Monday, April 28, 2025

Mambo 10 wanayopenda Wanawake wakati Wanafanya Mapenzi - Lakini Wanaogopa Kukuambia

 Jiunge na Magroup yetu

TELEGRAM | FACEBOOK


 Mambo 10 Ambayo Wanawake Wanayapenda Kwenye Tendo La Ndoa Lakini Wanaogopa Kukuambia.


Kwa hiyo ukiwaona usiwachukulie kama wa bei nafuu au bei poa, jaribu kuwapuuza, lakin usipuuze hisia zao au la usiwakatae kabisa kwasababu ndugu yangu kukataliwa kunaumiza mno Hii inaweza kumfanya mwanamke akate tamaa kihisia, ajione kuwa mtu asiyejua mapenzi, unajua kuwa kuchukia tendo la ndoa na kujiona huna thamani hupelekea kuharibika kisaikolojia na kupelekea kuwa katili saa zote na kukosa moyo wa kibinadamu.

Mwanamke AKikataliwa kijinsia na mwanaume kunaweza kumfanya mwanamke ajione kuwa hatamaniki na hana thamani katika hii dunia na kuharibu heshima yake kwa 80%! Mojawapo ya njia unazoweza kujiongeza ili kuukwepa udhaifu wa mkeo ni kumfanya ajue na kutambua udhaifa alionao, unakuta mdada mrembo sana, na anatamanika kingono kwako lakin mkifika chumbani zero.
unaanza kujiuliza Mbona mkeo amepoa akiwa kitandani na Kwa nini anachukia tendo la ndoa? Kwa nini mwili wake haupadishi joto? hilo swali unajiuliza kwasababu Labda hujui haya mambo 10 lakini jua tu mkeo wala si mgonjwa ila tu kuna vitu anaogopa kukwambia. yajue sasa haya mambo 10 ili umlegeze kutokana na vizuizi vyake, fahamu kuwa mkeo anapaswa kuwa mwanafunzi wako

1. Wanawake wanapenda aina mbalimbali za mitindo wakiwa kitandani: Mguso wao huwa ni uleule, njia ile ile, sehemu ya raha kwake ni moja, wakati huohuo mwanamke anaweza kuchoshwa sana na mwanaume! Wanawake wanapenda mwanaume awe anajua jinsi ya kumuandaa. Ndio maana wanawake hawavai nguo moja siku 7 kwa wiki. viungo vyao vipo tayari kwa lolote muda wowote. Kwa Jinsi ulivyomgusa jana inaweza isiwe utakavyomguswa leo. Anaweza kutaka umguse mgongo tu tofauti na jana ulipomfanyia masaji ya vidole gari likawaka. Ni kazi yako kumwona na kumsoma kama kitabu na kujua anapotaka kufanya tendo la ndoa maana lazima atakuwa mchokozi,mtundu na atakutazama kila saa kwa jicho la huruma na atakuwa ni mtu mwenye hasira na ukali ukiona hivyo fahamu tu kuwa kichupa kimejaa wahi kabla hakija pasuka.

2. Wanawake wanapenda romance: mabusu ya upole, yenye kutia shauku, miguso laini katika sehemu zake zinazofaa fanya hivyo hatua kwa hatua ili kuwasha gari la mwanamke mpaka liwake!

3. Wanawake wengi wanapenda stori kitandani kabla ya kufanya tendo la ndoa. hali hii hupelekea kumpa nafasi ya Kumsikiliza kuhusu jinsi siku yake ilivyoenda na kukwambia anavyopenda afanyiwe huku wewe fanya ujanja mmoja uwe unamsifia na kumwambia ukweli kuhusu urembo wake kama mwanamke. Usimvue nguo zake hadi umvue moyo wake mpaka atamani kukuvua wewe.

4. Wanawake wengi wanapenda staili ya kukaa juu: inaweza kuwa sio wanawake wote lakini wengi wao wanapenda. unajua kwanini staili hii humfanya mwanamke apende kuendelea kusimamia, na kudhibiti kina cha mwanaume na humpatia urahisi wa kumtazama mwanaume usoni na muonekano wa kufurahia tendo na muonekano wake wa mbele ya uso.

5. Mwanamke anayekupenda anaweza kukupa penzi mahali popote kwa furaha iwe jikoni, choo, popote, hii sasa inategemea na wewe jinsi unavyotaka ikiwa utamheshimu lakini, utaonyesha upendo, lakini ukiwa kwenye ulimwengu huu usijekuwa mpole, kuwa tu mwenye upendo na usione ajabu na kumchukulia tofauti mkeo hata kama mmefanya tendo kwa haraka.

6. Wanawake wengi hupenda kunyonywa sehemu zao za siri lakini fahamu kuwa sehemu inayompa raha ni pale kwenye gspot hakikisha kuwa hukosei fanya kwa upole, kwa upendo, kwa wakati ufaao na uwe wakati wa kufanya tendo la ndoa

7. Wanawake hawajali kabisa ukubwa wa mzigo wako ilimradi tu uwe mtundu na uwe unajua kuutumia vizuri ipaswavyo, peleka sehemu sahihi iliyoruhusiwa na mola wako, weka pembeni mwako anza taratibu kwanza ili upate miguno yake kwa raha.

8. Wanawake kwaajili ya furaha tu watawajibika kwa nafasi yoyote ile kwenye tendo mradi tu unamfikisha kirereni hasa ukiwa unanguvu za kutosha na unamishindo ya uhakika kama mwanaume.

9. Chachu ya mapenzi kwa mwanamke ni upendo, utunzaji, umakini, mapenzi na ukarimu ambao unaufanya kuwa mtindo wa maisha yako na yake, mpe penzi kila wakati sio tu kwa wakati unaotaka wewe. Hufanya uhusiano wake na wewe kukua kihisia na kufanya awe na shauku ya mapenzi yako kila siku.

10. Wanawake hupenda mwanaume anayekaa kifuani kwa muda mrefu na huchukia tendo wakishamaliza kufika kileleni kabla ya wakati wanaoutaka wao. Ikiwa unaweza kujizuia kwa muda wa kutosha kabla ya kumaliza na kuendelea kumdhibiti ili kumpa raha mkeo, atafurahia kufanya mapenzi na wewe, kukufurahia, kukufuatilia na kufanya tendo na wewe kwa hamu mara nyingi

Kumbuka kuwa matamu sana kwa waliooa

Wadhifa huo ni madhubuti kwaajili ya wanandoa walioowana kisheria watoto ambao wanapaswa kukabiliana na masomo shule haiwahusu. Ukiingia kwenye ulimwengu wa tendo la ndoa kabla ya ndoa, unapoteza thaman na kutengua mipaka pamoja na kibali cha Mungu, kuna siku utapata aibu, huzuni na matatizo utakapokuwa kwenye ndoa kuna maisha baadae yanakungoja.

Add Comments


EmoticonEmoticon