Tuesday, April 29, 2025

Kufurahia Tendo la Ndoa na Mpenzi wako - Zingatia haya Mambo

 Jiunge na Magroup yetu

TELEGRAM | FACEBOOK


 HATUA HIZI 10 ZITAKUFANYA UFURAHIE TENDO LA NDOA ZINGATIA USAFI


1. Wakati midomo yenu inabusiana hakikisha unatoa hewa safi

2. Wakati unavaa chupi na nguo za ndani hakikisha kuwa ni safi na zinazo vutia

3. Wakati mwanamke unavaa weave ama wigi hakikisha kuwa halinuki

4. Wakati mwingine weka nywele za usoni ziwe za kumvutia mwanaume

5. Hakikisha manukato unayotumia kujipulizia mwilii au kwenye mavazi sio makali sana yasimuumize mwenzio wakati wa tendo

6. unavyonyoa vuzi hakikisha unanyoa kiustad kwa kifaa na dawa maalumu kuepuka miwasho mara kamara

7. Hakikisha kwa bibi hakutoi harufu ya kuchukiza mpaka kumpelekea mwenzi wako ashindwe kuendelea kukushughulikia ipaswavyo

8. Hakikisha kuwa kwapa lako halitoi na kunuka jasho kali. ni vizuri mkawa mnaoga pamoja ili kila mtu ajiridhishe kwa kumfanyia usafi mwenzie

9. hakikisha mikononi huna kucha ndefu

10. hakikisha kuwa chumbani kuna kuwa safi na kunanukia vizuri na kuwe na redio au tv weka muziki wa taratibu

Kitu pekee kichafu kinachoruhusiwa kwenye tendo la ndoa ni pale nyinyi wawili mnapozungumza maneno machafu ya chumbani

Add Comments


EmoticonEmoticon