1. Mtazame machoni wakati anazungumza nae, ili kumfanya ashindwe kujiamini
wanawake wengi huwa hawajiamini wakiwa wanatazmwa na mwanaume usoni
2. Wakati unavuta pumzi, mpe nafasi aongee. Ni jambo la mhimu sana kuwa na mtu
asiyeweka vitu rohoni na kukuficha
3. Mguseguse mahara mbalimbali. kishike kiganja Sugua mkono wake, mshike kiuno,
kumbusu. maana mwili wa mwanaume na mwanamke ikigusana huamsha hisia
4. Wakati wa shida akiwa analia, usiondoke chumbani. Mkumbatie, mfariji, awe
analia kwa sababu yako au kwa suala lingine
5. Asubuhi Muulize hali yake, alilala vipi, siku yake imekuwaje. neno Habari za
asubuhi, usiku mwema humfanya ahisi kutunzwa na kudekezwa
6. Anaposhughulikiwa kwenye tendo la ndoa, usimwambie maneno akajiona kama yeye
ni mdogo. hali Hii itamfanya ahisi kudharaurika
7. Jua zaidi kuhusu njia za kupanga uzazi anazotumia mkeo/mpenzi wako. Baadhi
ya wanawake wengi kupitia kutumia njia za uzazi wa mpango huathiri homoni zao
wenyewe, homoni zao huathiri mpaka hisia zao wakiwa chumbani
8. Jifunze na uzifahamu siku za kuingia na kutoka wakati wa mzunguko wake wa
hedhi. kuna baadhi ya Wanawake wengine hupata hisia wakati wakiwa katika wakati
wa mwezi au siku zao.
9. Mpende hadharani na faraghani. Mpe uwazi kuwa yeye ndiye wa pekee,
usiwaburudishe wanawake wengine. Hii itamfanya ajisikie na kujiona yupo salama
zaidi mikononi mwako