia kufika kileleni. Hii
    itachelewesha kumwaga haraka

    3. Usitumie muda mwingi kufanya staili moja wakati wa kufanya mapenzi. Mwenzi
    wako anaweza kuchoka haraka. Muda mzuri ni wakati unapohamia kwenye tendo la
    ndoa huwa linahitaji uchunguzi wa kutosha. Kwa mfano, usibusu kwa muda mrefu,
    usilambe kwa muda mrefu, usichezee chuchu kwa muda mrefu, usifanye staili moja
    kwa muda mrefu.

    4. Usitake staili ya pili haraka sana kabla ya mwenzi wako hujamfurahisha na
    ulichokuwa ukifanya. Usikimbilie kumbusu mdomoni wakati anataka chuchu

    5. Usimhitaji mwenzi wako kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati unajua vizuri
    akili yake iko mahali pengine; labda yupo kwenye hedhi, yupo kazini, ana
    wasiwasi na watoto. Usiudhike ikiwa mwenzi wako anakataa kukupa shoo. Sio
    kwamba mwenzi wako hakutaki, lakini jua sio wakati sahihi kwake

    6. kuwa Muungwana, unapokuwa kifuani kwa mkeo na unagundua kuwa anakaribia
    kufika kileleni jua kuwa huo si wakati wa kupunguza spidi. Huo ndio wakati wa
    kusukuma kwa nguvu au haraka kama anavyotaka. Anakaribia kufika kileleni.
    Ukiharibu ukiwa karibu kufika, inaweza kumchukua muda kufika hapo tena

    7. Wakati wa kufanya mapenzi ni wakati usiofaa kuzungumza juu ya kazi za
    nyumbani, kazi, majukumu.

    8. Mke mumeo anapokuona wewe tambua kuwa upo kwenye nafasi ya kumpa raha
    anazostahili, usimfanye asubiri kwa muda mrefu. Piga chuma kikiwa chamoto

    9. Baada ya mume kumwaga. Upe muda uume kabla ya kipindi kijacho ili ujirudishe
    mahala pake. Ukiikimbiza, inaweza kusimama lakini ikapoteza ugumu katikati ya
    njia kwa sababu haijapumua vya kutosha.

    Previous ArticleVidokezo 18 Muhimu kuhusu Ndoa – Fahamu haya Mambo
    Next Article Lugha Tano za Mapenzi – Vitu Muhimu vya Kufahamu katika Mahusiano yako
    Msomi Bora

    Related Posts

    Mwanaume – Kupoteza Hisia za Kimapenzi wakati Unajiandaa Kugonga – Sababu Zake

    May 4, 2025

    Mwanamke – Kupoteza Hisia za Kufanya Mapenzi – Sababu Zake hizi hapa

    May 4, 2025

    Mke wako Atakupenda sana iwapo Utakuwa na hizi Sifa

    May 3, 2025

    Mwanaume Asiyejiamini Hawezi Kupata Mwanamke Mwenye Kujiheshimu – Tazama hapa

    May 2, 2025

    Kwa nini Una Matatizo ya Ndoa? Sababu hizi hapa

    May 2, 2025
    Leave A Reply Cancel Reply

    © 2025 Copyright. All Rights are Reserved. Msomi Bora.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

    Sign In or Register

    Welcome Back!

    Login to your account below.

    Lost password?