KINACHOMFANYA MWANAMKE KUNG'ARA
1. KUJIPENDA
Mara tu mwanamke anapojipenda, mwanga wa ndani hutoka ndani na huonyeshwa
kupitia kwenye tabasamu lake, macho, sura ya uso, tabia na sauti.
2. MSAMAHA
Uchungu hutia giza rohoni lakini msamaha humfanya ang'ae. huonyesha kuwa
Amekataa kuwapa mamlaka wale waliomdhuru siku za nyuma
3. KUFAHAMU KUSUDIO LAKE
Mara tu anapojua sababu yake ya uwepo wake, yeye huangaza mwanga. na kufahamu
Kuwa kuhusu kosa lake kuwa kutenda kosa sio kosa bali ni uumbaji wa mungu
alimuumba binadamu kuna na madhaifu, na mazuri hali hiyo humfanya ang'ae kwa
ujasiri
4. MAENDELEO
Maendeleo katika maisha yake yanamfanya ang'ae. Ingawa hawezi kufikia malengo yake
yote kwa tarehe zilivyopangwa mwanamke anang'aa tofauti anapojiona anapiga
hatua katika eneo lolote la maisha yake.. Iwe kazi yake, fedha, uhusiano na
kumutanguliza Mungu, umama, biashara, uhusiano wa kimapenzi, kupata mali, na
masomo. Ndiyo maana ni muhimu kwa mwanamke kujipa hadithi za mafanikio
5. UPENDO WA MWANAUME WAKE
Mwanamke anayependwa ni rahisi kusema, hawezi kujizuia kuangaza mwangaza wake
kwa sababu mwanaume wake anautunza moyo wake. Moyo wake hukaa kwa kutulia
6. UHUSIANO WENYE AFYA NA KUMTANGULIZA MUNGU
Mwanamke aliyelowa katika ibada inayostahili, akitumia muda wake mwingi kwa
kumshirikisha Mungu wake basi mahusiano yake huangaziwa mwanga wenye. Uwepo wa
Mungu na mungu huijali roho yake ya upole anayoionyesha
7. KUFANYA MAPENZI MATAMU
Hakuna kitu kama kutenga wakati mzuri kwaajili kufanya mapenzi ili kuifanya
nafsi yake itabasamu na iwe na faraja. kwa Mumewe kutokana miguso mizuri ya
viungo humfanya ajisikie vizuri hata humfanya ashindwe kujizuia kuangaza nuru
yake
8. KUONGEZA THAMANI
Mwanamke anapokuwa anaongeza thamani ya maisha ya wengine, anang'aa, wakati
mwingine anaenda kulala huku akitabasamu akijua kuna mtu anatabasamu kwa sababu
yake. hakikisha kila siku unagusa angalau moyo wake bila kutarajia malipo
yoyote